Mi kumbuka unanifurahisha 😂😂😂😂tena sana hivi hawa ma Mr right wengine bila kukosolewa na kumbuka na Alliya mnafikiri watabadilishwaje ?tatizo watanzania wanapenda kunafikiwa ili wapotee..jinsi wanavyowakosoa wanasaidia pia hawa mabint kupata mtu sahihi
Hv me navyojua hapo watu wamekuja kutafta watu sasa mtu ana fight for mr right mnamuita king'ang'a duh kama Mungu kanipangia nitapata tyu kuliko kujidhalilisha 🙏🙏🙏
Ninyi ma doctor hali mnayofanya ya kucheka maisha ya watu je kazi yenu nikuwatafutia ma binti maisha wala mpo hapo kwa ajili ya kuwakilisha.lakini sasa cha ajabu mnaahanza kuchambua maisha ya Mr right hata kama ma binti hawajasema chochote. Kama ninyi mnajielewa kwamba mna kipato ambacho kina kizi maitaji ya familia zenu msiwaze kila mtu atafanana na ninyi. Na kama mliajiliwa fanyeni kazi yenu sio kuwajaji wengine. Lakini pia mnaongea sana kuliko wale wanaotakiwa kuongea ,sasa kazi yenu ninini? Acheni machapo machambo ndugu kumbuka.fanyeni kazi inayowausu.pia mwache ma binti na wavulana wachambuane kuliko ninyi kwasababu hao ndio wanaotafuta wenza wao. Maisha ni fumbo.
Ila we kumbuka acha nyodo boya wew kwan ww kuwa na gar nd unaona maisha umeyapatia , et bod mwili kwan ww na gar yako unaweza pigwa ajal usiombe hat maji,,, acha nyodo nd tatzo la kuw n ukike
ila vijana wengi wakitanzania uwaga wanafeki kukaa kwenye ndoa awawezagi kuowa kuishi nawanawake wao anaweza akaishi nae miaka zaidi ya ayo anamtelekeza mwanamke
kwenye hii shoo nimempenda sana gara b yupo humble sana anaheshimu watu
Hata mm na mpenda sana hana dharau ako na hekima sana sikama kumbuka kuropoka ujinga tu nakudharau wenzie
Ila kumbuka ni mnafiki jmn😂😂😂
Gara B muondoe Kumbuka,hakufai kwenye show!
Anawasema watu vibaya sana
Anakera
Sure
huyo ndo mwenyewe anafaaa😂😂😂😂
Dokta kumbuka punguz sifa hata usifiwi kwa Kaz Gani uloyonayo hd udharau wengine" au Kwa huo weupe wako wa kujichubua kama dem
Nmempenda sana Trissy ❤❤❤❤
If I was there I would pick her🎉
Kuna uyo dada anaitwa johari mmmmh mashaallah ni mzur🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Kumbuka na Aaaaliya punguzeni kuwasema Mr Righty ivo mnawakatisha tamaa hawa wanawake
Huyo Litul twaweza endana, I wish ningekuwa home nifike huko pia, inshallah nikifika likizo ya pasaka 2025❤❤
😁 hili jamaa liongo linatokea KIGOMA wilaya ya KASULU harafu linasema Dar
We tuliza mpira 😂😂
😂😂😂😂
Mi kumbuka unanifurahisha 😂😂😂😂tena sana hivi hawa ma Mr right wengine bila kukosolewa na kumbuka na Alliya mnafikiri watabadilishwaje ?tatizo watanzania wanapenda kunafikiwa ili wapotee..jinsi wanavyowakosoa wanasaidia pia hawa mabint kupata mtu sahihi
Mnakosea sana kuwasema vibaya mr lingt
Uyo kumbuka anaharibu to kipindi
Umewakataa warembo sasa nawwe umekataliwa loo pole bro
Kifiire😅😅😅😅😅
Kumbuka 😂😂 na aliya 😃😃 munatabia mbaya sijui mkoje
Heri nitafute mpenzi apa apa comment section lkn kwnda kudhalilishwa kule hapana
Ila Dr. Kumbuka unanipa Raha San 😅 😅 mbona Ndizi Mzuzu 😢😂😂
SASA MBONA MNAKUA MNAWASIMANGA NA KUWATOA KASOLO NA MUSIMFOSI MTU KIMAPENZI KUMBUKA UNAONGEA SANA Dr KUMBUKA😱🤣💪🛳⚓️
Wanapenda wanawake sanaaaà
Kuna mdada ana hlo Tege Diara wa Yanga akasome limejifcha pale Podium 😂😂😂😂
Kumbuka na Alyah hamueshimu watu sio vizuri hara b the best
Hv me navyojua hapo watu wamekuja kutafta watu sasa mtu ana fight for mr right mnamuita king'ang'a duh kama Mungu kanipangia nitapata tyu kuliko kujidhalilisha 🙏🙏🙏
