ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Heris the hero of football in Africa... nikitokea Kenya nafatilia sn chama langu young Africans on 🔥🔥🔥
Hatareee 🖐🖐🖐🖐🖐💚💚💚💚💚💚🌳🌳🌳🌳🌳yangaaaaaaa on fireeee all day 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Chezea Enginier ww sio za darasani tu mpaka uwanjani ni wa moto balaa ....Hata straiker wa madunduka hawezi kufunga goli kama hilo🤣🤣🤣
Kama Mavetelani wa yanga wanacheza hivi je vijana nao itakuwajeee🔥Nipo LONDON naipenda yanga Africa💚💛💚✅
Hii taalamu inaitwa Super Sub🎉🎉🎉 kongole kwako kiongozi wetu Mpendwa wa Yanga African, Allah akuhifadhi.
Ashitakiwe kwa kusudio la kuua.😂😂😂
Hilo shoot ni 💥
Nic san rais wa yang
Huo Mshoot ni wa Mapata kabisa💚💛💚💛
Hata manula hii hadaki
Walah ipo siku Rais wetu Eng ataingia uwanjani🤣🤣🤣😂😂😂💚💚💚💛💛🖤🖤
Respect Eng,,,mzee wa site na uwanjan umooooooo
Mbona km raisi na hasira na Jezi nyekundu😂😂
😅😅
,😂😂😂
Maana sio kwa shuti hilo duh😅😅😅
Yanga chama languuuuu
Allaah Akbar
Safiii
Hatarii
Huyu ENGINEER sio mtu mzuri...🤣🤣🤣
Dåååååh mboñ kama pacome vile alivyo funga goli mechi kati ya geita gold
😂😂😂mshoot 🔥🔥🔥💚💛💚💛
Ikiwa rais anapiga mishuti kama hii wew mchezaji lazima ujitathimin😂😂😂😂
Hakika msemo wa "KIONGOZI ANATAKIWA KUWA MTU WA MFANO," ndio nimeona hapa, hii ndio YANGA sasa🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂 Aki nimecheka mie,
Balaa
🎉🎉
😅😅😅😂😂ukiagiza aziz ki online unaletewa eng Hers
😂😂😂😂 Aziz mwenye kitambi
💚💚💚💛💚💛💚💛💪
Yawezekana huyu jamaa ZAMANI alikuwaga jichezaji kweli aisee
hahaha nmependa Comments zenu Nampenda Eng Hersi he will always be better for Us💛💛💛💛💛 Nomarawa😂😂😂
Haaa anataka kutoboa nyavu nn?woooh
safi 😢😢😢😢😢
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 basi ni balaa kwan mangungu ye hajacheza kwa wabunge wa kanyelamumo?
Hv ndivyo tunapenda ayo mashindano yako poa
😂 congratulations lais wey2
Engineer Hersi ana allergy na jezi nyekundu. Pona yake kipa ilikuwa ni kulikimbia lile kombora!
Rais mwenyewe pasi zake hazina mpinzani
😂😂😂😂dhambi za hersi apewe mangungu
👍👍👍👍
Nani mwalimunwa Mwenzake Kati ya Ki Azizi na Raise Hersi
huo mshuti ayubu pia asinge daka😅😅😅
😬😬😬🙌
😂😂😂😂😂jamaaa anataka kuua
Wananchiiiiiiiiiiiiii!!!!
💚💛💪
Joseph Guede kazi anayo
Yanga juuuuuu
Sasa tunaangaika nin kutafuta srike??😂😂
😂😂😂😂 Raisi wetu hersi umeona jezi nyekundu unadhani ni simba 😂😂😂
😂😂😂😂hataree ogopaaaa
Hyo ni hataree
Rais wa mpira
😂😂😂 yanga haoo
Nsini washindi wa hyo match
Bonge la bao
Yaan ukikuta watu wamevaa jezi za YANGA hata kama ni wabibiUsiwape mpira wanaweza kusimamisha mnara😂😂😂😂
Kama dilisha dogo bado haljafungwa Kuna kitu cha kufanya hapo
Mbona kama rais amepiga kwa kuuwa au wekundu😂😂
RAIS huo mshuti vipi, mbona kama unamcharaza bakora kakako Mangungu? 😂😂
😂😂😂😂
Unajua nyie bana nimecheka kwasaut naona pasi in tumiasekunde kadhaa mpka mpila kuumpata sekunde kadhaa
😅😅😅😅
😂😂
Kwani Hersi ni mbunge wa wapi?
