KIJANA ALIYETUMWA KUISOMEA FAMILIA AONDOE UMASIKINI NYUMBANI KWAO, ALIANZA NA GARI LA MKONONI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Mujitaba Yusuph ni kijana wa miaka 29, akiwa ndie kijana wa kwanza kwao, mwaka 2011 alifanikiwa kuhitimu kitato cha 6 akiwa na ufaulu wa alama za juu, Kwa kuwa anatoka familia maskini ilibidi kikae kikao cha familia kuamua nani aendelee na masomo kati yake na Wadogo zake akiwa UDOM aliishi maisha ya kujibana akijua anadeni ametumwa kuisomea familia alihitimu Ualimu kwa miaka mitatu bila kupata ajira akaja na wazo la kununua gari la mkononi ili aliuze kwa faida

ความคิดเห็น • 326

  • @agnessmkoma1761
    @agnessmkoma1761 3 ปีที่แล้ว +38

    "Maisha magumu yasikufanye ukapoteza focus" yaan nimeyaelewa sana haya maneno.

  • @brigerynelson397
    @brigerynelson397 3 ปีที่แล้ว +56

    Nilichokigundua kwa huyu jamaa ni kichwa sana, hongera Brother 👊

    • @mtagechota1002
      @mtagechota1002 3 ปีที่แล้ว +2

      Vizuri huwa havidumu jaman dunia hii

  • @amosafrica2350
    @amosafrica2350 3 ปีที่แล้ว +21

    Dah! Huyu bro nimesoma naye asee! Kweli alikuwaga smart tangu chuo. Mkimya sana kumbe alikuwaga anatafakari mambo mazito hivi!

    • @Agatee01
      @Agatee01 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @reginasawe3356
      @reginasawe3356 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 3 ปีที่แล้ว +16

    Safi sana wewe ni mfano No 1 wa kuigwa na vijana wenye mtazamo Wakuajiliwa. Mtu anapewa Mkopo wa kusoma bado akitoka hapo anailaumu Serikali haimpi Ajira.

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 3 ปีที่แล้ว +28

    Nimeipenda sn,mungu awajaalie binadam wote km hawa🙏

  • @aganolamotoeliya2027
    @aganolamotoeliya2027 3 ปีที่แล้ว +21

    Hiyo interview ilitakiwa kua zaidi ya hapo ila mmefupisha na kuibana, walitakiwa hao ndugu pia waongee ndio ingenoga zaidi.

    • @ainarajabu3615
      @ainarajabu3615 3 ปีที่แล้ว

      Imenibid nirudie hii interview kwakweli nimeumia mnoo

  • @RobbyDejan1234
    @RobbyDejan1234 3 ปีที่แล้ว +5

    “Uaminifu ni ngao ya maisha na elimu ni muangaza wa unachokiishi” Chagua moja kuishi au kuishia.🔥 hongara sana bro maarifa uliyonayo yamepitiliza ukibwa wa maisha uliyoyaishi awali.

  • @tareqhilal6750
    @tareqhilal6750 3 ปีที่แล้ว +45

    Kusoma jambo moja na kuondoa umasikini ni Jambo la pili.

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว +11

    Akili tu ndio kila kitu bila akili ni sawa na bure ata usome mpaka mbinguni ni sawa nakujisumbua kuyatafuta matako ya nyoka , bwana mdogo kichwani yupo vizur God bless you

  • @sarahfyita5242
    @sarahfyita5242 3 ปีที่แล้ว +9

    Pumzika kwa amani mujji leo umelala ukiwa bdo una ndoto nyingi hujatimiza.😭😭😭

  • @levinamutagwa6048
    @levinamutagwa6048 3 ปีที่แล้ว +18

    Hongera sana classmate kumbe Yale magari pale mission ni yenu? Bigup bro

  • @mariejoseeali9535
    @mariejoseeali9535 3 ปีที่แล้ว +7

    Waooh mupaka Nakuya😭😭😭, kweli kaka yangu una ongea kweli. Ahijalisha family yako nimasikini kiasi gani never loss focus ndo yamahana . ujuwi kesho Mungu anaweza kuku bariki kupitiya unacho fanya. Thanks for sharing your story with us❤️✋

