KILIO CHA MCH. DANIEL WA EAGT YA ASKOFU MOSES KULOLA KWA NABII MKUU APEWA MILIONI 5 - GeorDavieTV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 268

  • @marthacharles3872
    @marthacharles3872 ปีที่แล้ว +7

    Mungu asaidie ujumbe huu na umfikie askofu mkuu eagt Mimi ni mahirika TU lakini hatuko hivo tuna Anza Kwa Imani na watumishi wengi mungu amewatoa huyu sio ,sio simuamini hata Imani Hana ndo mana anatafuta za kuchotewa awekwe kikaango ahamie hukohuko

  • @michelshemikalamo2537
    @michelshemikalamo2537 ปีที่แล้ว +6

    Baba mwenye huruma !!!?
    Anakuwa mungu kabisa!! Pole sana kabisa sababu yakukosa pesa unaanza kuiti watu baba mwenye huruma !!!

  • @Prophetluo
    @Prophetluo ปีที่แล้ว +4

    Case is Over Waooooooo
    You're Highly Favoured Nabii Mkuu!!, I pray for Devine Protection May Your Ministry And Family grow Up richly In Jesus Mighty Name

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 ปีที่แล้ว +3

    Msijishushe sana kwa sababu ya pesa

  • @sospeterogenga9206
    @sospeterogenga9206 ปีที่แล้ว

    Kusaidia kazi ya Mungu ni jambo la baraka sana, tatizo ni pale unapotaka dunia ijue kuwa umemsaidia fulani, tusisahau maandiko yanenavyo "UTOAPO SADAKA USIPIGE PANDA..., HATA MKONO WAKO WA KUSHOTO USIJUE (Mathayo 6:1-3). Kinyume na hapo huwezi kupata thawabu kutoka kwa MUNGU, isipokuwa utapata sifa kutoka kwa wanadamu.

  • @sabastianraymond.6383
    @sabastianraymond.6383 ปีที่แล้ว +8

    AMTEGEMEAYE MWANADAM AMELAANIWA.
    MUOMBE SIYO GIO DEV.

  • @nzumimawa9853
    @nzumimawa9853 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana Prophet Geodavi kwa msaada huo, bado kama viongozi wa kidini, kama 3 au 4 ambao ni watoto wa kiroho wa Moses Korola . Geodevi ndiyo mmojawapo kafungua njia.

  • @prophetjoelymairaministrie1778
    @prophetjoelymairaministrie1778 ปีที่แล้ว +2

    God bless you Nabii Mkuu usiangalie unafikuli wa wakristo wenye fitina endelea kusaidia Watu Baba tunakuelewa

  • @neemakilingo8282
    @neemakilingo8282 ปีที่แล้ว +3

    Hivi wewe mchungaji uliitwa kweli na Mungu ooooooh Mungu have Mercy on his church....... yaaan ukiona mchungaji anaanza kuabudu mwanadamu mwenzake Hilo kanisa limeisha,Askofu mkuu wa EAGT Unamuona huyu mchungaji??😭😭😭😭😭😭

    • @johnchalahani6924
      @johnchalahani6924 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli inasikitisha sana kuona mchungaji anamwabudu binadamu mwenzie kisa pesa. Kumbuka mali zote zatoka kwa Bwana

    • @Mzitomatelephone
      @Mzitomatelephone ปีที่แล้ว

      Sasa kama nyie na askofu mkuu mmeshindwa kumsaidia mchungaji mnakusanya sadaka za kitaifa tu mlitaka asaidiwe na Nani? Punguzeni roho mbaya

  • @VeredianaKalembi-gs4vs
    @VeredianaKalembi-gs4vs 7 หลายเดือนก่อน +1

    Watumishi wa Mungu tusimshushe Yesu kwa jinsi hii kama ni kuomba msaada nenda ofisini sio kulia na kupiga magoti eti naomba

  • @DaudiMgallah
    @DaudiMgallah 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu aku bariki Mchungaji.Usi angalie maneno ya watu.Binadam hawana jipya Chini ya jua.❤❤

  • @JacksonMollel-z7h
    @JacksonMollel-z7h หลายเดือนก่อน

    Mungu akuondole uchungaji wako kwa jina la Yesu

  • @salmampinga4995
    @salmampinga4995 ปีที่แล้ว +1

    Vivaah Kazi za Nabii Mkuu Dr Geordavie Peace Ambassador, Asante sana Baba 🙏🙏

  • @samweli7985
    @samweli7985 ปีที่แล้ว

    Mungu ALIYEHAI ahusike mwenyewe katika maisha yautumishi wakinabii nabaraka tele

  • @dastanisalingo8993
    @dastanisalingo8993 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana nabii mkuu Dr Geor Davie kwa moyo wako wa upendo kumsaidia huyo mchungaji

  • @jonahrevocatus6678
    @jonahrevocatus6678 ปีที่แล้ว +2

    Mhh!! Lbd kakodiwa aaibishe Hilo kns la EAGT duuh!! Sio kwa kumdharau Mungu kias hicho

  • @afwililenisaidie9597
    @afwililenisaidie9597 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mchungaji huna jipya unaacha kumlilia Mungu unaenda huna lolote unamwani na kupiga magoti poleni sana kizazi hiki kisicho kuelewa na kumwamini binadamu baadara ya mungu

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 ปีที่แล้ว +5

    Mnamdhalilisha tu Bishop Moses

  • @tsoundonlinetv
    @tsoundonlinetv ปีที่แล้ว +1

    Wow Nabii Mkuu Dr Geordavie Mungu akupe Maisha marefu wewe na Family yako Baba

  • @boniphacewambura1427
    @boniphacewambura1427 ปีที่แล้ว +3

    Ki ukweli nabii mkuu nilikuwa sikuelewi ila Kwa Sasa nakuelewa sana barikiwa sana na mungu akuzidishie pale ulipotoa

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie sana

  • @marytasia-wj8nb
    @marytasia-wj8nb ปีที่แล้ว +2

    Alaaniwe. Mtu Yule amtumainie mwanadamu

  • @ceciliasanga9399
    @ceciliasanga9399 ปีที่แล้ว +1

    Watumishi wa Mungu aliye hai tafuteni uongozi wa Mungu kuongonzwa na tamaa za dunia Mungu hapendi tena anachukia tafuteni maarifa ya Mungu aliye hai muumbaji wa dunia ili muwe na imani roho zenu zikifanikiwa katika kuongozwa na Mungu ndipo hamtachanganyikiwa ivo *isaya48:17-19

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 ปีที่แล้ว +2

    Mungu aendelee kukubariki baba, asante sana kwa kumsaidia mtumishi huyu wa Mungu, unamoyo wa huruma sana 😭😭🤚

  • @tatumwakitwange8369
    @tatumwakitwange8369 ปีที่แล้ว +7

    Badala yakumwambia mungu baba mumeamza kumwambia baba mwanaume mwenzenu
    Mungu tusaidie kukutegemea

    • @Mzitomatelephone
      @Mzitomatelephone ปีที่แล้ว

      Haaa we ungewasaidia hiyo milioni tano? Acha wivu

  • @michaelpaul2237
    @michaelpaul2237 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji unampigia magoti binadamu mwenzio, unasoma Biblia gani? Pole sana.

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 ปีที่แล้ว

    yaani Ee Geo DEV WEWE SI MUNGU TAFADHARI UNAZITOA WAP

  • @ronaldissack4955
    @ronaldissack4955 ปีที่แล้ว

    Hongera nabii mkuu Kwa kuunga mkono juhudi za madhehebu mengine ili wakaifanye KAZI ya Mungu aliejuu

  • @ULIMBOKAKIKOSA
    @ULIMBOKAKIKOSA 19 วันที่ผ่านมา

    Nimepata uoga sana

  • @DainesMwangonda
    @DainesMwangonda 9 หลายเดือนก่อน

    YESU KRISTO anajitosheleza

  • @nashonibuhomoli2924
    @nashonibuhomoli2924 ปีที่แล้ว +1

    Baba wa huruma...Baba wa upendo..Mchungaji ambaye kiroho kimekufa kabisa .Unawezaje kumpa mtu sifa ya Mungu na kusujudu mbele yake?Mungu akurehemu sana

    • @Mzitomatelephone
      @Mzitomatelephone ปีที่แล้ว

      Waumini mmekuwa wagumu hamtoi sadaka si manabii tutawapeni mana huwa mnatuita ni wapigaji

    • @nashonibuhomoli2924
      @nashonibuhomoli2924 ปีที่แล้ว

      Mchungaji ameitiwa sadaka? Ukimtafuta Mungu kwanza vingine vitakuja.

