Jinsi ya Kulitambua Kanisa la Mungu Duniani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2024
  • Ufafanuzi wa Ufunuo sura ya 12 juu ya Pambano Kati ya Joka na kanisa la Mungu la siku za Mwisho.

ความคิดเห็น • 128

  • @MwinjilistiMachota
    @MwinjilistiMachota  5 ปีที่แล้ว +7

    Ufafanuzi wa kitabu cha ufunuo sura ya 12

    • @oscarngowi5578
      @oscarngowi5578 5 ปีที่แล้ว +4

      Mwinjilisti Machota . Mimi nilikuwa mkatoliki tena mwenyekiti wa jumuia . kutokana na mafundisho yenu nikabatizwa nikahamia SABATO . ubarikiwe sana mtumishi

    • @MwinjilistiMachota
      @MwinjilistiMachota  5 ปีที่แล้ว

      @@oscarngowi5578 Ubarikiwe sanaaaa Mungu aendelee kukupigania

    • @danielelinest1237
      @danielelinest1237 5 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe sana Mungu akulinde daima

    • @TheCvm229
      @TheCvm229 4 ปีที่แล้ว

      @@oscarngowi5578 mafundisho yako sawa kwa kiasi fulani suala la wasabato ambalo linawatenga na kweli ni Jumamosi na vyakuka kama kitimoto..

    • @samuelmoses9243
      @samuelmoses9243 4 ปีที่แล้ว

      @@oscarngowi5578 Mungu akutie nguvu udumu ktk kweli yote

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 5 ปีที่แล้ว +11

    Mimi hufurahia Mungu kwa ajili ya kuweka watumishi wake ili wajulishe watu ukweli na kuokoka. From protestant to Catholic now am happy to be an SDA

  • @elizabethfatuma9053
    @elizabethfatuma9053 2 ปีที่แล้ว

    Babeli kweli Mungu atusaidie sana

  • @marzymarcy96
    @marzymarcy96 5 ปีที่แล้ว +4

    Asante sana mchungaji kwaukweli huu nilikua gizani lakini ninapofatilia mafundisho yako ninaiona nuru.barkiwa

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wa mbinguni akubariki mtumishi

  • @okungukevoh7324
    @okungukevoh7324 2 ปีที่แล้ว

    From napenda mahubiri yako. I like how you preach prophecy with all evidence

  • @haronotindo
    @haronotindo 3 ปีที่แล้ว

    Thank you may God bless you,and your family I'm very happy

  • @danielelinest1237
    @danielelinest1237 5 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi wa Bwana Yesu Kristo aliye hai

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 4 ปีที่แล้ว +1

    Thanks for uploading to enlightening us in one way or another 🇰🇪🇰🇪✊

  • @doricemrema2177
    @doricemrema2177 3 ปีที่แล้ว

    Umeongea vema nami nakuunga mkono,🙏 mm mwenyewe NATAFUTA kanisa la sabato maana ndo naona Lina fuata sheria

  • @josejohn8524
    @josejohn8524 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kwakwer ww ni jembe la yesu

  • @gracenyamisa8703
    @gracenyamisa8703 3 ปีที่แล้ว

    Amen Amen ukweli kabisa Dunia imeisha

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 3 ปีที่แล้ว

    Kanisa la kweli la yesu kristo ni wamini waminifu waliojazwa Roho Mtakatifu wanao tembea na ishara na majabu ya jehova Mungu analithibitisha neno kwa ishara na ajabu kanisa la kweli sio thehebu wala Dini za watu hapana Mungu anawatu wake na Dini inawatu wake

  • @upendoedward1651
    @upendoedward1651 5 ปีที่แล้ว

    Asante kwa kuliinua jina la Bwana, kwa kulitambiaha kanisa lake. Umenifundisha kitu kikubwa sana Mungu akubariki sana.

  • @UFALMEWAMUNGU
    @UFALMEWAMUNGU 4 ปีที่แล้ว

    Nimekubali MKUU uko vizur ubarikiwe,, saana mtumishi

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia ปีที่แล้ว

    Faida mojawapo ya mitandao, darasa hili limewekwa miaka mitatu iliyopita, Mimi najifunza leo.natumai na mwingine atajifunza miaka ijayo video hii ikibaki kuwapo. Atukuzwe Mungu

  • @jimidoni4467
    @jimidoni4467 2 ปีที่แล้ว

    amina

  • @edwinezawadi4707
    @edwinezawadi4707 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana na Bwana

