Mbunge Lusengekile aiwakia ATCL "Ni aibu kutokuwa na safari Mwanza - Dodoma"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ค. 2024
  • Mbunge wa Busega (CCM), Simon Lusengekile amesema ni aibu Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) kutokuwa na safari kati ya mkoa wa Dodoma na Mwanza, Dodoma - Kilimanjaro.
    Lusengekile amesema hayo leo Jumatatu, Mei 6, 2024 wakati akichangia mjadala wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2024/25

ความคิดเห็น •