Hongera sana, ila nakuomba usiwe unaweka sauti ya video umeondia uhondo, ibaki sauti yako tu, ina faaa sana,sana,Unafaa kuwa mwinjilisti Yesu Kristo mnazaleti siku moja ndugu yangu tumeonekana Mungu mkuu, ubarikiwe
Na-enjoy story za kivita watu wanavyotumia akili km vile nayaona mapambano kumbe simulizi hii ni zaidi ya ile yakutafsiriwa sipati picha nikiona movie yake,fasihi simulizi raha hongereni walimu wa lugha kwa mtaalamu huyu wa simulizi big up brother
Globle TV nawapenda sana vile mna present history, mara nyingi hua natumia presentations zenu gym na muda ninao set ku work out una run faster. Presenter wenu yuko poa sana. Great job guys. Love you❤️❤️
Makala nzuri tangazeni bei ya kitabu. Wengi tunapenda mambo kama haya Sema Language barrier ndio tatizo. Tuwekeeni kwa lugha yetu kiswahili ili tupate kujua mengi
Mungu amueke Lt Col Jonathan Netanyahu kama zawadi ya Ushuja wa kuthubutu kuongoza operation ya Hatari lakini yenye madhumuni ya kuokoa maisha ya RAIA Milele na Milele ingefaa awe mfano wa ushujaa kwa Askari Jeshi wote kwa ujumla na hasa kwa Amri Jeshi miongoni mwa wengine
thank you for the in-depth documentary. Please note that Bruce MaCkenzie did not die of car bomb but the Ugandans planted a bomb in his airplane hidden in a gift
Kwa kipindi hiki sio rahisi kufanikiwa kwa misingi ya kazi za technology ya mawasiliano ya anga. ikumbukwe makomandoo wa kiyahudi walisafiri kwandege kupitia anga za za Egypt kwa level ya chini kwa lengo la kutoonekana kwa kunaswa na rada za Egypt. Pia walijiongoja usiku sasa utaona kwa kiufupi walifanikiwa kwa misingi hio kupita anga za Adui zao bila kunaswa.Pia tusisahau wayahudi walikuwa na ramani ya uwanja wa ndege wa Uganda kwani ni wao ndio walioujenga huo uwanja. Lamwisho kutoka kanda za juu ya mto Nile mpaka Uganda aiport kulikuwa hakuna vinasa anga wakati huo.
Wakati hizo teknolojia zinabadirika, majeshi imara nayo yanabadirika according. Angalia kinacho endelea vita ya Russia na Ukraine, Warusi wanazidanganya rada za Marekani so ndio hivo
@@shabanimbandu5616 kwahiyo Waafrika wakiteka au kushirikiana na wahuni watekaji, waungwe mkono tu kwa vile eti ni Waafrika? Yaani wew ulitaka wale wayahudi watekwe siyo?
Hongera sana, ila nakuomba usiwe unaweka sauti ya video umeondia uhondo, ibaki sauti yako tu, ina faaa sana,sana,Unafaa kuwa mwinjilisti Yesu Kristo mnazaleti siku moja ndugu yangu tumeonekana Mungu mkuu, ubarikiwe
Mwinjilisti tena duh 🤣🤣🤣🤣🤣
ANAFAA KUWA MWINJILISTI,ISAY HII INANIGUSA SANA,KIUKWELI ANAFAA SAUTI NZURI
Uopo sawa
@@nasibugunda7927 irisk. Move oriudie
اغ
Asante hayati mzee Kenyatta kwa usaidizi ulioutoa kuwasaidia hawa waisraeli.
Navuta picha mabaharia tunavyo enjoy mambo ya kivita. Gonga LIKE hapa.
Thom Segere qmmke namuon rambo kbsa
Mliokuwa mnasubilia opereshen entebe 2,,,,show love
❤❤❤❤❤
Nimeotea mda ... Tunaenjoy mpaka mwisho ... Hakika mpangilio upo sahihi ... Big up sana ...
TUNAOJUA KIBOKO WA IDD AMIN NI JULIUS KAMBARAGE NYERERE GONGA LIKE APO TWENDE SAWA
Zvo
Wbmk
A
@@samwerylevocatusi2624 6
Inanifurahisha sana. Na tunasubiri kitabu. Hongera sana Israeli
Kitabu kipo tangia miaka hiyo ya 1976 kinaitwa 90 minutes of Entebbe
Hio Filamu ninayo mzee Salute,
Wakati napata masumulizi nilikuwa najufatilia kwa makini sana humeisimulia kama hilivyo muzee.
Nitumie hiyo bro
Hongera sana shujaa Idd Amini
Kipenzi cha waganda uliyepigwa vita na mataifa ya Magharibi na mataifa kadhaa ya Afrika mashariki.
