Golden Duet | Trillion na Bruce |
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2020
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 11 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz - บันเทิง
Bwana bwana bwana...! Huyu Bruce huyu ni hatari...! Yani hasa akisema BAND STOP!!!! Jua kinachofata hapo ni 🔥🔥🔥🔥🔥 OMMY KAZI NZURI👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Naombeni like jamn hata 20 tu
Napenda Sana kumuona jamaa wa jeneza anavyodance hilo jukwaa kalitendea haki kweli nmemkubali kinomaaaaaaaaaaaa NIPENI LIKE
kabisa 👌🏽👌🏽💪🏾
Me pia
Aswaaa
Kwli
Jamani sichoki kuwaangalia hawa vijana sijui kwa nini hawakufika top 5
Mbn mnawasahau hawa wakaka walio imba nyimbo ya sauti soul wameua sanaaa
Mob love ❤from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bruce...love u unaimb vzr sanaaaaaa😜😜❤️❤️😍😍🥰🥰 una kipaji bro
Kwakweri wakaka zangu mumeimba vizuri sana👍👍👍👍
New bongo style RNB raggae nice one bss from USA GT
N
Hawa ndowaashindi ninona sana
Belll yuko humble sanaa I like him ✌🏽
My favourite guy is Bruce this season,keep up🔥🔥
Bruce anajua Sana 🔥🔥🔥
I like the collable ya trillion na mwenzie Bruce wametisha
Kila muda nataman kuwatazam vijan hawa coz na enjoy❤❤❤❤❤
Same to me
Ilà izo tabia mbaya madam & master
Musirudie mambo hayo❤️❤️❤️❤️❤️
Labda wamejichangamsha na wine
tv sio labda yaani wamelewa bwiiii
Yaani sijui kwanini hawaigi kama majaji wa nchi zingine mfano South Africa tukiachana na America
Hahahah😂😂😂😂👉👉👉 th-cam.com/video/xRuuX0u64Cc/w-d-xo.html
Kwann kuigaiga achana mambo ya kuiga
Trillion anajua kutawala jukwaa na ndio mziki wenye soko sasa hivi, Simba anawapigia gape wasanii wengine hapo, Kiufupi Trillion anabalaaaaa
Bruce na elius Mnatisha sana vijana hasa huyo mchalaza Gita hatari sana timu ommy oyeee
Hapa Nachoweza Kusema Ni Kwamba Wasanii Bongo Wapo. Hongera Ommy Dimpoz Kwa Wimbo Mzuri Sana
Souti soul well presented...🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Madam na master msirudie tena kunywa konyagi mda wa kazi😁😁
Hahahaahah
Kkkkkkkk
Bruce unstoppable no one like him 😘😘😘
Ningewashahuri next tme waimne umukwano wo by kiba and tmmy watfnya vzur sanaaaaaaà Beka fro 🇳🇦
Yani this guys oh my god they made my day.wako vizuri sana
The best performance ever, love the energy 🥰💪
Bruce🔥
Nampenda Bruce mpole hana makuu na anajua
Nguvu ya jeneza hiyo mzee baba marehemu ana mbwembwe kama zote
😂😂😂
😃😃😃😃
Ukighairi kufa ndo unakuwa hvo🤣
😄😄😄
Umeonaeeh
Yan master j ahsante Sana unaongea bila kupepesa macho naqbal we ndo jaji
Huyo alie vaa njano ni fire
Nani kavaa njano we naye
Kwa kweli anaimba sana
@@ummydaudi4940 fire ummy
Utafkiria mmarekani
Jamaa wa jeneza anajua kudance na wimbo yuko vizuri sana
they such a good chemistry wakiwa pamoja ,i like that,if you love gonga like😉
Madam anazingua anampandia master kwajuu😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Lkn nkama alkua ameonja uyu madam leo
@@saumsalim9966 😁😅😁umemuonjesha
Vote for Bruce
Master J na madam mnanifurahishaga msiache hvyo vituko mtaniboo sana mkiacha😂😂
Bruce mshind
Cio mshindi ni W I N N E R.....yaani mshindi wa kiingereza..B R U C E.......