  • @princeaqillah9507
    @princeaqillah9507 3 ปีที่แล้ว +9

    Hongera sana kaka tweyambe mojaaaaa....ulikuwa kichwa toka apoooooo😍😍

  • @adeliusleonard6465
    @adeliusleonard6465 3 ปีที่แล้ว +7

    Dah mujitaba you was good student at our school kila la kheri mzee

  • @jirehgospelministerschanne9308
    @jirehgospelministerschanne9308 3 ปีที่แล้ว +13

    May God bless you Brother, you're very humble and you'll go far.Cudos keep it up

  • @faudhiatmasoud4025
    @faudhiatmasoud4025 3 ปีที่แล้ว +8

    Daaaah inatia nguvu sana..ipo siku Millard ayo mtakuja kwangu😂yani hii naapiaa😀

  • @salmaalkyumi6030
    @salmaalkyumi6030 3 ปีที่แล้ว +8

    MashaAllah
    Allah azid kukufungulia milango ya kheir na mafanikio
    Ameen🤲

  • @mamoulovecherry5121
    @mamoulovecherry5121 3 ปีที่แล้ว +15

    MASHAALLAH tabarakaAllah Allah awatangulie sn awafungulie milango ya riski aimarishe mapenz kweni🤲🤲🤲🤲❤❤❤🥰🥰🥰🥰

  • @jesitinakiware6881
    @jesitinakiware6881 3 ปีที่แล้ว +10

    umenifanya ni rie bro maana kila mtu alie pitia maishaa aya ata kuelewa t ogelaa sanaa

  • @MohamedAli-ho5fq
    @MohamedAli-ho5fq 3 ปีที่แล้ว +15

    Dah uyu jamaa kichwa kweli.
    Big up bro

  • @binksheemalamry3356
    @binksheemalamry3356 3 ปีที่แล้ว +6

    Hapa siri moja tu kuungana ndugu na kufanya kazi pamoja inaleta baraka kubwa sana sana

    • @kyaro5945
      @kyaro5945 3 ปีที่แล้ว

      Ila kuna anaetaka kuwagi kabla ya mtaji kukua, biashara ya ndugu ni ngumu mno.

    • @mariamjuma4136
      @mariamjuma4136 3 ปีที่แล้ว +1

      @@kyaro5945 lakini ndugu mkisaidiana mnabarikiwa sn kuna changamoto zake lakini kuna kheri kubwa sn

  • @omarbavicha1674
    @omarbavicha1674 3 ปีที่แล้ว +5

    Nimeipenda. ukitaka kufika mbali tembea mwenyewe Ila ukitaka kufika mbali zaidi tembea na wezio :

  • @Prince0fald
    @Prince0fald 3 ปีที่แล้ว +6

    Mash Allah

  • @silaselias7697
    @silaselias7697 3 ปีที่แล้ว +11

    congrats bro, keep moving. One day yes

  • @shubebunyesi542
    @shubebunyesi542 3 ปีที่แล้ว +4

    Daa nimekuja fasta kuhakiki Mana nilikua najiuliza sio uyu kama mwezi tu katoka kuojiwa R. I. P bro

  • @brianpaul4011
    @brianpaul4011 3 ปีที่แล้ว +11

    Jamaa amekufa Leo huyu....R.I.P mujitaba,pole kwa familia maana alikua kiunganishi muhimu katika familia yake.

    • @Ram_1893
      @Ram_1893 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndo amefariki kwenye ile ajali pamoja na mpiga picha wa Ayo TV?

