ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Wasiliana nasi 0764 148 221
😢😢😢yani wanasema eti hiz kuku zinakifaga hovyo 😮watu ni waongo 😊
Jamani nisaidien na mm nataka niwe mfugaji 😢 maam hiz ajira zimenishosha kabisa
Hongera Dada
Jaman mm mwenyewe nataman kufuga kuku wa broilers 😊,hiv milion moja inatosha jaman niomben kama mtyu anafaham aniambie budget
Ndio
Mbona millioni 1 ni mtaji mkubwa sana
Hio inatosha kwa kuku 200
Hiyo milioni Moja haitoshi kama huna Banda,Kuku 100 wanakula mifuko 4
Hapo kuku garama zake sh ngap mpaka unauza 500
Naitaji vifaranga boraaa pia kabla cjaingiza vifaranga naitaji kujua banda Bora la kulelea vifaranga
Wasiliana nasi tukusaidie 0764148221
@@RubabaTv nahitaji vifaranga
Yataka moyo kwanza ndio utapata faida ya kuku
nipo kaliua tabora naitaj kuanza kufuga kuku.....wapi nitapata vifaranga kiurahis
Wasiliana nasi 0764148221