Hapo umesema sawa, kazi yangu ya kwanza mkataba ilivyoisha, nikamwambia MUNGU sasa mwenzi ujao sina zaka sasa fanya uwezavyo, siku tatu tuu Mungu akanipa kazi na nikapata zaka yakumpelekea MUNGU, kupitia masomo yako nilitamka na nikamwamrisha na akafanya.
Bwana asifiwe mchungaji nimekuwa nikifwatilia mahubiri kwa karibu na kwa kweli nimebarikiwa.Nina swali personal mtu akihitaji kuwasiliana kwenye wtsapp atakufikia vipi?
Kiukweli mimi tangu nianze kufuatilia mahubiri yako nabarikiwa sana niko nchini Zambia
Bwana alibariki neno lake na azidi kutukuzwa ndani yetu
Sijawahi kutoka bure mahubiri tv… mbarikiwe sana team nzima ya mahubiri tv mnatubariki sana..
Hapo umesema sawa, kazi yangu ya kwanza mkataba ilivyoisha, nikamwambia MUNGU sasa mwenzi ujao sina zaka sasa fanya uwezavyo, siku tatu tuu Mungu akanipa kazi na nikapata zaka yakumpelekea MUNGU, kupitia masomo yako nilitamka na nikamwamrisha na akafanya.
Mungu ni mwema Mchungaji nanina barikia sana ,kila siku napiga hatua.ubarikiwe
Barikiwa na BWANA MUNGU wangu
Nataka nibarikiwe Ili nimtumkie Mungu
Amen bwana akubariki mtumshi
Barikiwa kwa mafundisho mazuri
Nimebalikiwa sna
Amina Mungu akubariki pastor
Ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU
Hapondiposa Sasa 🙏
Amina barikiw pr
Mungu akubarki sna mchungaji umesaidia Sana kutoka nianzie kufuatilia mahubiri tv
Pr.Barikiwa sana
Mungu akubariki pr
Nabarikiwa na mafundisho yako mchungaji
Amina🙏🤗
Mtumishi ubalikiwe amen 🙏tukio la kuvuka bahari ya shamu
Nabarikiwa saana na mafundisho Yako mtumishi wa Mungu be blessed too
Kila ninaposikiliza mahubiri napona moyo Nami nakuomba mchungaji kwa imani namweka ktk maombi mama yangu ni mzee ila anahitaji uponyaji wa mwili wote
Ninabarikiwa Sana mungu na awabariki
Aminaa pr barikiwa sana🙏🙏🙏🙏
Jamaa alisemaje eti pastor 😂😂 ,asante kwa kunilisha neno na kunifanya nicheke pia
Amina
Somo zuri sana sana Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Barikiwa Mtumishi wa Mungu unanibariki sana🙏
Ameen..🙏
Nanatikiwa San pastor mbaya na mahubiri yako kiukweli naona mabariliko
Amen
Aminaa
Amen
PR mmbaga mungu akutunze mungu akulinde nakuelewa sana
Tumbo lilokuzaa libarikiwe
Mahubiri yenu mazuri nayapenda
Habari za Leo ndugu? Je, umeishampokea Kristo kuwa mwokozi wa maisha Yako?
Nimeokoka mimi
Naomba link yako ile vitabu
Bwana asifiwe mchungaji nimekuwa nikifwatilia mahubiri kwa karibu na kwa kweli nimebarikiwa.Nina swali personal mtu akihitaji kuwasiliana kwenye wtsapp atakufikia vipi?
Amen