Support yako kusubscribe 🙏 Ikitokea hivo cha kufanya unatakiwa urudi mpaka gear namba moja maana ndo gear ya kuondokea,,,ukitumia gear kubwa kuondoka pikipiki itazima
Support yako kusubscribe 🙏 Kujua engine iliyochoka au nzima lazima uwe na fundi eneo la tukio,,hiyo nadhani ndo inaweza kusaidia,,,me naweza kwambia ikitoa moshi lakini tatizo la moshi inaweza kuwa ring zimeisha zinahitaji tu kubadilishwa,,,so njia nzuri kama unanunua pikipiki used tafuta fundi mzuri unamuamimi uende nae akakusaidie kujua uzima wa chombo
Uko vzr mwamba Loud an Clear na vipi nikiwa labda niko kwenye Gia 3 hlf ghafla nikasimama either kwenye foleni natakiwa kuondoka na gia hyo hyo au narudisha kwa Neutral
Support yako kusubscribe na kushare.. Rudi mpaka gear namba 1 sababu ndo gear nzuri kwa ajili ya kuondokea,,,ukiwa kwenye gear kubwa pikipiki itakuwa inazima na hivyo utashindwa kuondoka na kujaza foleni,,,hata kwenye taa za barabara ukisimama rudi mpaka gear namba 1.. Na usipende kuweka neutral ukiwa kwenye foleni au taa Sababu hayo maeneo huwa yanahitaji uwe haraka sana so simama ukiwa kwenye gear namba moja
@@EzekielTv49Ok navp kuhusu gear na speed zinahusiana yaan kuna uwezekano hata kama haupo speed kubwa ukamaliza gear au kila gear inatakiwa ubadilishe kutokana na Speed ya Chombo chako Nakwenye ubadilishaji wa gia either kwa kupunguza ua kuongeza unatakiwa ubadilishe kila moja kwa mda fulan au inawezekana kushusha mfululizo yaaan ulikuwa 4 ukashusha mfululizo mpk 1ukiwa kwenye mwendo
@@jayharryson4913 unaweza ukamaliza gear zote na ukawa na speed ndogo ambayo at least 40.... Na kuhusu kushusha gear unaweza shusha mfululizo hiyo haina shida,,,imagine unaenda kukatiza kwenye kona upo speed 60 na umezimaliza,,,unazipangua tu chapu mpaka 3 au mbili chapu (kama haihitaji usimame,,kama utasimama rudi mpaka 1) ukimaliza kona unaanza kuzipandisha tena kama kuna uhitaji
@@EzekielTv49Sorry Mzee nishanunua TVS nimeondoka vzr ila kwenye Corner nikiwa napunguza mwendo inazima je nakosea sababu sishiki Clutch au Sivuti mafuta 😂😂imenitesa leo kinoma
@@jayharryson4913 pole sana,,,tatizo nadhani utakuwa unakata kona na gear kubwa,,,so punguza gear (2 au 3)na jifunze kutembelea half clutch kama nilivyoelekeza kwenye hii video
Nice teacher waoooo
Support yako kusubscribe 🙏
Great job 👏
Support yako kusubscribe 🙏
Ahsante bro
Support yako kusubscribe na...
Nashukuru sana
kiongoz huko vzr kw mafunzo, na swali je ukiwa ktk GIA 3 gafra ikatoa foleni gafla utafanya utaondoka na gia no3 hiyo foreni ikipungua?
Support yako kusubscribe 🙏
Ikitokea hivo cha kufanya unatakiwa urudi mpaka gear namba moja maana ndo gear ya kuondokea,,,ukitumia gear kubwa kuondoka pikipiki itazima
Mkuu kwa pikipiki iliyotumika nawezaje kujua kama engine ni nzima au imeisha
Support yako kusubscribe 🙏
Kujua engine iliyochoka au nzima lazima uwe na fundi eneo la tukio,,hiyo nadhani ndo inaweza kusaidia,,,me naweza kwambia ikitoa moshi lakini tatizo la moshi inaweza kuwa ring zimeisha zinahitaji tu kubadilishwa,,,so njia nzuri kama unanunua pikipiki used tafuta fundi mzuri unamuamimi uende nae akakusaidie kujua uzima wa chombo
Good job
Shukrani sana
Support yako kusubscribe na kushare
Do not engage or disengage a clutch while cornering
Your support to subscribe 🙏
We do both while cornering and the purpose is to get half crutch
Uko vzr mwamba Loud an Clear na vipi nikiwa labda niko kwenye Gia 3 hlf ghafla nikasimama either kwenye foleni natakiwa kuondoka na gia hyo hyo au narudisha kwa Neutral
Support yako kusubscribe na kushare..
Rudi mpaka gear namba 1 sababu ndo gear nzuri kwa ajili ya kuondokea,,,ukiwa kwenye gear kubwa pikipiki itakuwa inazima na hivyo utashindwa kuondoka na kujaza foleni,,,hata kwenye taa za barabara ukisimama rudi mpaka gear namba 1..
Na usipende kuweka neutral ukiwa kwenye foleni au taa Sababu hayo maeneo huwa yanahitaji uwe haraka sana so simama ukiwa kwenye gear namba moja
@@EzekielTv49Ok navp kuhusu gear na speed zinahusiana yaan kuna uwezekano hata kama haupo speed kubwa ukamaliza gear au kila gear inatakiwa ubadilishe kutokana na Speed ya Chombo chako
Nakwenye ubadilishaji wa gia either kwa kupunguza ua kuongeza unatakiwa ubadilishe kila moja kwa mda fulan au inawezekana kushusha mfululizo yaaan ulikuwa 4 ukashusha mfululizo mpk 1ukiwa kwenye mwendo
@@jayharryson4913 unaweza ukamaliza gear zote na ukawa na speed ndogo ambayo at least 40....
Na kuhusu kushusha gear unaweza shusha mfululizo hiyo haina shida,,,imagine unaenda kukatiza kwenye kona upo speed 60 na umezimaliza,,,unazipangua tu chapu mpaka 3 au mbili chapu (kama haihitaji usimame,,kama utasimama rudi mpaka 1) ukimaliza kona unaanza kuzipandisha tena kama kuna uhitaji
@@EzekielTv49Sorry Mzee nishanunua TVS nimeondoka vzr ila kwenye Corner nikiwa napunguza mwendo inazima je nakosea sababu sishiki Clutch au Sivuti mafuta 😂😂imenitesa leo kinoma
@@jayharryson4913 pole sana,,,tatizo nadhani utakuwa unakata kona na gear kubwa,,,so punguza gear (2 au 3)na jifunze kutembelea half clutch kama nilivyoelekeza kwenye hii video