WAZIRI SILAA AWAJIBU WANAOSEMA ANAINGILIA MAHAKAMA -AELEZA MADUDU YANAYOFANYWA na MATAPELI wa ARDHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 หลายเดือนก่อน

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

    • @reubenmasanja30
      @reubenmasanja30 7 หลายเดือนก่อน

      Inabidi niwatafute haki haijatendeka plot 911 na 912 Mbezi Beach documents zimechezewa

  • @bongo39
    @bongo39 7 หลายเดือนก่อน +3

    Slaa hao wanaosema unaingilia mahakama siku zote walikuwa wapi wasiwatetee hao waliodhulumiwa wao ndio wapigaji wezi majambazi matapeli na mungu atawaangamiza mpaka wafe tena awakandamize slaa endelea na kazi unatusaidia sana sana mungu akulinde wewe na mama

  • @AlbethaGasper
    @AlbethaGasper 7 หลายเดือนก่อน +2

    Babu wewe waziri Fanya kazi ,tuna mungu mmoja si wanadamu, usiogope sisi tunaomba tuko kwenye maombi yeyote anayecheza na maisha yako tunatuma maraika wenye upanga wa moto wakawapige Kwa jina la yesu

    • @EliasSilaa
      @EliasSilaa 6 หลายเดือนก่อน

      Amina mh Mungu azidi kukupa maisha marefu na hekima maana najua unapambana na changamoto nyingi katika wizara hii ngumu.Mungu azidi kukupa hekima na afya njema na akuongoze katika kutenda haki za wanyonge hakika ubarikiwe Sana,

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 7 หลายเดือนก่อน +7

    Kinyume chake, Slaa anapunguza utitiri wa mafaili mahakamani. Mahakama zenyewe zinamshukuru Slaa

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 7 หลายเดือนก่อน

      Yah ila anajua anachofanya mwanasheria pia so haingilii mahakama yeye anafanya kazi yake kama ardhi ni ya juma sio mahakama itasema ni wizara ya ardhi

  • @shafikakrabi8490
    @shafikakrabi8490 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaalah huyuwaziri ni Mtu mwema sana na hivi ndio inavyotakiwa katika uislamu. Mungu akuhifadi amin

  • @christinafute7070
    @christinafute7070 7 หลายเดือนก่อน +1

    Waziri. Hongera na kazi tunaomba utusaidie. Na sisi mkoa wa pwani kuelekea bandari ya kwala

  • @mackarioussmakuri6147
    @mackarioussmakuri6147 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hao wanaokubeza walikuwa wapi wasisaidie wanainchi wanyonge?fanya kazi yako usiangalie myuma na MUNGU akuongoze Amina

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu peke yake ataluli da.tunakuombea babaangu mm nakupenda.mnoo ambatmya ajaguswa na utapeli ajui maumivu na ajaui utetezi unaotoa unatuponya barikiwa.mnoo sana damu ya yesu kristu aliye hai ikulinde

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 7 หลายเดือนก่อน +2

    Amina amina Mungu ni.mwaminifu sana.kaka hudumu maisha.marefu na Mungu akutunzeee

  • @BMSenior24
    @BMSenior24 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki sana Mh. Waziri maana unayoifanya ni kazi ya Mungu!

  • @mahamudali1453
    @mahamudali1453 7 หลายเดือนก่อน +4

    Waziri slaa if you want to stop frauds on land sector start with regesters first

  • @ericinnocent-c9e
    @ericinnocent-c9e 7 หลายเดือนก่อน +3

    Slaa nilikua sijui kama ana uwezo mkubwa wa kiuongozi na utulivu wa akili kiasi iki!!!!hongera sana.😊

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 7 หลายเดือนก่อน

      Anaitwa Silaa. Kuna pia Dr Slaa, hawahusiani.
      Ni kweli kabisa, kwa kweli yuko vizuri.

