Alikuwa mtu wa watu. Nakumbuka siku moja akitokea mjimwema kumsabahi Abdul Jumbe msafara ulipofika ferry alikataa protocol na kuruhusu avuke na raia kwenye kivuko kimoja jambo ambalo halikuwahi na halijawahi kutokea. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe.
Hapo hujafuata nyayo za aliyekuibua, umepotoka kusema bado mnatesa kisa kukubali asilimia 20% wakati ni mwlm.Nyerere aliwashinikiza! Kutesa kwenyewe sio kwa uhalali! Hakuna kama Mzee Ruksa hata mkihusudu kwa wema au kwa ubaya hayupo tena!
Sad! Kikwete anapaswa kujua tukio kama hili ni la kitaifa na fursa ya kipekee ya kuwaunganisha Watanzania. Mambo ya "CCM inatesa" yana sehemu yake, sii hapa! Please be a senior statesman that you are supposed to be, please!!!
Alikuambia ukweli kabisa... Kipindi cha utawala wa mzee Ruksa, maisha yalikuwa rahisi sana... Pesa ilikuwa nje nje... Kila biashara ilikuwa inauzika... Tabaka la masikini na matajiri lilikuwa Dogo sana Watu tulikula bata kinomaaa... Kilikuwa kipindi cha raha sana Sitasahau na ndio aliruhusu TV kuwepo majumbani... RIP mzee Ruksa
kumbe maiti inateseka?..je bado ina uhai kumbe hata inateseka? hili nalo ni fundisho la uislam au uliyeseama ni maamuma? na kama ni kweli kumbe hajafa ndo mana anateseka, hizi imani hizi kazi kweli kweli
@@masumbukomaganga438 Unadhani ukifa ndio yamekwisha? Maiti inateseka kwenye Uislam mtu akifa ni kukafiniwa (kusafishwa), kukoshwa, kusaliwa na kuzikwa na yote yafanyike haraka iwezekanavyo.
Sasa hayo unayoongea yanamahusiano gani na msiba? Mara kimbele mbele🙆🙆, Naona unajisifia tuuuu , kwahiyo mtu akiwa kimbele mbele ni tatizo kwako? Unatuchosha kaandike kitabu km unahisi watu watasahau kuyahadithia hayo siku yako ikifika.
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Innallilah wainna illah, Hana baya Mzee wa ruksa katuingiza duniani
R i p Mzee mwinyi .Lakini pia mzee Kikwete tunakukumbuka kwa mengi hasa mifumo ya ajira Mungu akupe maisha marefu
Kweli. Kikwete alifanya makubwa japo juhudi kubwa ya watesi wake ni kuondoa legacy yake kabisa
Alikuwa mtu wa watu. Nakumbuka siku moja akitokea mjimwema kumsabahi Abdul Jumbe msafara ulipofika ferry alikataa protocol na kuruhusu avuke na raia kwenye kivuko kimoja jambo ambalo halikuwahi na halijawahi kutokea. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe.
Ahsante sana muheshimiwa Kikwetw kuna vitu tunapata hapo apumzike kwa amani raisi mstaafu Mwinyi
Baba wa mageuzi nchini Tanzania, maarufu kama mzee wa ruksa R.I P daima tutakukumbuka.
Alla amjalie kauli thabiti
Allah yarihamuhu ya Rabbi
Naye kazeeka. Shughuli ya watu ameigeuza kuwa yake. Nafasi ya kuzungumza msibani anachukua muda wote kusimulia ya kwake.😅
Ahaaaa" kumbe" Ditopile mzuzuri alikuwa rafiki yako?
Napenda sana hotuba za Kikwete saaaaaana
JK ni kiongozi
Sema Mungu akipenda,,,,usiseme tu mwakani!
Unafikiki anajitambuwa uyu jasusi
@@nishaabdula5015😂😂😂
@@nishaabdula5015😂😂😂😂😂😂😂
Mbona ww huna mapenz na watu unajua utaishi milele ysni kikwete uko mnaFki sana
Hapo hujafuata nyayo za aliyekuibua, umepotoka kusema bado mnatesa kisa kukubali asilimia 20% wakati ni mwlm.Nyerere aliwashinikiza! Kutesa kwenyewe sio kwa uhalali! Hakuna kama Mzee Ruksa hata mkihusudu kwa wema au kwa ubaya hayupo tena!
