#MWANAJESHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
    TUFUATILIE
    ▶︎ Facebook: / geordavietv
    ▶︎ Instagram: / geordavietv
    ▶︎@GeorDavie Maarifa

ความคิดเห็น • 43

  • @nestakankindi2447
    @nestakankindi2447 2 ปีที่แล้ว +3

    Baba sina uwezo wafika huko utakapo ona message yangu useme neno moja tu na mimi nibalikiwe.Asante sans baba yetu

  • @josephakure6743
    @josephakure6743 ปีที่แล้ว

    Nabii mkuu,Amen..........................................

  • @rizikirobert4596
    @rizikirobert4596 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishieee uwezo zaid ya hapo Baba Nambii

  • @naftaljohn4030
    @naftaljohn4030 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni hatia kubwa sana kumpigia magoti binadamu na kumwinamia. Banadamu hawezi chukua nafasi ya mungu.
    Huyu nabii anatubariki sana lakini lazima mtambua yeye sio mungu wa kusujudiwa..

  • @johnkusaga9062
    @johnkusaga9062 2 ปีที่แล้ว +1

    Nabii mkuu Geor Davie kila nikikuona mwili wote unajaa na nguvu ya ajabu sana.babaaaaaa nakupenda sana

  • @danielrichardsangali4747
    @danielrichardsangali4747 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtu akimsema vibaya Nabii Mkuu natamani kumpandia kichwani najua pamoja na utumishi wangu pepo zilinitoka za umasikini aliponitoa sijui kama ananikumbuka lakini nilikuja nimevaa nguo zangu za nigeria ya rangi ya blue na alinionekania tokea hapo nimekuwa mtu mwingine ninajambo kubwa nikilielezea kuhusu nabii watu watasema natafuta kiki lakini najua Nabii mkuu ni Mungu kamleta

  • @juliuslema2554
    @juliuslema2554 2 ปีที่แล้ว +2

    Baba naomba utamke neno juu yangu nikapate kufunguliwa mana kwa macho ya nyama atuoni ila kwa unabii ulie barikiwa na mungu unaona na unajuwa baba 🙏🙏

  • @josephmolle
    @josephmolle 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen baba nakuoenda sana baba

  • @barakawilliam3993
    @barakawilliam3993 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen NABII mkuu .

  • @halimaleila2323
    @halimaleila2323 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameeenaa

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 2 ปีที่แล้ว +1

    Good Baba yang.

  • @yusuphmruma1232
    @yusuphmruma1232 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wasame hawajui watendalo umewapa upofu hawana Nuru yako mungu tujalie tufe kwenye njia iliyonyooka

  • @chichichichi5890
    @chichichichi5890 2 ปีที่แล้ว +3

    Please, can we have English translation of your services? It would be of great blessing to a lot of people that do not understand Swahili. Thank you and God bless.
    Also, is the prophet ever coming to London, United Kingdom? I and am sure many people would like to attend his meetings to receive impartation and deliverance.

  • @erastohanson9696
    @erastohanson9696 2 ปีที่แล้ว +2

    life is about descpline in living

  • @eliasamwel885
    @eliasamwel885 2 ปีที่แล้ว +1

    Hareluya 🙌🔥🔥🔥🔥

  • @levinahmuspeka3952
    @levinahmuspeka3952 2 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante baba yetu, hakuna jambo lanye Mungu wako hawesi fanya

  • @janettendayisenga4786
    @janettendayisenga4786 2 ปีที่แล้ว

    Amina amina nabii mkuu

  • @chalessabaya2938
    @chalessabaya2938 2 ปีที่แล้ว +3

    Hatari na nusu 😁😁

  • @King_David2.
    @King_David2. 2 ปีที่แล้ว

    Yesu lazima apigiwe salute amen

  • @rosemaryikamba5288
    @rosemaryikamba5288 2 ปีที่แล้ว +2

    MANENO MACHACHE KAZI' KUBWA ZAIDI 🔥🔥💪!!!

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 2 ปีที่แล้ว

    Amiin nami pia nimefunguliwa. 🙏

  • @dismasmselle9991
    @dismasmselle9991 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe miaka mingi

  • @jackmtafya3383
    @jackmtafya3383 2 ปีที่แล้ว

    Sara Ya toba hakuna kumkiri Yesu hakuna embu kueni na akiliiii kichwani soma bibilia

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 2 ปีที่แล้ว

    Àmina baba

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @farajarogath196
    @farajarogath196 2 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤🙏

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 2 ปีที่แล้ว

    Baba Geo Dav, nena kwangu pia nipone nateseka sn.Niko morogoro.

    • @gooddeeds162
      @gooddeeds162 2 ปีที่แล้ว

      Muombe Mungu na ukiwa umefunga angalau siku 3 na Mungu atakuonekania.

  • @jackmtafya3383
    @jackmtafya3383 2 ปีที่แล้ว

    Unawezaje kumfungua mtu Wewe mama acheni kudanganya watu

  • @haikamchaga8251
    @haikamchaga8251 2 ปีที่แล้ว +2

    Natamani siku moja nifike hapo

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu baba nihatari kwaupako huu

  • @alfridamapunda6344
    @alfridamapunda6344 2 ปีที่แล้ว

    Naomba no za nabii please nipo Zambia please

  • @kasyaniTv
    @kasyaniTv 2 ปีที่แล้ว

    Baba hakika wewe ni nabii kwali naomba kuimba hapo kanisani

  • @kendimutunga
    @kendimutunga 2 ปีที่แล้ว

    hipo siku nani nitafika hapo niokoke

  • @rehemadaudi742
    @rehemadaudi742 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmmmmm

  • @NiyimbabaziRose
    @NiyimbabaziRose 26 วันที่ผ่านมา

    Uwongo mutupu

  • @ramamchina4730
    @ramamchina4730 2 ปีที่แล้ว

    Mcheza kalet uyu kwaza

  • @johanithakakula6393
    @johanithakakula6393 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya nambii huyo Dr,

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mama mbona Kama zumarid

    • @zayedmohamed9283
      @zayedmohamed9283 2 ปีที่แล้ว

      Umeona eee

    • @nancynahum7567
      @nancynahum7567 2 ปีที่แล้ว

      Unahisi ni raisi ulichosema?????? Angalia hii video mara 3mtu anatokea Uganda?????? Dont play