Alioa na alikuwa na watoto saba pia huwezi kufanya kazi sunheadilini Bila mke na ndo maana walimtumia kwenye kukamata watu ila alipoa za kazi aliacha familia yake Jerusalem kwa alikaa koritho miaka sita efeso miaka mitatu kwa hakuna aliona mke wake maana hakuwa naye muda huo ndio maana akasema ni heri kukaa kama yy alivyokuwa
Hakuna maelezo yanayo jitosheleza kuhusu kuwa na mtoto au kuoa, taarifa zake ziliandikwa baada yeye kuokoka, kwaivo maisha yake ya kale hakuna mahali yaliandikwa kwaivo hatuna ushahidi wowote kuhusu hilo.
Wanawake hawatakiwi kuwa vichwa wazi. Wanatakiwa wafunike kichwa chote! Soma 1 Wacorinto 11:5,6) Pia vazi la mwanamke mwema mcha Mungu, ni vazi la Stara"Hijabu" vazi la Sheria vazi la Heshima vazi la Ucha Mungu. Soma 1 Timotheo 2:9,10) Mavazi mafupi yakubana ya mpasuo au suruali zakubana, hayo ukivaa wakati wakutoka out, maandiko yanasema wewe ni kahaba. Epuka na mavazi hayo hayafai. Soma Mithali 7:10,11) Kama una swali lingine uliza Dada yangu nitakusaidia.
Hongera sana kaka mapungufu kidogo sana mfano mara nyingi limetumika neno mbona waniudhi
Nimesikiliza zaidi ya mara kumi lkn bado nahc nahtaji kusikiliza zaidi hongera sana sana msomaji umenibariki sana. Ubarikiwe zaidi ya nilivyobarikiwa.
Mtumishi ubarikiwe sana mnatukumbusha vitu vingi mungu akuongezee maarifa umenibariki
Paulo ako na hata vijana sasa na shangaa sana ukiwa mwalim unatufunza akuoa ajabu
Thanks
Bwana Yesu awabariki Sana mzidi kuchambua jamani
Ubarikiwe Sana nasomo lako unatujuza vingi
Ameni sana, ubarikiwe mnoo
Kumbe huja soma historiya. Paulo ni mrumi
Paulo ni myahudi ndugu fatilia vizuri vyanzo vyako vya history
Vizuri sana🥰
Thanks about thé video
Thanks and welcome back
Safi sanaa
Asante sana ndugu. Barikiwa mnoo
Ameni
Amen
Kazi nzuri sana kaka
Ameni
Asante sana naipenda kazi yenu
Bwana anatenda
Good
Ameni
Uka sawa ksbisa
Asante sana. Karibu tena na tena.
Alioa na alikuwa na watoto saba pia huwezi kufanya kazi sunheadilini
Bila mke na ndo maana walimtumia kwenye kukamata watu ila alipoa za kazi aliacha familia yake Jerusalem kwa alikaa koritho miaka sita efeso miaka mitatu kwa hakuna aliona mke wake maana hakuwa naye muda huo ndio maana akasema ni heri kukaa kama yy alivyokuwa
Mke wake nawa toto wake wali uwawa. Kisha kuanza kazi ya bwana yesu
Mtume Paulo alikuwa na watoto ? Au aliowa
Hakuna maelezo yanayo jitosheleza kuhusu kuwa na mtoto au kuoa, taarifa zake ziliandikwa baada yeye kuokoka, kwaivo maisha yake ya kale hakuna mahali yaliandikwa kwaivo hatuna ushahidi wowote kuhusu hilo.
Saf
Asante sana
Hakun mtume anaeitwa Paul
Wasilamu mko na shida sana. Ukona andiko kwa Quran Paulo si mtume
Jina Avith limeandikwa ktk kitabu gani? Kwenye bibilia
Asante kwa swali lako @Simaraphael Lucus, tutakurejerea na jibu la swali lako. Barikiwa sana
Unauhakika acheni ujinga mbona anasema. Injili hiyo mliiamini bule wakolinto wakwanza 15
Kasome tena nyinyi ndiyo munasoma nyaraka za Paulo vibya 2 petro 3:15-16
Kazi yenu ni njema sana. Lkn wakorintho 1 :3: 14 je inamaana wanawake wafunge vichwa vyao au inamaana gani hii
Asante sana Kwa Pongezi, Ubarikiwe mnoo, kwa habari ya wanawake kufunga vilemba vichwa vyao tutaileta hivi karibuni.
Wanawake hawatakiwi kuwa vichwa wazi. Wanatakiwa wafunike kichwa chote! Soma 1 Wacorinto 11:5,6) Pia vazi la mwanamke mwema mcha Mungu, ni vazi la Stara"Hijabu" vazi la Sheria vazi la Heshima vazi la Ucha Mungu. Soma 1 Timotheo 2:9,10) Mavazi mafupi yakubana ya mpasuo au suruali zakubana, hayo ukivaa wakati wakutoka out, maandiko yanasema wewe ni kahaba. Epuka na mavazi hayo hayafai. Soma Mithali 7:10,11) Kama una swali lingine uliza Dada yangu nitakusaidia.
Kuna.vifuno.viwili.nywele.ndefu.au.kitambaa
Amina
Soma 15 hapo hapo.
Pup PP
Asante sana na Ubarikiwe
Uongo mtupu, Aliwauwa wakristo? Ukristo umeanzishwa na nani?
Unajua unachokiandika kweli??
Ujitambui
We juma si lazima kukoment Kama huna vitu vya msingi
Ipo siku inakuja utajua tu...usiongeee usicho kijua
Umeanzishwa na Mungu punde alipomleta Yesu mwanawe mzao was kwanza.
Amen
Ameni Ameni