Asalam alaykum ww namuu nawapenda sana nduguzangu kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Dr kumbuka anawachamb san mr right wao wamekuj kutafuta wenza n sio fashion z nguo wal viatu! Ila hariya anamaneno mazur y kutimia moyo
Napenda ikipindi sana ndugu zetu kutoka East ❤❤❤❤❤❤
Amazing
Nawapenda sana alia grb dctr kumbuka ❤❤❤❤
Uyo nae kama ,,,,,,
Nimempenda kumbuka sana ❤❤
Ninyi ma doctor hali mnayofanya ya kucheka maisha ya watu je kazi yenu nikuwatafutia ma binti maisha wala mpo hapo kwa ajili ya kuwakilisha.lakini sasa cha ajabu mnaahanza kuchambua maisha ya Mr right hata kama ma binti hawajasema chochote. Kama ninyi mnajielewa kwamba mna kipato ambacho kina kizi maitaji ya familia zenu msiwaze kila mtu atafanana na ninyi.
Na kama mliajiliwa fanyeni kazi yenu sio kuwajaji wengine. Lakini pia mnaongea sana kuliko wale wanaotakiwa kuongea ,sasa kazi yenu ninini?
Acheni machapo machambo ndugu kumbuka.fanyeni kazi inayowausu.pia mwache ma binti na wavulana wachambuane kuliko ninyi kwasababu hao ndio wanaotafuta wenza wao.
Maisha ni fumbo.
Mbona hawana vigezo kisha huku mtaani mnatunyari?
haka kajamaa kafupi kapunguze mdomo kanaharibia sana watu
Sema Hosts wana midomo michafu, si wanaume si wanawake. Viherehere sana wanawasema washiriki yani paka inaudhi. Punguzeni midomo!
@@edwintouches bola wewe umesema Yan mtu anaongea mbaka unaona aibu
Kwel😢
Sana yaan dah wanachamba kma wanachukuliwa wao
Kwanini munawaponda mr right sana nipo south Africa ...kila siku nahagalia show jenu lakini nawona ...show yenu hajipo sawa
Kumbuka anakela sana simpendi hata kidogo
Eti mmmh makubwa 😅😅😅😅
Alya umenfurahisha jmn, et sio prease ni please 😂
Ila hawa watangazaji ndo wanawakatisha tamaa Hao warembo wanawajaji sana ma Mr right na kuwacheka
Gara .B , kibiashara hao watu wako Kumbuka na Halliya hawafahai, kwa ujumla siyo professional kabisa. Kwa ujumla wanaboa.
Mimi nampenda mkulima wa mpunga huyo tutaendana na mimi
Mwondoen kumbuka aisee kama mdada miyeyusho sana
Jamani napenda kumbuka ana changamsha sana
Kumbuka jaman mweeeh😂😂😂 aliposkia Kifilee mbavu hana 😂😂😂😂😂
Kumbuka khaaaa🙌
Ila we kumbuka acha nyodo boya wew kwan ww kuwa na gar nd unaona maisha umeyapatia , et bod mwili kwan ww na gar yako unaweza pigwa ajal usiombe hat maji,,, acha nyodo nd tatzo la kuw n ukike
jibu zur sana
Nakubali mwangu dj ndo zaidi namkubali
Jamaa hajuwi kutongoza😂😂😂😂
Hamna mke hapo ,karibia wote wamekimbia ndoa,uchumba,wapenzi wao,yaan wamebakiza tu kujiuza tu kam nyanya na vitunguu😂
Alafu wana wananga Mr right mara kavaa hivi mara vile sio poa
in short malaya wasitaafu
kuna moja nimepiga hapo namuona dhaa ila wanawake mungu anawaona
@@jaspershirima4135mtaje bhana tumjue uyo kahaba maana next nataka niende kutafta mke 😂😂😂
sema uyo docter kumbuka punguza sana maneno mengi bhn
Kumbuk iko vzur anatufany tuchek san
Kumbuka kumbuka😂😂😂 bod mwili
Kumbukwa ana mdomo sana hekima hana😊
Punguzeni midomo jaman khaa yn Hadi mnakeraa sasa Bora Mr right yazaman saiv mmezidi midomo 😂😂😂
Punguzeni kushushua hao Ma Mr Right
Huyu nae anajiezea sana mpka anaharibu sasa😅
Doctors kumbuka kwann lakini kilosa😂😂😂😂😂😂
Kumbuka apunguze mdomo bwana anakera sana maneno mengi kma mwanaume
Tena sana
@@Judy-dy4zt wanakera sana kipindi kimekuwa hovyohovyo tu.