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 3 ปีที่แล้ว

    Mungu tu atusaidie

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 5 หลายเดือนก่อน

    Joka ni tasisi za kidini ,zimewameza watoto wa Mungu,Hawatoki humo

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 5 หลายเดือนก่อน

    Muongo Mkuu Dini ya sabato sio kukimbilia huko nako kunashetani
    Sehemu ya kukimbilia nikumkimbilia Yesu kristo tu sio tasisi za kidini Dini yoyote ni pepo la uongo

  • @sadockruhasha6512
    @sadockruhasha6512 3 ปีที่แล้ว

    Nawezaje kuokoka

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 5 ปีที่แล้ว

    amina sana mtumishi nimebarikiwa sana

    • @otianasanga9106
      @otianasanga9106 3 ปีที่แล้ว

      Ninacho mshukulu MUNGU yeye anaangalia moyo siyo siku zakuabudu MUNGU anaabudiwa kila sekunde

  • @abdonbwiro2574
    @abdonbwiro2574 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa dah Mungu akbark mtumishi

  • @josejohn5237
    @josejohn5237 5 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji jaribu kwenda taratibu usiwe na spidi sana, binafis nakuelewa sana

  • @octaviusakizabraiton5133
    @octaviusakizabraiton5133 4 ปีที่แล้ว +1

    Yesu alisema katika Marko16:15.... Endeni ulimwengun mwote mkaihubili injili kwa kila kiumbe aaminie na kbatizwa ataokoka asieamin atahkumiwa na ishara hzi ztafatana nao wamwaminio kwa jana la yesu watatoa pepo watapoza magonjwa watanena kwa luga mpya nk je ishara hzo znafanywa na kanisa gan npe jb Acha ubabaishaj

    • @susanraphael5894
      @susanraphael5894 3 ปีที่แล้ว

      Watu wa sheria sadukayo na mafarisayo

  • @isaiahstadius2383
    @isaiahstadius2383 5 ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiwe Mwinjilisti, mimi nipo Morogoro Mungu amenifunulia kuondoka katika taasisi ya Lutherani kutokana na mafundisho yako,naomba nifahamu wapi lilipo kanisa la Wasabato hapa Morogoro.

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 2 ปีที่แล้ว

    Isaya 1:13
    Dini ya sabato sio Dini ya kweli hao Ni waongo kanisa la kweli Ni mwili wa yesu na watu waliookolewa na yesu kristo kanisa la kweli Ni waumini waminifu mbele za Mungu na kanisa la yesu kristo lipo ulimwenguni pote na hawana Munganiko wowote na Dini yoyote maana wanatembea rohoni na wanaoongozwa na Roho Mtakatifu

  • @tonnsimbasportsclub7168
    @tonnsimbasportsclub7168 5 ปีที่แล้ว +2

    ***ubarikiwe***

  • @stephanelupemba4713
    @stephanelupemba4713 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mutu
    Mimi nimezaliwa katika dini yaki Protestant na sasa tiara tumekwisha kujuwa kama Sunday ni juma pili na tangu tumezaliwa huwa tuna Muabudu Mungu juma pili Mungu Ibrahim isaka na yakobo Mungu wa Israel tukimuabudu katika Roho na kweli na Yesu Kristo na sasa tumeona ni wapi makanisa yako yanaelekeya.
    Sasa tufanyaje sisi waabudu juma pili!
    Ila kwangu mimi siwezi nikaingiya katika dini laki Catholic apana siwezi kabisa.

    • @stephanelupemba4713
      @stephanelupemba4713 5 ปีที่แล้ว

      From south Africa

    • @MwinjilistiMachota
      @MwinjilistiMachota  5 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe mtu wa
      Mungu ushuhuda wako ni wa nguvu, tafuta kanisa la waadventista wasabato lililo karibu nawe

    • @stephanelupemba4713
      @stephanelupemba4713 5 ปีที่แล้ว

      @@MwinjilistiMachota okay

  • @octaviusakizabraiton5133
    @octaviusakizabraiton5133 4 ปีที่แล้ว +1

    Ishara alizotaja yesu ndo znawakilisha kanisa la kweli la wafuasi wa yesu wala wala sio kuabudu jmamos tu na ishara hzo znafanywa sana na makanisa ya kipentekoste sio mengine usituubili siku utuubili uzima wa milele