    • @nelsonjonas7334
      @nelsonjonas7334 ปีที่แล้ว +1

      Jamaniii amefariki huyu jamaa, sielewiii hiz taarifa

    • @sarajanuary3516
      @sarajanuary3516 ปีที่แล้ว

      Mmh amekufa tena achakumchulia

    • @Ram_1893
      @Ram_1893 ปีที่แล้ว

      ​@@sarajanuary3516Ni kweli
      Alishafariki
      Ni kwenye ajali na mfanyakazi wa Ayo TV

  • @zainabshuwaib3143
    @zainabshuwaib3143 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah Akurehem Alifanye kaburi Lako kuwa Miongoni Mwamabustan Ya Peponi brother Mujtaba.

    • @hamidaala2832
      @hamidaala2832 2 ปีที่แล้ว

      Aaminna😭😭😭

    • @halimahalima1488
      @halimahalima1488 หลายเดือนก่อน

      ​@@hamidaala2832Amin yaarabih 😢👏

  • @azmedmtwana8135
    @azmedmtwana8135 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani hii mitandao haifai ni bora uweke maisha yako private hii dunia ina hasad saa sio watu wote tunapenda mafanikio ya watu

  • @papaamasauti5964
    @papaamasauti5964 3 ปีที่แล้ว +5

    MASHAALLAH

  • @manasadunia3458
    @manasadunia3458 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha allah Allah azidi kukujalia

  • @barakakaume7089
    @barakakaume7089 3 ปีที่แล้ว +4

    Unasomea familia kifo kinakuchukua mapema, at least uliwaachia ndugu zako msingi wa maisha, kwa kile ulichoanzisha. REST IN PEACE BROTHER.

  • @suphiapatson3541
    @suphiapatson3541 3 ปีที่แล้ว +8

    Hongera baba na mama wa hawa vijana kwamalezi bola yenhe hofu ya mungu muendee kuwaombea watotowenu wazidi kupendana

  • @faisalikassim3837
    @faisalikassim3837 3 ปีที่แล้ว +3

    Masha allah ALLAH akuifadhi na awaifadhi kwa pamoja

  • @asumaathuman6094
    @asumaathuman6094 ปีที่แล้ว +1

    Aisee huyu jmaa slikuwa mpole sana namjua sana💪💪 ila pumzika kwa amani.....kaka😪😪

  • @amirikoshuma3039
    @amirikoshuma3039 3 ปีที่แล้ว +12

    Mafanikio hayatengenezwi na mtu mmoja mbwana mdogo nakupa kongole

  • @nabirnuru8147
    @nabirnuru8147 3 ปีที่แล้ว +6

    18 Aug 2021 REST IN PEACE MY Brother Leo Mujitaba Abbas Umetutoka kaka angu. mungu ailaze roho yako mahali pema peponi Amiini

    • @mwanas2
      @mwanas2 3 ปีที่แล้ว

      Amiin amiin

    • @user-oy8go8zs7e
      @user-oy8go8zs7e 3 ปีที่แล้ว

      Amiin chema hakidumu

    • @hamidaala2832
      @hamidaala2832 2 ปีที่แล้ว

      Aamina.Aminaa😭😭😭

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah

  • @smaihsmaih2815
    @smaihsmaih2815 3 ปีที่แล้ว +4

    MA SHAA ALLAH TABAARAKA LLAH

  • @chikamajenisia2244
    @chikamajenisia2244 3 ปีที่แล้ว +5

    Rest in peace broo

  • @jenylozapius7918
    @jenylozapius7918 3 ปีที่แล้ว +2

    dah! r.i.p rahaa ya milele ukuoe ehee bwana na mwanga wa milele akuwaangazie ...upumzike kwa aman

  • @caslidajosephat8912
    @caslidajosephat8912 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli hii dunia tunapita, siamini Mujitaba Kama ndiyo umefariki dah! Tangulia nasi twaja.

    • @Ram_1893
      @Ram_1893 3 ปีที่แล้ว

      Alikua anaumwa?

