LIFE WISDOM : ILI UFANIKIWE KWENYE KITU CHAKO - JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @OmallyMbwana
    @OmallyMbwana 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubarik kaka hakika usipo thamini cha mwenzako hata cha kwako huwezi kukithamini❤

  • @abuurashid1128
    @abuurashid1128 3 หลายเดือนก่อน +10

    Kaka ni kweli kabisa, hata kanuni za Kiroho yaan kwenye Iman ya Dini ipo hvyo. Tunawadhulumu sana waajiri wetu tukiamini wao hawana shida.

  • @erickathanas
    @erickathanas 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki unatuinua wengi

  • @Mwakwese_Yusuph
    @Mwakwese_Yusuph 3 หลายเดือนก่อน

    Asante kiongozi

  • @MohamedNgamba
    @MohamedNgamba 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera xana bro Joel kwa ubora mafunzo yako kitu kimoja Cha kipekee xana huna matangazo mengi you always start with "KARIBU KWENYE LIFE WISDOM SERIES" big up sana huna Mambo Kama cile " Kama ndo Mara ya kwanza kuangalia Chanel hii subscribe Mara bonyeza alama ya kengele" ❤

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 หลายเดือนก่อน +1

      Nashukuru sana, tuendelee kujifunza na kuwashirikisha wengine

  • @BobMathias-p8c
    @BobMathias-p8c 3 หลายเดือนก่อน +4

    Yah maisha nikinyume ukipanda dhuluma na wewe utavuna dhuluma amen mr.joel❤

  • @rollingsmiller9514
    @rollingsmiller9514 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kaka MUNGU akubariki kwa mafundisho haya mazuri

  • @stellasoraya1138
    @stellasoraya1138 3 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba kaka Joel uandae pia kwa watu wa Arusha tuko tayari kupata kongamano

  • @Chris32-h3b
    @Chris32-h3b 9 วันที่ผ่านมา

    Brother joel thanks sana am following your inspiration silently am from kenya ,let me know how to get your books

  • @fransiscokashilimu
    @fransiscokashilimu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika ubaya humrudia mtu anayefanya ubaya

  • @mahambagislain9618
    @mahambagislain9618 2 หลายเดือนก่อน

    Asante Kaka Mungu aku bariki 🎉🎉🎉✍️🇨🇩

  • @nickalreadyknows
    @nickalreadyknows 3 หลายเดือนก่อน +1

    Karma

  • @mbarakasalumu7122
    @mbarakasalumu7122 2 หลายเดือนก่อน

    ASante sana bro nimepata kitu

  • @pialafrance7922
    @pialafrance7922 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kaka kwa somo zuri

  • @HalimaAmadi
    @HalimaAmadi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee sana❤

  • @PhinaLazaro
    @PhinaLazaro 3 หลายเดือนก่อน

    Asante kaka Joel kwa mafundisho mazuri

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 3 หลายเดือนก่อน

    Asante nimejifunza Joel 🙏🙏

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana

  • @janetfrancis7180
    @janetfrancis7180 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kaka Joel

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana