NAPE AMESAIDIA WAPINZANI. WAJIPANGE!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Nape Nnauye ameropoka ukweli. Utumike katika kujiandaa.
  • เพลง

ความคิดเห็น • 242

  • @eleutermhumba347
    @eleutermhumba347 3 หลายเดือนก่อน +48

    Kuna wakati Mungu,huwaumbua wachawi mchana.

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 3 หลายเดือนก่อน +13

    Asante Nguri wa uandishi habari..
    Uandishi na uchambuzi wako unazaa waandishi watoto wadadadisi kama uanasheria wa Tundu Lisu na Mwabhukusi unavyozaa wanasheria makini kuliko wanasheria mizoga wa serikali.....

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 3 หลายเดือนก่อน +27

    Nape anatoa siri ya kweli

  • @johnjohnkipokola5077
    @johnjohnkipokola5077 3 หลายเดือนก่อน +30

    Kiburi na dharau ya hali ya juu hii.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 หลายเดือนก่อน +2

      Anamtaja Mungu kwenye udhalimu. Mungu hadhihakiwi

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 3 หลายเดือนก่อน +14

    CCM Mungu anawazalilisha alicho sema nape nikweli

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 3 หลายเดือนก่อน +26

    Kweli mungu hamfichi mnafiki ukweli umejulikana

    • @barakarobert1029
      @barakarobert1029 2 หลายเดือนก่อน +1

      Alienda kuomba msamaha kwa jpm baadaye jpm alivyokufa akakengeuka tena akaanza kumunanga

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 3 หลายเดือนก่อน +7

    Hiyo ndiyo dhambi ya kumkufuru Roho Mtakatifu.Huwezi kusema ngoja nikatende dhambi halafu nitatubu na ukategemea kupata msamaha kwa Mungu.Labda Mungu wa Jimbo la Mtama analoliongoza yeye,siyo Mungu wa Israel.

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 2 หลายเดือนก่อน +9

    Inakera ---- Inaudhi ---- inachukiza sana ---- halafu eti hawa machawa wanashangilia maneno ya hovyo kama hayo -- Hicho alichokisema kilipaswa kupingwa pale pale kwa kiwango cha kumng'oa kwenye nafasi yake --- ccm yamevimbiwa na kulewa kwa kiwango cha hata kumdhihaki Mungu,kwamba,eti anaweza kusapoti ujinga wao --- sikilizeni ccm " Siku zenu zinahesabika "

  • @kwasmokweka9598
    @kwasmokweka9598 3 หลายเดือนก่อน +19

    Nape bado amekalia hicho kiti cha uwaziri,?Nitashangaa sana!

    • @simonnaivasha6393
      @simonnaivasha6393 3 หลายเดือนก่อน +4

      Anatangaza sera ya chama, ni katibu mwenezi w chama, laiti Magufuli John angefufuka huyu angeljicha kwenye shamba la karanga..

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@simonnaivasha6393Hata magu naye mfumo wake huo huo kama wa Nape, tena angekua hai uchaguzi huu usingekuwepo, angeendela tu kua raisi

    • @AGM19697
      @AGM19697 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani wewe unakaa dunia gani?

  • @dillonfoya
    @dillonfoya 3 หลายเดือนก่อน +8

    Kauli ya nape na inapotoka kwa mtu aliyeshika nafasi ya juu inatuthihirishia kile Wapinzani walichokuwa wanasema kuwa sisiem hawawezi kushinda bila msaada wa vyombo vya dola sasa iko hadharani kuwa sisiem ni wezi wa kura

  • @pantaleokullaya4267
    @pantaleokullaya4267 3 หลายเดือนก่อน +13

    Ebana huyu mwanahabari mbona hatari wa data!Kaka Mungu akulinde,fungua macho ya watu.!

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 หลายเดือนก่อน +2

      Elimu elimu elimu

    • @aureliantemba9830
      @aureliantemba9830 2 หลายเดือนก่อน

      JARIBU KUCHANGANYA NA KUKOROGA MAFUTA NA MAJI MKOROGO UKITULIA NI LA,IMA MAFUTA YAWE JUU TU ! HUO NDIO UKWELI HAUFICHIKI.

