MWANANCHI ALIYEKATWA PANGA 19 AMLIZA MAKONDA "FUKUZA HUYU, MAITI ZINATUPWA MTONI" KIGOGO ABANANISHWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 374

  • @RehemaMsengi-rp5wg
    @RehemaMsengi-rp5wg 2 หลายเดือนก่อน +8

    Machozi yamenitoka pole sana ,Mungu ni mwema pia asante Mungu Kwa kutupa viongozi kama Makonda kuwakilisha vema Arusha Mh Mungu akupe maisha marefu.

  • @gracerichardmushy8429
    @gracerichardmushy8429 5 หลายเดือนก่อน +21

    Daaaah! Machozi yamenitoka, nimeumia sana, watanzania sisi ni wamoja, ni ndugu, kwa nini kuumizana hivi? Mama Samia Mungu akupe hekima kama mfalme Suleiman uiongoze hii nchi. Tunakupenda sana mama Samia, kika siku tunakuombea Mungu akupe afya na hekima uliongoze hiki taifa letu la Tanzania

  • @mosesmuhoozi8133
    @mosesmuhoozi8133 หลายเดือนก่อน +5

    Being honest Makonda you are true and servant of God, I believe that you will still maintain and protect president magufuli's legacy, thank you so much man of God Makonda❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @gracerichardmushy8429
    @gracerichardmushy8429 5 หลายเดือนก่อน +21

    Makonda Mungu akubariki sana, umefanya jambo la hekima sana. Mungu akutunze daima.

    • @masaikisawani8534
      @masaikisawani8534 5 หลายเดือนก่อน

      Mungu baba mwenyezi tupe mwisho mwema hapa duniani

  • @SaidyNjenjema
    @SaidyNjenjema 2 หลายเดือนก่อน +5

    Makonda ni laisi ajae nilaisi alie andaliwa namungu,,,,,,,mungu amueke makonda..... Makonda mungu ikimpendeza nianze kufa mim yey abaki ailinde dunia ijayo Tanzania,,,,

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 5 หลายเดือนก่อน +10

    Asante Mungu kwa kutuletea zawadi hii ya kijana Mpole mnyenyekevu msikivu na mwenye umakini kijana wetu Paul Makonda Mungu akulinde akuzidishie miaka mingi

  • @salvationisindividualbased8036
    @salvationisindividualbased8036 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akushikilie Paul Makonda,,,, Afya njema akujalie ,,,, akusamehe ulipowahi kosea ,,, akupe fursa ya kutumika kwa ngumvu nyingi ,,, Mungu akuinue mpaka vilele vya juu,, uongozi ni kugusa hisia na hali za watu,,, Blessed abundantly my sencere prayer,,, Amen.

  • @agnessslaa1897
    @agnessslaa1897 หลายเดือนก่อน +1

    Aaaaaah Arusha imepata Neema Mungu ametukumbuka❤stay blessed RC.Makonda kwa unayoyafanya ya kupendeza na kusaidia jamii

  • @yoshuasalum8623
    @yoshuasalum8623 4 หลายเดือนก่อน +6

    Binafsi namuona Magufuli ndani ya Makonda, kama dhamira yako iko hivyo kutokea ndani.mimi kama mtumishi wa Mungu,nakuombea Mungu akuinue siku moja uje kuiongoza nchi hii, maana haipingiki, kua Tanzania ilipofikia ,inahitaji Rais wa aina ya Magufuli na makonda.Mungu akulinde na kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa kwa jina la Yesu kristo, aaamen

  • @shuwanaliloka3816
    @shuwanaliloka3816 5 หลายเดือนก่อน +7

    Mungu Muumbaji (Allah) amemchukua Magufuli anatuletea Makonda. Alhamdulillah. Hakika hakuna shari isiyo ja kheri mbele yake.

