Historia ya ISRAEL na PALESTINE/ARDHI/MIZOZO NA VITA KALI (WAYAHUDI NA WAARABU) pigo la NABII MUSSA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น •

  • @mizingayaudongo1097
    @mizingayaudongo1097 ปีที่แล้ว +7

    Asante Sana kwa kutuelimisha,historia iliyopita !!

  • @graysonpastory1918
    @graysonpastory1918 ปีที่แล้ว +2

    Anza mbali zaid naona umeanza juzi tu hapa ,ukiamua kuleta historia leta ilivo jaa hii kiduchu sn bando wetu hawawez kuelewa vzr ,rudi kasome maandiko vizuri

    • @philipomeli1364
      @philipomeli1364 หลายเดือนก่อน

      @@graysonpastory1918 amejitahidi sana kuleta historia hii muhimu.

  • @denismasele4130
    @denismasele4130 ปีที่แล้ว +11

    Kuna watu wapo kwa ajili ya kukosoa lakin wao hakuna wanachofanya ili kuonyesha usahihi wao.

  • @FatmaMchambi
    @FatmaMchambi 15 วันที่ผ่านมา

    Ahsante unanifanya nafaulu mitihani yngu ya history shule

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz หลายเดือนก่อน

    Kilajambo nawakatiwake nawakatiwake kwakilakusudi kinachotupasa nikuomba kwawakati wake bwana atatenda mungu wetu nimwaminifu ❤❤❤❤❤YESU tazama israeli MUNGU wa israeli simama BABA

  • @DadjuStanley-lr6tn
    @DadjuStanley-lr6tn ปีที่แล้ว +1

    Asante

  • @YahyaKhamis-im1ss
    @YahyaKhamis-im1ss ปีที่แล้ว +2

    Mimi sina budi isipokua Israel wanawaonea palestin mungu atawalipa mimi namsapoti palestin

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante studio

  • @marysanga5310
    @marysanga5310 หลายเดือนก่อน +1

    wapalesti hapo sio pao isilaeli wameludi kwao . Mungu inaisadia isilaeli nawala haita fundika milele palesina ndio itaondoka nakupotea kabisa

  • @FiiFii-p1k
    @FiiFii-p1k ปีที่แล้ว

    Asante mzee

  • @selemanimtepa-eh7rs
    @selemanimtepa-eh7rs ปีที่แล้ว +1

    Huijui kaka kimya

  • @NuruDunianiFM-TV
    @NuruDunianiFM-TV ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana

  • @ArturZagaj-Izraelita
    @ArturZagaj-Izraelita 2 ปีที่แล้ว +6

    ⚠Ewangelia Łukasza, rozdz. 23:54 A był dzień Przygotowania i rozbłyskał gwiazdami odpoczynek. ... 56 ... a w odpoczynek ustały według przykazania.☝

  • @jacksonmathayo3859
    @jacksonmathayo3859 ปีที่แล้ว +4

    Historia Nzuri Lakini ni ya Hivi kalibuni Nahitaji kujua kabla ya Ibrahimu na baadae

  • @drprophetgidi
    @drprophetgidi ปีที่แล้ว +3

    Naomba undele na mungu
    Akujalie

  • @ambokilegwakisa3526
    @ambokilegwakisa3526 ปีที่แล้ว +4

    Waarabu ni watoto wa bi mdogo aliyezaliwa kwa hajili ambaye ni isumaeli na WA Israel ni watoto wa bi mkubwa kwa Sara aliyemzaa isaka na isaka kumzaa yakobo ambaye badae alibadilishwa jina na Mungu kuitwa Israel,hivyo urithi ni wa mtoto wa bi mkubwa

    • @brunoh_bx77
      @brunoh_bx77 11 หลายเดือนก่อน

      Urithi wa wap sasa, maan huyo Ishmael alienda mbali huko ambako kwa sasa kunaitwa Saudi Arabia na Israel hawajawah kuwa na ugomvi na waarabu, hao wapalestina katika Biblia ni wafilisti ambao walishakuwa na ugomvi toka zamani. Unatakiwa ufuatilie vizuri historia. Wapelestina sio waarabu na wala haawana uhusiano wowote na huyo mtoto wa bi mdogo Ishmael

  • @bernardhaule2753
    @bernardhaule2753 ปีที่แล้ว +2

    Tutoe hoja na ushahidi wa maandiko vinginevyo tutakuwa tunapiga soga tu zisizo na mashiko.