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 7 หลายเดือนก่อน +3

    Point Mh Waziri

  • @isackkivuyo1980
    @isackkivuyo1980 7 หลายเดือนก่อน

    God will make a way forward for you,be blessed waziri wangu kijana mwenzangu,

  • @SYLMASVISIONFORSCIENCE
    @SYLMASVISIONFORSCIENCE 7 หลายเดือนก่อน +1

    Well explained, hongera Sana mh. Slaa

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka kazi yako ni ngumu Mungu alieumba mbingu na nchi akusimamie nyinyi mawaziri wengi mliofundwa kwanzia kipindi cha magu ni waadilifu sana

  • @BaloonMacheni
    @BaloonMacheni 7 หลายเดือนก่อน +1

    Baba kweli umetumia na Mungu

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 7 หลายเดือนก่อน

    Yeah! Umeongea vizuri sasa usisahau wanyonge wa jimbo lako pugu station, banguro, kifuru,tunachangamoto ya barabara za lami na taa hakuna mvua ikinyesha majanga .pia ile pugu station ndiyo station kubwa iliyo katika makazi ya watu wengi hivo iunganishwe na lami za kutosha toka mbezi ,kifuru, kinyerezi ili kurahisisha watu kusafiri kirahisi.uko vizuri Jerry piga kazi.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kusema hayo Slaa Ngorongoro imeuziwa waarabu

  • @BaloonMacheni
    @BaloonMacheni 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika unatenda haki na Mungu yupo upande wako usiishie njiani kaka tayari umesha okoa waliyo wanyonge

  • @yolonimojohn7792
    @yolonimojohn7792 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kukutunza

  • @nyapetegath409
    @nyapetegath409 7 หลายเดือนก่อน +1

    THE VOICE OF THE VOICES. NAIPENDA

  • @zegelibilishanga6047
    @zegelibilishanga6047 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jichapie kazi Mungu atakujalia

  • @shariffsagaf2305
    @shariffsagaf2305 7 หลายเดือนก่อน +2

    You are my hero and pray for you

  • @PascasMathew
    @PascasMathew 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde .

  • @JUSTINPiniel
    @JUSTINPiniel 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu hawabariki viongozi wetu

  • @muddyk4928
    @muddyk4928 7 หลายเดือนก่อน +2

    ALLAH AKULINDE NA AKUFANYIE WEPESI KWENYE KAZI ZAKO ZA UTETEZI SUGU WA ARIDHI ONE DAY NASI TUTAFIKA KWAKO MAANA MI WAHANGA WA TATIZO HILO INSHALLAH

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 7 หลายเดือนก่อน

    Busara.kichwa na hofu ya mungu.utafika mbali sana sana.

  • @vivianbuhura6967
    @vivianbuhura6967 7 หลายเดือนก่อน

    Hayo yametutokea ni miaka 11 mpaka sasa tunazunguka kwenye taratibu za mahakama, natamani sana siku moja nikuone mh Waziri😊

  • @augustinotsuut8303
    @augustinotsuut8303 6 หลายเดือนก่อน

    Silaa awe raisi tu 🎉

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 6 หลายเดือนก่อน

    Dr slaa na jery silaa je wana undugu?

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 7 หลายเดือนก่อน

    PAMBANA kijana Mungu atakupigania Wacha waseme hata Yesu alipigwa vita san,

  • @alexmachare6495
    @alexmachare6495 7 หลายเดือนก่อน

    Ni ngumu mh. Waziri ila pambana na Mungu akuongoze.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 หลายเดือนก่อน

    Kama unalijua hilo warudishieni Wamasai Ngorongoro yao kama mtenda haki kweli maana imeuzwa na ukifika huko mtandao unaonyesha tawala za kiarabu

  • @habibabarker1644
    @habibabarker1644 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu atakupitisha njia iliyoonyoka sababu amekataza dhuruma na wewe unatuokoa

  • @reubenmasanja30
    @reubenmasanja30 7 หลายเดือนก่อน

    Tunasubiri majibu Mbezi Beach plot 911 na 912 haki haijapatina bado dhuluma imetendeka

  • @Hongkongman2
    @Hongkongman2 7 หลายเดือนก่อน

    The voice of voice less

  • @BaloonMacheni
    @BaloonMacheni 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli tunakuombea baba na alama unatuachia katika familia zetu na kwamungu tunakuombea

  • @stewartmdebe4314
    @stewartmdebe4314 7 หลายเดือนก่อน

    MUNGU awe pamoja nawe daima

  • @MrSinga-it4hy
    @MrSinga-it4hy 7 หลายเดือนก่อน

    Ulikua wapi watu wanaumia

  • @DeusdeditMichael
    @DeusdeditMichael 7 หลายเดือนก่อน

    Hili hekalu lilifungea na mamlaka, ni lini lilifunguliwa?

