Asanteni sana BSS kwa kuiweka show hii humu angalau kutupa fursa na sisi tusio na access ya live show, kupata radha ya kilichojili kwenye hatua hiyo. Yaani tumeteseka sana na vipande vipande vilivyotupiwa hapo kabla ambavyo hata haikua rahisi kuelewa kipi ni kipi. Tafadhali msitusahau na kwa team zingine. Plz Keep up the good job, tunawapenda sana na tawaombea pia.
I’m the only one in South Africa that I like the song it’s very nice I don’t know what can I say about them but the must focus I’m from congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Abar zenu ndugu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za maradhi mbali mbali kila Alhamisi saa2:30 usiku karbuun mjifunze ingia TH-cam andika sir Binladen 786 pia naomba msisahau kusubscribe Asanten
Yule binti bonge kaingia tu kwasababu alifanya vizuri nyuma ila kwenye show hii hakufanya vizuri hata alipoimba peke yake. Amebebwa na kipaji alichoonyesha nyuma
Asanteni sana BSS kwa kuiweka show hii humu angalau kutupa fursa na sisi tusio na access ya live show, kupata radha ya kilichojili kwenye hatua hiyo. Yaani tumeteseka sana na vipande vipande vilivyotupiwa hapo kabla ambavyo hata haikua rahisi kuelewa kipi ni kipi. Tafadhali msitusahau na kwa team zingine. Plz Keep up the good job, tunawapenda sana na tawaombea pia.
254 kaa inakubamba kuona sauti soul wana heat TZ gonga like banaa much love Idris na majaji wote
Lusaka’s voice is out of this world❤️ he has a beautiful voice. His truly blessed🙏🏾
Big fan of BSS from 254 🇰🇪🇰🇪.. Sema Team Ommy wanna mbwembwe nyingi but the best of the best watatoka kwa team Bella na Master. Show some ❤️
Am I the only kenyan for ommy team 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 show me some love tanzania from audion I was team ommy n I will .we make supper starss only
Niko kwa mpigo
@@bettywaudiwaudi8712 thanks
Wa Congo tunapenda Bss... watching from USA 🇺🇸
#randykinamber
Kama umependa wimbo wa sauti Sol NEREA NIPE LIKE....
bruce ,emmy,they can sing 🤣🤣yani professinale kabisaaaa tuachane na vya bss yani ni wale u can buy a ticket ili ukawasikilize .
Kweli kabsa Omy umenena Mr j,kuwa na hekima jifunze kwa mdogo ako omy ni mdogo bt kaongea point!👏👏
Watanzania mna sauti uongo mbaya. Hata judges wanapata shida kuchagua. Moja ya hawa akienda Kenya anakua the best. All the best to you guys .254 😘😘😘
So are u trying to say Kenyans hawana talent?
Anamchezo sana,kuja uone vocal
Uyoo trillion hamna kitu mbele ya bruce.... Bruce ni fundiii
Aki idriss umefanya nicheke aki yu are soo good
Madam Rita big up. Umeinua sana vijana
Waoooo Idrisa umenipa raha ulivyocheza huo mziki uwiiiiii lov uu
Huwa simkubali alikiba ila iyo copy ya kiba ni nzuri sanaaa. Ikiwezekana apewe hizo millions
Mashallah mungu atawafanyia wepesi mtafanya vzr
Sultan Idriss💕 love from Bujumbura 🇧🇮🇧🇮
Wow I’m so happy I’m in South Africa 🇿🇦 I don’t wanna say anything about that it’s very good congratulations 🥳 to them I
Jamen naomba like zenu ata ziwe 10
Izo apo 10/kauze
@@dominikishilali194 hahaha
@@dominikishilali194 hahaha
Wako vizuri hii group
Bruce na huyo trillion ndo wananogesha bongo star search 😂😂😂😂😂 hao ni mastar kabisa narudia kuwaangalia wao kila mda
Idris uko vizuri sana kaka i mean ur talented
Idrisaa yuko vzurii anatangaz vzur na waxhirikii wako vzuri wotee
Madam Ritta na Master J Hao wana yao nyuma ya pazia sio kwa kupanikiiana kule😅😅😅
Bruce is 🔥 kuliko wote
Yan nilkuwa nawish achaguliwe ktamboo thank my God
Host is very talented ever
I love him from Burundi. The guy ananimaliza aiseeee
Bss mwaka huu ni fireeee
I’m the only one in South Africa that I like the song it’s very nice I don’t know what can I say about them but the must focus I’m from congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Great message from third performance on ommy team
Team ommy killed it especially the 3rd performance was🔥🔥
Comnt ya Omi ni nzuri kbsa pia master Jay nimependa
Yaan Mr unazingua na kauli zako,watu wako kundi1 tumia hekima kuwajudge,Jifunze kwa mwanao Omy dimpo,
Team ommy munipe likes 💪
Ni kweli,Kuna kipindi walikuwa wanaimba nje ya key.Ni Wasanii wazuri wajirekebishe.
4th performance is for me
Trillion is magnificent
Huyo jamaa hatarii
Namkubali Sana huyo jamaa
idrisa you are talent bro.....