    • @mpokimwakaje8178
      @mpokimwakaje8178 3 ปีที่แล้ว

      Ukiona mtumishi anahubili na kuitetea Dini yake huyo sio mtumishi wa Mungu ni washetani maana mashetani ndio wenye mathebu ndio watawala wa Dini watumishi wa Mungu tunawajua wanahubili injili ya Toba kwa mataifa yote ili mwamini yesu waokolewe sio kujiunga na.dini.dini ni Mali za watu.na zimepoteza watu kibao wanaenda moyoni na Dini zao ikiwemo dini.ya saboto na Dini zingine
      Ukitaka kwenda uzima wa milele achana na Dini yako mfwate yesu kristo hakika na kwambia utaponywa wewe na familia yako ukifanya hivyo

  • @barikimatabishi3544
    @barikimatabishi3544 ปีที่แล้ว

  • @amanimwidowe653
    @amanimwidowe653 5 ปีที่แล้ว

    Ameni

  • @octaviusakizabraiton5133
    @octaviusakizabraiton5133 4 ปีที่แล้ว +2

    Ww jamaa unatetea jumamos unaonekana unaabudu siku

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 3 ปีที่แล้ว

    Kanisa la kweli wewe hulijui hata kidogo Mungu anawajua watu wake na kila mtu alitajae jina lake na ahache uovu kanisa la kweli ni mwili wa kristo sio Dini ya sabato hapana hiyo ndini sio niongo kanisa la Mungu ni mtu mmoja yaliezaliwa kwa roho Hilo kanisa la kisabato ni Dini nimali ya watu Kama Dini zingine

  • @deustutu1162
    @deustutu1162 5 ปีที่แล้ว +4

    mm ni mkatorick ila hao mapapa watapa adhabu yao kuposha watu wa Mungu

    • @feriksizakayo7894
      @feriksizakayo7894 5 ปีที่แล้ว

      Jifunze zaidi utagundua mengi

    • @shishshikoh4979
      @shishshikoh4979 5 ปีที่แล้ว

      Toka huko uje zizini mwa Bwana

    • @michaelmaguru6435
      @michaelmaguru6435 4 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe mtumishi

    • @georgegithua9589
      @georgegithua9589 4 ปีที่แล้ว

      Mathew 15:14

    • @sindabahabwoyaanacret660
      @sindabahabwoyaanacret660 4 ปีที่แล้ว +1

      Nilikua mwaminifu sana katika kanisa katoriki (mfia Dini) lakin nilipogundua uongo wa kanisa hili niliondoka na sijawahi kujuta kutoka moyo wangu unafuraha sasa

  • @oblemongi4195
    @oblemongi4195 3 ปีที่แล้ว

    Tunahitaji Neema yake Muumba haya mengine ni Yale yaliyokataliwa ya kujikweza na kujidhiri

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 3 ปีที่แล้ว

    wewe hitetei neno la Mungu unatetea Dini yako unachanganya mafundisho tetea mwili wa kristo sio tasisi ya Dini ya kisabato usiwadanganye watu wewe ni Mali yadini sio mtoto wa Mungu.watoto wa Mungu hawachangamani na Imani za mathehebu Wala Dini za watu

  • @emmanuelmbuliimo7055
    @emmanuelmbuliimo7055 5 ปีที่แล้ว +1

    Good

  • @abakukikasiano5707
    @abakukikasiano5707 4 ปีที่แล้ว

    Nihatali

  • @apolikapilugenge3846
    @apolikapilugenge3846 5 ปีที่แล้ว

    Mtumishi,yesu alikuja kwaajir ya wenye dhambi.waache wenye dhambi waende kuona mungu anavyoabudiwa ,sio kuwakatanza wasiende kuona jinsi mungu anavyoabudiwa.Namefrah kuona jinsi kanisa katoriki linavyojitahidi kuwaita wenye dhambi kanisani.Kanisa limeletwa kwaajiri ya wenye dhambi sio wale ambao hawana dhambi.labda nyie wasabato mnawaita wasio na dhambi waingie kanisan kwenu.Yesu alikuja kwaajir ya wenye dhambi ,soma biblia uelewe,kuropoka ovyo

    • @MwinjilistiMachota
      @MwinjilistiMachota  5 ปีที่แล้ว +4

      Huwezi kuchanganya nuru na giza, huwezi kuligeuza kanisa la Mungu litumike kufanya matambiko ya kimizimu. Wadhambi wanaitwa waache dhambi zao, sio aendelee na dhambi zao maana Hakuna ushirika Kati ya nuru na giza

    • @johntemba4218
      @johntemba4218 5 ปีที่แล้ว +1

      Asante Mtumishi kwa mafundisho ya kweli cz Me nipo kama watu wa Beroya kwan huwa napima unachofundisha na kile ambacho Biblia inasema.

