DC MTATIRO ALIFUNGA KANISA LINALODAIWA KUJIHUSISHA na UKUNGA KWA WANAKIJIJI - ATANGAZA UCHUNGUZI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • DC MTATIRO ALIFUNGA KANISA LINALODAIWA KUJIHUSISHA na UKUNGA KWA WANAKIJIJI - ATANGAZA UCHUNGUZI...
    Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro amelifunga kanisa la Church of God lililopo Kijiji cha Mendo Kata ya Ilola Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kutokana na tuhuma mbalimbali ikiwemo watumishi wa kanisa hilo kujihusisha na huduma ya Ukunga kanisani hapo.
    Akizungumza na wananchi wa Kijiji hicho katika mkutano wa hadhara Mtatiro amesema Serikali inaendelea na uchunguzi kufuatia malalamiko ya wananchi juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na mtumishi wa Kanisa hilo ikiwemo mafundisho ya Imani ya kanisa hilo
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 55

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mnaendelea Na uchunguzi gani ikiwa wananchi hawana elimu yqkutosha lugha yenyewe mtihani sidhan kama wanakuelewa Uko hapo unabwekabweka tu😏😏

  • @VitalisMmassi-oh4jb
    @VitalisMmassi-oh4jb 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mwandishi mbona hajabalansi stori mchungaji yupo apo lakini hatujasika majibu yake yamekatishwa.

  • @andrewcharugamba7498
    @andrewcharugamba7498 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mkuu wa wilaya ana mihemko tu ni mpuuzi tu
    Mchungaji mbona hajasikilizwa
    We kijijini unataka mpaka tofali zipimwe kweli?

  • @pastorzakariatv1786
    @pastorzakariatv1786 3 หลายเดือนก่อน

    Wakristo wakati mwingine tusiwe wajinga tusiwe wajinga kupita kiasi HILI NI SHAMBULIO DHIDI YA UKRISTO

  • @amanlenatus9067
    @amanlenatus9067 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo ni Vita binadsi na huyo kiongozi kuna namna anakosa hekima ya kuongozu

  • @johnmbise8996
    @johnmbise8996 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyumba ngapi zinajengwa mtaani pasipo tofali kupimwa

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mnamuonea mchungaji?

  • @miriamimani4986
    @miriamimani4986 3 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji usiogope, hayo mabaraza mtaitwa sana, imeandikwa ktk biblia, kama uko ktk haki usiogope.

  • @nurumwashinga3662
    @nurumwashinga3662 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mkuu wa wilaya tatizo hutaki kujua una mihemko na kazi Fanya kazi ipasavyo

  • @Kachuba-w9p
    @Kachuba-w9p 3 หลายเดือนก่อน

    Iyo kitecknolgia tunaita kanisa AKA hospital 😅😂😂😂😂

  • @ZubedaSaid-kn9dp
    @ZubedaSaid-kn9dp 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mchungaji ana kosa kwanini we nyewe wasiende hospital

  • @sayuni123-kl6xk
    @sayuni123-kl6xk 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ana chuki na Ukristo tu ndio maana hataki kumsikiliza Mchungaji

  • @mazaramatucha
    @mazaramatucha 3 หลายเดือนก่อน

    Khaaaa. Hakuna hata mamlaka ya juu yake. Ujasiri huo unautoa wapi and was it necessary

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 3 หลายเดือนก่อน

    Niseme ulie fungia kanisa unalako jambo sio bure ipo sheria naipo aki

  • @Kachuba-w9p
    @Kachuba-w9p 3 หลายเดือนก่อน

    Yaaani huyo Mzee hajui kiswahil😢 au ni mkimbizi

  • @yahayampangilwa
    @yahayampangilwa 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mkuu wa wilaya sijamwelewa,

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 3 หลายเดือนก่อน

    Ningekua karibu ningekuzindua kibao ufunguke

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 3 หลายเดือนก่อน

    Washakuloga wewe uwezi mfukuza wewe

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mnamuonea

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi 3 หลายเดือนก่อน

    DC kalewa madaraka mpaka povu linamtoka

  • @AshaMwamba
    @AshaMwamba 3 หลายเดือนก่อน

    Mm muachenii uyo mchungajiii jamaniii

  • @aloycekomba1
    @aloycekomba1 3 หลายเดือนก่อน

    Huu ni mchezo dhidi ya kanisa tu

  • @ShalomNissitv
    @ShalomNissitv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji uwe na amani, kaa kimya uuone mkono wa Mungu ukikupigania.