  • @sabojanvierjaja2007
    @sabojanvierjaja2007 5 หลายเดือนก่อน +10

    Dhaaaaa 😢😢😢😢inatisha sana kabisa inaskitisha kumuona mwanaume kama huyu kulia kama mtoto mdogo kisa kuonewa aisee 😢😢ehh Mwenyezi Mungu tusamehe

  • @nebartmwakibinga7064
    @nebartmwakibinga7064 5 หลายเดือนก่อน +7

    Yesu akutunze saana Makonda nakuombea kwa Mungu aliyekuumba uishi miaka mingi ya heri na baraka na afyaa kamili

  • @BigawaTv
    @BigawaTv 5 หลายเดือนก่อน +4

    Hii nchi ina amani😢😢
    Yaani ni sawa na muonekano mzuri wa nje halafu ndani kumeoza😢😢

  • @zakariamakumba5042
    @zakariamakumba5042 หลายเดือนก่อน +1

    Mhe Makonda umenitoa machozi Mimi ,Much Zakaria,kweli wewe mtu wa Mungu aliye juu

  • @jacquilinemakundi1841
    @jacquilinemakundi1841 5 หลายเดือนก่อน +7

    Nakupenda Sana Makonda,nakuomnea Kwa Mungu wewe ni mtu mwema Sana!!

  • @wilgisndunguru8079
    @wilgisndunguru8079 5 หลายเดือนก่อน +8

    Makonda unafanya kazi nzuri sana mfikishie rais mateso hayo ya watu, hapa kuanzia RC na DC na viongozi wote wa eneo hilo wanapaswa kufukuzwa

    • @matridamwalyoyo1735
      @matridamwalyoyo1735 5 หลายเดือนก่อน

      Hakika

    • @jameskiroka2549
      @jameskiroka2549 5 หลายเดือนก่อน

      Raisi hachukui hatua.
      Kila Kona watu wanalia machozi hatua hazichukuliwi

  • @nestorysanga3938
    @nestorysanga3938 5 หลายเดือนก่อน +4

    Hivi bila Makondo haya yote tungeyajuaje? Hakika unayaishi maneno yako.
    Mungu akupe maisha marefu uje kutuongoza kwa nafasi ya juu

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 5 หลายเดือนก่อน +7

    Makonda Mungu akubariki nilikua sikuelewi ila Leo nimekuelewa sana

    • @IANA2030
      @IANA2030 5 หลายเดือนก่อน +1

      He is a great leader😢

  • @ericamwkyokile4681
    @ericamwkyokile4681 5 หลายเดือนก่อน +3

    Rais Samia kipekee nakupenda sana.hekima uliyoitumia kumteua Makonda kuwa Mwenezi na kuanza kuzunguka na kuona mambo yanayotendeka.ubarikiwe sana Mama.Na pia Makonda Mungu akulinde na kukutunza.

  • @PrinceKelvin-ht2hm
    @PrinceKelvin-ht2hm 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa kweli Makonda tulikuwa hatujakuelewa mwanzo sasahivi tunakuelewa

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 5 หลายเดือนก่อน +4

    Ipo siku mtanikumbuka tena mtanikumbuka kwa mema ilisikika sauti kutoka nyikani rest in peace jpm

  • @MichaelEnock-zq2wy
    @MichaelEnock-zq2wy หลายเดือนก่อน

    Paulo makonda chuma kwel kweli mwenyez mungu akulinde Kila sekunde uweze kuitumikia Tanzania yetu naomba haya kwajina la clisto amina

  • @user-ef7pn5wt7g
    @user-ef7pn5wt7g หลายเดือนก่อน +1

    Makonda wewe....Mungu akutunze daima...sisi tunakuombea ulinzi wa Mungu aliye juu yetu

  • @AmbroseThomas-gs3lc
    @AmbroseThomas-gs3lc 5 หลายเดือนก่อน +6

    Makonda si awe raisi tu ainyooshe hii Nchi.