  • @yakoubfaki2026
    @yakoubfaki2026 3 หลายเดือนก่อน +10

    Duh sasa ndo tunahubiri democracy kila siku, huyu anapaswa kufutwa iyo nafasi aliyo kuwa nayo ila wakati yupo chama tawala utaona Hakuna kitu

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 2 หลายเดือนก่อน +2

    Na wiz wa waz ulifanyika 2020 jmn dah,yaan upinzani ubunge kiti kimoja😢😢😢aya mwenzao yupo mbele ys haki anajibu bdo wao hii dunia tunapita

  • @aloycemruma6552
    @aloycemruma6552 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hawa. Ni vibaka lakini kuna kamsemo kanasema ngoma ikilia sana inakaribia. Kupasuka hawa. Walikulia kwenye zambi hivyo nisehemu.ya maisha yao

  • @edwardkasubi5135
    @edwardkasubi5135 3 หลายเดือนก่อน +9

    Mmmmmhhhh ni dhihaka kubwa sana yaaaaaaani Hadi jina la MUNGU kalitumia

    • @jesaminzo
      @jesaminzo 3 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu MUNGU kweli ni mvumulivu na wa rehema nyingi sana , angekuwa kama mimi hapa, Nape angejistukia yupo chini.

  • @mozesamizi931
    @mozesamizi931 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ni mwema, watanzania tuwe watulivu, hawa madhalili wataropoka yoote, maana M'Mungu amepanga kuwadalilisha2025

  • @AthumanDauda
    @AthumanDauda 2 หลายเดือนก่อน +6

    Nape amesema ukweli mtupu bila kufanya hivyo ccm Chali hivyo watanganyika amkeni mjitambue ktk hili

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 3 หลายเดือนก่อน +7

    Ngurumo umekumbusha tusiende kwa taratibu tulizozoea, tuende kwa ukakamavu na ukali ambao wao watabaki wakishangaa na liwe funzo kwao na wakubali kuwa wananchi wamewachoka.

  • @CharlesSeleli-to2un
    @CharlesSeleli-to2un 3 หลายเดือนก่อน +8

    Sasa hapa ndio maana nchi za wenzetu vita na mapigano baada ya matokeo ya uchaguzi huwa hayaaishi

  • @InnocentLuvanda
    @InnocentLuvanda 2 หลายเดือนก่อน +2

    Vyama vya upinzani pamoja na watanzania wote wapenda haki tunapaswa kumshukulu Nape kwa sababu Mungu amemtumia bila yeye mwenyewe kujua,ametusanua,

  • @ananiamwatebela3159
    @ananiamwatebela3159 2 หลายเดือนก่อน +4

    Yaan laana ya jpm inawaendesha sana

  • @GreysonMheni-ln9rm
    @GreysonMheni-ln9rm 3 หลายเดือนก่อน +15

    Na Kama alilewa Basi analoaema ni kweli maake hakuna msema kweli Kama mlevi

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @JosephBWAGIZO-fs5ig
      @JosephBWAGIZO-fs5ig 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @ObediKinkusha-gq8fw
    @ObediKinkusha-gq8fw 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu ni dhalimu kama wanavyofikiri?

  • @josephmusagasa
    @josephmusagasa 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa maelezo ya Nape CCM inapaswa kufikishwa mahakamani dhidi ya uwepo wao madarakani

  • @JosephMsanga-vl3ug
    @JosephMsanga-vl3ug 2 หลายเดือนก่อน

    Ukweli Utawapeni Uhuru!! Na Utumwa Hutokana na Mguso Halisi!!;

  • @mohamedngatika
    @mohamedngatika 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ndiyo mpangaji wa yote na ukitaka kulijua hilo nitakupa mifano iliyokwisha tokea hapa kwetu mfano mmoja ni marehemu magufuli alipanga kumuua tundu lisu matokeo yake ilikuaje lisu mpaka leo anaishi na magufuli tulishamzika

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 หลายเดือนก่อน +2

    UMEONGEA UKWELI MR NGURUMO

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu muaibishe shetani huyo.

