MSANII 20% AFUFULIWA , MASHABIKI WAPAGAWA UPYA - GeorDavie TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
    TUFUATILIE
    ▶︎ Facebook: / geordavietv
    ▶︎ Instagram: / geordavietv
    ▶︎@GeorDavie Maarifa

ความคิดเห็น • 165

  • @nicholausrwezaura1971
    @nicholausrwezaura1971 ปีที่แล้ว +21

    Eh Mungu utarudi lini aisee huku kushachafuka

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles3585 ปีที่แล้ว +8

    Ila ninachokipenda kwa 20% nyimbo zake hazinaga uchafu kabisa. Ni kipaji na aliyempa ni Mungu.

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 ปีที่แล้ว +5

    Nyimbo pekee unazoweza sikiliza ukiwa na Wakwe zako. 20% ni 🔥🔥🔥

  • @gloryleon4187
    @gloryleon4187 ปีที่แล้ว +4

    Christina Shusho njoo uoneee,,, madhabahu uliposujudu na kupewa mil. 10 leo watu wanacheza muziki wa kidunia😭😭😭😭

  • @desderymakoi6595
    @desderymakoi6595 ปีที่แล้ว +4

    END TIME SIGN,JESUS IS CLOSE....REPENT TOTAL AND COME OUT FROM SIN FOR YOUR SOUL TO BE SAVED IN JESUS HOLY MIGHTY NAME.AMEN

  • @user-bd3yv2ge6j
    @user-bd3yv2ge6j 5 หลายเดือนก่อน

    Yesu atakaporudi atakuta dunia imechafuka sana

  • @alvanjosefat2945
    @alvanjosefat2945 ปีที่แล้ว +1

    Watu wa tabia za asili,watu wa dunia hii wasio na roho ya Mungu.🥲

  • @user-ho2qk6oj3w
    @user-ho2qk6oj3w 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo kanisani au disko...mungu awaongoze mtambue dini ya haki

    • @JuliusMnkondo-fk9kv
      @JuliusMnkondo-fk9kv 3 หลายเดือนก่อน

      Samahan ndugu kanisan tunaenda kujifunza hii mziki Kwan mbaya et haujifunzi Haina tusi acha watu wapokew Barak zao

    • @KhalfaniFarisy-c3w
      @KhalfaniFarisy-c3w 16 วันที่ผ่านมา

      ​@@JuliusMnkondo-fk9kvUkristo upotevu

  • @emmanuelshukiah1236
    @emmanuelshukiah1236 ปีที่แล้ว +3

    Mimi najaribu kujiuliza tu maswali kadha wa kadha,Kama wewe kweli unatokana na KRISTO unapata wapi ujasiri mkuuu namna hiii wa kupiga nyimbo za kidunia madhabahuni pake

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 ปีที่แล้ว +3

    Nemo la mungu linasema mtawajua kwa matendo yaoo na pia wanamacho lakini hawaoni nawanamasikio lakini hawasikii yesu ludi tu ulichukue kanisa dunia Iko mwishoni

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 ปีที่แล้ว +6

    Ebu niulize hapa nikanisani au club ya mziki

  • @dastanmsangi9741
    @dastanmsangi9741 ปีที่แล้ว +4

    Warumi 1:28
    [28]Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
    And even as they did not like to retain God in their knowledge, God gave them over to a reprobate mind, to do those things which are not convenient;

    • @mhandoonthebeats8581
      @mhandoonthebeats8581 7 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa yaani hilo kundi lote hapo wamekosa maalifa Hivi hapo kuna tofauti gani na Bar au night club

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono ปีที่แล้ว +7

    Mungu wangu ishakuwa clabu sasa uwiii Mungu atusaidie jamani

    • @Boaz22
      @Boaz22 ปีที่แล้ว +1

      Clabu hua unaambiwa uchunge Tamaa mbaya??😢

    • @sixbertmwakaluwa5665
      @sixbertmwakaluwa5665 ปีที่แล้ว +1

      @@Boaz22wasikilize content wasiangalie wimbo unapigwa wapi

    • @priscacharles6237
      @priscacharles6237 ปีที่แล้ว

      Club kivip umesikia tusi apo ni njia moja wapo ya kufundisha ni mahubiri pia 20% Hana baya yuko sahihi

  • @user-cb2jr1ge1x
    @user-cb2jr1ge1x หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu hana kosa,na habagui watu,hakuna kibaya alichoimba huyo msanii,anafurahisha waumini hajaimba matusi,binadamu mbona mnamawazo potofu sana

