UTHIBITISHO WA UNABII KWA NCHI YA BURUNDI - GeorDavie TV
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2022
- SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa
Saafi sana Na Bii mimi niko Burundi 🇧🇮 Namshukuru Mungu amani ipo
Mwalimu isaya yaani nakukubali sana.storry ya Burundi umeiongea ilivyo kabisa Mungu Wa Nabi Mkuu ndie Mungu.
Mimi Mtoto wako NABII MKUU GEARDAVIE hongera sana mimi nakueshimu KABISA
God bless my country 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 and thank you so much mtumishi
Tx sana I am Burundian living Johannesburg South Africa
Asante sn kwakuisemea Vizur Burundi yetu
Ame jiendea hayati wetu laisi nkurunziza mungu amuweke
Amina🙏🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kbx umesema ukweli mtupu kuhusi historia yetu 🙏🙏
Baba nakuomba uniombe namimi nifanikie ninashida sana muguajarie namini utaniombe baba nakwamini utanijibu baba
Huwo unabii ni kweli kbx,Nkurunziza arikuwa Baba yetu Mungu amuraze mahari pazuri
Kweli
Kweli kabs
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 thank you watching from Canada 🇨🇦 🇧🇮
Thank you
Ukwer kama wote 🙏🙏🙏
Mungu akubariki bwana Isaya!! Much love!!
Nambi mkuu mimi ni 🇧🇮🇧🇮 nakuamini sana naama wewe nimtu wangu🙏🙏🙏🙏🙏
Tunashukuru baba
Mwalimu huwa bakufwatiriya sana kwa vipindi vyako sana lakini kwahiri la kusema kwamba geodev ni nabii wa mungu nakuoneya huruma kwa sababu nawewe ni binaadamu muombe mungu akufunuriye katika roho huyo si nabii wa mungu hata kidogo bari Kalani wa kishetani
Kuandika sms yenyew hujui
Tuthibitishie kuwa ni karani wa shetani ???????????Maana umekurupuka tu
@@rahabbrayson6552 😂😂
Asante saana
Kumbe Broo upogo..uko ndo maan..unasupport ujinga wa Putin anaefanya Ukraine
Kumsupport Putin siyo ujinga mjinga wewe unaye mshabikia mmarekani huko sema jingine lakini usitu letee mambo ya kutaka tushabikie upumbavu wa marekani ni ujinga mkubwa sana tena utulie kabisa
@@aminahassan561 Mtumwa wa akili wewe
Asante Sana kwa kuisema vizuri burundi
Lakini kuhusu nkurunziza arituharibia nchi yetu Bora huyu Ndayishimiye kuna Uhuru wakuongeya
Hallelujah hallelujah 🔥🔥🔥
Asante sana Bwana asifiwe
Lakini sio kwa huyo banaaaaa!!
Asante saana🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮
Asant papa🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏🙏
hi man of God how are you i love you so much am andy mumba from zambia one how come at side papa
Jamani toweni unabi wa DRC 👉🇨🇩
Thank you very much
Asante naapenda sanaa
Amina
Hakuna nabii mkuu hapo, YESU peke yake ndiye mkuu
Wacha roho chafu wapi inasema Yesu ndie mkuu tuu wacha kuropoka nakuvamia mada
Yesu hakuwa nabii, ni mwana wa Mungu aliye hai
Amiin yaa Rabb thanks for your excellent explaination
Cyprian ntaryamira Sylvester ntibantunganya
You're most welcome
Baba jo dev
Amen baba GeorDavie. Sisi warundi tunadhibitisha pia unabii wako ilikuwa wa Kweli.
Imana ishimwe chane
Baba unatisha
Nikweli kabisa baba ni mwema sana
Amen
Mweshimiwa NABII MKUU natamani kabla sijafa nikuone atanikimaliza kukonana na wewe face to face atanikikufa basi nitapumuzika kwa amani na ni naimani kama ntakuwa naenda sehemu zuli.🙏
Acha upuzi ww binadam mwenzako huyo kumbuka kuna mwenye alikuleta hapa duniani pumbafu
Kumbuka siyo Mungu
Umepotea ndugu yangu😁
Acha bangi bro,unatowa wapi ujasiri wa kuongea hivo?huyo ni binadamu mwenzako sio Mungu kumbuka hapo ulipo ni Mungu tu anafanya yote
Amin mugu ako nasisi
Nachoona ni kwamba kilichotolewa ni ushauri, siyo unabii
Ntaryamira cyprien
Wewe mrongo sana
I rememmber our president😍😍
Kwanini tazaniya munapenda kujiweka kwenye siasa ya Burundi nyinyi muko n'a ujinga
Wewe hujielewi
Lavelier Mics (Lapel) ni Bora sana kwa aina hii ya kipindi.