  • @sadickcheyo2324
    @sadickcheyo2324 ปีที่แล้ว +2

    Ubarkiwe maama sokazi ndogo kufafanua ivi😮😮

  • @gabrielkabato9909
    @gabrielkabato9909 11 หลายเดือนก่อน +4

    Tukubali tu kuwa waarabu na uislamu wao akili hawana 😂

    • @totodavis1949
      @totodavis1949 10 วันที่ผ่านมา

      @@gabrielkabato9909 true

  • @OmbeniMgasa-dk7yq
    @OmbeniMgasa-dk7yq 29 วันที่ผ่านมา

    Watajijua
    Hata sisi tuna ya kwetu.

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 ปีที่แล้ว +1

    Yuko wapi msimuliaji wa mwanzo?

  • @marysanga5310
    @marysanga5310 หลายเดือนก่อน

    haukusoma vitabu wayaudi watarudi tena kwenye ichi yao babayao ibrahimu

  • @AnnwairimuPaul-gc9kv
    @AnnwairimuPaul-gc9kv ปีที่แล้ว

    Tueleze, tofuti ya Gaza na West Bank, ambayo inamilikiwa na wapalinian na hawana fujo,je Hana's na utawala wa occupation westbank Wana malengo tafauti, from kenya

  • @CivilEngineeringWorks-d7b
    @CivilEngineeringWorks-d7b ปีที่แล้ว

    Eneo la Israel ya Zamani
    Iraq, Jordan ,Syria, Lebanon
    Kisha Mungu akamwambia Abraham ondoka katika nchi ya baba yako uende nchi ntakayo kupa Kutoka Iraq kwenda Kanani ambayo ni eneo lilokuwa lina wavamizi wa kifilist Baba yake Abrahamu ni Tera
    Uzao wa Uislam ulitoka kwa Ismael mjukuu wa Shem tambua Watoto wa Nuhu Ham waafrika Japheth Wazungu Shem Wayahudi na waislamu hao ni ndugu

    • @CivilEngineeringWorks-d7b
      @CivilEngineeringWorks-d7b ปีที่แล้ว

      Kila Mwarabu akipigana na Israel anawapa hasara nafaida kwake anaongeza Ardhi anajipanua ,😂😂😂Skills kubwa

  • @sekiondowarema1786
    @sekiondowarema1786 ปีที่แล้ว

    Story nzuri sana ila unaiaribu kwa kufuata mfumo wa hadithi za wakandamizaji, Nani alikuambia Adolfu alikuwa DIKTETA!!??

  • @ramajuma4063
    @ramajuma4063 ปีที่แล้ว +2

    Hao walisaidiwa ni engereza na waamerika ndio waonekane wako powerful mbona juzi tu walipigwa ni watoto na wengine wakatekwa iron dom haikua ama musad haikua wakati wanapangiwa kulipuliwa

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee ปีที่แล้ว

      Kun MAMBO MENGI SANA YA KIINTEJENSIA USIO YAJUA. ILA TU CHA KUKUSAIDIA NI KWAMBA IRON DOME ILIZIDIWA NA KAMA ISINGEKUWA EFFECTIVE MADHARA YANGEKUWA MAKUBWA MARA 5 YA YALIO TOKEA. Iron Dome battery (system) inakuwa na Launchers 3-4 na kila launcher ina uwezo wa kulaunch missiles(Interceptors) 20 missiles per launcher kabla ya kuwekwa launch nyingine. so kama rocket zinazo rushwa zitakuwa nying kuliko uwezo wa launchers za iron dome maana yake ni kwamba iron dome system itazidiwa na hicho ndo kilichotokea. pia Iron dome ipo maaneo ya kimkakati tu ya israel ani maeneo muhimu na maeneo yenye makazi mengi ya watu(dense populated area) sio kila sehemu