  • @SudiKhamisi
    @SudiKhamisi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hawo mungu Ana waumbuw CCM siwatu wema kwetu

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani wewe ulikuwa huwajui ccm,hii amani unayo iona inaletwa na vyama vya upinzani kwa ustaarabu na uvumilivu wao juu ya uonevu wanaovumilia .sio rahisi kuwa mvumilivu kwa muda mrefu katika kunyang'anywa haki yako,ndio maana nchi nyingine uchaguzi husababisha machafuko na kupelekea nchi kutotawalika kwa muda fulani na amani kutoweka hilo sio jambo jema .mukiwa hamujawa tayari ccm kuhusu uchaguzi bora usifanyike mukahatarisha amani ya nchi.wananchi wakichoka ujinga munaoufanya wa kulazimisha kushinda hata kama hamujashinda .

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo anaitwa mzee wa goli la mkono😅😅😅

  • @zabronmwaipungu2212
    @zabronmwaipungu2212 2 หลายเดือนก่อน +3

    Usidharau kauli ya mlevi.

    • @sylvestersamwel8210
      @sylvestersamwel8210 2 หลายเดือนก่อน

      Siku zote usithubutu kumwambia mlevi siri yako kuna siku akiwa amelewa chakari ujuwe ataisema hiyo siri hadharani.

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 2 หลายเดือนก่อน +1

    Saluti sana kaka,,,,,unaongea na kuthibitisha kwa ushahidi wa papo hapo,,,,unatisha sana babilai

  • @costantinekikinda7574
    @costantinekikinda7574 2 หลายเดือนก่อน

    Hatari sana ktk mbingu

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 2 หลายเดือนก่อน +3

    KWA KAULI HII HAZITA IBIWA KURA BALI WAGOMBEA WENU WATAIBIWA NA WAPIGA KURA SUBUTU

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ingekuwa mimi ni mama samia ningemtumbua uwaziri muda huo huo .Hii kauli ni ya uchochezi na ingekuwa ni nchi kama Kenya wangeandamana na kuchoma hata bunge ila kwa Tanzania hali ni tofauti.watanzania wamelala usingizi wa pono na sijui wataamka lini maskini ya Mungu.

    • @daudimaembe3360
      @daudimaembe3360 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli kabisa ndugu unachosema, watanzania hawataamka leo wala kesho.

    • @francisjohanes3027
      @francisjohanes3027 3 หลายเดือนก่อน

      Siyo tahisi kuamka kwa sababu ....... huo unashangilia na watu​@@daudimaembe3360

    • @samsonrusagira5168
      @samsonrusagira5168 3 หลายเดือนก่อน

      Mama Dr.Samia hawezi kumtumbu Nape.Yeye pia alitoa kauli inayofanana na hii ya Nape wakati akiwa Makamu wa Rais.Hawa ni Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba vyao.Katibu Mwenezi Amos Makala anajua vyema kuwa huo ndiyo mchezo wa CCM miaka yote kwenye kila chaguzi hata zile chaguzi za ndani ya chama chake mwenyewe.Kauli aliyoitoa ni kutokana na aibu ambayo Nape amewatia.Nape amewavua nguo hadharani. Wako uchi wa mnyama.Na hawatamfanya lolote Wanakemea TU kuficha aibu yao.Alicho kisema Nape ndiyo utamaduni wa CCM wa miaka yote.Wananchi jiandaeni kukabiliana na kulinda kura zenu.Ahadi wanazotoa kuwa uchaguzi utakuwa HURU NA HAKI ni danganya toto TU.Msibweteke.CCM ni kama maji.Hayasahau asili yake.Utayachemsha maji na baada ya muda yatarudi kwenye ubaridi wake.
      Ni kweli wamejipanga kubaki kwenye madaraka kwa kutumia mbinu alizofichua Nape.Hakuna jipya linalotegemewa zaidi ya hapo.Jipangeni TU Mwenyezi Mungu Yuko upande wetu.Hawatashinda.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 หลายเดือนก่อน

      Never say never

    • @sylvestersamwel8210
      @sylvestersamwel8210 2 หลายเดือนก่อน

      Hata kama ametengeliwa uwaziri lakini amesema ukweli nao utamuweka huru.

  • @geoffreymwafongochristop-vd6ob
    @geoffreymwafongochristop-vd6ob 2 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks God,

  • @prospermashallo192
    @prospermashallo192 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ndio maana hawataki tume huru.