  • @biezkaviru7762
    @biezkaviru7762 7 หลายเดือนก่อน

    This is the power of clean content ...💪💪💪💪East african's finest 🎉🎉🎉🎉

  • @gospeltv2415
    @gospeltv2415 ปีที่แล้ว +3

    mmmmmh hapo mbona sielewii nyimbo za bongo kanisani? au sijaona vizuri

  • @JuliusMnkondo-fk9kv
    @JuliusMnkondo-fk9kv 3 หลายเดือนก่อน

    Amina baba mm namkubali sana uyu mwamba ana kipaji

  • @wilsonlazaro4048
    @wilsonlazaro4048 3 หลายเดือนก่อน +1

    Blessed

  • @MushondwaChristophe
    @MushondwaChristophe หลายเดือนก่อน

    Lazima daimondi arudi kijijini mana mkali wake ana Rudi kwenyi muziki

  • @nicholausrwezaura1971
    @nicholausrwezaura1971 ปีที่แล้ว +3

    Makanisa ya kisasa aiseee

  • @DanielManeno-l1g
    @DanielManeno-l1g 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu yupo na wewe 20

  • @user-kk5ct8sx9t
    @user-kk5ct8sx9t ปีที่แล้ว +2

    Naamini kweli mlango wa kuingia uzimani kila siku unaendelea kubanwa . ...
    Kama izo siku hazitafupishwa basi hakuna atakaye pona...

  • @PhilipAndrew-et3nq
    @PhilipAndrew-et3nq 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akisema ndio hakuna wa kupinga nyimbo zenye maadili mzuri kaka mzik wako unaishi tuko pamoja sana

  • @desderymakoi6595
    @desderymakoi6595 ปีที่แล้ว

    Nabii fekiiiiiii,yaaani bila chengachenga yani.Atatoa hesabu ya hizi roho ambazo hanauwezo wakuziumba siku ile....REHEMA REHEMA REHEMA KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI.AMENI

  • @PFD123
    @PFD123 ปีที่แล้ว +3

    Daaah Yesu ulie HAI tusamehe sana huu ushetani kabisa...ila watu hawaoni

    • @noelgypsum
      @noelgypsum ปีที่แล้ว

      Shetani anaekuambia tamaa mbaya ni mzuri sana, tumia akili.

    • @sixbertmwakaluwa5665
      @sixbertmwakaluwa5665 ปีที่แล้ว

      @@noelgypsumhajaelewa content😂

    • @KhalfaniFarisy-c3w
      @KhalfaniFarisy-c3w 16 วันที่ผ่านมา

      Yesu akusamehe, unaomba msamaha Kwa kiumbe.

  • @mosesjohnswilla9926
    @mosesjohnswilla9926 ปีที่แล้ว +2

    Pastor yuko sawa kabisaaaa... Nyimbo za Twenty sio mbaya hata kidogo tena zinafundisha maisha na kumtegemea Mungu. Tatizo walokole mmekariri mpaka kwaya tu ndo mjue kwa sio dhambi

    • @emmanuelshukiah1236
      @emmanuelshukiah1236 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna wimbo wowote usiokuwa na roho nyuma yake, wimbo wowote wa kidunia hata kama una maneno mazuuri kiasi gani umembeba nani nyuma yake au roho gani ipo nyuma yake au madhabahu gani imeubeba huo wimbo, watu wangu wanaangamizwa Kwa kukosa maarifa

    • @barakamwamba288
      @barakamwamba288 ปีที่แล้ว

      @@emmanuelshukiah1236 unaonekana akili yako ya kufikilia ndogo

    • @lilianjoely2058
      @lilianjoely2058 ปีที่แล้ว

      Na ile shoo ya mavazi nayo unaisemeaje?

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 8 หลายเดือนก่อน

      @@lilianjoely2058 na tu mamisi tunamnengulia matako alafu anafulai

  • @salmampinga4995
    @salmampinga4995 ปีที่แล้ว +5

    AMEN Nimepokea Imekuwa kwangu 🙏.Hii irudiwe, irudiwe Tusherehekee birthday ya Boss Daddy mara mbili kwa mwaka, Maana mambo ni 🔥Wana Ngurumo mna fujooooo!!! Sio kwa vibe hiloo🥳🥳💃😄

  • @armandocorneliooresteorest8072
    @armandocorneliooresteorest8072 ปีที่แล้ว +1

    nakupenda sana weweni zaidiya wengine 20 pa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @marcondokeji8982
    @marcondokeji8982 ปีที่แล้ว

    Nabii GeorDavie kwa hii hauna tofauti na Kuhani Haruni kipindi kile ambacho musa amepanda mlimani Haruni akainua miungu ya ndama. Hii ni nini. Nabii Mkuu usipende sifa kupita kawaida. Utafikiri majini na mapepo yanacheza 😢😢😢😢😢😢 upuuzi mkubwa huu.