    • @josephmasenga3517
      @josephmasenga3517 ปีที่แล้ว

      Kaka usipoteze muda kujadiliana na wafuasi wa mtu fulani. Ili waelewe lazima wapigwe vizuri. Vinginevyo wataendelea kusumbua. Wao Mungu wao ni wakuua makafiri. Kwao Hamas wanaendesha vita takatifu ya Jihadi. Mtu wa mentality hii kukuelewa kwa maneno ni ngumu. Dawa ni kungongwa ili tuone mungu wao wa jihad ana nguvu kiasi gani kuliko Mungu wa upendo.

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 11 หลายเดือนก่อน

    Israel ilitakiwa iwe excempted katika sheria za umoja wa mataifa, na iwe na haki maalum maana yenyewe imeahidiwa ardhi na Mungu lakini katika maeneo ambayo tayari ni ardhi ya/za nchi nyingine (nchi ya ahadi)

  • @abelmoturi52
    @abelmoturi52 หลายเดือนก่อน

    Start from history ya 70 AD destroyed of Jerusalem by Rome empire or from the time of Adam

  • @waynecarlos5804
    @waynecarlos5804 ปีที่แล้ว +1

    Makosa uisilamu hujaanza Israel umeanzia meka

  • @abdallaally1354
    @abdallaally1354 2 ปีที่แล้ว +6

    Historia nzuri, lakini brother Lugha ya Kiswahili inakupiga chenga, Parestina, Tolati (kwa mfano tu) unalitia aibu Taifa

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee ปีที่แล้ว +3

      HAKUN TAIFA LINALO TIWA AIBU. Hiyo ni effect ya lugha mama mtu yoyote muelewa anajua hiloo. kuna baaadhi ya makabila wana hiyo changamoto ya R na L

  • @zaynabkarama178
    @zaynabkarama178 8 หลายเดือนก่อน

    Tofauti ya ra na la mtangazaji Palestine na sio Palestine naniraq sio ilaq

  • @isaackdeo
    @isaackdeo 3 หลายเดือนก่อน

    2024/8/16

  • @ViolethErasto
    @ViolethErasto ปีที่แล้ว

    HISTORIA ya ISRAEL IS TO COMPLEX

  • @AkyekamaMwenebatu
    @AkyekamaMwenebatu หลายเดือนก่อน

    Mimi nahunga Israël lkono

  • @mugongunda
    @mugongunda ปีที่แล้ว +1

    Hawa wa Palestinians walitoka wapii?

  • @Jabaman207-ue6sk
    @Jabaman207-ue6sk 10 หลายเดือนก่อน

    isràil wakudinye

  • @kassimluqman9255
    @kassimluqman9255 2 ปีที่แล้ว +2

    sijuwi ulisema wapi historia iyi?

    • @kassimluqman9255
      @kassimluqman9255 2 ปีที่แล้ว

      Quran sio kitabu cha Muhammad (SWALALLAHU ALAIHI WASALAM )nicheke Allah

    • @AnaniasEdgarTV
      @AnaniasEdgarTV  2 ปีที่แล้ว +3

      Quran kimeletwa Allah kupitia Muhammad

    • @reubensimon3556
      @reubensimon3556 2 ปีที่แล้ว +1

      historia nzuri sana

  • @ramajuma4063
    @ramajuma4063 ปีที่แล้ว +6

    Ibrahim kwanza hakua muiziraeli Hawa ni waesraeli wa mchongo tu

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 ปีที่แล้ว +2

      Ibrahim (a.s) hakuwa muizraeli bali alikua mkurdishi ametokea Syria. Usimpachike uizrael. Uliza history kwa wanaojua.

