Mkuu wa KKKT awasilisha Salamu za pole kutoka kwa Mzee Makamba kwenye msiba wa Askofu Mstaafu Jali

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Salamu za pole toka kwa Mzee Yussuf Makamba zimetolewa na Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa kwenye Ibada ya Mazishi ya Marehemu Baba Askofu Mstaafu Joseph Mathayo Jali yaliyofanyika tarehe 21/08/2024 katika Usharika wa Kanisa Kuu Lushoto.

ความคิดเห็น •