MAKONDA ALIA KWA UCHUNGU - AKATISHA HOTUBA- MAMA AMTAJA TAJIRI ANAYEDAIWA KUMTEKA MUMEWE TANGU 2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • MAKONDA ALIA KWA UCHUNGU - AKATISHA HOTUBA- MAMA AMTAJA TAJIRI ANAYEDAIWA KUMTEKA MUMEWE TANGU 2021
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 197

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  8 หลายเดือนก่อน +2

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

    • @DeodathMongi
      @DeodathMongi 8 หลายเดือนก่อน

      😊😊😊😊😊😊😊

    • @Cristiano-d1r3j
      @Cristiano-d1r3j 8 หลายเดือนก่อน

      0

    • @RwehaburaProjest
      @RwehaburaProjest 8 หลายเดือนก่อน

      Tuko pamoja kujenga nchi yetu

  • @kassimmuktarymurji4242
    @kassimmuktarymurji4242 8 หลายเดือนก่อน +17

    Haki zinazulumiwa na na baadhi ya viongozi wenye roho mbaya dhuluma na rushwa tupu Makonda pamabana wa Tanzania iko nyuma yako na dua za Mungu ziko pamoja na ww

  • @YustaOsward
    @YustaOsward 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akutunze akulinde na mabaya yote.. mweshimiwa pol makonda.. adui yako akawe adui wa Mungu nakutakia kila la kheri na baraka za mungu ziwe nawe

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 8 หลายเดือนก่อน +12

    Mungu azidi kukulinda MAKONDA ❤❤

  • @anethrichard9523
    @anethrichard9523 8 หลายเดือนก่อน +5

    Makonda piga kazi baba unanikumbusha enzi za magufuli , yaani Mimi naona nchi hii ujiandae kugombea urais unafaa sana tena sana ,like magufuli

  • @Ndubi254
    @Ndubi254 8 หลายเดือนก่อน +1

    Oh my goodness I love this leader! Baba wa wanyonge huyu! Naamia Tanzania Mimi! Watu wa watu kabisa🙏🏽

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 8 หลายเดือนก่อน +17

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,makonda Kama ni kuwajibika unawajibika kweli,pokea 💐🌹🥀 mapema

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 8 หลายเดือนก่อน +4

    Asante mama Samia kwa kumteua Makonda atanye kazi Asante mama Samia🙏

  • @ATHUMANIHAMISI-iq2jw
    @ATHUMANIHAMISI-iq2jw 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante Sana mhe Makonda,Asante CCM,Tuna maumivu makali Sana juu ya watanzania wanyonge
    Watu wanalia AJIRA lakini walio katika nafasi hizo wananyanyasa watu kiasi hiki......Kila Jambo Lina mwisho wake,
    NYERERE
    MAGUFULI
    SOKOINE
    ...........,...
    MAKONDA

  • @NyabageniPetro
    @NyabageniPetro 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda mungu akubaliki baba❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @sarahisaac2489
    @sarahisaac2489 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuwekee makonda...hongera sana

  • @yunisluvanga4211
    @yunisluvanga4211 8 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda mungu akubalik akupe maisha maleefu mnoooo

  • @Faridahajji-t6i
    @Faridahajji-t6i 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda Mungu zaidi kukubali
    Gombea urais

  • @godsonmgonja
    @godsonmgonja 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda MUNGU akutangulie you deserve to serve people at this time

  • @rev.livingstoneelihuruma-fk7es
    @rev.livingstoneelihuruma-fk7es 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuombea mheshimiwa makonda, Mungu akulinde na kukuinua, wewe ni zaidi ya mwenge wa Uhuru ktk nchi yetu

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 8 หลายเดือนก่อน +5

    Kumbe Mungu anajua kuwasaidia Wanyonge,acheni Mungu aitwe Mungu kwa Maana ndivyo Alivyo,

  • @LoveWity
    @LoveWity 8 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda una upiga mwingi babaa♥️♥️♥️

  • @AngelMbwilo
    @AngelMbwilo 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe maisha marefu baba

  • @Faridahajji-t6i
    @Faridahajji-t6i 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaliki❤❤

  • @emanuelmartini-uk5tc
    @emanuelmartini-uk5tc 8 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki Sana rafiki wangu makonda kwa kazi unayofanya kweli umekuwa mfano nzuri Sana kwa nchi yetu ya tanzania

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu humleta mtu wake Kwa wakati wake,msihuzunike Bali jitoeni moyo ila baba aliye mbinguni atawapa msaidizi,amen

  • @VASCOPANJA
    @VASCOPANJA 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda, unayofanya ni haki kabisa, endelea kufanya hayo na mengine. Mungu anatenda kazi kupitia wanadamu, watu wengi wanaonewa endelea kuwatetea ukitenda haki kwa nafasi uliyopewa utakuwa na tuzo mbinguni

