Kipepeo hatariiii sanaa 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🙌🏾 Lakini salamaaa funga dimbaaa noumaaa noumaaa 😂😂😂😂🙌🏾 ! Salama salamaaaa Mungu anakuonaaaa anakuonaaaa ujueeee embu kama muokoajiii wa katika meliii🤣🤣🤣🤣
nyie wabongo na @bongostarsearch mnaiga vipindi ulaya halafu pamoja na kuiga baada ya kugundua vipaji mnakuwa na teams pia, hizi show huko mnakoiga majugdes hawana teams hawana favorite artists, wana vote according to talent.
Noma kwako umetisha
Ben pol njoo wimbo unaharibiwa huku jamaaa hajui pumzi zinakata, kam wapo wanaoitazama now hii gonga like
Jasmine 🙌🏾🙌🏾 nimesisimkaaa the African song umeutendea haki
Amina Ali uko na sauti poa .big up bongo mko top.+254 much lve
Fey Ndung'u nope nope and more nope Kenya is the Best, and No 1, Tz is nothing, uswahili Mwingi, sana hadi inapitiliza
Salafina uko vizur dada kazana,yaan umenikosha na uo wimbo wako keep it up 😍😍
Na huyo saraphina♥♥♥hapo ewe njiwaaaa😁😁😁😁♥🙌😍
Huyu kaka mungu angemsaidia maan hakati tamaa
asagilwe nomaaaa❤❤❤❤❤
Mungu awabariki sana zoezi leo la kuviona na kuviimbua vipaji vya vijana wetu lifanikiwe
Bodaboda mungu akupiganie unajua mpaka kero
BSS mwaka Huu vipaji hatari tupu yaani wote ni mabingwa wapeni hiyo milioni hamsini wagawane tu big up Sana
woow East Africans you're so awesome!! I got you from Galaxy all the way to Moon🚀🚀.
Huyo wa kwanza sijui Zubery dah amenikumbusha mbali Papa Wemba hongera kwake
Kipepeo hatariiii sanaa 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🙌🏾 Lakini salamaaa funga dimbaaa noumaaa noumaaa 😂😂😂😂🙌🏾 ! Salama salamaaaa Mungu anakuonaaaa anakuonaaaa ujueeee embu kama muokoajiii wa katika meliii🤣🤣🤣🤣
Liliannnnn🙌🏾 voice ni 🔥🙌🏾🙌🏾!!
salamaaa bhanaaa that’s why we are here 😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏾bruuuuhhhhhhh umetishaa
Njiwa umetishaa dada wimbooo 😂😂😂 Salama rohoooooo imekuumaaaa 😂😂😂 dada anasauti lakiniiii kiukweliiii
Lydia Thadeous njiwa mkali
Abuu ww unayo sauti ya mzikii broo big up sana
Wajina...unanipa furaha kila siku..Julius Macha your good!
Sorry nilisahau kutoa kura jamani yule aloimba kisauz vani chakachaka
Master j 😂😂😂😂😂 🙌🏾🙌🏾
Salama she’s being really open minded 🙌🏾as usual and that’s good .
Kaka unapumziiii una deep down voice aiseeeeee 🙌🏾🙌🏾 shazy
Jamani hao wanao imba kingereza wamuombe Anjelica Hare awagundishe maneno yao hayatoki nausoni wamenuna kama wamepigwa
Me nawapagwala 👊👊👊👊
Kitu ambacho sijapenda ni kuiweka bss mwaka huu kuwasiri kubwa Chanel mlioiweka haipatikani ndo maana bss imepoa sana
sarafina I can put money on your performance...that is how I believe you
Jamaniiiiiiii huyo kaka anaerapuuuuuu nipeni namba ninpigiee kulazangu zote muendesha bodaboda
Aisee I lyk it ,sitobak km nlvyo
Nawe dogo chefuuu kila muda wanaandika namba zake za kumpigia kura inamaana hauzioni au unataka namba zake za nyumbani nyambafuuu weweeeeee😃
Wacha usenge wew unafikir tunampenda sana hip pop ya wahuni
Pacha efx nkuelewa mtu wangu
Nkuelewag
Boda boda nakujali sana
As usual salama si killing it 😂, love you salama 😘
Umeniwakilisha hiphop big up broda kura yako IPO don't bother
Mwasongwee umeupatia wimbo wa Joel 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾😭😭😭
Elisha Daah! Usikata tamaa broo unaweza ile mbayaa yaani mionekano wakoo mm kama ben pol brother unaweza tishaa
salama is my favorite judge
Nampendaa salama
Me too
Mwalim nae katisha saana♥♥♥😍
Mimi nipo USA naombeni bongo start search ikihanza mnifahamishe
regina ww ni fire,,u dd very nice
Master j jembe team yako iko poa
Umeutendea haki huo wimbo
Julius and sarafinah one of you is the winner bss season 9 make my world's
Huyo Kama Ni Nani Zuberi amenikosha kabisa amenikumbusha papa wemba wetu alaf kaimba lingala kama lugha yake vile😞😞😞😰😰😰♥🙌
Maryam Ammar kaimba vzr mnooooh
wanjiwa ni noma
Dah kaka julius nakukubali
Tuna vipaji sana bongo ila big up sanaaaa team master j nimewakubaliiii
uko vizuri kaka
tunaomba msimu wa kumi mtukumbuke mara jamaniiii
Good for you
Salama wewe unawatisha sana washkaji
Thx dada
Aseee huyu Dada jomo saraphina jmn lv uuuuuuh
Daaaaah!Abuuuu! ur za best!