Wachezaji wenyewe wazito kukimbia 😂
Ilo shuti kiboko kwhy mgunda nae kachezaa 😂
Sasa straika wanini tena kama raisi anajua hivi makolo mtakufa mwezi 4 tunafumua mshono🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Sasa siasajiliwe tu kama straiker wa timu ya wananchi
😂😂😂bonge la goli kama la pacome
Kama lile la kaida lajana
Clear offside😂😂😂
😂😂😂😂 toka huko
Kapiga kwa hasiraa Kama msondaa
Bonge ya bao
Eng.hatar kolo chali
Rais wa mpira ndio maana usajiri wake ni wa moira
this guy knows how to position himself in front of the goal better than Taifa starts forward. Duuugh
Huo mgoli wakuombea kura za ubunge kkkkkkkk
Heris the hero of football in Africa... nikitokea Kenya nafatilia sn chama langu young Africans on 🔥🔥🔥
Hatareee 🖐🖐🖐🖐🖐💚💚💚💚💚💚🌳🌳🌳🌳🌳yangaaaaaaa on fireeee all day 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Chezea Enginier ww sio za darasani tu mpaka uwanjani ni wa moto balaa ....
Hata straiker wa madunduka hawezi kufunga goli kama hilo🤣🤣🤣
Kama Mavetelani wa yanga wanacheza hivi je vijana nao itakuwajeee🔥
Nipo LONDON naipenda yanga Africa💚💛💚✅
Hii taalamu inaitwa Super Sub🎉🎉🎉 kongole kwako kiongozi wetu Mpendwa wa Yanga African, Allah akuhifadhi.
Ashitakiwe kwa kusudio la kuua.😂😂😂
Hilo shoot ni 💥
Nic san rais wa yang
Huo Mshoot ni wa Mapata kabisa💚💛💚💛
Hata manula hii hadaki
Walah ipo siku Rais wetu Eng ataingia uwanjani🤣🤣🤣😂😂😂💚💚💚💛💛🖤🖤
Respect Eng,,,mzee wa site na uwanjan umooooooo
Mbona km raisi na hasira na Jezi nyekundu😂😂
😅😅
,😂😂😂
Maana sio kwa shuti hilo duh😅😅😅
Yanga chama languuuuu
Allaah Akbar
Safiii
Hatarii
Huyu ENGINEER sio mtu mzuri...🤣🤣🤣
Dåååååh mboñ kama pacome vile alivyo funga goli mechi kati ya geita gold
😂😂😂mshoot 🔥🔥🔥💚💛💚💛
Ikiwa rais anapiga mishuti kama hii wew mchezaji lazima ujitathimin😂😂😂😂
Hakika msemo wa "KIONGOZI ANATAKIWA KUWA MTU WA MFANO," ndio nimeona hapa, hii ndio YANGA sasa🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂 Aki nimecheka mie,
Balaa
🎉🎉
😅😅😅😂😂ukiagiza aziz ki online unaletewa eng Hers
😂😂😂😂 Aziz mwenye kitambi
💚💚💚💛💚💛💚💛💪
Yawezekana huyu jamaa ZAMANI alikuwaga jichezaji kweli aisee
hahaha nmependa Comments zenu Nampenda Eng Hersi he will always be better for Us💛💛💛💛💛 Nomarawa😂😂😂
Haaa anataka kutoboa nyavu nn?woooh
safi 😢😢😢😢😢
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 basi ni balaa kwan mangungu ye hajacheza kwa wabunge wa kanyelamumo?
Hv ndivyo tunapenda ayo mashindano yako poa
😂 congratulations lais wey2
Engineer Hersi ana allergy na jezi nyekundu. Pona yake kipa ilikuwa ni kulikimbia lile kombora!
Rais mwenyewe pasi zake hazina mpinzani
😂😂😂😂dhambi za hersi apewe mangungu
👍👍👍👍
Nani mwalimunwa Mwenzake Kati ya Ki Azizi na Raise Hersi
huo mshuti ayubu pia asinge daka😅😅😅
😬😬😬🙌
😂😂😂😂😂jamaaa anataka kuua
Wananchiiiiiiiiiiiiii!!!!
💚💛💪
Joseph Guede kazi anayo
Yanga juuuuuu
Sasa tunaangaika nin kutafuta srike??😂😂
😂😂😂😂 Raisi wetu hersi umeona jezi nyekundu unadhani ni simba 😂😂😂
😂😂😂😂hataree ogopaaaa
Hyo ni hataree
Rais wa mpira
😂😂😂 yanga haoo
Nsini washindi wa hyo match
Bonge la bao
Yaan ukikuta watu wamevaa jezi za YANGA hata kama ni wabibi
Usiwape mpira wanaweza kusimamisha mnara😂😂😂😂