    • @johntemba4218
      @johntemba4218 5 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo mtaishi kwenye dhambi mpaka lin? Mathayo 25:1_...

    • @nurumasud1962
      @nurumasud1962 4 ปีที่แล้ว +1

      Mwinjilisti Machota upo vizurii sana wasikuchanganye yaaan mm nimekuelewa sana hao wanakupinga ni wapinga kristo wasikuumize kichwaaaaa sema tuu ukweli tuchomweeeeee wanyakyusa tunasema isyu lya kyala likulasa ila hapo ungeseema RC ndo kanisa la mung weng wangekukoment c huko raisiiii lakin ukisema sabato wapingaji weng sababu waikiitwa wasabato wanaona aibuuu😭😭😝😛😛 ndo uone shetan anavoifedhehesha sabato ya kweli na hapo ujiulize nyimbo za din na bongo freva zinazovuta weng ni nyimbo za bongo freva na jiulize bong frev ni nyimbo za upande ganiii???na ivoivo siku ya kwanza ya juma waendaji kanisan weng wakat sabato waendaji wachache bas hapo jibu unalo kwa mfano tu huo weng wanakimbia sabato et mashart na Kumbuka shetan anamulaum mung kuwa et hawapi uhuruuuu wanadamu ila yye ndo anawapa Uhuru bas mm hukohuko kwenye mashart ndo kwa mungu sasa maana sabato c inamashart mnasema bas ndo ya mung na huko kuliko hakuna mashart ni kwa shetan si hambanwii😋😋😋 na pia mungu anasema mkizishika sabato zang mtanipenda jee mbona hajasema mkiishika siku ya kwanza mtanipenda?? mwinjilist we tupe tu ukweli usitufiche sabato ndo mpango mzima hakuna kingne

    • @aminachacha3591
      @aminachacha3591 3 ปีที่แล้ว

      Mom na amini unayofundisha nikweli mungu atusaidie kuelewa@@MwinjilistiMachota

  • @octaviusakizabraiton5133
    @octaviusakizabraiton5133 4 ปีที่แล้ว +2

    Unipe majb naksbli je yesu aliacha kanisa linaitwa sda yaan sabato? Acha kdanganya watu ww

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 3 ปีที่แล้ว

      Wasabato ndio walimsumbua sumbua Bwana wetu YESU hata kumsulubisha wakipanga siku isiangukie sabato nao hawakujua kama sabato ni kwaajili ya MTU au mtu ni kwaajili ya sabato wakatukuza siku ya pumziko na kumuacha mpumzishaji mwenyewe Bwana wa sabato

  • @florence1kemuma840
    @florence1kemuma840 3 ปีที่แล้ว

    Which church are we supposed to worship.please help!

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 3 ปีที่แล้ว

    Imeandikwa utafuteni kwanza ufalme wake na haki yake..... Hayo mambo ya dini lkn mliookoka mtazameni YESU aliewaokoa hayo ni ya ulimwengu ni dini ,dini ni mbwa mwitu aliejivika ngozi ya kondoo hujifanya ni mpango wa Mungu kumbe sio Bali ni uongo, wajifanya kuwa ni wayahudi kumbe sio Bali wasema uongo ni sinagogi la mashetani.

  • @chrispinimpepo7447
    @chrispinimpepo7447 5 ปีที่แล้ว +1

    waga sichok kuangalia maubiri kam haya

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 4 ปีที่แล้ว

    Hakika dini mbele ya Mungu ni ya Uislamu, na yeyote atakaekuja na dini isiyokuwa ya Uislamu siku ya Qiyama (malipo) hatokubaliwa mtu na dini hiyo nae atakuwa katika waliokula hasara.

  • @jacklinengina3437
    @jacklinengina3437 5 ปีที่แล้ว

    Naomba number yko nikuulize swali moja tu

  • @BakariAbdallhah
    @BakariAbdallhah ปีที่แล้ว

    Kanisa riko juu ya biblia mkasome (mathayo)28/1yesu alikufa ijumaa aka zikwa kabla yasabato akafufuka sikuya kwanza ya juma ambayo jumapili ninani katiyenu asiejua yesualifufuka jumapili (mathayo)28/1.inasema sikuyakwanza yajjuma (luka) piah hivo hivo

  • @TheCvm229
    @TheCvm229 4 ปีที่แล้ว

    Hivi kumwabudu Mungu jumapili au siku nyingine zaidi ya Jumamosi ni dhambi?
    Umeeenda kote vizuri lkn hili la jumamosi ndo tunaachna hapo..