  • @irenechuwa3221
    @irenechuwa3221 10 นาทีที่ผ่านมา

    Hongera sana muheshimiwa Paul Makona nzuri kama Rais Magufuli.Hamia na Mkoa Kilimanjaro kesi za mashamba zimekuwa kilio na rushwa nying

  • @JafariHamisi-gu4ef
    @JafariHamisi-gu4ef 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mungu kwa kuwafumbua macho viongozi wa tanzania kupitia pol makonda

  • @IdiOruwa
    @IdiOruwa หลายเดือนก่อน +1

    unafanya kazi zuri sana tunge pata mtu kama wewe tungenyorosha kenye yetu

  • @ndongeyejackobo4059
    @ndongeyejackobo4059 5 หลายเดือนก่อน +3

    I never used to cry because of national issues, now I have deeply cried

  • @PatrickMwendesha-tr9dy
    @PatrickMwendesha-tr9dy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akulinde Kwa kazi nzuri ya kutetea nakueneza upendo kwenye nchi yako makonda

  • @patrickkwibe4431
    @patrickkwibe4431 หลายเดือนก่อน

    ❤ I am from DRC 🇨🇩 Makonda Mwenyezi Mungu akulinde,kwa kweli Tanzania inasifa nzuri kwa inje ila kwa ndani watu wanateseka sana tena sana

  • @user-ld6ys6ok6e
    @user-ld6ys6ok6e 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nimeumia sana juu ya mtu huyu, inaliza sana, eee Mungu waone watu wako hawa, Mungu akubariki sana mh makonda hakika wewe ni mbeba maono

    • @saadyusuph6554
      @saadyusuph6554 5 หลายเดือนก่อน

      Inauma Sana mungu tu ndo jibu

  • @user-dc1qh3nm5s
    @user-dc1qh3nm5s 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akulinde baba na anakupenda sana

  • @HasaniShija-ye5xg
    @HasaniShija-ye5xg หลายเดือนก่อน

    Pole kwahuyo jamaa kwakukwatwa namapanga pole kwaote waliopoteza Ndugu zao kutokana nahilo tukio ,pia pongezi kwamakonda kwamoyo alionao mungu azidi kumpa maisha malefu yenye baraka ,baviongozi wengine waige mfano huo

  • @user-hu7yc6qf8t
    @user-hu7yc6qf8t หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuweke makonda

  • @user-ef7pn5wt7g
    @user-ef7pn5wt7g หลายเดือนก่อน

    Niliwaaambiaa watu Tanzania inapendwa na Mungu...Asante mama Samia kumuona kijana huyu ...Paul Makonda kumleta Tena Kwa wananchi wote ili awasaidie...Mungu akulinde makonda

  • @Happy-rm7gs
    @Happy-rm7gs 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubaliki sana makonda wewe nimutu mwema sana❤

  • @juniormwaboza
    @juniormwaboza หลายเดือนก่อน

    daaaaah! kakangu pole sana kila jambo lina mwisho, mungu anakupenda Ssna, paul makonda akuzidishie ujasiri na hekima sana

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 หลายเดือนก่อน

    Daaaha pole sana bro😞😞😞😞😞😞Makonda fukuza Viongozi wachafu ❤❤❤❤❤❤

  • @triphoniafaraay4499
    @triphoniafaraay4499 หลายเดือนก่อน

    Mh Makonda hongera sana unafuata nyayo za Baba yetu Magu, Mungu akutunze kwaajili ya Watanzania

  • @samirshabani-yu4xu
    @samirshabani-yu4xu 5 หลายเดือนก่อน +5

    Mewenyezimungu atakujalia

  • @MarryKamage
    @MarryKamage 10 วันที่ผ่านมา

    Samia baada ya kustaafu kijiti chako mpe makonda ataingoza nchi vzr sana

  • @awetumtengera1147
    @awetumtengera1147 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani nimejikuta machozi tu yananitoka. Nyie viongozi ambao hamtendi haki kwa wananchi wetu hayo machozi wanayolia hakika siku moja yatalipwa.Muogopeni Mungu.

