Duuu hìi nimeipenda sana. Ubarikiwe sana. Umenikumbusha mchungaji mmoja aliniomba tubadilishane makabila kama inawezekana ili yeye awe mgogo, kwa sababu ya uimbaji wa wagogo.
Sande kuwika wimbo wuno mu-you tube. Nauhulika zuwa limonga kwidodoma on a local radio station in Dodoma, and I went like where and how do I get it. Today I went on random searching... boom, there is it is. Thanks KV and Media TV for this hit song. Mbarikiwe waimbaji na watunzi. Great hit
Kwa walio dislike huu wimbo nahisi si wagogo kwa sisi wagogo utamu wa mwimbo huu tunauelewa Dodoma itabaki kuwa juu na ndio mji mkuu wa Tanzania
Dogo safi sana.naomba imba kwa kusifu kazi za magufuli upige pesa kw a kuigiza sauti ya kwaya hii
Nyimbo nzur sana inabariki...
Wagogoo mbukwenyiiiii
@@melaniahenley9196 misaaaaaaaaa
Misaaa
Kama wew ni mgogo wa kongwa gonga like hapa kongwa moja iyo
Makangila wa Ugogoni ? Napita naenda zangu Ibwaga
Viswanhu vahembi
Halehale
Home sweet home, gonga like hapa 2020
kama wagogo wa kibaigwa tupo wengi usipite bila ku like hapaaa ili chimanye wayangu
wagogo tupooooo ❤❤❤❤❤ mkataa kwao ni mtumwa napenda sana nyimbo za kigogo
Wagogo ndo wanaoongoza kwa melodi za kuvutia hapa tz so hata kama huskii kgogo utasikiriza melodi tu
Wagogo wenzangu tujuane ukipita like hapa
Mbalikiwe
Jaman wagogo mpo
Tunaongeza kwa uzuri wa nyimbo na kucheza kwa Madaha yaliyo jaa maadili ya kitanzania
Simbokoche ila kwa injili ay lazima niokoche kwa yesu laha
Cilibaha chimemile na nhumbula zili kwa Yesu
Anye huu wimbo naupenda sana na ubunifu wao wa namna ya kuuimba! Aaah! Nyimbo za kigogo nazipenda sana.
Agwe saimon nhondoo ukuchimala naule chinyamayeeeee hongeren sana kitim tim watoto wa mlimwa c nawaelewaga sana hamjawah kukosea
Wimbo mzuri sana kwa maana unamtukuZa Mungu na kumsifu kutupasa yuache dhambi tumurudie Mungu 🙏🍇🍇🍾🍷🍷 MPUNGUZI 4real.
Mungu awabariki jmn naupendaa saan huu wimbo nikiusikia namkumbuka mama angu anaupenda mno.😊
Uluganuzi luswanu uwafichile wanhu wose we inze, wampituchile MUWAHA wauleche wubi wao, ho waponye nhumbula zao!
Nimebarikiwa kwa wimbo huu!
Wimbo uletendewa haki kila idara!
Siwezi nyamaza kimya!! 🥰🥰
Mbarikiwe sana wapendwa..nyimbo za aina hii waimbaji lazima wawe na kipaji cha sanaa.
❤❤❤ napendasan lugha yetu jmn
bonge la ngoma wagogo juu
Jamani wagogo mnaimba na kucheza vizuri! Aaaaah! Napenda sana nyimbo za kigogo!
Amina nina furaha mpaka nalia😭😭kiukweli sikujua mambo iko hukuu kaka unakipaji sanaa🙏🙏
Daa jamani mnatufanya tumiss nyumba I Sana!! Mungu awabariki.
Watani zangu wapo vizuri bonge la song
Proud of gogo❤❤❤
Najivunia sana. Ikitokea nimekufa mungu akanipa nafasi nyingine ya kurud duniani nitaomba nirudi kama mgogo.
Duuu hìi nimeipenda sana. Ubarikiwe sana.
Umenikumbusha mchungaji mmoja aliniomba tubadilishane makabila kama inawezekana ili yeye awe mgogo, kwa sababu ya uimbaji wa wagogo.
Chokubochela uzeduu
A very strong message
Hakika hakika hakika
😁😁
Anaeangalia huu wimbo 2021 weka like apa mmenyan'zia niniiiii
Sikieni maneno ya wimbo huu kisha Fanya mambo mema yakumpendeza Mungu
barikiweni Sana wapendwa na mungu wambinguni akazid kuwapa kibali
Amina sana jamani
Mwene chinyamalie chi wayangu
Vestina Simon amba sing'umanya chimaliechi?
Mbarikiwe sana nimebarikiwa na hiyo nyimbo hasa mnavyotumia lugha zetu asili za Africa.Natoka Kenya mbarikiweni sana wapendwa.
Isaiah Esuron 👍👍👍👍
Karibu Dodoma
Iko nzuri sanaaa iiiyoo nimeipenda wagogo mko poa sanaaaa
Mmenikumbusha nyumbani 🙏❤️ Dodoma
Sanaaaaaaaa tu
Maubili mnasikia lkn bd mmenyamaza oooooh mnyamaliyecho sichoki kusokiliza mungu awabaliki ane nakondwa manya ndumbula Yangu naigomola kwa yesu
Doto Cresesia yaan mim nasikiliza huku nalia...nimekumbuka nyumbani walah
Bonge la ngoma wagogo oye
Mungu awabaliki
Mbeka wanyaubi nhaule cinyamaye . Walonji walonga nghani yo uponi wetu ninga wanhu vyomunyamaye du 🎉
🙏🙏🙏Mnyamalie chichi 😁😁
Cigogo ciswanu gweee
Kwakweli nyemooooo
Naona fahariiii kuwa mgogo mbekambeka
Hakika Mungu akubariki, Wimbo umetendewa haki kila sekita.