  • @tonnyshoo5369
    @tonnyshoo5369 3 ปีที่แล้ว +11

    mwanangu nimesoma nae udom

    • @kpetres2872
      @kpetres2872 3 ปีที่แล้ว +3

      Tusaidie ni kweli alikuwa anakula mikate😂

    • @irenegomanga8654
      @irenegomanga8654 3 ปีที่แล้ว +2

      @@kpetres2872 😂😂😂😂😂alikuwa anakomonika nacheka kama mazuri

    • @tonnyshoo5369
      @tonnyshoo5369 3 ปีที่แล้ว +1

      ni kwelii

    • @Michoarbah
      @Michoarbah 3 ปีที่แล้ว

      dah

  • @aishahemedi7869
    @aishahemedi7869 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah 🙏👏 👏👏👏

  • @hassanmugire1497
    @hassanmugire1497 3 ปีที่แล้ว +7

    UDOM ❤️ iposiku

  • @jasintharuhinda3909
    @jasintharuhinda3909 3 ปีที่แล้ว +4

    Hongera mdogo wangu Mujtaba

  • @oscarcharles9269
    @oscarcharles9269 3 ปีที่แล้ว

    Hakika uwe mfano wa kuigwa na watu wenye mitaji midogo lakini hawajui namna ya kuitumia na kujikuta mwisho wa siku anapoteza kila kitu maana Mia haikuanza Kama yenyewe isipokua Mia ilianza na moja Safi Sana kijana, hongera kwa hatua madhubuti kubwa Kama hizo na M/Mungu akuongezee zaidi na zaidi inshallah

  • @peterjonathan5681
    @peterjonathan5681 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa ni kichwa Sana apewe uspika wa bunge NDUGAI atolewe maana anaweza kuleta njia ya serikal kupata mapato Ila siyo tozo

    • @lastgospel706
      @lastgospel706 3 ปีที่แล้ว

      Si kafariki jana huyu

    • @musason1680
      @musason1680 3 ปีที่แล้ว

      Jamaa hayupo tena asee

  • @fanityubu
    @fanityubu 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ndiye kijana aliyefariki na mfanyakazi wenu aisee

  • @claraphidelis905
    @claraphidelis905 3 ปีที่แล้ว +7

    😭😭😭😭vizuri havidumu rest in peace bro

    • @neemavahaye4184
      @neemavahaye4184 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli ndugu .. yaaan Roho imeniumaa

  • @lavieestbelle3263
    @lavieestbelle3263 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi Mungu akuongoze katika kila hatua.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah, hongera sana kijana kwa mafanikio yako 🙏😍

  • @Omushonga
    @Omushonga 3 ปีที่แล้ว +2

    All the way from Tweyambe Secondary, hongera sana kaka

  • @nikhatkhan8362
    @nikhatkhan8362 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akusaidie bro

  • @allyhamisi6394
    @allyhamisi6394 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah awasimamie Inshallah

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 ปีที่แล้ว +11

    Misemo ya chuo ni ya kisenge 😂😂😂😂eti unakomonika ila pongezi kwako

    • @mtaalamwamambo2099
      @mtaalamwamambo2099 3 ปีที่แล้ว

      Me mwenyw nimecheka kwel utazan mazurii 😂😂😂

    • @sylviaoum2943
      @sylviaoum2943 3 ปีที่แล้ว

      Kukomunika km kote chai na mkate🤣🤣🤣🤣

  • @joycembawala8781
    @joycembawala8781 3 ปีที่แล้ว +4

    Duuuuh huyu n kijana mwenye upendo jamaan,wachache sana wenye moyo huu wakishafanikiwa wanasahau ndugu zao na yote baba yao aliyowaambia

    • @mamazahra3591
      @mamazahra3591 3 ปีที่แล้ว

      Kweli upendo wengine wanawasahau Hadi wazazi sembuse ndugu.