  • @StewartUkason
    @StewartUkason 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanini mambo haya yanaendelea kufanyika katika maisha ya watanzania hawa!? Mh. Makonda una kazi ngumu sana. Mungu akutunze, na maadui zako wapeperushwe.

  • @akbarsuleimanmdimilage8371
    @akbarsuleimanmdimilage8371 4 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana makonda kazi yako ni changamoto

    • @RamaZuberi
      @RamaZuberi 4 หลายเดือนก่อน

      Na kubwa mmmmno ila mungu atamlipa hapa duniani na kesho ila mungu mpe umri mlefu makonda na waziri mkuu maana mama wanamdharau sana live bila kificho Allah ilinde nchi yangu 🤲

  • @user-ey5mv1yz3s
    @user-ey5mv1yz3s หลายเดือนก่อน

    Tz nchi yangu 😢, duh rushwa imezidi kiwango jamani wanyonge hatuna haki ndani ya Taifa letu

  • @raymondzachariah-xr4ys
    @raymondzachariah-xr4ys หลายเดือนก่อน

    Mungu mwaminifu sana naona kama Magufuli amezaliwa upya kupitia kwako Makonda Mungu akutunze Akulinde ni hazina ya kesho wewe

  • @user-dn3sn2fk9v
    @user-dn3sn2fk9v 2 หลายเดือนก่อน

    Nimelia jmn😭😭😭😭😭Mungu itunze Tanzania na utujalie viongozi wazuri Makonda MUNGU akutunze uwe na Moyo uwo uwo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MgendelwaDorice
    @MgendelwaDorice หลายเดือนก่อน +1

    Makonda piga kazi ipo na mikoa mingine tunahangaika hivyo ila tungepata viongozi kama wewe tungefurahi sana.

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka natamani ugombee uraisi una weza ❤ ni vile bac

  • @user-fx4pr4vp8p
    @user-fx4pr4vp8p 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli mchoz umenitoka makonda uwe na moyo huohuo mungu akubariki kwa msaada wako happy ndo utajua limkulugenzi limesimama hapo hata Hof halina

  • @pearlMoson
    @pearlMoson หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze akupe afy njema maisha marefu kizaz chako kiepushwe na mabaya yote Mimi ni mwananchi wako tu naitwa mama irene wa mto wa mbu ninamuomba mungu akuzingire kila utakapo kwenda

  • @julimwai1456
    @julimwai1456 หลายเดือนก่อน

    Mmh pole muheshimiwa, kazi yako ni ngumu sana ila naamini Mungu ndie aliekupa hiyo kazi

  • @DanielMhamaka-el1do
    @DanielMhamaka-el1do 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka mako kaacha posho ila hicho kimbunga kwa watendaji hao wabovu hizo zitawatokea puani BIG UP KAKA MAKO

  • @BrunoMakweta-dm5sb
    @BrunoMakweta-dm5sb 5 หลายเดือนก่อน +1

    Daa mama huyu makonda mngu kakuonesha mngu akuongoze kupata watu kama makonda tunaomba na ali hapy alikua anatusaidia sana wananch alud kwenye systime

  • @user-dt1kf4nj6o
    @user-dt1kf4nj6o 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwezi mungu akulinde, na mw, mungu amjaalie raisi Samia akusaidie, hata Mimi ninalia kwa matukio kama hayo ya kinyama , dah pole sana

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 หลายเดือนก่อน

    Yaani watanzania roho mbaya kuua kupiga mapanga panya rodi mmh tunaenda wapi hebu tubadilikeni jamani it’s sad 😢😢😢😢😢😢😢

