somo zuri.....je naweza kuzima pikipiki ikiwa kwenye gia na je nikitaka kuondoka ntahitaji kuweka neutral ndio nianze kupanga gia upya au naweza kuondoka ikiwa na gia
Unaweza kuzima ikiwa kwenye gear wala haina shida yoyote,,, Na kuanza kuondoka sio lazima uanzie kwenye neutral,,kwa mfano ulizima ikiwa kwenye gear namba moja basi ukija unaweza ukawasha na kuanza kuondoka bila kuweka neutral
Itategemea na huo mlima ukoje,,,,kama ni mwinuko kidogo hata gear namba 3 inamaliza,,mwinuko mkali number 2,,mwinuko mkali sana gear namba moja....NB gear number 1 & 2 ndo gear zenye nguvu kubwa kwa sehemu sumbufu kama hiyo milima,,matope na mchanga mwingi,,,,kuanzia gear namba 3 na kuendelea hizo ni gear za high speed
Ukitaka kujua mafuta kuwa yapo au yameisha utatakiwa kutumia gauge ambayo ipo kweny dashboard ya pikipiki hapo,,huwa ina alama ya mashine ya mafuta kama ya sheli na mshale ambayo unapanda na kushuka kulingana na uwepo wa mafuta...... Pikipiki nyingi huwa gauge hazifanyi kazi so njia nyepesi ni kufungua tank na kuangalia kwa macho au kutikisa
Lengo la kushika brake ni kupunguza mwendo wa chombo so kwa usahihi zaidi na ili uepuke chombo kuzima inakulazimu upunguze gear pia kwa sababu haiwezekani uwe unahitaji speed ndogo halafu utumie gear kubwa kutembea...so inategemea lengo la kupunguza gear nini lipi,,mfano kwenye kona unaweza ukashika brake na kurudi gear namba 3 au 2 kutegemea na mazingira ya kona ilivyo na kama kona ina foleni kubwa kwamba itakuhitaji usimame basi utalazimika kurudi mpaka gear namba 1...
Vip apo nkitaka kushika breki ntashika na clutch au vipi? Mfano niko speed kubwa tuseme 4 barabarani afu nataka nipunguze speed ntapunguza mafuta na kukanyaga break na kuvuta clutch au vipi? Na mlimani nashuka vip? Mlima mkali @@EzekielTv49
Usiache kusubscribe na kushare.... Ok nakupa hii tip nyingine,,iwashe ikiwa neutral,,shika clutch,,ukiwa umeshikilia clutch ingiza gear number 1,,vutia mafuta kidogo na uhakikishe mlio umebalika wakati huo umeshika clutch na haitatembea kwa sababu unakuwa umeshikilia clutch (mafuta kidogo mpaka mlio ubadilike na usiachie hapo utapoona ulio umebadilika na maintain mkono wako hapo),,,baada ya hapo ukiwa umevutia mafuta kidogo anza kuachia clutch taratibu huku ukimaintain mafuta pale ulipoivutia,,,hapo lazima ietembee (na kingine punguza uoga ndugu)
Brother umetisha sanaaa....
Asantee kwa ufafanuzi mzuri🙏🙏✍️
Support yako kusubscribe 🙏
Somo tamu sana
Support yako kusubscribe 🙏
Congrats.now i can ride surely.it seems to be very easy
Hongera sana , najifunza mengi
Support yako kusubscribe 🙏
somo zuri.....je naweza kuzima pikipiki ikiwa kwenye gia na je nikitaka kuondoka ntahitaji kuweka neutral ndio nianze kupanga gia upya au naweza kuondoka ikiwa na gia
Unaweza kuzima ikiwa kwenye gear wala haina shida yoyote,,,
Na kuanza kuondoka sio lazima uanzie kwenye neutral,,kwa mfano ulizima ikiwa kwenye gear namba moja basi ukija unaweza ukawasha na kuanza kuondoka bila kuweka neutral
@EzekielTv49 shukran sana Bro vip kwa sasa ni aina gani bora ya pikipiki nzuri yenye nguvu ya kununua
@lugikojr8397 unataka kwa ajili ya kazi ya boda au ya kutembelea?