  • @davidsamson8204
    @davidsamson8204 หลายเดือนก่อน

    Wewe Mchungaji Nenda kaokoke maana haujaokoka uweshindwa kupita kwenye makanisa ya E.A.G.T Mungu akuangalie upya haujamjua vyema Mungu uliyenaye ndiomana unatangatanga

  • @tausipaschel155
    @tausipaschel155 ปีที่แล้ว +5

    Nyakati za mwisho tutaona nyota mbinguni zikianguka !!! BWANA YESU nipe jicho la tatu.

  • @deodatusmagagura6793
    @deodatusmagagura6793 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe Eagt wanapigaga ishara ya msalaba. Inasikitisha mno. MUNGU tusaidie sana

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว +2

    Ukimuomba Mungu Akupe Pesa Utaipta Kwa Njia Yeyote Kikubwa Kujua Pesa Ni Maisha Pesa Ni Fulaa Pesa Sabuni Japo Aina Povu

    • @esterwayesu
      @esterwayesu ปีที่แล้ว

      Sijuii wanaobisha wanatakajee an hawajui Mungu anatumia kutusaidia jamaan mnakwama wapi ety

  • @Cadensa1
    @Cadensa1 ปีที่แล้ว +2

    EAGT waabudu halisi silo kanisa lililoanzishwa na Moses Kulola. Kanisa hili limeibuka baada ya mzee kulola kulala mauti. Sidhani hata kama hili kanisa limesajiliwa. EAGT hawajafilisika kiasi cha kushindwa kumuomba Mungu afanye na kwenda upande huu narudia upande huu kuomba msaada.

  • @agustinolangisoni2102
    @agustinolangisoni2102 ปีที่แล้ว +4

    Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kuwa Kinga yake na moyoni mwake amemuacha Mungu, Eliya anasema nimeona wivu mwingi kwaajili ya Bwana wa majeshi, ole wao manabii wa baali maana roho za watu waliowapoteza zitatakwa mikononi mwao

    • @PrinceCharlz-pu9ps
      @PrinceCharlz-pu9ps ปีที่แล้ว

      Mawazo wa mtu mchanga bilia inasema tafuten mtapata omben mtapewa, achen wivu watanzania ndio maan mmezid kuw maskin na wengine tunazid kutajirika, kuukum tu ni dhambi uruhudiw kunyoosha mkon kwa mtu walokole weng tutaenda mototo kwa kutumia mdomo vibaya.

  • @Yeshuatv729
    @Yeshuatv729 ปีที่แล้ว

    Safi hiyo imeandikwa 2kor.8:14-15
    Verynice

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว +4

    Pesa Inaweza Kukupokonya Mke Au Mme Kukupokonya Aki Yako Kupokonya Ardhi Yako Kupokonya Utu Wako Kupokonya Fulaa Yako Ulionayo Iyo Iyo Pesa Inaweza Kukueka Mbali Na Mungu Wako Kwasababu Ukiikosa Autaweza Kutoa Sadaka Autaweza Kutoa Fungu Lakumi Sasa Kama Utoi Sadaka Nyumba Za Ibada Zijengwe Unazani Mungu Gani Atakusikiliza Wewe Kwadababu Kila Alichoumba Kwa Ajili Ya Wanadamu Sasa Wewe Useme Auna Ya Kutoa Sadaka Jamani Uliipata Pesa Ipe Eshima Yake Aijalishi Unaipatia Wapi Kwadababu Ukiomba Mungu Aku

  • @dianajamea2941
    @dianajamea2941 ปีที่แล้ว

    Mungu ninaemjua mm hawez kuruhusu mtumishi wake asimame mbele za watu namna hii kuomba hela

  • @mckingu4004
    @mckingu4004 ปีที่แล้ว +14

    Hakuna mchungaji wa kanisa la kipentecoste anaweza kufanya huo ujinga ,

    • @josephvicencio174
      @josephvicencio174 ปีที่แล้ว

      Unamaanisha Nini mtumishi wa Mungu?

