Asante sana kwa story nzuri za kwenye bible. Daud kumpiga Goliath inatufundisha kuwa Mungu hashindwi na jambo lolote hata liwe gumu kwa akili za kibinadamu kwa Mungu ni lepesi tu. Nakuombea wewe unayesoma ujumbe huu Mungu akupe Imani iliyo thabiti katika magumu yote mtegemee yeye utashinda.
Iam from tanzania lakini Mimi ni mtoto mwenye miaka 14 always napenda kuangalia story book zako course unasauti nzuri sana nakuombea kwa mungu maisha marefu na heri duniani🙏
Mafundisho ya Bible mafundisho ya Mungu ni yale yale jana kesho na hata milele hayabadiliki ..Bible is perfectly book 100% .. huo uchunguzi mpya magunduzi mapya na mafundisho mapya ni ktk vitu vngn ila si kwa neno la Kristo
Kaka unatupa elimu iliyo nzuriii..najikuta naongea na nafsi yangu.. ,pamoja na kujiusia kusoma sana vitabu vya Mwenyezi Mungu. Kwani kuna elimu kubwa yenye mazingatio katika maisha yetu hapa Duniani, Kaburin na Kesho mbele ya Mungu..Kila la kherii
Story book ni cinema iliyoshiba wala hahitaji maelezo yoyote yale,hakika nipate kusema profesa Jamal ni mchambuzi wa hali ya juu kabisa ,umenifanya nisome biblia bila kulazimishwa,hongera kwako profesa Unahitahi kupewa tuzo ya usimulizi
Asante kwa story nzuri MUNGU wetu hajawahi shidwa na Jambo yeye na MUNGU wa wote wenye mwili hakuna Jambo gumu kwake haijalishi unamuonekano gani ama Jambo Ni gumu kiasi gani akisema ndio hakuna wa kupinga Jamal unajua kusimulia story hongera sana
Nimejitahidi sana kutoandika kitu! Ila Wakati naendelea kusikiliza unavyoelezea nimejikuta naelewa kuwa we ni zaidi ya smart bro! Ur good! Unatupa kitu roho inapenda. Thanks man. Mungu akupe maisha marefu uendelee kufundisha kizazi hadi kizazi.
Ukiona nimeunga bundle ujue naunga kwaajili ya THE STORY BOOK.JAMAL, EDGAR, MPAGAZE SALUTE SANA KWENU KWA KUANZISHA THE STORY BOOK. natamani viongozi wetu wangekua wanafuatlia the story book ili muwakomboe kifikiri🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼👍👍👍❤❤❤❤❤
Mr Story Book, Asante kwa masimulizi yako mazuri,yenye mafunzo mbalimbali, nitoe tuu ushauri kwako. Unapotumia vitabu vya Dini, yaani BibLia na Quran, hivi vyote ni vitabu vitakatifu. Lakini wewe unatambua Quran tuu ndo kama kitabu kitakatifu, yaani ukisema biblia hutumii neno takatifu lakini ukitamka Quran hutamka Quran takatifu. Hii sio sawa Mana hukippi heshima takatifu kitabu Cha Biblia kama kinavyostahili ilihaki unakitumia Kwenye simulizi zako
Thanks so much brother,leo ndio nimesikia hiyo story ya daudi Kwa upande wa Quran takatifu, lakini mara nyingi nilikuwa naisoma katika biblia tu🤝,asante sana.
Asanti sana Kwa mzimulizi Wa hii story yenye utamu Wa kugundua mambo mazurii na yenye manufaa kubwa sana katika maisha ya kila binadamu anayeishi.yatupasa kujua yakwamba Mungu anaweza na ana ushindi katika kila jambo
TANZANIA ni moja ya nchi ambayo raia wake yeyote yile akiwa na kipaji basi wanakipuudhia tuu, ila uyu mtu jamal april kama angekuwa nchi ambazo zipo serious basi angekuwa mbali sana maana si kwa kipaji iki
@@lakasid3860 kasome kwanza sehemu tofauti ndio utapata jibu, nikikuuliza biblia iliandikwa karne gani na ni miaka mingapi iliandikwa baada ya Yesu bila shaka hujui? Taurati iliandikwa zama gani? jee vitabu vengine vimesemaje? hujui wewe utaniletea uliyoambiwa labda kwenye taasisi yako sio kwa kusoma sehemu tofauti, so baki na uelewa wako utanipotezea muda tu.