@EzekielTv49 Asilimia kubwa ni kwa ajili Ya matumizi yangu binafs kuendea kuzungukia mashamba
@lugikojr8397 Kama ni hivyo na sio kubebea watu na mizigo chukua boxer au Haojue EG
Good teacher
Nice tutorial
Your support to subscribe 🙏
Aahhh sasa nimeelewa
Wow good teacher ❤❤
Asante sana
PLS TVS HLX 125
Nitafanya kwa ajili yako..
Nimejifunza kitu kikubwa sana kaka
Shukrani sana,, support yako kusubscribe 🙏
Niamey kaka
How much is this motorcycle?
Please Subscribe 🙏
The price depends on where you are brother,, I'm in Tanzania,,,in some regions the price is up 3 million
Unajua
Support yako kusubscribe 🙏
Je,kupanda mlima utatumia gear number gani?
Itategemea na huo mlima ukoje,,,,kama ni mwinuko kidogo hata gear namba 3 inamaliza,,mwinuko mkali number 2,,mwinuko mkali sana gear namba moja....NB gear number 1 & 2 ndo gear zenye nguvu kubwa kwa sehemu sumbufu kama hiyo milima,,matope na mchanga mwingi,,,,kuanzia gear namba 3 na kuendelea hizo ni gear za high speed
Somo zuri
Shukrani subscribe kwa mafunzo ya vitu vingine zaidi
Kaka vp . Nimekuelewa sana ila naomba utoe maelekezo juu ya kujua mafuta yapo au yameisha
Ukitaka kujua mafuta kuwa yapo au yameisha utatakiwa kutumia gauge ambayo ipo kweny dashboard ya pikipiki hapo,,huwa ina alama ya mashine ya mafuta kama ya sheli na mshale ambayo unapanda na kushuka kulingana na uwepo wa mafuta......
Pikipiki nyingi huwa gauge hazifanyi kazi so njia nyepesi ni kufungua tank na kuangalia kwa macho au kutikisa
Subscribe na kushare 🙏
Paul
🎉🫡
Support yako kusubscribe 🙏
Je naweza kupiga break, bila kupunguza gia?
Lengo la kushika brake ni kupunguza mwendo wa chombo so kwa usahihi zaidi na ili uepuke chombo kuzima inakulazimu upunguze gear pia kwa sababu haiwezekani uwe unahitaji speed ndogo halafu utumie gear kubwa kutembea...so inategemea lengo la kupunguza gear nini lipi,,mfano kwenye kona unaweza ukashika brake na kurudi gear namba 3 au 2 kutegemea na mazingira ya kona ilivyo na kama kona ina foleni kubwa kwamba itakuhitaji usimame basi utalazimika kurudi mpaka gear namba 1...
@@EzekielTv49 Ahsante sana kwa somo
Vip apo nkitaka kushika breki ntashika na clutch au vipi? Mfano niko speed kubwa tuseme 4 barabarani afu nataka nipunguze speed ntapunguza mafuta na kukanyaga break na kuvuta clutch au vipi? Na mlimani nashuka vip? Mlima mkali @@EzekielTv49
we zombie
Nimefundishwa boda kama hii bado naona ugumu wa kuifanya itembee nashindwa kubalance moto na klachi kabisa
Usiache kusubscribe na kushare....
Ok nakupa hii tip nyingine,,iwashe ikiwa neutral,,shika clutch,,ukiwa umeshikilia clutch ingiza gear number 1,,vutia mafuta kidogo na uhakikishe mlio umebalika wakati huo umeshika clutch na haitatembea kwa sababu unakuwa umeshikilia clutch (mafuta kidogo mpaka mlio ubadilike na usiachie hapo utapoona ulio umebadilika na maintain mkono wako hapo),,,baada ya hapo ukiwa umevutia mafuta kidogo anza kuachia clutch taratibu huku ukimaintain mafuta pale ulipoivutia,,,hapo lazima ietembee (na kingine punguza uoga ndugu)
Tip ya mwisho kabisa ni muhimu sana kwetu "PUNGUZA UOGA" Wengi tunaogopa ndio maana inakuwa ngumu kuweza @@EzekielTv49
@@EzekielTv49Asante Sana
@@Giant349 Support yako kusubscribe 🙏....
Fatilia video zangu nimeelekeza njia nyepesi kuliko zote,,halafu angalia mpaka mwisho hatua kwa hatua
Good teacher