    • @mckingu4004
      @mckingu4004 ปีที่แล้ว +2

      @@josephvicencio174 mtumishi wa kanisa la kipentecoste aliyejazwa roho mtakatifu na anaamini ubatizo wa maji Mengi hawezi kuingia happy kuomba msaada ,Kwan makanisa mengine ya kipentecoste hakuna ?

    • @happyhousekeeper
      @happyhousekeeper ปีที่แล้ว

      @@mckingu4004 Labda amekosea huko, Ila siamini 🙆

    • @upendomartin5627
      @upendomartin5627 ปีที่แล้ว

      Naunga mkono hoja yako. Hii ni zaidi ya usanii.

    • @dianajamea2941
      @dianajamea2941 ปีที่แล้ว

      Umewaza kam mm

  • @EmmanuelSanga-ts8fk
    @EmmanuelSanga-ts8fk หลายเดือนก่อน

    Yesu hajatuma huko hata kama mmepata pesa huko

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 ปีที่แล้ว +2

    Wewe mchungaji pepo askofu wako ameliona hilo lakini tangu mwanzo umechemka eti eagt wabuduo halisi je wabuduo sio halisi ni akina nani mmepotea sana ulijua utapewa kimyakimya sasa nabii mkuu kakuweka mtandaoni umejichafua

    • @masterkey536
      @masterkey536 ปีที่แล้ว

      kazi tunayo pastor

    • @petermwenda6470
      @petermwenda6470 ปีที่แล้ว

      Me nadhani maaskofu wamejilimbikizia Mali hawasaidii makanisa yanayochipuka, wao nibkudai asilimia tu

    • @isayakidesa1227
      @isayakidesa1227 ปีที่แล้ว

      @@petermwenda6470 duu !haya mambo mmmm....

    • @asonandimile5343
      @asonandimile5343 ปีที่แล้ว

      Hadi mchungaji unaulizwa kuhusu kuanzishwa na mosses kulola

  • @danielpaul2698
    @danielpaul2698 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana mhe, kwa kutusapoti Tsh 5,000,000/=kwa sasa Kanisa linaendelea vizuri sana.

    • @zakariamlunja9954
      @zakariamlunja9954 7 หลายเดือนก่อน

      Ipo siku iyo hela itahitajika kulipwa . maana Mungu si mwanadamu hata asaidiwe kazi

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Amina baba

  • @PatrickMathias-cs9qc
    @PatrickMathias-cs9qc 6 หลายเดือนก่อน

    Dah ehe Mungu tusaide

  • @japhetkagoma8304
    @japhetkagoma8304 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni

  • @NoelChambo
    @NoelChambo 5 หลายเดือนก่อน

    Mnaenda kuchukua pesa za shetani kwaajili ya kumtumikia Mungu.😢😢😢😢

  • @rev.pasteuraimablebaobabt.v.
    @rev.pasteuraimablebaobabt.v. ปีที่แล้ว +1

    Nafurahi sn 🙏🏼❣️🙏🏼

  • @nabiiedwardfireonetv8873
    @nabiiedwardfireonetv8873 ปีที่แล้ว +2

    Hii nimeifurahia san

  • @shalomjustas9793
    @shalomjustas9793 ปีที่แล้ว

    Kwa Watumishi wa YESU unaitajika macho ya rohoni. Maana Leo watu wameshindwa kumuendea MUNGU kwa unyenyekevu wanaziendea Pesa kwa magoti nasifa zisizo faa katika ufalme wa mbingu.