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 7 หลายเดือนก่อน

    Nakushukuru kwakuwa unajua tupo ambao hatajui kingereza

  • @BaloonMacheni
    @BaloonMacheni 7 หลายเดือนก่อน

    Tungewapata wakina Jerry slaa 5 tu katika nchi yetu machozi haya yasingedondoka

  • @mwasongweimani5495
    @mwasongweimani5495 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nae atakayeona ameonewa na waziri si aende mahakamani.
    Mnataka wanyonge waende mahakamani wana mawakili wa kuwatetea na mirushwa yenu wataiwezea wapi??

  • @muhammedaloufy4086
    @muhammedaloufy4086 7 หลายเดือนก่อน +1

    sasa si mbadilishe sheria na katiba iwe waziri anaweza kuamua nani mwenye haki!

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 6 หลายเดือนก่อน

    ,mahakama ni mtihani mkubwa na wanyonge wen 3:01 gi wañadhulumiwa sana kupitia mahakama kama huyu mjane mumewe aliku alikuwa analipa na risiti zipa wakashika akaunti ya marehemu marehem wakachukua pesa zote za na kumfungulia kesi u amizwa mweekezzaji na kodi ali

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 7 หลายเดือนก่อน +1

    Usirudi nyuma mheshimiwa wala wasikukatishe tamaa watanzania ndo tulivyo wewe fanya wajibu wako usisikilize matapeli na wasiipenda haki

  • @aggreyprince3983
    @aggreyprince3983 7 หลายเดือนก่อน

    Na huyu Waziri kesi za aridhi hapaswi kusikiliza upande mmoja akiongoza miaka 5 ataongeza matatizo kuliko wenzake walio mtangulia.

  • @msafirimaulidi5054
    @msafirimaulidi5054 6 หลายเดือนก่อน

    Akimaliza mama ww nitapiga kura km ww ndio utagombea

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 7 หลายเดือนก่อน

    Hapo ni kanisani..si ndivo

  • @NixonGerson
    @NixonGerson 7 หลายเดือนก่อน

    Kumtaja mama mmmh sikuelewi hayupo hivyo

  • @lelekilele2
    @lelekilele2 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaolalamika ndo wezi maana wanyonge si hawana sauti…bana hapo hapo walalamike zaidi waziri…Viva Magufuli

  • @simonchristian6319
    @simonchristian6319 7 หลายเดือนก่อน

    Silaa usikate tamaa,mahakamani ka hujiwezi utasumbuka

  • @Hongkongman2
    @Hongkongman2 7 หลายเดือนก่อน

    We uendelee wizara hiyo hiyo
    Unafit kabisa hapo

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe piga kazi hao wanataka mahakamani ndio mafisadi wanajua kule ndio wanazulumu wasio kuwa na uwezo ndio wanachezewa kutoa rushwa kila Kona wote wanasema ni wezi wakubwa ndio wapiga kelele.

  • @abuumkumbalu9123
    @abuumkumbalu9123 7 หลายเดือนก่อน

    Piga kazi waziri matapeli wanaumiza sana watu

  • @piusjuma7384
    @piusjuma7384 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kwa maelezo hayo hakuna maana ya kuwa na Mahakama kama wazr anaweza kutoa hukumu juu ya mgogoro wa ardhi .....ninachoona tatizo si Mahakama bali ni watumishi wa ardhi hivyo waziri anakosea kupeleka mashambulizi kwa mahakma.....lakni afahamu mheshimiwa Rais amekuwa akiimiza utawala wa Sheria kwa maana kila muhimili wa serikali kufanya kazi pasipoingilia muhimili mwingine...hivyo kwa wazri ambaye ni mtekelezaji wa Sheria kutoa hukumu kwenye migogoro ya ardhi ni kuingilia kazi ya muhimili wa Mahakama Ambapo ni kinyume ni misingi iliyoanzishwa na montesque

  • @JumaNjiku-df1fd
    @JumaNjiku-df1fd 7 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa mahakama ndizo zinaongoza dhuluma kudhulumu watu ardhi. Mahakama zimejaa rushwa. Kama jaji anathubutu kutunga ushahidi wake mwenyewe na kukataa ushahidi uliopo kwenye kumbukumbu, wananchi tutapataje haki?! Haulizwi na chombo chochote, hujaridhika kata rufaa, unakoenda unakutana na wenye tabia zilezile. Tuna bahati mbaya kabisa. Mahakama zimekuwa vituo vya kupoteza haki za watu!