Na-enjoy story za kivita watu wanavyotumia akili km vile nayaona mapambano kumbe simulizi hii ni zaidi ya ile yakutafsiriwa sipati picha nikiona movie yake,fasihi simulizi raha hongereni walimu wa lugha kwa mtaalamu huyu wa simulizi big up brother
Usijaribu muchezo kwa kazi ya Mungu.
Asante sana kwa historia hii na tuna taragia kupata thaidi
Daaahhhh Mwanang Unajua sana Kusimulia.Yaan Story Haiish Hamu.
Thanks for your documentally let us to learn more about dictatorship
ananias ediga sauti nzuri na maaelezo shuari kabisa asanti kwa kazi nzuri unayo fanya
Mzee Ananias,nakupenda sana mpaka kichwa kuniuma.yaana sauti yako ninapoiskia ina uhondo wa aina yake.hongera sana bro upo sahihi
Ahsante sana,nasubiri kwa hamu kubwa juu ya kama kulikuwa na uhusiano wowote kati ya operation entebe na vita vya kagera...nasubiri kwa hamu kubwa..
"Ananias Edgar"
"Mtiga Abdallah"
Wanyama saana hawa jamaa🙌🙌
Marekan ndo waisrael
ambao hawajui nyuma ya panzia kulikoni 😢😢
nakubar jamaa yangu
Sauti nayo ulibarikiwa...
Love from Kenya
Napenda Sana usimulizi wako ambao unaashiria tukio baada ya Jingine Kwa ufasaha na utaratibu.Nimependa Sana simulizi zako...
Naijoy sana historia zenu sana tena sana unajua kuielezea mkuu umebarikiwa sana na Mungu hongera
Akiri Mutu wangu
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮ASANTE SANA BROTHER ENDEREYNE KUTUPA BRUDANI THANK YOU MY KING
Pamoja sana mr. Jana nmecheki 7 days in entebbe imeeleza kiasi ila haikufika panapotakiwa
asante sana bro kutuletea hii sehemu ya pili,wakati huyo mm nilikuwa kidogo nilikuwa nafatilizia hizi habari RTD mpaka mwisho wa uwokohadi.
Hongera sana luteni Nayanyu Jonathan , operation hihi is very suxcufull is agood
We jamaa ni the best narrator.
Aise Shukrani sana kwa makala nzuri na tena yenye kuelimisha. Nafurahia sana kusikiliza vitu kama hivi kwenye you tube!
Nasubir sana kilichopo nyuma ya Pazia kati ya vita ya Kagera na operation Entebbe
Nlikua naisikiliza kwanza big up Ananias edger
🙏God will never again allow his people to be decimated.Long live Israel🙏
mzee bb uko vizur, nimeimanya kinoma
Safi sana, operation "Kitona" mayo inawezakua interesting kwa wale ambao hawaja wai kuisoma.
Tunashukuru sana wakuu. Kazi zenu nazipenda na kuzihusudu sana.
Tuletee historia ya vita ya kagera tunaisubiri sana brother
Nyerere alikua kibaraka tu. waliungana na jeshi la Africa nzima ndio waliweza kumpiga Amin. Walivuruga mambo
Achaa chuki binafsi
Nyerere ndio alivuka mpka wa Uganda?? Kuna watu kazi kuropoka tu, unajuaa cause ya vita ni ipi?
R.I.P. Lt Yonnathan Netanyau
Big up commando
Globle TV nawapenda sana vile mna present history, mara nyingi hua natumia presentations zenu gym na muda ninao set ku work out una run faster. Presenter wenu yuko poa sana. Great job guys. Love you❤️❤️
Umechemsha siyo kweli mimi nilikuwepo uganda kwenye kampuni ya oversers Transipot Coporation
hongera sana sana kwa uelezaji wa simulizi,you're the best !!!!
Broh unajua sana, yani sisi watu wa histori unatupatia sana
Makala nzuri tangazeni bei ya kitabu. Wengi tunapenda mambo kama haya Sema Language barrier ndio tatizo. Tuwekeeni kwa lugha yetu kiswahili ili tupate kujua mengi
Respect xaana bro, nakukubaliii
Nilichelewa kidogo kuidaka,ila sio mbaya big a up bro ananius,...
Asante kwa elimu hii
Asanten kwa muendelezo mzuri, ila mnachelewa sana mka tunasahau.
Nimefurahia Sana story hii.Mungu alibariki taifa lake takatifu Isreal.
God is good
Congratulations Ananias edger
Wangapi wameinjoy hii party two mgonge like hapa
Hongera sana kwa. Simulizi zote mbiliw
this guy needs a media award....ama namna gani?