  • @MalamboSelijusi
    @MalamboSelijusi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Makanisa bwana nihatali matapeli kweli kweli

    • @pastorzakariatv1786
      @pastorzakariatv1786 3 หลายเดือนก่อน

      Usishiriki dhambi ya mtu mwingine msije mkaadhibiwa pamoja umeona mchungaji kapewa nafac ya kujieleza? Tena kaanza kusema Hakuna mafundisho hayo kanisani akakatwa asiendelee kusema HILI NI SHAMBULIO DHIDI YA UKRISTO.

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 3 หลายเดือนก่อน +1

    Watu nao wamekuwa wajinga, kwanini ukajifungulie kanisani na taratibu unazijua? No bora hata angeenda kwa mkunga wa jadi kuliko huko kanisani

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hao waumini wana uelewa mdogo hawakumuelewa mchungaji

  • @JamesSichimata-w1u
    @JamesSichimata-w1u 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji mnamuonea jamani

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh poleni sana hii Dunia inaelekea kubaya Aisee 😢😢😢

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 3 หลายเดือนก่อน

    Mwenye mimba yake ni naniii??? MCHUNGAJIII NINI😅

  • @IddiMbiguni
    @IddiMbiguni 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe mpumbavu kanisani ndiyo hospitari

  • @gililwise
    @gililwise 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama msukuma vile

    • @joyce55727
      @joyce55727 3 หลายเดือนก่อน

      Baba wa binti kabila lake ni msukuma ata hicho anaongea ni kisukuma

  • @athumanitanuke6795
    @athumanitanuke6795 3 หลายเดือนก่อน

    Wakristo wengi kwa sasa wana imani za mihemuko na wachungaji wa sasa wanachunga hela kwanza kabla kitu chochote
    Badiliken

  • @MonicaBeni
    @MonicaBeni 3 หลายเดือนก่อน

    Me nahisi kwataratibu hizo zote alizomuwekea nahisi anataka kumdhurumu eneo lake

  • @MoiseMutarami
    @MoiseMutarami 3 หลายเดือนก่อน

    UJUMBE MAALUMU KWA MRATIRO.KUWA MWANGALIFU,HAKUNA KIONGOZI ALIYEBAKI SALAMA KWA KUCHEZA NA KANISA NA HASA KAMA LIPO KTK KWELI.TAARIFA HAIPO BALANCE NIWATAHADHARISHE WOTE.MUDA UTAONGEA KTK HILI MAJIBU MTAYAPATA HUKO HUKO MLIKO.WE CHEZA NA JUKWAA UTAKUJA NIKUMBUKA MZEE

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 3 หลายเดือนก่อน

    Mkuu wa wilaya unajichanganya kwa MUNGU, haya bwana

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 3 หลายเดือนก่อน

    ILA WASUKUMA BANA YAN MTU KAKULIA TZ AF HAJUI KISWAHIL

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 3 หลายเดือนก่อน

    IVI WAPO WATANZANIA WASIOJUA KISWAHILI??HUYU MCHUNGAJI ASHITAKIWE NA KESI YA KUUA 😢😢😢

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo anayeongea kilugha siyo mtanzania

    • @khalfanothuman9988
      @khalfanothuman9988 3 หลายเดือนก่อน

      Msukuma huyo😂😂😂

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa nini kaongea kilugha?H😂😂😂@@khalfanothuman9988

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 3 หลายเดือนก่อน

      Haya bwana😂😂​@@khalfanothuman9988

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 3 หลายเดือนก่อน

    Watoto wa Makonda wasukumqq

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 3 หลายเดือนก่อน

    Umezungumza kiutu uzima well said

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 3 หลายเดือนก่อน

    Labda ni ushirikina,anataka damu xa kafara,wachawi wana mbingu sana.

  • @MalamboSelijusi
    @MalamboSelijusi 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo mbona Bado mdogo hajuwi kiswahili

  • @MalamboSelijusi
    @MalamboSelijusi 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo mbona Bado mdogo hajuwi kiswahili

  • @MalamboSelijusi
    @MalamboSelijusi 3 หลายเดือนก่อน

    Funga uweke namba mlangoni ,Hilo sio kanisa

  • @danielsinda
    @danielsinda 3 หลายเดือนก่อน

    Manabii hawa wata tumaliza

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc 3 หลายเดือนก่อน

    Potapota😂😂,

    • @ZainbAbubakary
      @ZainbAbubakary 3 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣

  • @fredrickbaryagati2194
    @fredrickbaryagati2194 3 หลายเดือนก่อน

    Kibara mpizani sawa sawa msariti mkubwa