  • @EliasNghabi
    @EliasNghabi หลายเดือนก่อน

    😢😢 acheni maneno huyu baba nabii anapiga kazi

  • @eliamtinda7222
    @eliamtinda7222 ปีที่แล้ว +3

    EAGT huku tena! Duuuuuuh! Something is wrong somewhere,yangu macho😳

  • @prophetmalakiministry1233
    @prophetmalakiministry1233 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni Bora Dady nakupenda

  • @StevenMutale-xt9yj
    @StevenMutale-xt9yj 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli uyo anachanganya masabayu ya Mungu naa kishatani

  • @charlesmbunda6759
    @charlesmbunda6759 ปีที่แล้ว +9

    Eti 'Baba mwenye huruma' 'Baba mwenye upendo ' ..... ungetoa hoja hizi kwa Mungu aliyekuita! Ungepata zaidi ya hayo!!! 🤣🤣🤣

    • @erastohussein5024
      @erastohussein5024 ปีที่แล้ว

      Umeona eee anaibisha kanisa la Eagt kweli jamani aibu hiiiii

    • @agnessgoodluck
      @agnessgoodluck ปีที่แล้ว

      Kuomba sio shida tatizo ni namna ambayo anaomba kana kwamba huyu nabii ndie mungu wake hadi kupiga magoti na izo baba zinamaanisha nini vp na kondoo anaowachunga wamwamini mungu yupi alie juu au nabii mkuu

    • @sylivestergoodluck4033
      @sylivestergoodluck4033 ปีที่แล้ว

      Jesus christ anaaibishwa jamani naumia mm jamani 😭😭😭eee Yesu linda ķanisa lako iko wapi imani ya kweli

  • @AshaSapengo
    @AshaSapengo 8 หลายเดือนก่อน

    Kwanini mnaona nabii mkuu anamtumikia shetani ninyi ni watu wanamna gani mtu akiwanacho wa washetani mungu wetu ni zaidi sana

  • @edwinonsombi
    @edwinonsombi ปีที่แล้ว

    Huishi milele Nabii mkuu . Kwa Jina la Yesu christo.

  • @regnethmtemanyongo2237
    @regnethmtemanyongo2237 หลายเดือนก่อน

    Yesu

  • @anessabinery5654
    @anessabinery5654 ปีที่แล้ว +5

    Ni upuuzi mkubwa kumfanya mwanadamu mwenzenu kanakwamba ndio Mungu

  • @mwinjilistimikaelimwangond1341
    @mwinjilistimikaelimwangond1341 ปีที่แล้ว +9

    mwenye macho na atazame,mwenye masikio na asikiye,niwakati wa kushituka tuyaonapo haya,ni wakati wa kukimbia

    • @oigenvaheha2648
      @oigenvaheha2648 ปีที่แล้ว +1

      Kwanini

    • @pascopaulnzige5391
      @pascopaulnzige5391 ปีที่แล้ว +1

      kweli namshuru Mungu ninaona na Mungu anipe macho ya rohoni nione zaidi lakini moyo wangu unaumia sana kundi hili kubwa alafu vipofu hii inakuwaje jamani?

    • @kyungaindewe8386
      @kyungaindewe8386 ปีที่แล้ว

      Duuu kweli hapa ni maombii tu kulitetea kanisa la Tz na hii kwann picha ya baba yet moses kuloloa wameiweka iyo apo

  • @fidonifidel
    @fidonifidel ปีที่แล้ว

    Naomba mnisaidie hivi hizi hela zinazotolewa zinatokana na sadaka za waumini au Kuna chanzo kingine mbadala

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 ปีที่แล้ว +6

    Ni ajabu na kweli, mchungaji hapigi magoti kwenye madhabahu ya Bwana anampigia magoti Nabii mkuu ili kuomba fedha! Makanisa yana mahangaiko!

    • @rumishamariki6747
      @rumishamariki6747 ปีที่แล้ว

      Nimetafakari sana

    • @saitafrank4945
      @saitafrank4945 ปีที่แล้ว

      Huo ni upotoshaji kanisa la eagt gani au mmeamua kuchafua tu kanisa la watu mshindwe Kwa jinala YESU

    • @veronicaphabiani9997
      @veronicaphabiani9997 9 หลายเดือนก่อน

      Watumishi wanamahangaiko Askofu Eagt unaionaje hali hiyo

  • @eliusobadia8683
    @eliusobadia8683 ปีที่แล้ว +1

    Akitenda katika kristo ni utukufu, Mungu amubariki nabii mkuu

  • @christophermwanjoka7406
    @christophermwanjoka7406 ปีที่แล้ว +9

    Umasikini utafanya wengi muabudu wasiostahili kuabudiwq

    • @damsonwilson5202
      @damsonwilson5202 ปีที่แล้ว

      We Una Roho ya kiburi ndo mama ukasema hivo

  • @HappyFireDragon-io4kn
    @HappyFireDragon-io4kn 9 หลายเดือนก่อน

    Mchungaj unaliaibisha jina la YESU na upendekoste Kwan ungeliomba msaada Kwa wachungaj WA kipendekost sip manabii utapokea vitu vya ajabu.torati 12:30.