Saraphina sichoki kukusikiliza na kukuangalia dear, upo vzr
watoto wakike wametisha sana msumu huu wanastaili
Asangwile haiiiiiii safi cn
Saraphina kaimba poa sana uko vizuri nimependa
Walhi ww dada wa njia nkupa salute
Nice
Meena Ally, l like ur voice
Srafina kiboko kabisaa
mambo nimazuri kutoka huko
Julius macha unafanya vzr kwa kweli
Nipo hapa kwasababu ya salama jabar walah NAMPEMDA SANA HUYU DADA
nampenda na mimi aisee
hey lilian namemet umetishaaa
Lilian jmn we ni fireee
Jamani bongo star search ni bonge la kampuni kwa nini mssionyeshe azam?tunaomba mtusaidie napenda sana kuangalia vipaji
Kwakwel aiseee cjui Kam wanaona comment zetu ila itakua poa sana
Diamond!duh!salama kaongea kweli kabsa ndo napompendeaga salama msema kweli,
napenda
Junior Smart
Jamani mbona wote viboko♥
Maryam Ammar kbs
♥
Sarafina ni 🔥🔥🔥🔥
njiwa umetisha
Hadi raha
bss 12 anaimba vizuri kuliko Arusha type kingereza
nyie wabongo na @bongostarsearch mnaiga vipindi ulaya halafu pamoja na kuiga baada ya kugundua vipaji mnakuwa na teams pia, hizi show huko mnakoiga majugdes hawana teams hawana favorite artists, wana vote according to talent.
Safi
andy great iga na wew km n rahisii dear
Big Up Jasmin
aaahaa jamn sarafina nimekupenda bure kabsa
Meena ally mrembo sana, maashalah💝nimekupenda bure
analibezi akiongea
@@slayingtee6044 moyo ukipenda,huoni kasoro
Julius masha kurayangu zote kabisa 10000000
Waaaa dada sarah
Salama falaaaa sanaaaa eti kuinvest ktk boxer zako 😂😂🤣🤣 🙌🏾
Saraphina kama vee money jmn uwiii
unatuaribia luga yetu😁😒
Hawa kina salama itakua wamesemwa sana mana walikua wanakatisha tamaa sana!!
Wasemwe na nan,, hawa hawajaimba utumbo ndio maan hawajasemwa
@@justinanicolous3822 kwel
Mshirik namba 6 twende sawa
Aggray Peter.
Jamn sarafina ewe njiwa umenifanya nilale
Dada nakupa m 50
lov u meena
Lilian mzuri jamani nae pia ana talent mungu awe nae
Penda sana salaama duh!uafurahisha kweli!
wow. saraphina una sauti nzur sana
Salama anakwambia elisha ni fundi wa kuchomelea hahahahha jamani
Bss noma
Kaaaaa we sarafina we2 duuuuuuh penda bure
Bodaboda wangu mm peke angu
Je t'aime tres fort zuberi papa wemba rip
Jasmin nimekupenda bureee
Nafurah sabab safar na mm nashirik kutoka Oman japo sijui Kama naweza piga kula
Sarafina na tuma niko oman lkn kila siku ningewapigia kula...mnajua
Yamaskini gaba yake fupi kifulushi shakura awana ila yote maisha,
Jia uisha iona kaza buti
Mwenye namba za sarafina naomba nahitaji kumpa hongera mpesa
sarafina atashinda hata nisipo piga kura mungu awe nawe
Jamani mwajina bg up
Ben pol njoo wimbo unaharibiwa huku jamaaa hajui pumzi zinakata, kam wapo wanaoitazama now hii gonga like
Noma san
Salaphina mungu akupiganie