  • @AishaYahaya-o4h
    @AishaYahaya-o4h 8 หลายเดือนก่อน

    Bac kizuri hakidumu jaman makonda upo vizur mungu akulinde

  • @SaraMakera
    @SaraMakera 8 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢Mungu akulinde aisee makonda

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 8 หลายเดือนก่อน +10

    makonda chukuwa maua yako kaka❤

  • @GeorgeSetwa
    @GeorgeSetwa 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mkuu p christian makonda mwenyezi mungu akusimamie sauti ya wanyonge sauti ya wasakatonge.... 😭😭😭😭

  • @joshuakitunzi9500
    @joshuakitunzi9500 8 หลายเดือนก่อน +11

    Dah hii nchi ina wengi wenye mengi😭😭😭😭

    • @designdesign4426
      @designdesign4426 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ama kweli inamengi yenye mengi

  • @MarthaFrank-y1x
    @MarthaFrank-y1x 8 หลายเดือนก่อน

    Pole kiongozi wangu

  • @magrethMkinga-h1g
    @magrethMkinga-h1g 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni kiongozi kweli Mungu akulinde Makonda

  • @Fx_expertmoneymaker001
    @Fx_expertmoneymaker001 8 หลายเดือนก่อน

    Aiseee....🙌🙌

  • @joramuignatio7384
    @joramuignatio7384 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda baba lao

  • @NeemaFabiola
    @NeemaFabiola 8 หลายเดือนก่อน

    Yani.makonda.mimi.nakuona.kama.makufuri.fanya.kazi.kaka.yetu.ubarikiwe.

  • @BoniphaceMbunda
    @BoniphaceMbunda 8 หลายเดือนก่อน +1

    Inauma sana 😢

  • @GraceChina-h3y
    @GraceChina-h3y 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuatamie Makonda akukinge na wabaya wote

  • @mkabesamaashao6805
    @mkabesamaashao6805 8 หลายเดือนก่อน

    MAKONDA HOYEEE

  • @DevotherChahe
    @DevotherChahe 8 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali makonda

  • @MonaAlmona-c1n
    @MonaAlmona-c1n 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda ukigombea urais mimi Nakupigia kura ❤ tumechoka matesoo iwe ivi ivi sio kwa sababu mwaka 2025 unakaribia

    • @Zuu673
      @Zuu673 8 หลายเดือนก่อน

      Tumuombee afike maana watu wabaya

  • @priscamchomvu4021
    @priscamchomvu4021 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze na akulinde kwa mbawa zake.

  • @kashurusho863
    @kashurusho863 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde karibu bukoba mweshimiwa yumechoka na zuruma

  • @CarloMsamba-q1s
    @CarloMsamba-q1s 8 หลายเดือนก่อน

    Huyo mama ambaye mume wake ametekwa na tajiri afike Buza Dar es salaam kwa kiboko ya wachawi. Atarudishiwa kila kitu na aliyetekwa atajulikana alipofichwa au kufukiwa

  • @GRACEMWASHA-l8u
    @GRACEMWASHA-l8u 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda kweli nitamwombea sana Mungu amlinde nahii nchi ya washirikina na wachawi

  • @happyfiverickaldo4662
    @happyfiverickaldo4662 8 หลายเดือนก่อน +2

    Siasa mchezo mzuri janja janja full mkanjunjuu

  • @FrangGilyLangat
    @FrangGilyLangat 8 หลายเดือนก่อน

    Good work up coming magufuli

  • @floramongi1410
    @floramongi1410 8 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu tusaidie watanzania uonevu gani huu watakufa hao wanaodhulumu Mungu ndiye mtetezi

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 8 หลายเดือนก่อน

    Pole Makonda

  • @tomtarimo9254
    @tomtarimo9254 8 หลายเดือนก่อน

    Bro Sijui Kama Tuta Pona Kweli! Paul Makonda. Sio Jambo Zuri Ni Jambo Gumu Sana Hii Nchi Yetu Hatuvuki Bro .

  • @official_marley09
    @official_marley09 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mlipaswa kuweka hii video mpaka mwisho jaman tujue mwafaka🥲🥲

    • @salumntulo1589
      @salumntulo1589 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa kuliko kukatidha

  • @rahmarama5669
    @rahmarama5669 8 หลายเดือนก่อน

    Yaan jmn hii Dunia😢

  • @alanmwijarubi
    @alanmwijarubi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Daaa, natarajia kuona kinachotokea kwa wahusika baada ya hapa. Ni hatari sana

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hatari sana ...Dhuluma nyingi sana enzi za jpm hakuna haya ❤😅😅

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 8 หลายเดือนก่อน

      Acha ushabiki wewe wakijinga amesema huyo mwenye mume miaka 3 toka mume wake amepotea sasa piga hesabu nani alikuwa Amiri Jeshi Mkuu?