  • @emmanuelonyangoochola9228
    @emmanuelonyangoochola9228 ปีที่แล้ว

    Mungu wa mbinguni azidi kukuinua kwa maana haujiangalii ww peke yako unaangalia na wengine Mungu wa mbinguni akutie nguvu Nabii

  • @jeremiapeter683
    @jeremiapeter683 ปีที่แล้ว +5

    Jamaniii jamaniii.. YANGU.
    😳😳.. MUNGU tusaidie..

    • @rosemarychrist8672
      @rosemarychrist8672 ปีที่แล้ว

      Mmmhh kweli😳😳 si mambo ya kiofisi? Au ofisi zimefungwa😳😭😷😷 YESU BABA YANGU TUSAIDIE WANAO

  • @godssevant
    @godssevant ปีที่แล้ว

    Biblia imesema wakristo wa kweli tutawatambua kwa matunda : ( Utu wema , fadhili , Upenda n.k) na ili tuwatambue lazima haya matunda yaonekane au yajulikane na watambuzi . Kwa haya Dr. GEODAVI he is a real servant of Jehova.

  • @jakobojako6967
    @jakobojako6967 9 หลายเดือนก่อน

    Kabisaaa

  • @anthonyyalanda11
    @anthonyyalanda11 ปีที่แล้ว

    Kama EAGT mmeshindwa kuwasaidia mnataka waende wapi?Bora waombe tu.

  • @atugonzajosephat682
    @atugonzajosephat682 9 หลายเดือนก่อน

    Hiyo heshima ungempa MUNGU basi usinge nyenyekea hivyo kwa mtu 😢😢

  • @kinigarm8239
    @kinigarm8239 ปีที่แล้ว +2

    I hope everyone in his church can have a daily meal.

  • @charlesmbunda6759
    @charlesmbunda6759 ปีที่แล้ว +1

    Mnajichoresha sana

  • @ismailmaulid1616
    @ismailmaulid1616 หลายเดือนก่อน

    EAGT toka amefariki kulola nayo imekufa tu 💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔

  • @mariagodfrey1186
    @mariagodfrey1186 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh haya mambo haya

  • @abiudimsemea3172
    @abiudimsemea3172 ปีที่แล้ว +3

    Heeee nabii wamchongo anaendelea kuteka wengi

  • @godssevant
    @godssevant ปีที่แล้ว

    Yesu alisema ni Upendo wa namna gani mtu akautoa uhai wake kwaajili ya rafiki yake ( alimaanisha hiki nikiwango Cha juu Cha Upendo) , GEODAVI - Anatuonyesha kiwango kingine Cha juu Cha Upendo , akizitoa Hela zake kwa ajili ya kuwapa wenginie furaha . Na wewe unaecomment kinyume JARIBU hii level ya Upendo

  • @JacksonMollel-z7h
    @JacksonMollel-z7h หลายเดือนก่อน

    Huyo sio mchungaji wa EAGT akuna mch wa EAGT anaeenda kuomba msaada

  • @davidndaha9607
    @davidndaha9607 ปีที่แล้ว +4

    Unajua watumishi kama hawa wanaojitolea hivi wanakutana nachangamoto niwakuombewa

  • @dicksondkaganga1290
    @dicksondkaganga1290 ปีที่แล้ว +3

    EAGT! Duh!

