KILICHOMKUTA MAKONDA KIGOMA BAADA YA KUKATAZA UCHAWI, WAZOMEA/ AMSIMAMISHA RPC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 28

  • @kashindesalha8107
    @kashindesalha8107 ปีที่แล้ว

    Makonda piga kazi mungu akulinde na mabaya

  • @anitamashobe6185
    @anitamashobe6185 ปีที่แล้ว

    Tunakushukuru Makonda unafanya kazi ukimuhusisha Mungu na una hofu ya Mungu,Mungu akutunze akuepushe na maadui,pamoja na Mama Samia Mungu amtunze kwa kukuona wewe na kukupa kazi imekuwa na matokeo mazuri

  • @EvaristClaud
    @EvaristClaud ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu akubariki sana kiongozi

  • @kimchi-91
    @kimchi-91 ปีที่แล้ว

    Mungu mbariki sana makonda

  • @rajabushedafa6397
    @rajabushedafa6397 ปีที่แล้ว +1

    RPC upo vzr sana sana sana sana saaaaaaaaana!!!!!!!!❤❤❤❤❤❤❤

  • @kashindesalha8107
    @kashindesalha8107 ปีที่แล้ว

    😂😂kamchapee hee jamanieee

  • @isacksimonmahungilo
    @isacksimonmahungilo 11 หลายเดือนก่อน

    Namuona gonga

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 ปีที่แล้ว +1

    Mama samia ww ni m2 na nusu mungu akubariki

  • @Commentsplus
    @Commentsplus ปีที่แล้ว +1

    Wahaaa wenzetu mnatuaibishaaa

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 ปีที่แล้ว +2

    Wasaidie watu Hali mbaya uku maisha magumu

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 ปีที่แล้ว

    Kigoma,Pwani,imani za kishirikina ni kubwa sana... nimekumbuka ZZK aliwahi kusema atakayemgusa hata panya hatabaki kwao...

  • @DaudiMatage-z7e
    @DaudiMatage-z7e ปีที่แล้ว +1

    makonda mama akiacha kiti gombea

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 ปีที่แล้ว

    Waha wanapenda uchawi sana lazima wawafurahie lambalamba😢😊

  • @samwelsimon7392
    @samwelsimon7392 ปีที่แล้ว +2

    makonda bonge la kiongozi kweli kweli

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 ปีที่แล้ว +1

    Makonda ni kiongozi bora mithili ya magufuli

  • @TENGAMSOGOYA
    @TENGAMSOGOYA 10 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwaa makonda mwenezi tunaombaaa utusaidiee mkoa kigomaa kibondo kunaa watu mheshimiwaa walipoteaa kwanziaa zisizpo julikanaaa , tunakuombaaa babaa kamaa unavosemaaa sheriaa zipoo uingiliee kati kamaa hutojali nakuombaa sanaaa:

  • @mawazoit8070
    @mawazoit8070 ปีที่แล้ว

    Sisi watu wa Kigoma kwenye ishu ya kamchape tumeonesha kuwa ni watu wa hovyo sana. Yani vijiji vinashindwa kuratibu maendeleo vimebaki ku finance matapeli. Pia imani zetu zinaonesha tu washirikina kweli na hatumtegemei Mwenyezi Mungu

  • @AminaRashid-q5m
    @AminaRashid-q5m ปีที่แล้ว

    Watu wanakataa kamchape ni wachawiii kwwli wezi ni polisi sio kamchape

  • @anthonymndeme2565
    @anthonymndeme2565 ปีที่แล้ว +2

    Kukosa umeme nchinzima inaonyesha ninamnagani raisi tuliyenaye anatufaa au hatufai,kwani amekumbatia mafisadi wauze majenereta na Sola alafu mnasema mama Samia hoyyee polenini mafisadi kwakumuangusha Samia hanasautikwenu poleni napolekwake.

  • @waltermbungu8783
    @waltermbungu8783 ปีที่แล้ว

    Serikali haitambui uchawi maana wenyewe wanatambika

  • @samwelnaal7952
    @samwelnaal7952 ปีที่แล้ว +2

    Nchi hii ujinga bado ni tatizo

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 ปีที่แล้ว +1

      Kubwa sana nasijui ni lini wataamka usingizi huo mzito

    • @waltermbungu8783
      @waltermbungu8783 ปีที่แล้ว

      Washilikina nyie

  • @ottoireetha9322
    @ottoireetha9322 ปีที่แล้ว

    Nmemuona tu @smile media

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 ปีที่แล้ว

    Rpc muha😊

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 ปีที่แล้ว

    Kk makonda chakike icho acha watolewe uchawiiiii

  • @Bigbossman-e1h
    @Bigbossman-e1h ปีที่แล้ว

    Tz watu ni washirikina Sana wajinga nyinyi akili zero