  • @eunicemacha8497
    @eunicemacha8497 2 หลายเดือนก่อน

    Umesomeka

  • @EmmanuelSabibi
    @EmmanuelSabibi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu anaumbua watu ambao wabishi kuwasikia wananchi

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 2 หลายเดือนก่อน +4

    Tz tunaongozwa na Watawala Wezi, Majambazi na Vibaka Wote CCM

    • @knight6757
      @knight6757 2 หลายเดือนก่อน

      🐸

  • @cyprianboniphace-oz5lw
    @cyprianboniphace-oz5lw 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ni ngumu,mwenzio ana majeshi unashindana naye vipi,hapa waliotushinikiza kuanzisha mfumo wa vyama vingi wasipoingilia kati tutaendelea hivi hivi.

  • @costantinekikinda7574
    @costantinekikinda7574 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna atakayeshinda unabii chama pinzani kinatawala naamini amen

  • @eunho9529
    @eunho9529 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nape kaongea ukweli. hata kama akikemea hiyo kisayansi ni danganya toto tu, ukweli wote nape kauweka wazi.

  • @frimatuslupimo2031
    @frimatuslupimo2031 2 หลายเดือนก่อน

    Ni rahisi kushindana na mbowe kwenye uchaguzi wa chadema?

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 2 หลายเดือนก่อน

    Daaaaaah"kwel mungu yupooooo"

  • @isacktesha6659
    @isacktesha6659 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hawa watu kwanini wanatulazimisha kukasirika? Iko siku Yao , wameshiba wamevimbiwa ,

  • @adelinelyaruu3036
    @adelinelyaruu3036 3 หลายเดือนก่อน +3

    It is unprecedented 😮😮😮

  • @SumailiHamisi-hx7gg
    @SumailiHamisi-hx7gg 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisaa

  • @GreysonMheni-ln9rm
    @GreysonMheni-ln9rm 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ndo maana Magufuli alimtupiliaga mbali huko

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n 2 หลายเดือนก่อน

      Hta hyo magufur alikuwa mwiz tu Wala hakushinda😢😢😢Aya akajibu huko mbele

  • @justineemanuel127
    @justineemanuel127 2 หลายเดือนก่อน

    Ogopa Mungu na Wakati.

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 2 หลายเดือนก่อน +1

    Au alikua ameolewa kweli nini😂😂😂

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimechefukwa sana na hiyo kauli ya huyo nape najiuliza hizo foleni tunapangwa kupiga kula kuwapigia wanaoomba kwa mungu awasaidie kufanya uhalamia na dhulma

  • @godfreybitakama9845
    @godfreybitakama9845 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hata hamu kwenda kupiga kura haipo tena ila kwa miaka hii yote nao wangepumzika

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ccm ni kama mbuu ukiwapulizia rungu spray hawafi ,kesho wanakuja kukutafuna tena bora kuachana nao

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani Mtu Mzima Anaongea Upuuzi ,
    Hivi Nape Anatuchukuliaje Sisi Watanganyika?!?!"

    • @sylvestersamwel8210
      @sylvestersamwel8210 2 หลายเดือนก่อน

      Nape amesema ukweli, hayo ndio yanayofanyoka.

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lijamaa lilikua limelewa kweli😂😂😂

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 3 หลายเดือนก่อน +2

    Anzisha Chama chako uje lete bunduki upo kwenye viwanda ushinde Hakuna mpinzami Tanzania

  • @mabubambassa4882
    @mabubambassa4882 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sio hayo tu, nape aliwahi kumuibia kura Angela Kizigha kura zake na kumpatia mkwe wake Mama Mkami.

  • @mozesamizi931
    @mozesamizi931 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna mtu nampeda kama nape nauye!,huyu brother nimsema ukweli!,na akiendelea pepo ni yake!,wapumbavu ni sisi watanzania,twaletewa kura nje ya box twardhika!,peleka ujinga huo Kenya uone moto!,kwa kweli nape apewe mauwa yake!