Wagogo ni kabila la tatu Afrika nzima kwa kua na sauti nzuri katika nyimbo zao za asili wazulu wa S.Africa wakiongoza
Congatrats Central zone tribe
Najivunia kuzaliwa dodoma mungu awabariki mnapatikana sehemu gani dodoma nipate nafasi ya Kuja kuwatembelea
mungu awabaliki sana hakika mmethihilisha uhalisia Wa lugha yenu pia mmeweza kuwagusa watu wengi sana kwa ujumbe mzr
El-shadai chior chaduru kweli kabisa
Jamani hii nyimbo naipenda sana
Me kwetu chilonwa ya chamwino
Watching here in 2024
Maashallah kazi nzr sana ktk nyimbo za kigogo sijaona wimbo mzr sana kma huu good sana saimon
Msodoki Hazard saana
Si mgogo ila nimekaa ugogoni hiz ni radha mojawapo za dodoma naenjoy sanaaaaaa
Hureeeee!!!Fahari zetu Tanzania.
Natamani niifaham vizur hii lugha ya Mimi mgogo jina cjui kilugha
Nawapenda wagogo wenzang jamn
Ooh mnyalie chichi heya chahulika mulungu yachitaze
Hahahahaaa bonge moja langoma...mnanikumbusha nyumbaniiiiiii
Yani mulungu nkulomba unitaze unikweme ne sakami yako lililiiiiiiiiiiii
Nawatowela maganza wahinza ne wazelelo Wa Yesu.....muwaha yawasinanula
Idodomya kukaye.
Nimebarikiwa sana na utamadunisho wenu ne nkani ya Mlungu..
Juma baro
Hongera sana SIMON❤
uwiiiiiiiiiiiiiiii,hobaho ,langa namota
Sande kuwika wimbo wuno mu-you tube. Nauhulika zuwa limonga kwidodoma on a local radio station in Dodoma, and I went like where and how do I get it. Today I went on random searching... boom, there is it is. Thanks KV and Media TV for this hit song. Mbarikiwe waimbaji na watunzi. Great hit
nye wayangu mukumota hawaha paulina samule
paulina samule mwahonjela mukwimba visanu munomuno nye
Lina Jose wanya kwii awa wembaji?
Lina Jose taunonjelaje awa wa Paulina wanya hai?
Maganulo mwagahulika ninga nzomwikae mnyamae penda sana nyie
Safi sana najivunia kuwa mgogo
Maganulo mwagahulika ila zomikaye mnyamaye
Nimebarkiwa saaaan hongeren wagog wenzangu
DODOMA FAHARI YANGU ❤️💖
Daah barikiwa sana
Nghuwaona mlikunyika daaah!! Nesukwa na kukaya
Kweli noma Sana wagogo
Wagogo juuu
I'm proud to be mgogo
Amen, Utukufu ni kwa Mungu pekee
Bro unaweza sanA make nilikua nazisikia nyimbo zako nikaona nikufatilie nimejua kuwa siyo wee m2 wa kawaida
Kwan nyimbo zako ni hizi mbili tyu
Maganuro mwagahurika ninga zo mwikaye mnyamanye matumo genyu mgamanyire ninga zo mwikaye mnyamanye Muwaha yalumbwe
Shemeji zangu wapo juuuuuuu
Ameeeeeeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 mungu awabarikiiiiiiiiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaaa
Kazi nzuri sana
Penda sana
Barikiwa
Shemejii zangu
Nakubal sana👍
Tupo vinzuri wagogo Sanaaaaaaaa🎉🎉😂😂
Na wadodo mbona mnyamae
Kutoka mpwayungu like hapa
Ongereni sana nyimbo nzuri
Nyimbo nzruriiii sana💥💥💥
Woooow oooh mnyamalie chichi
Nakupenda, bule, kaka
Mulungu yawalugute wimbo mswanu
Nice songs, Congratulations Wagogo...
Mungu, abaliki, kazi, ya**mikono**yako
Nyimbo nzuli sanaaa
Mnyamaye wayaya mnyamaye wana wakitamisa waya ya mnyamaye nye mnyamaliechiiii naskiiii rahaaa mm kila siku
Jmn najivunia kuzaliwa ddm nyimbo nimeipenda
Mnyamaliechi anye wanhu wose
Nyimbo nzur mno
Zuri zaidi nayo
Jamani nakumbuka nyumbaniii
Bonge la songi, hongereni wagogo wenzangu
Yaan,am proud
Ngoma Kali sana
3 yrs down bust still my favorite
Wimbo mzurii sana
na Mimi eti nimenyamaza@Simon chibaleni nakutafuta
Motooo sana
Huuu wimbo unanibariki sana
kazi nzuri mbarikiwe sana
Ono mwakondamanya zinumbula zenyu mzigomolaje kwa yesu,apoo sasa raha sanaaa
Simon tuna kupata vyema jamaa
Yaniiiii chikumota kuna
Blessing
Amina jamani wagogo tunabarikiwa sana na nyimbo hii kaka angu simoni mungu azidi kukubariki ❤❤❤