    • @josephlango5591
      @josephlango5591 ปีที่แล้ว +4

      Chanzo cha neno Israel ni Yakobo mjukuu wa Ibrahim.

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 ปีที่แล้ว +1

      We chizi mkosa akili hujui kitu ngoja tukupe shule, Ibrahim sio muizrael sababu izrael ni mjukuu WA ibram😂😂😂 sasa atakuaje muizrael kuna wayahudi ambao ni waizrael ambao ni uzao WA yakobo maana izrael ni jina jingine la yakobo, na kunawayahudi ambao ni waebrania ambao ni uzao WA Ibrahim tatizo shule Hamna mbwa nyie mmekalia madrasa za kiarabu

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 ปีที่แล้ว +1

      @@francisjoseph1074 koma kutukana watu ina maana hiyo bibilia yako inajua history kuliko Curan?kila kitu kimeelezwa vzr sana ndani ya Quran. Unaposema ni kizazi cha yakub ni sawa makabila kumi na mbili ya wana wa izraili. Na ndio maana yesu alikua mtume kwa kabila 12 tu ili kuwaonya na ikashindikana . Kwa hiyo hao wanaojiita waizrael wamelaaniwa iko wazi vumbi lake ndio tunaliona linavyofanya ss . Madrasa ndio yenye kutoa elimu kushinda zote.

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 ปีที่แล้ว

      @@mwawekomiuda9779 we unakichaa , quran yako inasura 114 , Tu arafu unasema imemaliza kila kitu😂😂😂😂 unajielewa kweli wewe , Agano jipya Lina Sura zaidi ya 530, zaburi inasura 150, Tourati inavitabu vitano , sasa Kati ya Allah wako na Jehovah Nani kasahau😂😂😂

  • @megamind9563
    @megamind9563 2 ปีที่แล้ว +1

    good job though NOT PERFECT. where is ANANIaS

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 ปีที่แล้ว

    Mzee sio PARESTINE ni PALESTINE au unadhani Kwa WAPARE huko?

    • @AnaniasEdgarTV
      @AnaniasEdgarTV  ปีที่แล้ว +1

      Asante sana kwa maoni yako.

    • @medyproductionTz
      @medyproductionTz ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂Sasa niki iyo si Rafuzi tu mbona😂wapemba wanamatamshi yao au wachaga wanamatamshiyao na wote tupo tanzania Sikiliza History ili uelewe shida ipo wapi Achana na Matamshi

    • @medyproductionTz
      @medyproductionTz ปีที่แล้ว +2

      Hii vita wengi wanashabikia kwa ajili ya Dini zao lakini ukiweka Dini pembeni na Ufuatilie Wachambuzi Tofautitofauti Wasio pungua wa Tano ndio Utapata majibu nani mwenye shida Kati ya Israel na Palestina

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 ปีที่แล้ว

      ​@@medyproductionTz6 Haya ndiyo asemayo BWANA; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu;
      7 lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake.
      8 Nami nitamkatilia mbali mwenyeji katika Ashdodi; na yeye aishikaye fimbo ya enzi kati

  • @marysanga5310
    @marysanga5310 หลายเดือนก่อน

    wewe mwongo wayaundi hio ni inji yao toka enzi za zaibrahimu isaka yakabo mpaka yesu waalabu wamekuja baada ya yesu wana ng ang ania hapo ente ichi yao

  • @abdallaally1354
    @abdallaally1354 2 ปีที่แล้ว

    Anko Galima aibu yako kwenye Lugha kaka

    • @pinielefraem4159
      @pinielefraem4159 2 ปีที่แล้ว

      Wewe unawataka wa aina gani

    • @ikramikra5219
      @ikramikra5219 ปีที่แล้ว

      R nanL zinamsumbua sana kaka Ngalima

    • @nikkimbishiunju2402
      @nikkimbishiunju2402 ปีที่แล้ว

      Vita imeanza upya Sasa uje tena na habari za PARESTINE

    • @nikkimbishiunju2402
      @nikkimbishiunju2402 ปีที่แล้ว

      Umekazana na PARESTINE,hovyo kabisa mpaka story naiona mbaya

    • @medyproductionTz
      @medyproductionTz ปีที่แล้ว +1

      @@nikkimbishiunju2402 Nick Mbishi Wacha ubishi kama jinalako Nilikuwa nakuamini lakini sijapenda coment zako Punguza hasira Weka Udini pembeni sikiliza ili uelewe nani mwenye tatizo kati ya Israel na Palestina

  • @alikarisa
    @alikarisa 2 ปีที่แล้ว

    Hao ni Wayaudi gani? Safadim ama Ashikinazi .