Tunaenjoy balaa.. anachangamsha
kwan diva vp
Tumemisii luludiva
Kifire😂😂😂😂😂😂❤❤❤
Mnakela punguzeni midomo mnawasema sana khaa
Uyo kumbuka anakera anaaribu sana mdomo mwingi aoni wenzie wanaongea kwa kituo haaa sijapenda mm
Kinachomchekesha dokt kumbuka ni nn sasa??😮😮hadi kero yan wote na masichana yao hapo yanakeraa kweli
Sema mwamba kachagua kwel
Mnawahalibia jaman punguzeni midomo 😂😂😂 mnawaumbua mbele za bebe watakubaliwaje sasa
Gara B.naomba mtoe huyo Kumbuka anaharibu show
Kumbuka mungu anakuona
ila vijana wengi wakitanzania uwaga wanafeki kukaa kwenye ndoa awawezagi kuowa kuishi nawanawake wao anaweza akaishi nae miaka zaidi ya ayo anamtelekeza mwanamke
Alie ona gara b alivyo kataliwa mkono kijanja baada ya kumshika aaaliya😅😅nimelia sana
Dr Kumbuka atumtaki kwenye iyi show. Anakera kishenzi tena nimshamba
Dr kumbuka ❤
Mpunguze kutuchamba jamani😅😂
Mkaka mzur mbona
😂😂😂 ila Dr hapn acha kuwambua watu jmn
Hawa 😂😂 utapewa mtoto wa pili tena na uwachweeee hujielew
Hakika mweheshimiwa kumbuka unanifurahisha sana una maneno mazito sana
Mbona wananyali saana , ad wanakatisha tama mr right 😮😮
Hello
Nimegundua mpende anayekupenda asiekupenda achana nae
Midomo kama yoote khaa😮
Hii Mr right ni zaidi ya cheka tu
😂😂😂Mnateta dulla
Kumbuka yani yupo kama mwanamke mambo yake
lituli lenyewe libaya😅
Ushauri, toeni huduma ya online participation. Tuko wengi tunatafuta wake sahihi na tunawaona
Nyie dj,mnafanya Mr right wanakosa warembo, punguzen kuwachambua.
Show kama kikao cha kusutana😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mbav zangu kinin....😂😂😂
Jamaniiii siwexi kuishi bila dj big😢😢
😂😂😂😂
@castombilo7114 usicheke niko sirias ujue😂😂😂
Gara B 🔥🔥🔥
Namimi nimehipenda sana
Kumbuka's judgements are kind of forcing without strong reasons, 😂😂
Tatizo kumbuka anaongeya sana , anakera
Nampenda Dr.Kumbuka jamani ananifanya niangalie hichi kipindi kwa fujo
Kumbuka punguza mdomo watu watashindwa kujiamini
Kumbuka una dharau xana!! Punguza dharau maisha Bado!! Kuwambia wa2 nenda moi uone moi unaweza Ingia hata ww
Sicheki nawowote naulindawangu moyooo wivuuu .muacheni anawivu😂
Ilo nalo neno💜💙💓
Hiki kipindi kumbuka anakichangamsha sana napenda maneno yake
Kumbuka kama sio wakiume tu
Mr kumbuka nimempenda bure Kwa maneno yore,
Ila kumbuka jamani anakela anamaneno ya shombo sana bola aludi lulu uyo wala havai kabisa
Jamani kipindi kizurinawapendasana
Litul kanyooka mzee
Kifile file😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Dada uyo ana akir
Kati ya shoo iliyokuwaa mbovuu nii season 6
Mnawasema watuu vibayaa..mmekuwa wambeaa
...