  • @marcondokeji8982
    @marcondokeji8982 ปีที่แล้ว +4

    Nabii @GeorDavie hii unafanana na Haruni.
    Kutoka 32:1-11
    [1]Hata watu walipoona ya kuwa Musa amekawia kushuka katika mlima, wakakusanyana wakamwendea Haruni, wakamwambia, Haya! Katufanyizie miungu itakayokwenda mbele yetu, kwa maana Musa huyo aliyetutoa katika nchi ya Misri hatujui yaliyompata.
    [2]Haruni akawaambia, Zivunjeni pete za dhahabu zilizo katika masikio ya wake zenu, na wana wenu, na binti zenu, mkaniletee.
    [3]Watu wote wakazivunja pete za dhahabu zilizo katika masikio yao, wakamletea Haruni.
    [4]Akaipokea mikononi mwao akaitengeneza kwa patasi, akaifanya iwe sanamu ya ndama kwa kuiyeyusha; nao wakasema, Hiyo ndiyo miungu yako, Ee Israeli, iliyokutoa katika nchi ya Misri.
    [5]Naye Haruni alipoona jambo hili, akajenga madhabahu mbele yake; Haruni akatangaza akasema, Kesho itakuwa sikukuu kwa BWANA.
    [6]Wakaondoka asubuhi na mapema, wakatoa dhabihu, wakaleta sadaka za amani, watu wakaketi kula na kunywa, wakaondoka wacheze.
    [7]BWANA akamwambia Musa, Haya! Shuka; kwa maana watu wako uliowatoa katika nchi ya Misri wamejiharibu nafsi zao,
    [8]wamepotoka upesi kuiacha ile njia niliyowaamuru, wamejifanyizia ndama ya kuyeyusha wakaiabudu na kuitolea dhabihu, wakasema, Hiyo ndiyo miungu yako, Ee Israeli, iliyokutoa katika nchi ya Misri.
    [9]Tena BWANA akamwambia Musa, Mimi nimewaona watu hawa, na tazama, ni watu wenye shingo ngumu
    [10]basi sasa niache, ili hasira zangu ziwake juu yao, niwaangamize, nami nitakufanya wewe uwe taifa kuu.
    [11]Musa akamsihi sana BWANA, Mungu wake, na kusema, BWANA, kwa nini hasira zako kuwaka juu ya watu wako uliowaleta kutoka nchi ya Misri kwa uweza mkuu, na kwa mkono wenye nguvu?

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @barakakasamia5036
    @barakakasamia5036 ปีที่แล้ว +1

    nabado ipo siku pombe otanywewa hapo hapo madhabauni pa ibilisi ili kieleweke

  • @winnyrocha190
    @winnyrocha190 ปีที่แล้ว

    mtawajua kwa matunda yao maana machungwa mwitu hayaezi zaa divai,,, this is not church of the living God, run for your soul ooh

  • @furolafideligaya658
    @furolafideligaya658 ปีที่แล้ว

    Mungu amuweke nabii aishi miaka mingi kwani haijawshi tokea anasaidia pia anasapoti hivyo upendo alionao najua wanamchukia Ilasizani Kama alishawahi mwambia mshilika wake ajitoe.naauze kila alicho nacho bali nabii hupambana

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 ปีที่แล้ว +1

    Elewa music ni kazi ila tatizo unaimba nini na wapi unatumia nguvu ya Nani katika huo music

  • @manirambonaemeryhasta3739
    @manirambonaemeryhasta3739 ปีที่แล้ว +4

    AMEN

  • @user-jd5xd6vo3t
    @user-jd5xd6vo3t 7 หลายเดือนก่อน

    Iyi ni kanisaaa mungu weee

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 11 หลายเดือนก่อน

    Kanisani tena jamaniii Yesu aliwafukuza wauzaji ktk hekalu la Mungu

  • @mhandoonthebeats8581
    @mhandoonthebeats8581 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 watu wanafuata miujiza sio Mungu aisee Mungu mnamuacha

  • @ellgodfather282
    @ellgodfather282 ปีที่แล้ว

    Yesu iliokoee kanisani Lake kwa sababu milango kuzimu ipo wazi duniani....

