Kusema kweli kaka umeimba mpaka umeimba tena me toka umejoin bongo star search naangalia kwa ajili yako tu may God bless you and protect you I'm so proud of you 👏 ❤
What a talent uliyonayo ❤❤❤❤ila tunaomba unavyozidi kuendelea imba nyimbo zinazojulikana hata kama utaziweka ki style yako. Then ukishashinda sasa ndo utuletee hizi za kifaransa na zingine ❤❤❤
Nakushauri changamka achana na gita cheza kidogo next time moveeee around kila mtu humo anaimba sasa hivi anajua kucheza na sauti piajust spiced it up .all the best
tunahitaji kuona talented kwnz alafu ya uimbaji kabla y kuhamia uko kwny style unayotak ww,,,mm binafsi nimekubali sana cz ili mtu nimckie anajua aimbe co aropoke km kina chino yaani jamaa n fundi sana❤❤❤❤
BSS ya season 15 itazaa wasanii wengi kuliko seoson zote zilizowai kupita.namuona kila mtu ni mshindi,sema lazima apatikane namba 1.inabidi waendeleze vipaji hata baada ya BSS kuisha.
Kusema kweli kaka umeimba mpaka umeimba tena me toka umejoin bongo star search naangalia kwa ajili yako tu may God bless you and protect you I'm so proud of you 👏 ❤
Madamu Rita nakupenda nakupenda nakupenda sana
Yaaani wew hata wenye nyimbo zao hawakuwezi kuziimba na kuzifanyia performance. Salu your the best
😂😂😂Sio Salu huyo
Your my winner charz❤
Thank you so much
What a talent uliyonayo ❤❤❤❤ila tunaomba unavyozidi kuendelea imba nyimbo zinazojulikana hata kama utaziweka ki style yako. Then ukishashinda sasa ndo utuletee hizi za kifaransa na zingine ❤❤❤
Ooow I got goosebumps 😊😊😊
MY BROTHER MTAALAM KABISA WA HIZI KAZI.. AM PROUD OF YOU.
Thank you so much Brother
Hongera sana brother @@chazzbarton6729
I love what you have Charles
Completely in love with your talent
Thank you so much dear
Daah sema unajua mwanang kaza upo vizuri
Very very talented for real🎉
Woow nimeipenda sana kuimba lugha yetu 🎉🎉🎉
Ooh Nashkuru sana naupenda mziki wenu ingawa bado najifunza 🙏🏽
Nice work
Fundi kabisa🎉🎉🎉❤ Jah bless u son😘😘
ßongo star search Hongereni sana hadi kumpata mshindi ni Neema Ya Mungu weldone
Hhh kwan teyar mshind alisgagapatkn
🙏🏽🙏🏽
Hongera sana unaimbaa sana
Noma sana
Hongera charz
Duuuuuuuuh fundi kabsaaaaaaa
Umetisha bro keep it up am from Burundi
Ooh Thank you so much GOD bless you Bro🙏🏽
Anajua bana🎉
Amaso yanje niwowe areba buuuuuh❤
Very talented ❤
Nakubal blood🎉
Kila mtu mehindi humo du sijui tumchague Nani jamaaa anajuwa mpaka anajua tenaaa
❤️❤️❤️ uko pw sana
Atakama hatuelewi lugha hio Melody haidangany🔥
Shukran sana🙏🏽
Umejuwa kunibembeleza
Hongera Brother 🔥 🔥 keep doing.