  • @christianmwasakogo5579
    @christianmwasakogo5579 ปีที่แล้ว +1

    Maaskofu wengi hapa Tanzania Ni matajiri sana ila ni wabinafsi na Ni wachoyo sana,hawasapoti mtu wa dhehebu tofauti na lake wako tayari waone unajifia na shida yako kuliko kujitolea hasa inapojiri jambo la kusapoti kanisa kifedha

    • @lasthunter6347
      @lasthunter6347 ปีที่แล้ว +1

      Matajiri kwa sabb nyiny waumin ndo mnawafaidisha half wao pesa mnazowapa wanaenda kujaza matumbo yao na familia zao, nyiny mnabakia na njaa tu

    • @christianmwasakogo5579
      @christianmwasakogo5579 ปีที่แล้ว

      @@lasthunter6347 hawawasaidii hata waumini wao wenyewe wale wenye shida hasa wajane

    • @lasthunter6347
      @lasthunter6347 ปีที่แล้ว

      @@christianmwasakogo5579 yule sio nabii ila ni shetan hata mkishtuka mshapigwa sana

    • @lucykapinga369
      @lucykapinga369 ปีที่แล้ว

      ​@@lasthunter6347 MMH!MUNGU ATUSAIDIE

    • @Mzitomatelephone
      @Mzitomatelephone ปีที่แล้ว

      Kweli wachoyo na watamuweka kikaangoni huyu pasta

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wa madhabahu ya Mosses Kulora hataaibishwa Kwa shilling,mngejua! Nyuma ya sadaka hz kuna nini msingechekelea.

  • @ismailmaulid1616
    @ismailmaulid1616 หลายเดือนก่อน

    Yan Moses kulola hayupo lakini Yesu kristo yupo mchungaji umezingua njaa mbaya

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mchungaji wa chanika unajiaibisha jina la YESU unaliwa huduma yako ya uchungaji na utakufa vibaya kiroho na kimwili,fedha inakupeleka jehanam,wachungaji wa kiroho mnasombwa na manabii Kwa sababu fedha.siku za mwisho wachungaji kaeni macho nyakati za mwisho.

  • @nuruanafisoo4220
    @nuruanafisoo4220 ปีที่แล้ว

    Mmmh Jamn kwel EAGT ninayoifahamu au?? Daaah

  • @nabiiedwardfireonetv8873
    @nabiiedwardfireonetv8873 ปีที่แล้ว

    Hongera nabii

  • @GofA2023
    @GofA2023 5 หลายเดือนก่อน

    Hii nayo ni Futuhi, yani mpaka aibu.
    Watu wanajua kumtia aibu Kristo

  • @lianaelgomezulu2259
    @lianaelgomezulu2259 ปีที่แล้ว +6

    Lakini mnajua pesa zinatoka wapi?

    • @florianakhweso5749
      @florianakhweso5749 ปีที่แล้ว +1

      Kwani si fedha halali za kitanzania na zipo popote duniani??? Kwani hizo ulizonazo wewe zimetoka mbinguni??

    • @lianaelgomezulu2259
      @lianaelgomezulu2259 ปีที่แล้ว

      Siku za nwisho hizi!! Wengi watasombwa na injili zidanganyazo. Ni nyingi so kuzigundua ninkazi lkn...Muhimu hapo anawaita watu kwenye utumishi ni Kristo na ndio mwajili wao sasa huyu mwingine...!!!

    • @sebonikegobi6244
      @sebonikegobi6244 ปีที่แล้ว +1

      We watched watapokea pesa za mashetani

    • @salomenchimbi6851
      @salomenchimbi6851 ปีที่แล้ว +2

      Ziwe zinatoka kuzimu au popote tunachojua Shetani hana chake,tukumbuke Bwana Yesu alikwenda kula chakula kwa Zakayo je ulisha jiuliza kile chakula alinunua kwa fedha gani

    • @navinniyonzima3771
      @navinniyonzima3771 ปีที่แล้ว +1

      Twambiye ww

  • @haimanlivingstoned1278
    @haimanlivingstoned1278 ปีที่แล้ว

    Huyu ni mchungaji Wa EAGT KWELI JMN

  • @lianaelgomezulu2259
    @lianaelgomezulu2259 ปีที่แล้ว +3

    Mungu aliwaita anaweza kufanya lolote kwanu!! Kwani kazi ya kwenu au ya Mungu. Vipi hasiwape pesa ya kununua kiwanja tu? Mazingira magumu!!! Mtumishi wa Mungu Daud anasema hajawai kuona hata mtoto wa Mtumishi anaomba mkate mtaani

    • @florianakhweso5749
      @florianakhweso5749 ปีที่แล้ว

      Kwani wao walikuwa wanaomba lolote au pesa Kwa mungu?? Wamepewa walichokiomba.Sasa Mungu awape lolote lipi tena