@@jimboulaya nakupotezeaje muda ww sindy umekuja hapa, halafu unasema nikasome unataka nkasome nn wakat kila ktu nishasoma nakuelewa nandomana nikasema hivyo nilivyosema naninajua hata wewe unajua kuwa Biblia ndy sehem sahihi yataarifa za Mungu ila naona unajitia kukaza fuvu tu.
Asante sana kwa story nzuri za kwenye bible. Daud kumpiga Goliath inatufundisha kuwa Mungu hashindwi na jambo lolote hata liwe gumu kwa akili za kibinadamu kwa Mungu ni lepesi tu. Nakuombea wewe unayesoma ujumbe huu Mungu akupe Imani iliyo thabiti katika magumu yote mtegemee yeye utashinda.
Ameena
Ameen
Ameen KUBWA👏
Amina
Amina
I am from in Tanzania Africa I beg all the people of Tanzania we have to proud of jamal April for teaching us, pig professor in Africa
Iam from tanzania lakini Mimi ni mtoto mwenye miaka 14 always napenda kuangalia story book zako course unasauti nzuri sana nakuombea kwa mungu maisha marefu na heri duniani🙏
Nimekupenda bure
Amen @@joycelaulensfilbert-ii3vh
Pamoja Sana mudogo wangu
The story book nikipindi kizuri sana kinatoa histoty nzuri
Daaa uwezo wako ni Kama mwanga wa Jua Ulimwenguni..
🔥🔥🔥🔥
Nimeskia rah alivyomsameh🤲🤲🤲🤲hakika Allah anapokea msamaha
Mafundisho ya Bible mafundisho ya Mungu ni yale yale jana kesho na hata milele hayabadiliki ..Bible is perfectly book 100% .. huo uchunguzi mpya magunduzi mapya na mafundisho mapya ni ktk vitu vngn ila si kwa neno la Kristo
😂 wabongo bn
Wrong
@@eliwahavehaeli9938 cy
@@eliwahavehaeli9938 uyyu
Mungu asieshindwa kisichowezekana kwa mwana damu, kwa mungu inawezekana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪
🙏🙏🙏
Jamal April mungu akulinde uendeee kutunogesha na mambo matamu.
Kiukweli hakuna kinachoshindikana kwa Mungu GOD IS GREAT 👍 👌 🙏 🙌
Leo nimekua wa pili like zenu wadau wa the story 📖
Dah hii story ina mafundisho yenye mazingatio sana kwa maisha ya binadamu, RESPECT SANA JAMAL APRIL
Tunatamani sana stry ya lebo ya wasafi Jamal Fanya mambo mkaka
Mungu ndio kitu mhimu Sana apewe sifa ninaziona dalili za kujikita kwenye dini mungu akuwezeshe kipaji ili utupe maelifu ya elimu
Jamani we kaka una nibariki sana na the story book mungu akuzidishie kipaji chako 🙏🙏❤️❤️
Kaka unatupa elimu iliyo nzuriii..najikuta naongea na nafsi yangu.. ,pamoja na kujiusia kusoma sana vitabu vya Mwenyezi Mungu. Kwani kuna elimu kubwa yenye mazingatio katika maisha yetu hapa Duniani, Kaburin na Kesho mbele ya Mungu..Kila la kherii
Duh yani mtihani wa Daudi ni fundisho kubwa sana yani Mungu hashindwi sababu huo mfano wa kondoo 99 na mwenye kondoo mmoja duniani sisi haturidhiki
Asanti sana professor.. Mwenyezi aendelee kukuneemesha ...zaidi.
Asante Kwa hadhiti hii❤❤❤❤❤❤
Mwenyezi mungu atusaidie kutupa loho mtakatifu atsaidie tunapokuwa vitani na wabaya wetutuwashinde kwa imani amenii🙏🙏🙏🙏🙏
My Name David.. means a beloved of God
(a proud of it)
🤗🤗
Jamali💓💓💓💓💓
Hizi story Zita ishii sana 🌍
Fact
Nakuomba uendelee kuhadithia stories za manabii very interesting
Mungu ananguvu hata waabudu shetwani 😂
Mungu ni nuru Atukuzwe milele.