  • @ebenezer5730
    @ebenezer5730 ปีที่แล้ว +1

    Dunia iko.mwishonii aiseee😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @janetkaingu7038
    @janetkaingu7038 ปีที่แล้ว +1

    Furaha tele na kumshangilia Mungu kupitia Nabii Mkuu wetu abarikiwe saana

  • @AbrahamThomas-fj9vb
    @AbrahamThomas-fj9vb 11 หลายเดือนก่อน

    Alwatan 20 pa

  • @DanielOsward-hj5oq
    @DanielOsward-hj5oq ปีที่แล้ว

    Kama nabii mkuu ningejua karibu nae hakika ningeomba nikutane nae kwa vyovyote namkubali Sana habagui hachagui kaniletea mwana mziki wangu wa mda wote mpaka mwisho 20% nitamsubili mpaka alejee kwenye soko la mziki

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle ปีที่แล้ว

    Hapa hakuna kanisa Ila ni ukumbi wa starehe .Kwani mungu hawezi changamana na mambo ya kidunia hata kidogo.Haya ndiyo mambo ya nabii mkuu kusoma hamjui hata picha hamuoni kuwa anawapeleka kuzimu jamani

  • @remmyalfred6736
    @remmyalfred6736 ปีที่แล้ว +3

    😄😄😄😄Hii day club inaitwaje? Duuuh!

  • @thomasmwakilenge8948
    @thomasmwakilenge8948 10 หลายเดือนก่อน

    Master kazi unayo nakuaminia kwa mistari mikiki mikali na za ukweli hivyo ndivyo hali ilivyo miyaani master hongera 🙌👏 MUNGU AKUJALIYE KIONGOZI,💪🤔🙌🙏🤙💯

  • @tukyaclassic-xm1qd
    @tukyaclassic-xm1qd ปีที่แล้ว

    Huyu mm ntasema siku zite ni nabiii wa Mungu giza' ivi vituko Sasa na miwatu imekuwa km tahira

  • @erickebiath-pq6pd
    @erickebiath-pq6pd ปีที่แล้ว

    Mh yametimia mungu alosema watakuja kama wakweli lakin two much

  • @CedrickNshirimana
    @CedrickNshirimana 12 วันที่ผ่านมา

    Nyimbo za 20%ziko nahakiri nying San ukizisikiriza ninzur Zaid nakubal San

  • @mgangasamandua464
    @mgangasamandua464 ปีที่แล้ว

    Dah broo twenty ukowp ww Nan kakupotez hua nawazag afande sele au majan jibu sipat lkn we kipaj unacho kaka nyimbo zako Zina ishi myaka 1000

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 11 หลายเดือนก่อน

    Ila hongera pia pole umepona 20%nilisikia unaumwa

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle ปีที่แล้ว

    Hivi hawa waumini wanaoabudu hapa wanatambua wapi wanapelekwa au ndo hivo tena?yaani kidunia zaidi halafu eti ajiita nabii wa mungu hivi kweli ndivyo mungu alivyoagiza?🤔🤔🤔

  • @KatulebeJaphet-jr4br
    @KatulebeJaphet-jr4br ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusamehe kwa haya yanayoendelea, maana imeandikwa "msifungiwe nira na wasioami I, pana urafiki gangi kati ya nuru na giza"?(2koritho6:14)

    • @meckmbilinyi6077
      @meckmbilinyi6077 ปีที่แล้ว

      Mbona yesu hukuwa mbaguz alikula na watoza ushuru ,kuna yule mwanamke alie lia kakamsafisha miguu kwa machoz yake ,

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 ปีที่แล้ว +1

    Usishangae wakiambiwa wanywe usaha ili waende peponi na wakanywa

  • @bigtengwemela3153
    @bigtengwemela3153 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Dunia iko mwishoni😢

  • @HighzackMichael
    @HighzackMichael ปีที่แล้ว +1

    Ndio maana tunasema vunga hii ni arusha
    ✓arusha my home land kuna mengi zaidi ya haya

  • @amosntabo7671
    @amosntabo7671 ปีที่แล้ว

    Naomba abadilishe Jina lake la mziki,,20% ni chache mno,,aongeze iwe hata 50% hatojutia

  • @barakabusima
    @barakabusima ปีที่แล้ว +1

    😅......God i have seen enough come and see your people.