Hauna ukweri wowote ni uomgo
Nafurahi kuona una jina langu ndugu
Vizuri Sana..Kweli kabisa
Can you put subtitles in English please 🙏✝️🙏
Juvenal Habyarimana hakuwa Rais wa Burundi alikuwa Rais wa Rwanda. Soma historia vizuri
Atakuwa amesahau
Nabi wenu anavuta bangi
Atwelezeye unabi wa sasa wa burundi
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝
🇧🇮🇧🇮🇧🇮👍👍👍👍
Nadhani haimanishi kwamba watu warimuacha Nkurunziza aongoze nchi kama ulivyosema. Amashinda nguvu adui zake hivo akaendelea kuongoza .
Kwahiyo nahuyo nabii anaroho mtakatifu? Au mtaka vitu? Jamani kusoma hamjui, hata picha hamuoni?
hakuna unabii hapo na wala hakunaga nabii mkuu na nabii mdogo huyo mkanjanja tu
Sylvestre ntibandunganya
Kama alivyotoa unabii akina KAKOBE na Akina Gwajima vs chadema... Bwana yu aja
Munasema yenye hamujuwi damucirimwangika sana mingi ndo anajua
Hhhhhh unajuwa habali kwer ya burundi🇧🇮
Nawe ntutangwa namakuru🤣🤣
🇧🇮🇧🇮
Mwakimu Isaya Rudi IBM tuendelee na ukuu wa mwafrika achana na siasa za kidini religeous politics
Mi sijaelewa unabii gani huu? Huo ni ushauri ambao yeyote anaweza kuutoa
Matapeli nyinyi
Nkurunziza ameuwa watu wengi saana we unasema yenye hujuwi
Ge I devie Ninabi Kabisa
Njaa itakupeleka pabaya
KUNA USHAURI WA NABII NA UNABII, NADHANI LABDA TUNAHITAJI DARASA KUHUSU MASWALA YA KIROHO....SWALA LENYEWE LIMEKAA KAMA HEKIMA YA NABII WA BWANA KWA WARUNDI....ANY WAY, TUNAJIFUNZA KTK MAISHA HAYA KILA SIKU... ASANTE KWA KAZI
Ni kweli kuna unabii na ushauri au maoni ya nabii … haya ni maoni au ushauri wa nabii
Athenian mambo ya Burundi
mzee Kambarage mlianza tu kidogo kafariki Magufuli ivo ivo kafarik nkurunziza wa Burundi Amekwenda labda tuu kikwete mlikuwa moi muita boya angali hahahaha
Nazani Isaya mwakilembe ameamua kumsifia nabii Ili apewe zawadi kama Daudi mashimo hi inchi watu wanapendasana sifa kuliko uhalisia kwakifupi ni uchawa na ukupe
Haijalishi kikubwa kilichosemwa kinamata?
Acheni kufuru zenu unabi munashiba sadaka
T
fala sana Bagaze hahahahha ni Bagaza
rudi shule ujuwe historia
nabi wa micongo
Bongo
Nabii feki
Mmmh dhambi ZINATESA watu na MUNGU JEE HAWATUMII HAWA MANABII HAWA KUONYA Watu tunavyotenda dhambi??? Ila TU MANABII HAWA hutuletea TU habari ya magari hela NDOA aaaa hapa lazima MUNGU ATUHURUMIE ATUAMBIE HAWA Ni manabiii wake ????
Iyo siyo unabii mna malengo yenu nyinyi
Tena apana kua mnacheza na mungu na mambo yenu unabii.nani ubaguzi.sisi tuna hakilii
nyinyi wa tzd kila mkianza kusema Raisi ni baba ! suku kidogo tuu Anafariki hamuoni iyo?
So
Kwakuwa wewe ni mtanzania.umeweza😅😂🤣
Ungekuwa wa Burundi ungekuwa umejalibu.🤣🤣😂😅
Yote yarifanya mzee wa Africa Nyelele.tungekuwa tuanongozwa na tz yote yasingetokeya.ila Nyelele alipendereya Kigoma tu.ndo akaona yathamani tu.naakachukuwa hio kigoma tu.🇧🇮
Huu ni unabii au Ushauri?
Huu sio unabii ni ushauri
Na mi ndo navoona, nikajua alitoa unabii wa kifo cha nkurunziza kumbe ushauri
Unaongea sana
Mtu mwenyewe mufreemason et Nabi mkulu😏🤣
ww mtangazaji na ww untafuta ugali tu uyo unaye.sema ana.itwa.pier ngendandumwe siyo ndumbwe ww nyoosha.majina ya watu alafu ongeleya ya kwenu tz muwace kuongeya asiyo wa usu trna hamjuwi historia ya burundi wale wanatawala sasa sasa ni.wa uwaji.watupu ivi sasa wana anza ku uwana weye kwa wenyewe subiri utayaona mengi zaidi mbeleni uko
nabi anatafuta ugali kwa viongozi wa burundi
Non sence talk
Sisi tuko Burundi sisi ndo tunajuwa ukweri
Amina
Mbele ya mungu kutakuwa mengi
Nkurunzinza hayupo jmn
Sasa kafarik angengatuka kama Nyerere SEMA jodev katoa ushaur
Nikweli unambi mukuu ariyo towa hakika wana ichi tume shundia urico tumwa mutumishi na kweli , no