  • @LadouceIranyibutsa
    @LadouceIranyibutsa หลายเดือนก่อน

    Ongera BaBa mimi nimwanaichi waburundi naomba usichoke

  • @halimamtamila8181
    @halimamtamila8181 5 หลายเดือนก่อน

    Daah ahsante Mungu Kwa kutuletea hii dhahabu Mungu akutuze Paul makonda

  • @riazshaikh8577
    @riazshaikh8577 18 วันที่ผ่านมา

    Alooo nimelia sana, kweli watanzania tunafanyiana hivi dah, makonda wafukuze kazi jeshi lote la polisi hawafai kabisa yani mtu..... dah

  • @christophermazigwa8480
    @christophermazigwa8480 2 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Makonda Mungu aendelee kukulinda na uendelee na moyo huo huo Amina

  • @JeyJey-y8t
    @JeyJey-y8t 29 วันที่ผ่านมา

    Mungu kujalie makonda akuna mkuu wamkoa tanzania mdano wamakonda mungu akuweke itokee sikumoja ukahamuriwa na raisi ujetanga tanga kumeoza tanga nishida sinalakusema mungu akusimamie

  • @user-ee5ph1tm9n
    @user-ee5ph1tm9n 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana kaka yangu mungu yupo

  • @user-nb5hw4wj1y
    @user-nb5hw4wj1y 5 หลายเดือนก่อน +1

    Makondo mungu yupoo atakusimamia tu mungu akupe ulaisi tu

  • @FrancisJoseph-i2k
    @FrancisJoseph-i2k หลายเดือนก่อน

    Makonda mungu akubariki sana

  • @user-es5hj7dj5i
    @user-es5hj7dj5i 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uliwahi ona au kusikia wapi simba muua nyumbu halafu eti anatoa mchozi!!

  • @mwaminijeremia2855
    @mwaminijeremia2855 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli makonda mung akubariki sana

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 5 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda unafanya kazi nzuri, Fanya hivyo hivyo mungu akubariki Tanzania itumikie Tanzania ni watu Piga kazi Muwakilishe mama samia

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe Mhe.Makonda

  • @ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl
    @ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Baba makonda Mungu akubaliki

  • @Bakari_motors7
    @Bakari_motors7 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda is alive for real reasons dah Mungu ampe uhai

  • @delickmarco3945
    @delickmarco3945 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nimelia sana mungu bariki sana viongozi wanao jua wajibu wao

  • @user-mr3fn1hc2y
    @user-mr3fn1hc2y หลายเดือนก่อน

    Barikiwa Sana Mahali upo Makonda

  • @UstadhiRai
    @UstadhiRai 28 วันที่ผ่านมา

    Saidiya watu wako baba😢😢 tunalia kenya 🇰🇪

  • @user-sq1mh5np8v
    @user-sq1mh5np8v หลายเดือนก่อน

    makonda tunakuomba ukawe rais wa awamu ijayo tunakuombea tu mwenyez mungu awe pamoja nawe pamoja na viongozi wote mungu awabariki samia tunakupenda sana

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 5 หลายเดือนก่อน +1

    Daah tanzania sio mchezo,wasiojulikana ni wahuni sana.

  • @mgonasipapune1383
    @mgonasipapune1383 5 หลายเดือนก่อน

    Siku zote huwa nasema kwamba Uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu. Na yeyote mwenye karama hiyo huyaona yale ambayo wengine hawayaoni. Mungu akulinde Katibu mwenezi wa chama cha CCM Paul Makonda.

  • @mapendomeela7166
    @mapendomeela7166 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda mungu aliye juu akulinde utakuwa raisi ukitenda haki mungu yu nawe daima

  • @aidaharuna5549
    @aidaharuna5549 หลายเดือนก่อน

    Mungu atawahukumu sana mbinguni awato muona Mungu hii nchi itatumaliza sana

  • @nawafalbusaidi9354
    @nawafalbusaidi9354 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda mwenyezi mungu akupe umri mrefu akulinde na kila mwenye kutaka kufanya ubaya ashindwe

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika tumelia wengi MUNGU akutunze baba

  • @user-ik8cf1kd4i
    @user-ik8cf1kd4i 5 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda mungu akubariki sn sn

  • @AlexisAjwantos
    @AlexisAjwantos 3 หลายเดือนก่อน

    Yana umiza aksanti makonda hutakufa bb Mungu akulinde mi ni mcongo tunapitia hayo naipenda kzi yako naipenda tz

  • @user-st6lo6if2l
    @user-st6lo6if2l หลายเดือนก่อน

    Waajili wanalia na hawana haki mbele ya waajiiwa wao, pole nchi yang.