Nimewapenda sana hao saut sollo
Bruce iz A true definition of Talent💕
Nampenda sanaa anajua
Is it youu au nafananisha muandiko @Irene Shayo
@@dorcasshayo5155 ...ni mm
Lusaka ✌️✌️ Nitala naweeee💕
Bruce anaimba bana sio utan
Master j huyo dada ameimba flat wapi unalako Jambo😎🔥
BSS YA MWAKA HUU 👌👌🙌🙌🙌🙌
Daaah nimefurah uyo Bruce alivyobaki
Zuchu sasa
Master J no no no there was no flat acha utani they did a great job 👏🏾
Wote wakaliiiii🔥🔥🔥🔥
Bruce mkali sana I wish awe mshindi
Yan huyo kaka sijui pacha wa Ali kiba yan akipita kua mshindi mm nitaandamana mana anaimba of kii anaimba nnje ya kii mara nyingi sanaa
Vizuri sana napenda👌👌👌👌
Idris jamani ati kiatu chenyewe feki 😂😂😂
Bruce asingepita, hapo ningejua kunamasnitch wenye unyama mkubwa mno. Jama anaimba ampaka sisi waimbaji wezake tumasema yup 👍.
Ila bss ya mwaka huu ni burudan mwnzo mwisho yna music and comedy wat a show?
Abar zenu ndugu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za maradhi mbali mbali kila Alhamisi saa2:30 usiku karbuun mjifunze ingia TH-cam andika sir Binladen 786 pia naomba msisahau kusubscribe Asanten
Yani kumuiga mtu nikazi saana huyu jamaa anae muiga Alikiba anajilazimisha kucheka cheka kama alikiba
Wivu tu☹️☹️
@RICH HOMIE Duh
Ila anavyoongea pia ndio saut yake mjue
@@florencegideon1467 kweli
@@florencegideon1467 kweli
😄😄😄😄😄shikamooh idrisa 🤣utadhani wwe ndo mshiriki
Real duet. Salute
Yule binti bonge kaingia tu kwasababu alifanya vizuri nyuma ila kwenye show hii hakufanya vizuri hata alipoimba peke yake. Amebebwa na kipaji alichoonyesha nyuma
James Mapunda namwelewa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
1:6:40 kitu ichooo💯💯😀😀ni nomaaa
Huyo kijana wa Arachuga ni 🔥 na yuko na upole mwingi sana. Hana wenge kama watu wa Chuga. Lol...! Namuombea tuu ashinde. Haaaa...! 😊😘
Dah I appreciate sanaaaa
Namuona mshindi kwa mbaaaaaaaaaaali
Iko poa san
Bruce you're doing great.
......💪
mapunda mnyama sana...kijichi boy
Yusuf nizar Ni mshindiiii
Astounding band
Kazi nzuri
Daah bora bruce kabk
Team ommy 🔥🔥🔥🔥💯
Listen to this powerful voices
👇👇👇
th-cam.com/video/xRuuX0u64Cc/w-d-xo.html
Washiriki wote ni 🔥🔥
Team Tommy killed it on second performance
Huyo anayejiita pacha wa alikiba ananiboa kinoma
Saut ya kuimba Hana
@@alberterasto2180 anajua kumuiga kiba tu
Kuna hyu jamaa mmoja anaitwa Bruce
Mie naon akuboi mm nahc kutapika aisee
@@clarajay8570 😁😁😁😂 Bora alivotoka
Mungu atakusaidia 🤣🤣🤣unanimalizaga hyo kauli yako🤣🤣🤣🙏
Mimi sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Idrissa unaweza sana kaka
Endelea kaka
Team ommy wana balaa🔥🔥
Ommy sent all the good singers home I swear. I’m kind of pissed.
Like for Alikiba pacha
Team Bella ni 🔥
Team Ommy wako na kipaji
Nakubali Sana naomba @trilioni_thamani arudishwe
yan kusema ukweli master j aanatukatisha tamaa na ss tunaotaka kujitosa wallah hahahah
Huyo black nampenda na nywele zake
Yko vzur Sana
Firee timu ommy nomaaa
tilioni sijui manini sifa zitakuponza u have to be calm bro yani sarakasi za nini
Anasifa hadi anakera yani hadi siku aache pumbu chini mxyuuuuu.
Master atabaki kuwa mmoja tu
angel Holsey dah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka mimi woooooh khaaaaa
@@angelholsey2484 hahahahahaaaaaa nimecheekaaa sana aache nini
@DJ MACK MOVIES KISWAHILI movie au series ntakuja best
Mlikuwa wap cku zte kutuwekea whole episode
Mtoto no bas
🤣🤣
Team bella muko wapi esengo ezali🇨🇩🇨🇩
Ndeko boni?
@@AngelAngel-sy6my tokos
@@shukrahlusenge5254 ozabien na sepeli bâna Congo y'a fatshi
@@AngelAngel-sy6my béton na béton
dj padon from minute33😘😘
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏻akili ni shaa😂😂😂
Wonderful
Bruce must win
Yani Omy usingemchagua guitar Elius nngekumind kwel kwel... huyo kaka ni noma🔥
Namkubali San
Woooow 🧡🇹🇿
Pacha kiba hamna kitu msimbebe hana pumzi#no punch
I lake team ommy
Idris hiyo miguu jameni.
Why is Idriss so funny 😂😂😂😂😭
Ndo mana MUNGU alituachia tujijaji wenyewe mana jajiment ni kaz ngumu sana
kweli kabisa
bruce elias wewe ni superstar