Thanks 🔥
great 👍
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yko broh umeweza san
Very nice performance
Brother wewe ni mkari sana bongooo duuuuuu vocal fire kama westlife hivi
WEWE NDIO MSHINDI WA BSS 2025 . Ila jitahidi uwe na UCHAGUZI MZURI WA NYIMBO . La sivyo utashika nafasi ya TATU AU YA PILI
BSS n Uchaguzi wa nyimbo Kwa Kweli huyu anaimba sema nyimbo aliyochagua Haina vibe la mashabiki kabisaa
But He is Good...🎉🎉
Mbona washindi wengi mwaka huu😅😅
@@UpendoMoris-w8f😂
Nasikia pia kunafungu nono limetengw
Bro mi mwnyw naimba ila Sina voko km lako ,please naomba namba ili nikuibe vitu
Hongera brother charz
Thank youuu
You killed it
Kilakitu kimekaa maharapake nice bro
Thank you so much
Unajua🎉
Leo mpk mmekubali kweri mmelamba chumvi
Imana ikurinde cane❤❤
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙌🙌🙌Umepatia sisi waelea ruga
Asante sana sana😍😊
Anajua mpaka anakera
❤❤❤❤waoooo jitaid utubeb Tz😂
Sawa ❤
Mi natamani uwe unafanya good selection ya nyimbo sometimes nyimbo pendwa na well known songs hua zinatoa extra credit. All and all you did the best😊
Go luck my brother
Hv huy jaji mpya mmemtoa wapi anajifanya anajua sanaa jaman kamdomo
Imeweza sana
Asante sanaaaa
You nailed it 🇷🇼
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mlimsomesha shule madam
X2kzi nimekupenda tayari siwez kuishi bila wew😂
You killed it at the end Ma boyy🔥🔥🔥❤️ mshindi wangu
Thank you so much my Friend ❤❤much love to you
Charz umeuwa san unajua but Naomba uchangamke kidgo nakuon level za kizungu alooo n hatarrr
🔥🔥 Brother umetisha 🔥🔥
Ila Saluh😂😂😂
Salama mtanzania halisi haelewi kiimbwacho 😂😂😂ameboeka mbaya kinoma 😅
Top of the top🫡
Mwamba anajuaa
jamaa anajua❤
Umiliki wa jukwa ni muhimu kuimba unajua
Waoooo
Mpaka nilisinzia
Waambienii Waandae vizurii maana Mnatuchanganyaa baadhi ya washiriki hatupat account zao tuonee Video
❤❤❤❤❤
Umechota vocal za ulayaa
Uvivu tu wa kulima😅
Uko poa ila chagua nyimbo za kujulikana🎉kuna salu bro
Mwamba kabisa
Hii BSS inatakiwa kufika mbali naona ina maono makubwa sana
Mwaka huu patachimbika sijui mshindi nani kwani kila anayekuja ni noumaaa
Nakushauri changamka achana na gita cheza kidogo next time moveeee around kila mtu humo anaimba sasa hivi anajua kucheza na sauti piajust spiced it up .all the best
I promise to work on that thank you🙏🏽🦾
tunahitaji kuona talented kwnz alafu ya uimbaji kabla y kuhamia uko kwny style unayotak ww,,,mm binafsi nimekubali sana cz ili mtu nimckie anajua aimbe co aropoke km kina chino yaani jamaa n fundi sana❤❤❤❤
Wenge ndo nini,
Nimekukubali kutoka burundi
Mpaka waseme ila huu mwaka unaondoka nao charz
🔥 🔥
Mbona kama wakali washirikinwa uyu mwaka
BSS ya season 15 itazaa wasanii wengi kuliko seoson zote zilizowai kupita.namuona kila mtu ni mshindi,sema lazima apatikane namba 1.inabidi waendeleze vipaji hata baada ya BSS kuisha.
Namskia vanila kwa mbali
🔥🔥🔥
Umeuwa
🔥
Fund kabisa
Oy mwamba siku mingine pita na Ngoma yoyote ya ya trenzy
👑👑👑
madam aliaka kulitupa what the F$$$
Wakenya ni wapumbavu
Oi, wamefanyaje kwani!?
@a4afrika hawajueleweiiii
🔥🔥🔥🔥🔥
Mbona kama wakali washirikinwa uyu mwaka
❤❤
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
🔥🔥
🔥🔥