  • @SylvanusMillanzi-w7h
    @SylvanusMillanzi-w7h 2 หลายเดือนก่อน +2

    Suluhisho la MSINGI ni katiba mpya tu

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 2 หลายเดือนก่อน

      Nani sasa wa kutoa katiba mpya suluhisho ni kupinga udhalimu na uzandiki huu kwa ukakamavu bila woga

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa apa chadema mjipange sawa sawa maaana apo wamesha wasanua kuwa watawaibia kula

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 2 หลายเดือนก่อน +2

    Taifa linaongozwa na walevi viwanda vya, pombe ni vingi,, kuliko viwanda vya sukar

  • @JumaNjiku-df1fd
    @JumaNjiku-df1fd 22 วันที่ผ่านมา

    Hakuna mungu mpumbavu namna hiyo!

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 2 หลายเดือนก่อน +1

    huyu nae ni kiongozi kweli hapo ujue tz hamna vyama vingi

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 2 หลายเดือนก่อน

    Safi nape huo ndiyo ukweli nafuu kusema kuliko watu watafute majibu WEWE siyo mnafiki

  • @stevesungura6789
    @stevesungura6789 3 หลายเดือนก่อน

    Thank you

  • @RhodaKibona
    @RhodaKibona 3 หลายเดือนก่อน

    Eeeeeeeee thank you jesus

  • @raymondmushi9019
    @raymondmushi9019 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa kutunza kumbukumbu za siasa za nchi yetu,nakupongeza.uko sahihi.

  • @sylvestersamwel8210
    @sylvestersamwel8210 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sikilizeni kwa umakini kauli za Nape, Bashiru na Samia ktk clip hii.

  • @SimonKidando
    @SimonKidando 2 หลายเดือนก่อน

    Nape siyo adui namtazama Kama shujaaa wa kweli kusema ukweli kwamba enough is enough ,

  • @imanimaulid8304
    @imanimaulid8304 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuu!! Bado tunasafari ndefu sana

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 หลายเดือนก่อน

      Let's just keep faith. One day it will happen

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 2 หลายเดือนก่อน +1

    Siyo wapinzani bali ni Watanzania bila shaka semeni ukweli hali Hili NCHI IPO PABAYA

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kuna jambo limejificha nyuma ya kauli ya Nape. Kwa mtazamo wangu huenda hawa ndiyo wale Brothers aliosema mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Arusha. Sasa kaamua kuja mchana kweupe kuharibu. CCM ikubali tu imeshakufa inasubiri mazishi 😅

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 3 หลายเดือนก่อน +2

    Haya maneno si ya Nape peke yake ndivyo walivyozoea CCM. Tuyahifadhi maneno haya na baadae tuwaulize tukianzia na jimbo la kibaka huyu mpumbavu na mdomo wake unaonuka uchochozi ambao hatuna tija Kwa maendeleo ya taifa hili.

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sijui aliongea nini ,bao la mkono lilitaka kuleta machafuko .Samia Mtumbue Nape ataingiza nchi pabaya sana

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hana uwezo wa kumtumbua kinyume chake akitumbua yeye atatumbuliwa!

    • @donaldmaziku7915
      @donaldmaziku7915 3 หลายเดือนก่อน

      samia mwenyewe aliwahi sema ata ukipiga kura kwengine ccm itaunda dola

  • @josephnjellah280
    @josephnjellah280 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli umeanza kujulikana😂😂😂😂

  • @friendsofpeopleorg1157
    @friendsofpeopleorg1157 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe HATA mama...

  • @yusuphyusuph1641
    @yusuphyusuph1641 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi nikuulize we mtanzania hivi kwako serikali ya ccm haijawahi kufanya jambo zuri unalojua?

  • @NickTajir
    @NickTajir 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nape achia uwaziri aibu Hulu nje die tunaelimu kuliko wewe toka katika nafasi b hiyo unatutia aibu

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 2 หลายเดือนก่อน

    Ndo alivyo tangazwa Mtama -Lindi, kwa Kutumia Nguvu za Jeshi la Vyombo vya ulinzi na Usalama

  • @briankatani6770
    @briankatani6770 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mh wanasiasa wakemewe kuhusu kauli zao.ulevi wa madaraka.

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 3 หลายเดือนก่อน

    kweli ccm imekwisha nape umelogwa useme ukweli

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o 2 หลายเดือนก่อน

    Ingekuwa kenya kingenuka ila Tanzania maoga acha yafungwe magoli yamkono

  • @Anoldi-yj7mf
    @Anoldi-yj7mf 2 หลายเดือนก่อน

    Nape ametoa siri ndiyo maana ametumbuliwa

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 3 หลายเดือนก่อน

    Anayeona kuwa nape kasema uongo aseme. Kwani ukweli huchukiwa?