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulaze mahalipema

    • @Ram_1893
      @Ram_1893 ปีที่แล้ว

      Aamiin

  • @issasalumwaziri3184
    @issasalumwaziri3184 3 ปีที่แล้ว

    Safi Sana bro akika uwo nimfano wa kuigwa pia ashukuliwe Sana baba kwa kwa kuchagua fyuchar ya familia mwisho wasiku na mungu aka wezesha ikaongoza vyema familia shikilianeni ndugu zangu

  • @zulfasaeed7445
    @zulfasaeed7445 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭nimejifunza kitu kipya kupitia huyu kaka mungu akupunguzie adhab ya kabri 🙏😭😭😭Yan hapo nden la familia nimekumbuka mimi ni mtoto wa mwisho kutoka kwenye familia ya watt 6 nimekuja nje ya nch wazaz waligoma ila nikomaa had nilikuja nimekomaa balaa nikiangalia familia kule home nimeshindwa hata kununua cm ya laki 5 wallahila nashukuru mungu Alhamdulillah nimepambana sana nimefanya vitu vya kutoa had haib yumban hata leo nyumban kunaeleweka ila sasa vita ninaepigwa mungu ndy mlinz wangu 🙏😭😭😭😭mama yangu na baba yangu watu wa kulia sana wanahofia maisha yangu huwa nawambia mungu yupo na mimi kikubwa dua tuu 🙏😭😭😭

  • @ZACHARYBENJAMIN-sx3eb
    @ZACHARYBENJAMIN-sx3eb 3 หลายเดือนก่อน

    You are inspiring me congratulations bro

  • @mwanahawa6362
    @mwanahawa6362 2 ปีที่แล้ว +1

    Hatare na nusu

  • @agnesslyatuu8026
    @agnesslyatuu8026 3 ปีที่แล้ว +3

    Duu kaka pumzika kwa amani nimekuja hapa baada ya kuona kifo chako kweli ni pigo kwa familia jamani RIP 😢

  • @mohamedfaris3000
    @mohamedfaris3000 3 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah Brother, sio kila aliesoma ataajiriwa serekalini ila naomba uamini kua anaejituma mwenyewe ni bora kuliko aloajiriwa...

  • @magembesucha4791
    @magembesucha4791 3 ปีที่แล้ว +2

    Duuh kwaio inaweza kua kweli kwmba first born ni wanakuanga very Bright ama

    • @agnesmatandula326
      @agnesmatandula326 3 ปีที่แล้ว

      Mmmmh inategemea aisee,wengine vichwa maji kabisa mpk unajisemea bora lingekuwa la mwisho uwe unalitia vibao

    • @agnesmatandula326
      @agnesmatandula326 3 ปีที่แล้ว

      Mmmmh inategemea aisee,wengine vichwa maji kabisa mpk unajisemea bora lingekuwa la mwisho uwe unalitia vibao

    • @Ram_1893
      @Ram_1893 3 ปีที่แล้ว

      @@agnesmatandula326 😂😂😂

  • @bellatvonline
    @bellatvonline 3 ปีที่แล้ว +3

    R.I.P bro😭

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 3 ปีที่แล้ว

    Unasoma saaana unajinyima kula...
    Baadaye unapata kazi....
    Unaumwa magonjwa ya kutokuwa unakula wakati ule...
    Maisha so crazie....
    Ah kumbe mnangaza biashara...
    That cool brother

  • @issaomari5297
    @issaomari5297 2 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P Daaaaaa Allah atupe kaul thabiti

  • @stumay-wx9rp
    @stumay-wx9rp 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mungu nishike mkono usiniache peke yangu hata kak yetu ulimshika mkon ukiwa na imani hakuna kinacho shindikan

  • @mustaphakijazi9807
    @mustaphakijazi9807 ปีที่แล้ว +1

    Amefariki lini jamani. Innalilah waina lilah rajuun

    • @Ram_1893
      @Ram_1893 ปีที่แล้ว

      Mwezi mmoja na nusu hivi baada ya haya mahojiano kuwekwa hapa

  • @philipomasalu3693
    @philipomasalu3693 ปีที่แล้ว

    One day yes

  • @fredyjonaa4053
    @fredyjonaa4053 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kijana, tuzdi kupambana zaid na zaid

  • @bahatikyusa8864
    @bahatikyusa8864 3 ปีที่แล้ว +1

    Lala salama kijana aisee roho imeniuma sana

  • @emiliamulaki3600
    @emiliamulaki3600 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana. Nimejifunza kitu kikubwa. Umoja ni nguvu utengano ni dhaifu.