Yaap
Hongera Sana mhariri sauti imepangaliwa
Hongera kwa sauti nzur
Mungu yuleyule muumba hatapepesa Wala kusinzia ataokoa walio wake kwa umaarufu wa kisanii
Pongezi Ananias,kweli Una kipaji na sauti nzuri ya kupendeza.Naweza kukusikiza siku nzima Bila ya kuchoka.Nairobi Kenya 254
Mungu amueke Lt Col Jonathan Netanyahu kama zawadi ya Ushuja wa kuthubutu kuongoza operation ya Hatari lakini yenye madhumuni ya kuokoa maisha ya RAIA
Milele na Milele ingefaa awe mfano wa ushujaa kwa Askari Jeshi wote kwa ujumla na hasa kwa Amri Jeshi miongoni mwa wengine
Sawa
Rip Jonathan Ntanyahu, you died a hero.
Asante kwa historiya nzuri ya entebbe oparetion
Dahaaa...simulizi Nzuri sana kaka...hongera!!
Nasikiliza uku nikitabasau stori nzuri sana
Niliisubiri kwa hamu...Asante bro
asante kwa mwendelezo 👍👍
thank you for the in-depth documentary. Please note that Bruce MaCkenzie did not die of car bomb but the Ugandans planted a bomb in his airplane hidden in a gift
Ubarikiwe sana nimejifuza kitu
Yonathan netanyahu utabaki kuwa shujaaa ❤️❤️❤️❤️
Ushujaa gani??....he is dead......and thatx all
Kwa kipindi hiki sio rahisi kufanikiwa kwa misingi ya kazi za technology ya mawasiliano ya anga. ikumbukwe makomandoo wa kiyahudi walisafiri kwandege kupitia anga za za Egypt kwa level ya chini kwa lengo la kutoonekana kwa kunaswa na rada za Egypt. Pia walijiongoja usiku sasa utaona kwa kiufupi walifanikiwa kwa misingi hio kupita anga za Adui zao bila kunaswa.Pia tusisahau wayahudi walikuwa na ramani ya uwanja wa ndege wa Uganda kwani ni wao ndio walioujenga huo uwanja. Lamwisho kutoka kanda za juu ya mto Nile mpaka Uganda aiport kulikuwa hakuna vinasa anga wakati huo.
Wakati hizo teknolojia zinabadirika, majeshi imara nayo yanabadirika according. Angalia kinacho endelea vita ya Russia na Ukraine, Warusi wanazidanganya rada za Marekani so ndio hivo
❤
Hata Sasa wangefanikiwa kwa mfumo wa kisasa. Achana mtu anaitwa muisrael❤🎉🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱💕💕💕
@@fadhililihinda6491Absolutely yes 💯
Safi sana hii stor
Fascinating story
Ubarikiwe na Mingu
shukran Abib
Ambae hajaiona hyo movie atafte inaitwa 7days in Entebe
asante sana naidownload sasa hivi
Asante
Sio 7 days in Entebbe, ni 90 minutes at Entebbe
Nitaisakaa,,maana napenda movies kama hiz
Tupatie hiyo ya vita ya kagera! Upo vzr sana bro
Congratulations my friend you have a good story and nice voice
Good
Ananias Edger unanifaa sana kwa matumiz sahihi ya MB zangu.
Ahsaaaaante saaaaaana niliingoja saaaaaana man ananias respect
Idd Amin loved his people so much. He was going to take Uganda very far but unfortunately there’s always hypocrites
Historia mufti sana kwa karne hii
Amazing story big up
Kazi safi sana. Twaweza pata ya The 6-day war
Isreal ni Taifa teule la mungu ....haiwezekan kushindwa ....Amini hakusoma historia ya israel
Idd amini alikuwa mpubavu sana, Israel ni taifa teule la MUNGU aliye hai.❤️❤️❤️❤️❤️
Jamaa yuko vizuri
Pia Ahsante kwa tafsiri ya operation hii
Inanikuna sana mambo zangu hizo
Kazi safi kiroho safi,,!
Very nice
Hongela sana
Safi sana unajua kaka.
R.I.P Commandor Yonathan Netenyau....
Acha ujinga, badala ujisikie vibaya Waafrika kufa unamuadia mzungu
@@shabanimbandu5616 ao pia ndio walikuja kushambulia tanzania ndo wasifiwe au
@@shabanimbandu5616 kwahiyo Waafrika wakiteka au kushirikiana na wahuni watekaji, waungwe mkono tu kwa vile eti ni Waafrika? Yaani wew ulitaka wale wayahudi watekwe siyo?
@ shaban mbandu wewe ni mjinga sana. Kwani wazungu sio watu. Waafrika wafanye uovu ila tuwapongeze tu..shenzi sana😒😏😏
Asante sana mmejitahidi sana
waiting
Asante nimekuelewa vizuri
Very emotional story
Dah inasisimua ... tuletee na story ya mv bukoba
Rest In Peace Israel Hero Jonathan "Yoni" Netanyahu
Upo viziri sana
good work bro,I sincerely love your job, continue.
Good better best voice
Well done brother, Truly Israel G.O.A.T.
Broo uko vzr sanaaa
Da! Noma Sana kweli makomandoo