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa mbwa tuwaondoe madarakan..tumewachoka miaka zaid 50.wanachojua ni kuiba tu ..hii nchi yetu sote

  • @AllanLyombile
    @AllanLyombile 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu alikuwa amelewa ila Mungu aliamuwa kuutumia ulevi kuusema ukweli.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 หลายเดือนก่อน

      Alikuwa na akili timamu kabisa.

  • @EdwardMashauri-e7e
    @EdwardMashauri-e7e 2 หลายเดือนก่อน

    Jinga kbs

  • @benjaminmiselya2622
    @benjaminmiselya2622 3 หลายเดือนก่อน

    mmmh Mwenywkiyi wao aliwahi kusema kila Mtu ale kwa urefu wa kamba yake ila wasivimbiwe🤣😂

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nape huwa hajifikiliyi anapotowa matamshi hawa ndiyo wanaomharibiya mama Samia. Lema naye mwehu tu

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 3 หลายเดือนก่อน

      Hao wote wawili uliowataja mm huwa siwaelewi akili zao

    • @c.l.g.mchurch6426
      @c.l.g.mchurch6426 3 หลายเดือนก่อน

      Tulia dawa ikuingie

    • @SeverinMagwaya
      @SeverinMagwaya 3 หลายเดือนก่อน

      Leo hupongezi au nawewe ni mwenye Hila?

  • @mwadinijuma928
    @mwadinijuma928 2 หลายเดือนก่อน

    Wapinzani bila Katimba mpya hapati serikali munajisuvuwa tu sibara wala visiwani

  • @ThadeiAndrea
    @ThadeiAndrea 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee upo vizuli

  • @ernestlalu2067
    @ernestlalu2067 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huo mbona utamaduni wa kawaida wa Ccm,wanasema kuiba kura/uchaguzi sio dhambi.

  • @amourmbarouk1568
    @amourmbarouk1568 2 หลายเดือนก่อน

    Ndugu zangu Salaam, maoni yangu ni kwamba, ikiwa kila mtu atakachokisema ni kweli, Je maneno ya Mchungaji Msigwa na wenzake kama yeye kumbe nayo ni kweli?

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  2 หลายเดือนก่อน

      @@amourmbarouk1568 Msigwa na wenzake wana kazi maalumu. Wasikilizwe kwa .muktadha huo.

    • @amourmbarouk1568
      @amourmbarouk1568 2 หลายเดือนก่อน

      @@AnsbertNgurumo inawezekana hivyo? Mm naamini katika kujikwaa kwa viongozi hao, maana hatuna uwezo wa kujua nani katumwa au hakutumwa hiyo kazi maalumu

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  2 หลายเดือนก่อน

      @@amourmbarouk1568 Kama umemsoma Msigwa kwa miaka 2 mfululizo, utaelewa ninachosema. Maneno na matendo hutambulisha dhamira ya ndani ya mtu.

  • @samuelmakara1475
    @samuelmakara1475 3 หลายเดือนก่อน

    Nape his masters voice

  • @sylvestersamwel8210
    @sylvestersamwel8210 2 หลายเดือนก่อน

    SK MEDIA nikupongeze kwa kutunza kumbukumbu. Mm ninaamini hakuna mamlaka inayodumu Duniani, ipo siku tu.

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acha ujinga Hakuna Mungu anayesaidia uhalifu, labda mwenyekiti wenu maana ni Mungu kwa chama cheng.

  • @MartinLawi-w8z
    @MartinLawi-w8z 2 หลายเดือนก่อน

    Inatakiwa uchaguzi wa 2020 Urudiwe ,Ccm hamna kitu mnafanya

  • @peterjosephat6685
    @peterjosephat6685 2 หลายเดือนก่อน

    Ccm hawa heshimu maamuzi ya wananchi na ndo maana wadharau wananchi nguvu wanazo tumia kuwaamulia wananchi umefika mwisho maana hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho na mungu yupo upande wa haki

  • @MishlaySulley
    @MishlaySulley 2 หลายเดือนก่อน

    Hatakama amelewa , alikuwa ameongea kweli ya mambo yanayofanyika