    • @robinsonjoseph8119
      @robinsonjoseph8119 8 หลายเดือนก่อน

      @abu , kama sijakosea kesi ilianza mwezi wa 7 2021 ,japo hata mama SSH hawezi kujua yote, ukubali wasaidizi wake wanamuangusha

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 8 หลายเดือนก่อน

      @@robinsonjoseph8119 ndio tatizo kubwa hapa kwetu Tz na vile wanaona anafanya kazi vizuri sana sasa baadhi ya watendsji wake wanamfanyia makusudi na baadhi wengine wanatamaa na hii Dunia nakutaka kupata vizuri kwa haraka

    • @didasseveline9013
      @didasseveline9013 8 หลายเดือนก่อน

      Pole sana Kwa huo uelewa wako!!​@@abuumuhammad7133

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 8 หลายเดือนก่อน +1

    U b arikiwe Makonda❤❤🎉

  • @kihekaRobert
    @kihekaRobert 8 หลายเดือนก่อน +1

    poul mungu akulinde

  • @chachacharles7763
    @chachacharles7763 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana makonda kama wewe mko wachache Mungu akulinde mno

  • @AnetyKivuyo
    @AnetyKivuyo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimelia sana juu ya hili wanyinge hatuna watetezi😢

  • @BlessMasaki
    @BlessMasaki 8 หลายเดือนก่อน

    Nuru ya taifa inakuja tena Mungu asante

  • @LucyHusseni
    @LucyHusseni 8 หลายเดือนก่อน

    Duh makondaa

  • @KhamisHassan-fk6cf
    @KhamisHassan-fk6cf 8 หลายเดือนก่อน

    Tamfania hii......sasa ndio imeishaje hii..au ni nymbo sa mapambio kisha..asnteni......hakuna kitu hapo..ni kujiproud tu ili tumuone mweeeema......but kwa katbu mwenezi tena wa chama...hana effect yoyote....tuendelee kula sembe tukishushia na maji ya dafu ya bardiiiii😂

  • @Leontinius-r2p
    @Leontinius-r2p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo aliouimba Paulo makonda unatia huruma

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa linapiga kazi hata mm nisinge weza.. Hvyo. Ningechoka.. Hila.. Mungu awe pamoja nawe

  • @ShukuJr
    @ShukuJr 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda munguakubaliki tukupe nchi

  • @ludaba2323
    @ludaba2323 8 หลายเดือนก่อน

    Asante mh. Makonda tetesi wanyonge wapo wengi😂

  • @irineemanuel9749
    @irineemanuel9749 8 หลายเดือนก่อน

    Hili jembe ningelikuta dar kipindi alipokuwa Mkuu wa mkoa mwizi wa pesa zangu angekoma.Mungu wa mbinguni akufiche kwenye mbawa zake.

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 8 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda gombea tu urais huwenda tutaweza kuwa na imani nawew lakin hawa wengine ni Pua kbs naziona nyayo za Magufuli kbs kutoka kwako

  • @hamiskanama1945
    @hamiskanama1945 8 หลายเดือนก่อน

    Hali ni mbaya sana

  • @rehemafaustine7703
    @rehemafaustine7703 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka pole na majukumu unakutana na una roho ya kipekee kujali watanzania

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo mama apewe ulinzi maana hata yeye anaweza kutekwa

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 8 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢makonda duh

  • @MalakiMushi
    @MalakiMushi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mweshimiwa raisi tukuamini sana watanzania kwapamoja tunaomba umsaidie huyu mama kumpata mume wake me binafsi nimelia machozi ya uchungu. Inauzunisha sana jamani

  • @WashikiMarwa
    @WashikiMarwa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dah!!! Ila inaumaa canaa jmn kisa 2 anapesa

  • @ZachariaNyaumba-tc6gl
    @ZachariaNyaumba-tc6gl 8 หลายเดือนก่อน +1

    Usikose kuchukua foam 2025

  • @JaclineMfaume
    @JaclineMfaume 8 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli munguakulindetuu

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 8 หลายเดือนก่อน +1

    DAAAAAA NCHI INAHITAJI MATABIBU NA WAUGUZI KAZI KAMA MAKONDA💊💊💊💊💊💉 ili kutibu magonjwa yanayotuandama🥹🥹🙏

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda fanya kazi hiyo Ndio kazi