Mungu akuongezee siku mutumishi wa Mungu
Kazi mzuri prof Jamal asante kwa kutufunulia tusiyoyajua
Mungu ni mungu tu akuna mwengine kamawewe
God
Kwangu mm sina kipindi ninacho kipenda kama the story book
Nakupa vizur jamal from Ukrine huku tunakipiga Vita huku tuhasikiliza The story book from Tanzania Sarut 👍
Mr jamal he is here mashallah may Allah bless u bro💯💯💯💯
👍👍
Hello
Amen amen kwa story ya daud na pendezwa na yo goliati mwenye Ana tatiza maisha yetu tuta mutia shini
From the day I started following the storybook, never want to miss even a single story.. well done prof👏👏#very informative🙏
Me too 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🏼🙏
We are all together
th-cam.com/video/RWxFe0IwFEo/w-d-xo.html
Good sana
Mm too siz
Story book ni cinema iliyoshiba wala hahitaji maelezo yoyote yale,hakika nipate kusema profesa Jamal ni mchambuzi wa hali ya juu kabisa ,umenifanya nisome biblia bila kulazimishwa,hongera kwako profesa
Unahitahi kupewa tuzo ya usimulizi
Hakika Mungu hanatisha
Shukrani Kwa hizi hadithi za bibilos
I love you story book for giving us big secret about nature ❤️❤️❤️ I love you
Asante kwa story nzuri MUNGU wetu hajawahi shidwa na Jambo yeye na MUNGU wa wote wenye mwili hakuna Jambo gumu kwake haijalishi unamuonekano gani ama Jambo Ni gumu kiasi gani akisema ndio hakuna wa kupinga Jamal unajua kusimulia story hongera sana
Naomi naomba unitumie namba ako, ila kwaajri ya kujuliana har na kubadilishana mawazo, name napenda cana kusoma na kusikiliza story,
Nimejitahidi sana kutoandika kitu! Ila
Wakati naendelea kusikiliza unavyoelezea nimejikuta naelewa kuwa we ni zaidi ya smart bro! Ur good! Unatupa kitu roho inapenda. Thanks man. Mungu akupe maisha marefu uendelee kufundisha kizazi hadi kizazi.
Ukiona nimeunga bundle ujue naunga kwaajili ya THE STORY BOOK.JAMAL, EDGAR, MPAGAZE SALUTE SANA KWENU KWA KUANZISHA THE STORY BOOK. natamani viongozi wetu wangekua wanafuatlia the story book ili muwakomboe kifikiri🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼👍👍👍❤❤❤❤❤
Napenda iyo story book sana God bless
Mr Story Book, Asante kwa masimulizi yako mazuri,yenye mafunzo mbalimbali, nitoe tuu ushauri kwako. Unapotumia vitabu vya Dini, yaani BibLia na Quran, hivi vyote ni vitabu vitakatifu. Lakini wewe unatambua Quran tuu ndo kama kitabu kitakatifu, yaani ukisema biblia hutumii neno takatifu lakini ukitamka Quran hutamka Quran takatifu. Hii sio sawa Mana hukippi heshima takatifu kitabu Cha Biblia kama kinavyostahili ilihaki unakitumia Kwenye simulizi zako
Qurani ndo imeandikwa ivo ndugu
Ben umemwambia ukweli wakat stoli zake zotee Ana sitowa kwenye biblia takatifu
bora aache kutumia bible atumie kitabu chao
Quran kitakatifu ndio maana ukichoma una dhulika bible haina hiyo so quraan ni holy
Makuma nyie kama hamtaki msisikilize hamja lazimishwa
Asante Sana kwa hi story nzuri Sana
Ahsante kwa elim ulotupatia kwakua🇹🇿wavivu kusoma naniwepesi kusikiliza
Asanteni kutukumbusha History hii
Asante sana kwa hiyo the story book mungu akubariki sana
Ni simulizi nzuriii sanaaa kwa wenye kuwa na imani toka moyoni na kuwa na hofu ya Mungu
Thanks so much brother,leo ndio nimesikia hiyo story ya daudi Kwa upande wa Quran takatifu, lakini mara nyingi nilikuwa naisoma katika biblia tu🤝,asante sana.
Mungu akuongoze katika kutafiti kwako bwana Jamal
🙏🙏🙏🙏
Ahsante kwa stir ni nzur sana
Mashallah
Mungu atuongoze tuyashike vyema yanayosemwaa
Nikweli storybook nzuri Sanaa napenda kufatilia na najengeka kiiman Mungu akubariki sanaa🙏 Aloyce from Tanzania
Asante kwa stori nzuri zinanikonga moyo sana
Plz am your fan from Kenya plz tuandalie story ya idd Amin dada🙏🙏🙏
Alishasimulia isearch tu
Stories IPO tayari
Jamal Mustafaa 🔥🔥🔥
Jamal uko juu lazma kufatie kila wiki 💯💯💯💯💯..
Waooo Nice brother.. uko vizuri sana.