    • @mtumishitv3210
      @mtumishitv3210 4 ปีที่แล้ว

      Kijana,kuwa makini Sana, hakikisha Ukweli unaotoka kwenye Biblia,Kisha utambue kuwa uko wapi,,soma maandiko kwa kuomba uongozwe na Roho mtakatifu,Kisha nae atakufunulia,Kisha chukua uamzi usisite,Wala usiwaze kuwa watu wa family ya kuwa watakufikiliaje,,Mungu akufunulie Ukweli

    • @nurumasud1962
      @nurumasud1962 4 ปีที่แล้ว

      koo unataka lin wewee kama jumamos mungu ndo aliisimika wewe unaipingaje hulazimishwi ila mungu jumamos ndo anaitambua yeye wewe weka tu yakwako hyo sawa hulazimishwi okeyyyyy

    • @samuelmoses9243
      @samuelmoses9243 4 ปีที่แล้ว

      Ng'ang'ania mafundisho ya wanadamu na kukataa Neno la Mungu.

    • @octaviusakizabraiton5133
      @octaviusakizabraiton5133 4 ปีที่แล้ว

      @@nurumasud1962 yesu alisema wakati unakuja watamwabudu mungu katika roho na kwel kwahiyo kweli siokusali jmamos tu

    • @sadickcheyo1633
      @sadickcheyo1633 3 ปีที่แล้ว

      Rafki sikiliza vizuri kishamluhusu mungu akufunulie ukweri mpendwa

  • @innocentmatanawe6250
    @innocentmatanawe6250 4 ปีที่แล้ว

    NI muhimu wanaadamu wakaisoma Sana biblia, nakuifata,

  • @TheCvm229
    @TheCvm229 4 ปีที่แล้ว

    Unaongeza maneno, hakuna sehemu imesema amri 10 za Mungu... Anaseme wazishikao amri za Mungu ila hajasema idadi..
    Hilo andiko la Yakobo ulilotumia ni kwamba mnaambiwa ukiamua kufuata sheria shika zote. Mfano kama kitimoto ni dhambi basi shikeni torati yote..

  • @titusmutuo2810
    @titusmutuo2810 5 ปีที่แล้ว +6

    mtumishi wa Bwana,katika jimbo letu nyumbani hamna kanisa ya SDA,mwenyewe sio mwanaSDA hila nauona ukweli...nalianza na Africa Inland Church (AIC) kisha nikaenda kanisa katoliki...kisha sikupendezwa na ule uabudu wa sanamu kule...nikarudi tena AIC...sasa nimekuwa nikifuatilia kwa kina sermons zako...ningetaka kujiunga naSDA hila hilo kanisa lipo tu hapa Nairobi lakini kwetu nyumbani halipo...ni rahisi kuhudhuria nikiwa mjini hila nikienda nyumbani kutakuwa na shida nifanyeje jameni...Nairobi sina shida nitahudhria..swali la pili,je kuenda Kanisani on sunday ni dhambi? kwa sababu nimeshawahi sikilia sermon isemayo uabudu jumapili ulikuwa wa miungu ya jua...

    • @MwinjilistiMachota
      @MwinjilistiMachota  5 ปีที่แล้ว

      Upo jimbo gani mtumishi

    • @MwinjilistiMachota
      @MwinjilistiMachota  5 ปีที่แล้ว

      Kama sasa upo nairobi unaweza kesho enda kanisani ukutane na pastor ili akusaidie kukuunganisha na kanisa lililo karibu na kitui magharibi

    • @titusmutuo2810
      @titusmutuo2810 5 ปีที่แล้ว

      @@MwinjilistiMachota ahsante mtumishi wa Bwana...Mungu awe nawe

    • @MwinjilistiMachota
      @MwinjilistiMachota  5 ปีที่แล้ว +1

      @@titusmutuo2810 Amina, Bwana akawe ngao katika maisha yako, akupiganie na kukuongoza

    • @tobesimatiku8459
      @tobesimatiku8459 5 ปีที่แล้ว

      @@MwinjilistiMachota barikiwa Sana

  • @susanraphael5894
    @susanraphael5894 3 ปีที่แล้ว

    Kanisa katoriki limewakaa kooni Hubirini neno la Mungu muache upotoshaji hukumu mnayo nyie mtabaki hivyohivyo kutafuta wateja Badala muhubiri neno la Mungu. Kwaiyo sabato ndo kanisa la kweli ?