  • @dottomabula7253
    @dottomabula7253 7 หลายเดือนก่อน

    Wanyooshe jomba
    Nyoosha wote wanaozulumu

  • @luqmanmohd5214
    @luqmanmohd5214 6 หลายเดือนก่อน

    Tunakuombea sana ila tunakuomba urudi jengo la sara kariakoo ukandamizaji umezidi

  • @YusuphJuma-x7k
    @YusuphJuma-x7k 4 หลายเดือนก่อน

    Tukipata viongozi kadhaa Kama wewe hii nchi itabadilika
    Kwanza unanifurahisha hautoi hukumu bila kumuelimisha mtu

  • @aggreyprince3983
    @aggreyprince3983 7 หลายเดือนก่อน

    Hizi njaa za Wachungaji za kuwa kabidhi Madhabahu wanasiasa hizi, Na hawa viongozi wana msingizia Rais kila siku Rais amesema Rais hawezi kumuagiza Waziri akavunje nyumba za Wananchi , kazi ya Mahakama ni ipi?

  • @florachogo243
    @florachogo243 7 หลายเดือนก่อน +1

    Pambana mh.watu wanaosema hivyo ndio walewale majizi ,pambana kijana,kama walimsema magu,watu hatuna jema pambana😅 tunakuombea

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka kiongozi umeongea vyema kabisa maana mahakamani sio maranyingi haki hupatokana kwakuwa wamahakamani nao ni binadam,nao baadhi yao sii waminifu

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 7 หลายเดือนก่อน

    Wazulumaji ndio wanalalamika mahakama wanahongeka kirahisi

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 6 หลายเดือนก่อน

    Niko na wewe siku zote.wanadhurumu kisha wanakimbilia mahakaman huku mafundi wa kuapply.

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 7 หลายเดือนก่อน

    Mahakama ndio majambazi wakubwa tena uko ndio hakufai zaidi

  • @AllyMaya-yj3xd
    @AllyMaya-yj3xd 7 หลายเดือนก่อน

    Tupo ma wewe hao matapeli ukiona wanazingua sema tu su uone tutakavyovamia

  • @AlbethaGasper
    @AlbethaGasper 7 หลายเดือนก่อน

    Kwanza wewe niwaziri wa kwanza unatukumbusha mwamba wetu magufuri

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 7 หลายเดือนก่อน

    Naona Mheshimiwa Waziri hapa Mwanzo mwisho anathibitisha kuingilia uhuru wa Mahakama moja kwa moja.
    Kwa maelezo haya ni dhahiri Waziri anaingilia uhuru wa Mahakama.Yeye amenipatia Mamlaka yasiyo yake ya kuwa juu ya Mahakama.
    Hilo jambo ni la hatari kabisa.

    • @bakarirajabu3783
      @bakarirajabu3783 7 หลายเดือนก่อน

      Hacha ahingilie makimu wetu na waendesha mashtaka wa makama zetu wengi wao sio wadilifu kbs hawana hofu ya mungu kwao wao kuzulumu haki ya mtu nisuala la kawaida lkn wapo watenda haki

    • @patrickmgedzi2010
      @patrickmgedzi2010 6 หลายเดือนก่อน

      Ko unatakaje kama anaingilia naww mla rushwa au

  • @franciscojohn5751
    @franciscojohn5751 6 หลายเดือนก่อน

    Wazili piga kazi mahakama kama imeshindwa na ndio wala lushwa washenzi wakubwa wewe piga kazi tupo nyuma yako na maombi pia

  • @MrSinga-it4hy
    @MrSinga-it4hy 7 หลายเดือนก่อน

    Ulikua wapi watu wanaumia