  • @user-zw6xz3lq1x
    @user-zw6xz3lq1x 5 หลายเดือนก่อน

    Nyayo za Hayati makufuli zinaonekana kufuatwa kwa mheshimiwa wetu.Mungu akusimamie kila hatua

  • @georgemallya4311
    @georgemallya4311 5 หลายเดือนก่อน

    Asante makonda.wewe ni kiongozi chapa kazi

  • @selemanirashid8735
    @selemanirashid8735 หลายเดือนก่อน

    Dah inauma Sana .....Hadi machozi yamenitoka..

  • @user-gc3ro1fl6g
    @user-gc3ro1fl6g หลายเดือนก่อน

    Ohh my God very painful makoda may God protect u 🙏 may God bless you

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 5 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda wakati yanampata haya samia alikuwepo uongozi wa kuua mtu ndipo utawale ndiyo hayowatanzania wamekuwa wakatili sana hasa viongozi wake samia

  • @NdiheSigaro
    @NdiheSigaro หลายเดือนก่อน

    Makonda mngu akubaliki sana wema wako ni mkuuu

  • @masyaganyerere4493
    @masyaganyerere4493 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi ni zaidi ya maumivu yaan tupo kwenye nchi yetu kama watumwa.
    Ndo maana mwenda zake alikuwa akichukua maamzi ya kutumbua on the spot, kwasababu hakuna binadam wa kawaida anaewezakuvumilia haya

  • @user-qq5yp1zm4f
    @user-qq5yp1zm4f 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe maisha malefu makonda

  • @user-qd2bz1ik8g
    @user-qd2bz1ik8g หลายเดือนก่อน

    Walah nimejikuta naliya daah emungu sisi ni watanzani tunaroho mbaya hiv tunafukuriya ni saudy tu kumbe na tz tunasema nje ya aman kumbe ni bure

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk หลายเดือนก่อน

    Mapanga 19 kichwani nchi Tanzania yenye Amani... Na Uhuru.. Japan and hats apewe billion haina lolote mbele ya uhai

  • @mariapius4568
    @mariapius4568 3 หลายเดือนก่อน

    Ila makonda jmn tunakuombea maisha marefu kwa MUNGU hakika nyayo za Uncle tunaziona😢😢😢😢

  • @user-gj7qk8hk2q
    @user-gj7qk8hk2q 4 หลายเดือนก่อน

    hii video imenitoa machozi sana watu wanateseka makonda yawezekana uteuliwa na mungu kwa ajili ya wanyonge wa nchi hii pambana kwa ajili ya taifa la wanyonge

  • @user-rw6cj8jy8m
    @user-rw6cj8jy8m 4 หลายเดือนก่อน

    Makonda jamani Mungu akubariki sana miye siko mutanzania lakini unanifurahisha ohhhhhh Makonda muzulisana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Mungu akupe mbinguni

  • @magdalenapeter6416
    @magdalenapeter6416 หลายเดือนก่อน

    Jaman nimelia ety khaaa😭😭😭😭😭😭mungu simama na makonda

  • @salimamasanja4659
    @salimamasanja4659 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kaka ,mkuu makonda mungu akutunze

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 5 หลายเดือนก่อน +1

    New Magufuli...Mpendwa wetu Magufuli katangulia mbele za haki lakin Kuna mtu katuachia

  • @ndagijimanakibibi7381
    @ndagijimanakibibi7381 หลายเดือนก่อน

    Nakumbuka baba wetu wagufuli kweli makonda mungu akulinde