I love old story that's show n tell the greatest of God
Mi wa nne like
Nimeipenda hii kuliko zingine kabisa
Allah akubari ktk kazi zako na akulipe kwa ujumbe wako safisana
You deserve more than being a Professor 🤝🤝🤝 Man i take a bow to you # UNAJUA KINOMA ♾
My name is Kadrow napenda sana tuelewe ya kwambia historia ni msingi wa maisha yetu
Asanti sana Kwa mzimulizi Wa hii story yenye utamu Wa kugundua mambo mazurii na yenye manufaa kubwa sana katika maisha ya kila binadamu anayeishi.yatupasa kujua yakwamba Mungu anaweza na ana ushindi katika kila jambo
Fireeeee❤
Asante sana kwakutuletea story kuusu goliati na devid❤🎉🎉
Nimerizika sana tena nimekubali
Asante sana Jamaal kwa stori Ii nzuri be blessed🙏🙏🙏
Thank you our teacher I normally listen the new story book every week
Mungu nimkubwa
Good story book🤩🤩🤩🤩🤩🤩
From Congo Brazzaville watching now
Upo vizuri kiongoz mungu akubariki
Stor Kali Sana hii🔥🔥🔥
Asante sana kwa story mzurii
TANZANIA ni moja ya nchi ambayo raia wake yeyote yile akiwa na kipaji basi wanakipuudhia tuu, ila uyu mtu jamal april kama angekuwa nchi ambazo zipo serious basi angekuwa mbali sana maana si kwa kipaji iki
Hhhhh kua serious kidogo... kipaji gni kusoma n kusimulia n kipaji??
@@seiphsaid7715 mbona wewe husomi na ukatusimulia tukasikia hadithi zako
Mbona wakaida sana
@@zaburi2386 sawa embu jiulize wewe je unaweza kuwa kama yeye au kumpita yeye, ukishapata jibu utaacha roho ya kwanini
Fala Sana. Rudi usome English
Thank you Mstafa...you're the best, we have learnt alot by this story book.....I love it...shukran
JAMAL APRIL wewe sio binadam wa kiwaida big up
Asante sanaa
Asante sana jamal kwa kutuelimisha
🙏🙏🙏🙏😍Mungu ni Mkubwa
MASHAALLH ALLAH akujalie afya na amani ewe professor hakika nimejifunza
Ahsnte sna kwa story brother🙏
Asante kwa hii story ya bibilia...kuusu shujaa daudi
God is Good
Hi
Thank u jamal🐎🐎🐎🐎
Tutetee ee mungu me ni mdogo lakn naiman nitavuka majaribu makubwa
Asante Jamal .Tunapata elimu kubwa sana kupitia wewe.Barikiwa sana.
Napenda sana story zako
Mimi napenda sana hizi story yani ni nzuri mno
Allah ndio mueza wa kila jambo🙏🙏
Asante Mungu akubarikisana
Habari zote za Mitume na Manabii wa Mungu zipo kwenye Biblia tu na si kwingineko..
Ni kwa mujibu wa ulivoambiwa wewe na ukaamini, na upeo wako un aoneakana ndipo ulipoishia kwenye ukondoo, kulishwa na sio kutafuta ukajilisha.
@@jimboulaya mbona hasira? Hicho nilichosema ndy ukweli mtupu, niambie nisehemu gan unapata habari za mitume na manabii wa Mungu?
@@lakasid3860 kasome kwanza sehemu tofauti ndio utapata jibu, nikikuuliza biblia iliandikwa karne gani na ni miaka mingapi iliandikwa baada ya Yesu bila shaka hujui? Taurati iliandikwa zama gani? jee vitabu vengine vimesemaje? hujui wewe utaniletea uliyoambiwa labda kwenye taasisi yako sio kwa kusoma sehemu tofauti, so baki na uelewa wako utanipotezea muda tu.
@@jimboulaya nakupotezeaje muda ww sindy umekuja hapa, halafu unasema nikasome unataka nkasome nn wakat kila ktu nishasoma nakuelewa nandomana nikasema hivyo nilivyosema naninajua hata wewe unajua kuwa Biblia ndy sehem sahihi yataarifa za Mungu ila naona unajitia kukaza fuvu tu.
Hata waislamu acha kukufuru hata Yesu wanamjua wao wanamuita Isa
Umetisha Sana jamali like moja kwa jamali
Mungu akubariki Anko J hapo tumepata kitu cha kujifunza
Umetisha sanaaa mwanangu umepita mule mule
Kazi nzuri🇰🇪🇰🇪
Professor never disappoint 🇹🇿🇹🇿🙏
Baddest professor 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🇰🇪🐐
Wasafiii mmepata kituuuu adimu hapa
Naam shekh🔥🔥
Swafi professa💯💯💥the Greek mythology next