BAADA YA MATOKEO SUGU AFUNGUKA YAKE || MSIGWA NAE ASEMA YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi 'Sugu' ameahidi kuwaunganisha wanachama wote kama kazi yake ya kwanza baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo.
    Katika uchaguzi huo Sugu alichuana na Mchungaji Peter Msigwa, ambaye amashindwa kutetea nafasi yake hiyo kwa kupata kura 52 dhidi ya 54 za Sugu. Akizungumza leo Jumatano, Mei 29 muda mfupi uliopita baada ya kutangazwa, Sugu amesema kazi yake itakuwa kuwaunganisha wanachama wote baada ya kumalizika kwa uchaguzi huo. Hatua hiyo inatokana na kawaida ya kuibuka kwa makundi wakati wa uchaguzi.

ความคิดเห็น • 45

  • @EdwardUrassa-xc6gz
    @EdwardUrassa-xc6gz 3 หลายเดือนก่อน +10

    Hongera sana,msigwa ukomavu wako kisiasa ni wakuigwa Hongera

  • @issaramadhani9141
    @issaramadhani9141 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nilipoangalia ule mdahalo wao niliona kabisa wale wajumbe waliokuwa wanawauliza maswali wamedhamiria kumtoa Msigwa but kwangu mimi naona Msigwa anamzidi mbali Sugu,

    • @hafidhnzota2142
      @hafidhnzota2142 3 หลายเดือนก่อน

      Alikuwa na MAPUNGUFU kisiasa pesa NJAA mbele

  • @paulkamete2947
    @paulkamete2947 3 หลายเดือนก่อน +3

    Weweeeeeee Grace oyeeee God is good All the time!

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 3 หลายเดือนก่อน

    Msigwa umeonyesha ustarabu mkubwa sana Mungu akulinde na adui zako popote pale ndani ya Chama na inje ya chama

  • @jumbeojaso5767
    @jumbeojaso5767 3 หลายเดือนก่อน +7

    Msigwa ni think tank kubwa ndani ya chadema na hazina ya hekima na busara aliyonayo, ni hazina kwa viongozi vijana wajao

  • @marybukuku1494
    @marybukuku1494 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupongeza sana sana msigwa kwa ukomavu wa siasa umeuonyesha wazi,na pia nakupongeza kwa kauli ya hekima ya heshima na ufahamu Ahsante sana

  • @suleimanalkindy6502
    @suleimanalkindy6502 3 หลายเดือนก่อน +4

    Msigwa yupo smart Sana.

  • @user-fw8wm2xd8x
    @user-fw8wm2xd8x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sugu hongera kw ushindi sugu na msigwa wote ni nyota ni vile TU mwenyekiti ni moja mnafaa wote 2

  • @akidajulius1581
    @akidajulius1581 3 หลายเดือนก่อน +1

    MSIGWA WEWE KWELI NI MKOMAVU SANA, UNAKIPENDA SANA CHAMA,MUNGU AKUJALIE SANA MSIGWA,

  • @alphocemadinda5158
    @alphocemadinda5158 3 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana mh Msigwa na sugu kwa ukomavu Sasa mkayaishi maneno yenu

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 3 หลายเดือนก่อน +3

    Msigwa wewe ni kiongozi shupavu sana. Tutumie umoja wetu wa kupambana na hawa wasaliti tukiwa wamoja.

  • @user-my5yp6xx5s
    @user-my5yp6xx5s 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera msigwa kwa uaminifu mkubea ndani ya chama chetu pia hongera mwekiti sugu kwa kuchaguliwa najua wewe nipamoja na msigwa

  • @LeonardSiame
    @LeonardSiame 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera mheshimiwa sugu

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huo ndiyo ukomavu waki siasa hongera sana kaka Msigwa hongera sana sugu

  • @amanyisyemkoma6638
    @amanyisyemkoma6638 3 หลายเดือนก่อน +1

    Msingwa uko vizuri

  • @leonardmartine662
    @leonardmartine662 3 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 3 หลายเดือนก่อน +1

    Una uwezo kabisa wa kuongoza Chama kabisa nenda kaimba mziki

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 3 หลายเดือนก่อน +3

    maneno ya hekima kwa mwanasiasa mbobevu

  • @janethngole369
    @janethngole369 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana maneno yabusara

  • @dabigregory3221
    @dabigregory3221 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutunze msigwa

  • @rastheunique
    @rastheunique 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kilichonikera Sugu alienda kwa staili ya kumchafua Msigwa wakati Msigwa alienda kwa namna ya kujenga hoja

    • @reginas1832
      @reginas1832 3 หลายเดือนก่อน

      Thank you.

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 3 หลายเดือนก่อน +2

    Msigwa anajua kujenga hoja.

  • @rogathesarwatt
    @rogathesarwatt 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kuunguanisha na makundi yaishie hapo Hapo Ulumbini

  • @reginas1832
    @reginas1832 3 หลายเดือนก่อน

    Sikupenda jinsi Sugu alivyokuwa anamwatack Mh Msigwa. Something was not right.

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kubali matokeo tuu maneno mengi ya nn

  • @pablo_066
    @pablo_066 3 หลายเดือนก่อน +1

    100 steps back ..,chadema tumeanza kuki_shep chama kwa muonekano wa kiccm tumeanza kichwa na kuchagua posho

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa rufaa ya Nini?

  • @MinskBelarus-il2tl
    @MinskBelarus-il2tl 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama Msigwa alifanya kazi kubwa,kwa nini SUGU agombee au ashindane nae??????

  • @alfrediaugustino1026
    @alfrediaugustino1026 3 หลายเดือนก่อน

    Kifupi nawapenda

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 หลายเดือนก่อน

    ✌️👊👍.

  • @mgungulem3187
    @mgungulem3187 3 หลายเดือนก่อน

    Chama kubwa pongezi msigwa na sugu wote mmeshinda

  • @emanuelmwakamisa2511
    @emanuelmwakamisa2511 3 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏

  • @user-gy5en6cy8o
    @user-gy5en6cy8o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hiki chama bdo saaana 😢

    • @ezekielkiduge8730
      @ezekielkiduge8730 3 หลายเดือนก่อน

      Huo ni wivu tu CCM imechoka iwaachie wengine

  • @melch3097
    @melch3097 3 หลายเดือนก่อน

    Msigwa, tunakazi kubwa kwako inakuja, huko mwachie sugu,,uje makao

  • @NgomeTz
    @NgomeTz 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanini mmeruka Sugu alipomshukuru Msigwa

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg 3 หลายเดือนก่อน +1

    jaman tusiwe na chuki

  • @rogathesarwatt
    @rogathesarwatt 3 หลายเดือนก่อน

    Hii ndo Chadema ninayoijui

  • @bongo39
    @bongo39 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli kutoka ktk moyo wako mnhhh sijui ila tusubirie hapo mbele yatakayo jiri