  • @user-en8dm1oi7d
    @user-en8dm1oi7d ปีที่แล้ว

    Mungu tuhurumie

  • @ambokileosward8850
    @ambokileosward8850 ปีที่แล้ว +1

    Sijaona shida,nyimbo zake zinafunzo haswaaa🎉

  • @idrissatuppa3997
    @idrissatuppa3997 ปีที่แล้ว +1

    Vibe LA kufa mtu kanisani duh.

  • @armandocorneliooresteorest8072
    @armandocorneliooresteorest8072 ปีที่แล้ว

    Naitazamakilaziku🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn ปีที่แล้ว +1

    Daaaaah😢😢😢😢

  • @clariswanjala630
    @clariswanjala630 ปีที่แล้ว +1

    Next ni diamond😂

  • @jonathansolomon456
    @jonathansolomon456 ปีที่แล้ว

    Eeeeeeee Yesu njooooooollll uoneki achoendeleeeeeeea
    Kwa goedeav

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @OliverDavid-fd3kr
    @OliverDavid-fd3kr ปีที่แล้ว

    Nampenda

  • @user-di1xx9gd9j
    @user-di1xx9gd9j ปีที่แล้ว

    😮😮😮😮watuu hawaoni au mungu wape macho Ili wajuwe ukwerii hili ni kanisaa au clubu mungu wasaidiee😮😮

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Yuko sahihi Sana sana

  • @diamoclesevarist-fq1dz
    @diamoclesevarist-fq1dz ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭 nyakati zamwisho zawezakuwa zimefika,kwani hapo sini giza na giza zimekutana

  • @juliusjoseph6320
    @juliusjoseph6320 ปีที่แล้ว +5

    Hivi hilo ni disco aau kanisa ?

    • @Aboodjan4-
      @Aboodjan4- ปีที่แล้ว +1

      Pigia msumar😅😅

    • @juliusjoseph6320
      @juliusjoseph6320 ปีที่แล้ว

      @@Aboodjan4- hii itakuwa ni Pabu

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle ปีที่แล้ว

    Mwakilishi wa shetani bila kuficha

  • @eliudnjenga9385
    @eliudnjenga9385 ปีที่แล้ว

    Ndugu zetu watanzania wapendwa nitauliza kama paulo nani amewaroga jamani mumeanza na Roho mumalize na mwili hapa upako mnapiga disco kweli kweli woi MUNGU wahurumie kwaya ya arusha mjini ilienda wapi?? 20%ataokoka kweli kama hamhubiri YESU CHRISTO

  • @Mutubure
    @Mutubure ปีที่แล้ว +1

    Sio pekeyangu tu naisi sisi ote tuna ona

  • @saidi1365
    @saidi1365 ปีที่แล้ว +2

    Kwa mwenye akili hap ndy atajua kabisa kweli uislam ndy dini ya kwel kabisa na ck zinavy zid kwenda ukwel ndy unajulikan ck zote ukwel hat mbele za mungu unapendeza na unakuw juu ukweli,kwa mwenye akili lakin ndy atagundua hilo.

    • @silasbagou2805
      @silasbagou2805 ปีที่แล้ว +3

      wakati ahaya hayaja muinua Yesu hata kidogo. Mtu mweusi mwenye hakili hawezi kuwa muisilamu hata kidogo

    • @saidi1365
      @saidi1365 ปีที่แล้ว

      Kw7bu hun akili una haki y kusem hivy,funga mpak ufe ukakutan n yes kam wenzio w kenya maan si akili huna

    • @sixbertmwakaluwa5665
      @sixbertmwakaluwa5665 ปีที่แล้ว +1

      Watu wenye akili huelewa content inahusu nini ndiyo msingi wa kuwajenga waumini imani siyo kuwawekea mipaka tamaa mbaya huonywi msikitini ww😂