    • @florianakhweso5749
      @florianakhweso5749 ปีที่แล้ว

      Mungu hajawahi kushusha pesa kutoka mbinguni na wala hakuna mtu anayetengeneza pesa kule Bali zipo hapahapa duniani na ziko Kwa watu wala sio kwa malaika

    • @lianaelgomezulu2259
      @lianaelgomezulu2259 ปีที่แล้ว +2

      @@florianakhweso5749 Hapo sio Mungu anayetukuzwa!! Ni jina la Mtu linatukuzwa.... ndio maana kila anayetaka pesa hapo ni kumsifia tu sio kumtukuza Kristo...Wafilipi 4:19... huyu Mungu asiyeshindwa na jambo atamtumia yeyote na mwisho yeye ndio atatukuzwa. Kipimo kama ni roho mwingine anatumika ni pale mtu anatukuzwa badala ya Mungu...Watu wangu wanaangamia kwa kokosa maarifa

    • @kobelochande6669
      @kobelochande6669 ปีที่แล้ว

      Mungu ndio amewapa kupitia nabii ubaya uko wapi???

    • @florianakhweso5749
      @florianakhweso5749 ปีที่แล้ว

      @@lianaelgomezulu2259 Mungu anakaa ndani ya watumishi wake hivyo mtumishi akitukuzwa Mungu Hana wivu ndo maana Yesu alisema kaeni ndani yangu nami ndani yenu utukufu alionipa Baba nami nawapa ninyi

  • @neemamhongole2801
    @neemamhongole2801 ปีที่แล้ว

    JAMANI!!MBONA UNAPOTEA JAMANIIIIIII,UWIIIIIII!!EAGT unakwendaje huko WEWE????????

  • @michaelmagwaza-bc6mk
    @michaelmagwaza-bc6mk หลายเดือนก่อน

    Sina uhakika Kama kweli huyu Mch, yuko Eagt

  • @zachariakiondo3871
    @zachariakiondo3871 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo mchungaji afukuzwe haraka sana hajielewi.

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 ปีที่แล้ว +6

    Pesa inamfanya mwanaume aipokee kwa kupiga magoti kweli pesa imekua ngumu

    • @salomenchimbi6851
      @salomenchimbi6851 ปีที่แล้ว +1

      Wala usishangae maana makabila mengine wanaume wanapiga magoti,hivyo hatujui huyo Mchungaji kabila lake

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 ปีที่แล้ว +1

      @@salomenchimbi6851 sawa tutaona mengi pale ambapo wanadamu wanaacha kumtafuta Mungu wanatafuta pesa tu

    • @salomenchimbi6851
      @salomenchimbi6851 ปีที่แล้ว

      Hapo hawajatafuta pesa bali wamepokea pesa,Jamani acheni tunae mpenda Nabii tumpende tu...! tusikalili maisha

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 9 หลายเดือนก่อน

      Alafu baada ya usajiri jamaa ana nyundo anagonga na kutamka kuwa kesi imeisha mmhhha!

  • @sabastianraymond.6383
    @sabastianraymond.6383 ปีที่แล้ว +3

    MUOMBE MUNGU, SIYO GIO DEV.

    • @Mzitomatelephone
      @Mzitomatelephone ปีที่แล้ว

      Mungu hutumia watu ,hawezi kukushushia hela

  • @mtumishiwamungunelson1684
    @mtumishiwamungunelson1684 ปีที่แล้ว

    Sikatai kuomba Msaada lakini issue ya kujieleza kwa Mtu kwa mbele Ni upumbavu mkubwa Sana Sana , Sana Kama una mpa mtu Ni shida zaidi kubwa Sana

  • @WilliamSomela-h9s
    @WilliamSomela-h9s 10 หลายเดือนก่อน

    Nyakati za mwisho hizi

  • @helenamandele6711
    @helenamandele6711 ปีที่แล้ว +1

    Wewe Mchungaji ni kipofu wa kiroho, unasoma biblia kweli? Na ni biblia gani?

  • @raymrash
    @raymrash หลายเดือนก่อน

    Sio EAGT ya Moses Kulola hawa wanajiita waabudu halisi...msipotoke..