  • @masoudabdallah3406
    @masoudabdallah3406 ปีที่แล้ว

    Yaaan bhn wa christo wanakaz fuvu tu yaan hizo historia zinaonesh kabisa din ni uislam ibrahim katok iraq kaend misri karud Palestine ujaskia katok ufaransa au uingereza yaan hizo nchi zote za kiarabu na ndio dini ipo uko u christo umetengenzwa laboratory tu😅😅

    • @Highlights10HD
      @Highlights10HD ปีที่แล้ว +1

      Ibrahim alikuwa mwarabu ama Myahudi

    • @Mgema001
      @Mgema001 ปีที่แล้ว +2

      Sisi tusikiliza historia maswala ya uislam peleka msikitin...sisi hatuna dini ila tuna yule alituumba

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 ปีที่แล้ว

      Uislam ni upagani ulikuja miaka ya 610, baada ya Chrsto na uliletwa na Mwarabu mmoja jina Muhammad, izrael ilikuepo tangu Enzi na Enzi kama unabisha soma Amosi2,6:7:86 Haya ndiyo asemayo BWANA; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu;
      7 lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake.
      8 Nami nitamkatilia mbali mwenyeji katika Ashdodi; na yeye aishikaye fimbo ya enzi katika Ashkeloni; nami nitaugeuza mkono wangu uwe juu ya Ekroni; na mabaki ya Wafilisti wataangamia, asema Bwana MUNGU.

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu ปีที่แล้ว +2

      Wewe ndio hujui Historia tulia. Huyo Ibrahim unayemsema hakuwa mwarabu bali alikuwa ni Mwebrania. Nchi unazotaja za Iraq sijui nini hazikuwa zinaitwa hivyo wakati wa Ibrahim bali hayo ni majina ya miaka ya karibuni. Mjinga mkubwa wewe.
      Kwa taarifa yako nchi kama Misri ilikuwa haikaliwi na Waarabu wakati wa Ibrahimu na hata wakati wa Yesu nchi ya Misri, wala Syria wala Iraq hazikuwa nchi za Kiarabu.
      Labda nikupe historia tu kwamba Waarabu walianza kuingia nchi za Misri, Palestina, Syria na nyinginezo miaka 640 baada ya Kristo (Yaani kihistoria bado ni miaka ya juzi tu) wakati wa Khalifa Umar bin Khattab ambaye alikuwa swahaba wa Muhammad. Kumbuka Ibrahim aliishi miaka 3000 kabla hata ya Muhammad kuanzisha Uislamu mwaka 610 BK. Sasa Ibrahim na Uislamu wapi na wapi?
      Kwa taarifa yako Muhammad wakati anaanzisha Uislamu tayari Dini za Kiyahudi na Kikristo zilikuwepo muda mrefu tu na sehemu yote ya Mashariki ya Kati ikiwemo Syria ilikuwa ni nchi za Kikirsto. Walichofanya Waislamu ni kuwalazimisha watu kuingia Uislamu kwa njia ya Upanga na kuwalazimisha watu kuaacha lugha zao za maeneo yao kisha kuongea Kiarabu.
      SOMA HISTORIA ACHA UMBUMBUMBU wa MADRASA wewe.

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 ปีที่แล้ว

      @@MishoAdeMahanyu safi kabisa tencha chakuongezea Ibrahim ilitoka mesopotamia au huru ya wakardayo, wala Hana uhusino na warabu