Anajua sana
Now he is a star waah ametoka mbali 💯
Wow u r lguys r awesome na nusu watch from 🇰🇪
Hao jamaa wako vizuri sana
We watch this already from other youtubers
nice💃🔥🔥🔥
Yeah I love 💕 this
Jamaa wameuwa sana hii nasema nikubwa na nusu aisee na enjoy sana from sweden
Kabsa kaka wa eiwa sana
Madogo mnajua,muendelee mtafanya vzr zaidi.
Bruce ndo choice yangu kwa kipindi cha bss jamani ni mkali sana watahelewa tu👌👌
Bruce 🔥🔥 🔥🔥🔥🔥
Bruce
Kiukweli hii ni my favorite duet ever nataman hawa vijana liwe kundi kiukwel
Namkubali master J sana anajuwa na ni judge mzuri sana na anajuwa
I can't wait 4 this guy's.... Hope it's my winner of BSS 2020
Tanzania ni uwanja wa watu walio na vipaji vya hali ya juu sanaa, hakika sijutii MB zangu
Wako bomba sana wajuba hawa. Khaaa, 😀
Jaman hawa jamaa imekuwa km doz huu wimbo dah, madogo waliua sana
Narudia Mara tatu tatu natamani ingekuwa audio yanii ni dowlod tu😍
Umeon eeh
Kkkkkkk Yan mambo yananoga atar
keep the fire burning
Bruce leta combe mtaa
Jamaa Wana talanta mno.bss muko sawa kwa kuchuja na kukagua kuelekeza kutangaza kukuza vipaji kwa yote muko vizuri. but pale kwa malipo ndio uwaga na ubabaifu mno.
One of the best performances haijawahi tokea bss
Washindi wangu ni hawa🔥👌🏾
Madam Ritha jaribu kubalance shobo usipende kuingilia maamuzi ya watu.
Na enjoy mnavo bishana nice intertainmaint we argue always
Madam ritha unaniangusha cheza vzr bn
J
Bmn
brilliant
Nice performance
Dah idriss bhn me nakupenda hujui kumboa mtu
Jaman kak upo vizur nataman uwe mshind
Hata mimi
Bongo vipaji bongo Ila sijui uchawiiiiiiiiiiii mpka hasira
Hawa wote wapo good kazi kwenu majaji kumpata mmoja
Bruce keep it up so talented
The best
Nimewapenda awa
Kuna kitu kinaendelea kati ya master jay na Madamu Rita.sio bule
Kunogesha tu show..hakuna ugomvi hapo
Mko vzr sn.....naipenda sn team ommy
Sio vizuri kuzushana jamani haswa kwa majaji wetu
hawa ni meshack na Leonard 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Ile collabo haiwez fikiwa kabisa
weee
wale watu wana laaaana
Anajua sana huyu kijanaaa
Bruce ni kama Travees Green
Sana
Wapo vizuri sana
Bruce jmn daaaah
Bug up new generation wakaze boots kabisa
Best performance 🤩
FULL LOVE KWENU
Master J namuona kama anakosa Raha kuna kitu madamu anazidisha alafu siyo kizuri
😂😂😂😂😂😂
hapana wako sawa
Nafikir master hafai kuwa judge mana unamkaripia judge mwenzako vipi nayeye akija juu siutakuwa ugomvi , halafu majaji wapunguze mizuka
Jamani mko juu nawapenda sana kila siku lazima niwaangalie hongereni sana sanaaaaaa
Omy never discourages
Bruce ilove you
Ahahaaa Bruce safi baba
Trillion
They are bad oh❤
Madam huyu kijana Idris umempatia kitengo stahiki sana big up
@marehem anakiki
J
Noma sana hawa ni kama washindi kwangu
Good work guys
Hiii niiile mooootoooo 🔥
Ommy hoyee
Hatari SANAAAA
Hao waloimba ngoma y saut Sol wameua sana asee
Sana
Sanaaaaaaaaa
Wekeni full kwa wote
Wow the nerea guys are on another level go guys
🤣🤣🤣🤣🤣
Hhhhhhhhhh jmn wananichksha mm rita na mr jey na omy eti tunapendraaaa hhh
Bruce ni msani wa ukweli ameweza nampenda
Wapo vizuri
I like it
I love you brothers
Big up
Wako vizuri sana wote
De best their
Ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Trillion unajua ila punguza wenge
Nice