  • @ElizabethFesto-fv2ku
    @ElizabethFesto-fv2ku 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda Mungu akutunze maana umegundua maovu yanaofanyika

  • @SimonsalyAkonaay
    @SimonsalyAkonaay 8 หลายเดือนก่อน +3

    makonda ni lulu iliyoj
    ificha na ikapatikana kila la heri kaka 1:24

  • @HappinessKitosi-e8n
    @HappinessKitosi-e8n 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe

  • @aidaharuna5549
    @aidaharuna5549 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu atawahukumu watu awajali

  • @AllyMsuka
    @AllyMsuka 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu Malinda nikiongozi wakupigiwa mfano pamoja nawaziri mkuu na waziri Bashe na raise wetu Hawa no hazina ya tanzania

  • @SofiaMvungi-zu5tg
    @SofiaMvungi-zu5tg 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman Mungu tuhurumie kwa uonevu huu ni vigumu kuionna pepo

  • @shd12m55
    @shd12m55 8 หลายเดือนก่อน +3

    Msichokielewa hapo makonda amebaini kila kitu tena baada ya huyo askali kumakizia sentens yake ya mwisho ndio makonda akaishiwa nguvu kabisaa

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda wakupe Nchi kiatu cha Mzee kinakuenea.

  • @AminaRamadhani-gx8yr
    @AminaRamadhani-gx8yr 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yani wengine tunashindwa atakufatilia ziara ya makonda mana ukisiliza matatizo ya wenetu machozi yanatoka

  • @Deheye-q8q
    @Deheye-q8q 8 หลายเดือนก่อน

    Suruhisho ya haya mambo tunayapataje ??

  • @SeleSalumu-e1x
    @SeleSalumu-e1x 8 หลายเดือนก่อน

    Inackitisha sana,

  • @lyarycharles1481
    @lyarycharles1481 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mtoto aliyepewa hela na makonda

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 8 หลายเดือนก่อน +4

    Watu wanateswa kwa hakizao jamani. Viongozi kuipata pepo. Kwao ngumu

  • @JoyceFungo-c8k
    @JoyceFungo-c8k 8 หลายเดือนก่อน

    Uje na uku mheshimiwa ,tunaibiwa alfu hela ya sungusungu nitoe serikali ya mtaa ndo wanazidi kutukandamiza jaman embu mtuonee mtusaidie,

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dah 😭😭😭 r.i.p president MAGUFULI

    • @bakariomari8758
      @bakariomari8758 8 หลายเดือนก่อน

      Hapo magufuli angetrngua wengi

    • @barikilangoy4737
      @barikilangoy4737 8 หลายเดือนก่อน

      @@bakariomari8758 hii kazi ingekua rahisi sana kwake

  • @thomasdominick8604
    @thomasdominick8604 8 หลายเดือนก่อน

    Time will Tell

  • @kristofuraha3369
    @kristofuraha3369 8 หลายเดือนก่อน

    Hii Nchi hii!!

  • @AllyMsuka
    @AllyMsuka 8 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda ndie anaestahili kuwa naibu waziri mkuu

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dhulma zimezidi sana kwenye jamii yetu sababu ni rushwa na ubinafsi

  • @JulianaCelestine-o1f
    @JulianaCelestine-o1f 8 หลายเดือนก่อน

    Mambo ni magumu ktk nchi yetu. Tunatafunana lkn kuna siku yote yatabainika. Tumuogope Mungu jamani

  • @PaulinaJakobo
    @PaulinaJakobo 8 หลายเดือนก่อน

    Makonda Alia Kwa uchungu

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 8 หลายเดือนก่อน

    Kuna baadhi ya wasaidizi wa Rais wanamuangusha kwenye Majukumu siyo sawa aisee wabadilike

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t 8 หลายเดือนก่อน

      Kiukweli ni mtihan kila anayepat nafas anaona kapat dunia nzima hawajal kabis.

  • @mrschilongani8990
    @mrschilongani8990 8 หลายเดือนก่อน

    Jamani naomba uje na kijiji cha visegese wilaya ya kisarawe jamni

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 8 หลายเดือนก่อน +4

    Unge kua rais unge kua na maamuz kama JPM

  • @RoseGeradi
    @RoseGeradi 7 หลายเดือนก่อน

    Mazishi ya mchungaji kigoma

  • @Cryptocurrency_Tanzania
    @Cryptocurrency_Tanzania 8 หลายเดือนก่อน

    Mmmh jamani ninini hii? TANZANIA 🇹🇿 😢

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 8 หลายเดือนก่อน +2

    Shida Samia kaweka mawaziri majambazi, Samia anampa makonda kazi ya bule tu, mafisadi anawakumbatia wakati hawa mawaziri wanatuumiza watanganyika, RIP JPM