    • @AnneNyakado
      @AnneNyakado ปีที่แล้ว

      Maudhui ya nyimbo zake ni sehemu ya ibada pia

    • @Aboodjan4-
      @Aboodjan4- ปีที่แล้ว

      Point

  • @FloraShao-jx6ti
    @FloraShao-jx6ti ปีที่แล้ว

    Nyumba ya Mungu mnapiga nyimbo za bongofleva kweli?ata Kama ni bir🎉hii sio sawa

    • @timoliiisaya3824
      @timoliiisaya3824 ปีที่แล้ว

      Hazina ujumbe mbaya lakn

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 8 หลายเดือนก่อน

      @@timoliiisaya3824 ishu siyo ujumbe,Neno la Kristo linatosha kumpa mtu ufahamu

  • @nestorysospeter7162
    @nestorysospeter7162 ปีที่แล้ว +1

    naa asiikae afahamu Roho ayambia makanisaaa

  • @kazimilyvoice7
    @kazimilyvoice7 ปีที่แล้ว

    Safi Sana 😇🙏

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 ปีที่แล้ว

    Sio kila music ni dhambi tuelimike

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 ปีที่แล้ว

    Mmmmm

  • @medionndagijimana9183
    @medionndagijimana9183 ปีที่แล้ว

    Mathayo 24;;28 palipo mzoga ndipo wakusanyikako tai

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk ปีที่แล้ว

    Hii bar iko mkoa gani

  • @mdachimensah1800
    @mdachimensah1800 ปีที่แล้ว

    Ndugu zangu wale mnao hukumu bila kujitafakari...hv nyimbo za 20% kuna hata 1 isio na mafundisho inawezekana nabii yupo ktk mafundisho

    • @Antipasmsabaha123
      @Antipasmsabaha123 ปีที่แล้ว

      Iko katika funding gani? Na hiyo mziki una takasa nini? Kwa wa amini?

  • @christsndushondi51
    @christsndushondi51 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Anajua kuiba mungu skuinue

    • @emerencesifa2227
      @emerencesifa2227 ปีที่แล้ว +1

      Nabii wetu mungu ameshaga kuinua kwakuwa huna ubaguzi tutaendelea kukupenda from finland

  • @charlesmbunda6759
    @charlesmbunda6759 ปีที่แล้ว +1

    😂 wengine hawaelewi somo na hawaamini kinachoendelea hata!!

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 ปีที่แล้ว

    Ndio uzuri wa nyimbo za ujumbe yeyote popote zinapigwa kama gospel zinavyopigwa bar

  • @amissemwenetombwe9752
    @amissemwenetombwe9752 ปีที่แล้ว +1

    Nasisi tupo mbali tunakufuata kwenye Sim uwe unatutamkia Nabii

  • @gerardnibizi8141
    @gerardnibizi8141 ปีที่แล้ว +4

    How can I join this church?

  • @devidmolle5185
    @devidmolle5185 ปีที่แล้ว

    Mungu mngarishe nyote yke izdi kungaa kwan ndio kipawa ulichomp

  • @engzuberir.akilenza1764
    @engzuberir.akilenza1764 ปีที่แล้ว

    Hivi hapo ni kanisani au kwenye ukumbi wa disco.

    • @sixbertmwakaluwa5665
      @sixbertmwakaluwa5665 ปีที่แล้ว

      Angalia content za nyimbo hazichagui pa kupiga huoni vibe la waumini😂

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 8 หลายเดือนก่อน

      @@sixbertmwakaluwa5665 we ni wagizani ndiyo maana unaungana na upagani huu

  • @farajashaban1073
    @farajashaban1073 ปีที่แล้ว +1

    Uwezo unao na unaweza kaka shida n wenye nia mbaya na wewe walikupoteza kaka, ila rekodi yako haijawahi kuvunjwa hadi leo kaka

  • @cliffdenis144
    @cliffdenis144 ปีที่แล้ว

    What is going on in the body of Christ

  • @saidi1365
    @saidi1365 ปีที่แล้ว

    Hap club kiingilio kias gani

  • @josephmaduka468
    @josephmaduka468 ปีที่แล้ว

    Hapo ni kanisan au bar

  • @GOTAREVIEW
    @GOTAREVIEW ปีที่แล้ว

    Nirizani ni krabu duu. Tumefikia huku?

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Savi sana

  • @luseshelomwangole2408
    @luseshelomwangole2408 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅😅Alwatan twenty paa in the building 🏫

  • @eliaboniface101
    @eliaboniface101 ปีที่แล้ว

    Ivi hawa waumini awasomagi ata biblia kusoma awajui ata picha awaoni

  • @HabilyTech
    @HabilyTech ปีที่แล้ว

    😢😢😢😢😢

  • @MagdalenaMalaki-qr6hy
    @MagdalenaMalaki-qr6hy ปีที่แล้ว +2

    Ee MUNGU turehemu