Uleaji wa Vifaranga wa Kienyeji - Usafi, Chakula na Kinga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Uleaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji.
    Zoezi gumu kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji ni uleaji wa vifaranga, wafugaji wengi wanalalamika kupoteza vifaranga licha ya kuwapa chanjo zote.
    Sababu kubwa zinazo sababisha vifo kwa vifaranga wa kienyeji ni....
    1. Baridi
    2. Chakula duni
    3. Kutozingatia usafi wa chakula, maji na banda.
    #uleajiwavifarangawakienyeji

ความคิดเห็น • 19

  • @twororeturimekijambere5491
    @twororeturimekijambere5491 2 ปีที่แล้ว

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏Niko Burundi nagufata vizuri sana

  • @johnjulius2531
    @johnjulius2531 ปีที่แล้ว

    Kaka,asante sana kwa masomo yako ki ukweli ume ni inspire sana na nmefuga kuku chotara nme pata matokeo chanya kwa hakika.Mungu akubariki sana👍

  • @bestactionfilm985
    @bestactionfilm985 3 ปีที่แล้ว +2

    Djambo mimi na patikana Congo , nilitaka nipate formation ili ku juwa ufugaji wa kuku zaidi ila sijui namna gani na weza ku fanya ! Asante kwa misaada wenu!!

  • @dionistashao5336
    @dionistashao5336 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba utuonyeshe jinsi ya kutengeneza makop ya maj

  • @davidmulanda9344
    @davidmulanda9344 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nimukulima mudogo tokea Kenya ninahitaji Thamostart W1209

  • @tatumusa2467
    @tatumusa2467 3 ปีที่แล้ว +1

    Nondo sana hii

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 ปีที่แล้ว

    Kaka hiyo Stata ya pireti inapatikanaje?

  • @jumaamiry3465
    @jumaamiry3465 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni kwann kifaranga huwa anakatwa mabawa

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว

      Sio lazima

    • @mohaisha
      @mohaisha 3 ปีที่แล้ว

      Kwahio naweza kuwapa maji warm

  • @isumailyyusuf8349
    @isumailyyusuf8349 3 ปีที่แล้ว

    Samahan mm naishi igunga ntapataje hiyo Dawa ya tatu moja

  • @chriphodynjinile5321
    @chriphodynjinile5321 3 ปีที่แล้ว

    King vp kuhusu hii dawa ya tatu moja sijui ni nzuri?

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว

      Tatumoja ni chanjo sio dawa.
      Binafsi nimeitumia sijaona shida

    • @jumaamiry3465
      @jumaamiry3465 3 ปีที่แล้ว

      @@changamkiafursa inakinga magonjwa gani maana binafsi inanichanganya

  • @jumakuswa715
    @jumakuswa715 3 ปีที่แล้ว

    Hii yakukata mbawa nn maana yake na unakata wakiwa na umri gani?

    • @changamkiafursa
      @changamkiafursa  3 ปีที่แล้ว

      Nitaeleza utafiti ninaofanya ukikamilika

  • @evelynemengo1742
    @evelynemengo1742 3 ปีที่แล้ว +1

    Nafuga kuku wapo ishilini na vifaranga kumi nachangamoto ya magonjwa kuku wangu wanakunya choo cha kijani cheusi na. Mautelezi pia huwa naona na langi nyekundu niwape dawa gani ili wapone