Njia rahisi ya kujua kama unatakiwa Toa Zaka | Ukweli na Uongo Juu ya Zaka - Sheikh Mussa Kundecha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 7 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah
    Aka bachuchu Mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @hamisikibula9694
    @hamisikibula9694 8 หลายเดือนก่อน +2

    ALLAH atujalie tuwe wenye uwezo wakutoa zaka sote na awajalie wenye uwezo wa kipato Zaidi na Zaidi ili waendelee kutoa. 🤲🏿❣️📿

  • @user-sg1ip7mk9y
    @user-sg1ip7mk9y 8 หลายเดือนก่อน +2

    Allah atuongoze katika hili lnshaAllah

  • @a.856
    @a.856 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jazakallah khayran

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 8 หลายเดือนก่อน

    Mash Allah tabarak Allah kheri, Jazzak Allah kheri shekhe

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 8 หลายเดือนก่อน

    We mwandishi hufai kuwa mtangazaji sauti inavutia sanna
    Kamanungekuwa mke wangu
    Nisingekuruhusu

  • @saidieiddy1381
    @saidieiddy1381 8 หลายเดือนก่อน

    Hii dini tamu sana❤

  • @abdullahomar4236
    @abdullahomar4236 7 หลายเดือนก่อน

    Muandishi umeudhi hujauliza maswali ya msingi niliyokuwa nataraji

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  7 หลายเดือนก่อน

      Yapi Abdullah tuulize in sha Allah

  • @saumujuma-qk7ql
    @saumujuma-qk7ql 8 หลายเดือนก่อน

    Kwahyo hio zaka tunatoa kias gan katika Mali yangu?

  • @Issa-ud6sy
    @Issa-ud6sy 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh,Nina biashara,Nina Lima mazao na ninamifugo,nitatoa kipi katika hizo?

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  8 หลายเดือนก่อน

      Kwa kesi yako hii
      Kila kimoja kitolee Zaka kama kimefika viwango
      Ngombe wako kama wamefika 40 basi Toa Zaka mbuzi mmoja (Ndani ya mwaka)
      Kama mazao yako yamefika Gunia 7 Kwa msimu basi toka Kilo 33 Kwa mwaka
      na Kwa kesi ya Biashara yako basi Toa kama unavyoelekezwa katika hii video yetu.
      Ahsante

    • @sadiqselengu4197
      @sadiqselengu4197 8 หลายเดือนก่อน

      Hii gunia saba mtu atoe kilo 33.. JE gunia hili la kilo ngapi?? Pili mfano mpunga kwa gunia la mpunga nikiwa nimekoboa au likiwa bado ni mpunga??? ​@@kalamuMedia