Huyu mzee nae nichangamotto kila kiongozi anahistoria nae
😂😂😂
Sad! Kikwete anapaswa kujua tukio kama hili ni la kitaifa na fursa ya kipekee ya kuwaunganisha Watanzania. Mambo ya "CCM inatesa" yana sehemu yake, sii hapa! Please be a senior statesman that you are supposed to be, please!!!
Sio uislam siku 3 Hayati hamjamstil
Ccm kwasasa mnaiba kura2 hakuna uimara mliyonao
R.I.P Mzee wetu Ally Hassan Mwinyi
Nikweli CCM inatutesa wa Tanzania .mungu atawaondoa inshaalah.
😂
Mtashinda....mwakani...na miaka inayofuata....utakuwepo basi? Usifikiirie madaraka na kutawala tu
R I P mwinyi Baba yetu
Wewe mbona unajisifia ww tuu..toa sifa za marehemu
Bro umenena jambo....huyu ndugu yetu anapenda sifa zake binafsi mbele ya kadamnasi
Mzee mwinyi akufunze kitu amefariki hakuna hata mumoja
Anayemkosoa,kama kweli ww ikikutokea ndiyo utajua umewekeza nn duniani
JAMBO UNALOLIAMINI KOMAA NALO, Maneno ya busara
HATA SEIF SHARIF MUNGU ALIMUONDOA KWA SIBABU YA UKOROFI WAKE
Tutashinda tana na tenaaaaaa
Mama Alinihadithi kipindi cha Mwinyi hakuna njaa unga ya ugali bule
Alikuambia ukweli kabisa... Kipindi cha utawala wa mzee Ruksa, maisha yalikuwa rahisi sana... Pesa ilikuwa nje nje... Kila biashara ilikuwa inauzika... Tabaka la masikini na matajiri lilikuwa Dogo sana
Watu tulikula bata kinomaaa... Kilikuwa kipindi cha raha sana
Sitasahau na ndio aliruhusu TV kuwepo majumbani... RIP mzee Ruksa
Kiukweli nampenda sana kikwete
Kaizikeni maiti basi duuu
Kikwete anapiga kampen msiban Kwa mzee wa ruksa
😅😅😅wote mkajiuzuli
Polen sana
❤
Mnakosea si uislam huo mnaofanya wacheni kuitesa maiti
kumbe maiti inateseka?..je bado ina uhai kumbe hata inateseka? hili nalo ni fundisho la uislam au uliyeseama ni maamuma? na kama ni kweli kumbe hajafa ndo mana anateseka, hizi imani hizi kazi kweli kweli
@@masumbukomaganga438 Unadhani ukifa ndio yamekwisha? Maiti inateseka kwenye Uislam mtu akifa ni kukafiniwa (kusafishwa), kukoshwa, kusaliwa na kuzikwa na yote yafanyike haraka iwezekanavyo.
Raisi ni mali ya taifa sio mali ya waisilamu
He uislamu nayo ni dini ya Mungu na huyo marehemu ni alikuwa mtu wa Mungu kwaiy anatakiwa kuwaishw kwa Mungu wake ili aka hesabiwe matendo yak
Sasa hayo unayoongea yanamahusiano gani na msiba? Mara kimbele mbele🙆🙆, Naona unajisifia tuuuu , kwahiyo mtu akiwa kimbele mbele ni tatizo kwako? Unatuchosha kaandike kitabu km unahisi watu watasahau kuyahadithia hayo siku yako ikifika.
Munaahinda au munaiba Sasa mukijaribu mwak 2025 mutachoma
Miongoni mwa watu ambao akianza kuzungumza nazimaga tv ni huyu
Zima simu
THE EMIRATE LEADER DIED AND BURIED WITHOUT ALL THESE NONSENSE HAPPENING IN TANZANIA.
MAJAMBAZI YA KURA
Yn ww kikwete ww
Umeanza usani wako
HATA SEIF SHARIF MUNGU KAMUONDOA KWA SIBABU YA UKOROFI WAKE
Siku yake iliwadia,usipende kuropoka Sheikh wng.
Bado wewe sasa
Naiyo ck yk ikifika aki wt cjui qtafufahi vp mungu azidi kumueka jmn
Na wewe je?
Ni Safari ya wote
😂😂😂😂😂
Ni ahadi Allah kwa kila mwanadam na bado mim na wew