  • @ignassindabaha1813
    @ignassindabaha1813 3 ปีที่แล้ว +1

    Goooooo far broo,uzr na wadogo zako nao waelewa familiar nyenginezo pangetokea mpasuko hahahaahhahahaaaa

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว +1

    Sindo amekufa uyu.siku tatu zilizo pita daah 😭😭

  • @jollityjorgan5920
    @jollityjorgan5920 3 ปีที่แล้ว +1

    School mate tweyambe hongera sana kaka

  • @mwanaidmajani856
    @mwanaidmajani856 3 ปีที่แล้ว +2

    Rip 😭😭

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana

  • @musason1680
    @musason1680 2 ปีที่แล้ว +1

    Daahh 😭😭😭

  • @musason1680
    @musason1680 3 ปีที่แล้ว +4

    Asee da jamaa leo hayupo tena 😭😭

  • @manyuhandumbaro9618
    @manyuhandumbaro9618 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana Millard....big inspirations to those

  • @mtagechota1002
    @mtagechota1002 3 ปีที่แล้ว +1

    Daah vizuri havidumu jaman pumzika kwa aman mujitaba 😭

  • @mwajumaabeidy8137
    @mwajumaabeidy8137 3 ปีที่แล้ว +2

    Maaa sha Allah

  • @jonathantemba6653
    @jonathantemba6653 3 ปีที่แล้ว +1

    Hivi ndio vitu vya kuangalia sasa

  • @dennisgabriel2783
    @dennisgabriel2783 3 ปีที่แล้ว +2

    Focus &never give up🙏🏼

  • @abuuluqmaana8444
    @abuuluqmaana8444 ปีที่แล้ว

    Muogope mungu sasa ukipewa kaz usije ukaiba kwaajili ya majukumu uliopewa na familia yako

    • @Ram_1893
      @Ram_1893 ปีที่แล้ว

      Ni marehemu huyo
      Alifariki baada ya kupata ajali ya gari

  • @rockaizer282
    @rockaizer282 3 ปีที่แล้ว +4

    🔥🔥kubwa sana hii

  • @user-oy8go8zs7e
    @user-oy8go8zs7e 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulaze pema pepon

  • @emmamsamba4256
    @emmamsamba4256 3 ปีที่แล้ว +3

    Haya maneno yako yameniingia vilivyo! Wengi tumepitia chuo na kusahau tulikotoka na tunako enda

  • @nipautago8574
    @nipautago8574 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera!

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 3 ปีที่แล้ว

    MashaaAllah MashaaAllah Allah awe nanyi katika biashara yenu nimejifunza kitu big up

  • @mwanakherkione597
    @mwanakherkione597 3 ปีที่แล้ว +3

    Nime kuelewa sana umekua mwaminifu nafamilia yako kaka

  • @احمدالخروصي-ل8ك
    @احمدالخروصي-ل8ك 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kaka yangu mungu awaongoze ktk kazi zenu

  • @alicembulumi6903
    @alicembulumi6903 3 ปีที่แล้ว +2

    Congrats 👏

  • @super_boy_tz
    @super_boy_tz 3 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @benjaminjoseph1747
    @benjaminjoseph1747 ปีที่แล้ว

    Smart head = success.
    Keep rocking Br. No turning back

    • @joelsamwel2580
      @joelsamwel2580 ปีที่แล้ว

      Amesha fariki mzee 🥺🥺🥺

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 3 ปีที่แล้ว +12

    moral of the story: Unit is power,division is weakness

  • @shamilahussein5294
    @shamilahussein5294 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakama kilaninapo mtizama huyu kaka siamini kama kafariki 😭😭 eemungu mpokee kwaamani ila moyo Wang hautak kuwamini kama hayopo duniani😭😭

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 3 ปีที่แล้ว +3

    Millard Ayo/ no ya simu muhimu jamani.

  • @jordankabobe5300
    @jordankabobe5300 3 ปีที่แล้ว +2

    R.I.P