UTAJUAJE UNAABUDU KANISA LA KWELI AMA LA UONGO|KUILINDA FAMILIA DHIDI YA SHETANI|Nabii Aston Mbaya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 50

  • @samjosh12
    @samjosh12 9 หลายเดือนก่อน +13

    Yes, kanisa sahihi ni kanisa linalo hubiri injili ya moto. Makanisa yanayo hubiri utajiri, nyota, magari nk, haya si makanisa ya Mungu.

  • @LogisticsRadiokwizera
    @LogisticsRadiokwizera 9 หลายเดือนก่อน +6

    Nimependa sana umahiri wa mkalimani FRANÇAIS- KISWAHILI, So talented😂😂

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c 9 หลายเดือนก่อน +8

    MUNGU Atusaidie Jamani

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 9 หลายเดือนก่อน +6

    Ameen nabarikwa sana kw mahubir wenu❤

  • @kayf-kk7bg
    @kayf-kk7bg 9 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri,

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 9 หลายเดือนก่อน +3

    Amen Amen Mungu atujalie mwisho

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c 9 หลายเดือนก่อน +6

    Hallelujah

  • @gudayakutemile577
    @gudayakutemile577 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mkaliman 🔥🔥🔥🔥

  • @julianawanjala6495
    @julianawanjala6495 9 หลายเดือนก่อน +5

    Amen

  • @carendeborah5687
    @carendeborah5687 9 หลายเดือนก่อน

    Be holy,be close to your God and the spirit of the LORD JESUS will lead and guide you...majengo sasa hivi mengi ni ya kupotosha watu...ukilijua neno la Mungu kwelikweli huezi potoshwa..

    • @Humphrey-zm1gx
      @Humphrey-zm1gx 8 หลายเดือนก่อน

      Kabsa kweli mtumish wa Mungu❤

  • @EuniceBukokhe
    @EuniceBukokhe 8 หลายเดือนก่อน +2

    Halelujah

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 9 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤nampendaga huyu

  • @MwicheGoma
    @MwicheGoma 2 หลายเดือนก่อน

    I love the truth John 8:31-32

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 9 หลายเดือนก่อน

    Pole Elijah

  • @LITTLEANGELSTODDLERSPLAYLAB
    @LITTLEANGELSTODDLERSPLAYLAB 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa kaz tu zaburi 14:2

  • @Mwasame_Official1
    @Mwasame_Official1 9 หลายเดือนก่อน +9

    Mimi nimeangaika sana kwa kutafuta kanisa lanye kuelekeza watu kwa ufalme wa mbinguni lakini ni ngumu sana kupata, nilikua kwa kanisa lingine , mchungaji wa kanisa hilo akasema tubonde raha tukiwa dunia eti huko mbinguni hakuna raha eti huko nikuinama na kuinuka tuu eti hapo hakuna raha, nilichukizwa na nikatoka kwa hilo kanisa.

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya 9 หลายเดือนก่อน

      Bora ulitoka ndugu yangu

    • @evelynekomba7216
      @evelynekomba7216 9 หลายเดือนก่อน +1

      Uko mkoa gani!??

    • @HappyMwaigwisya
      @HappyMwaigwisya 9 หลายเดือนก่อน

      Hiki ni kile kipindi Biblia ilisema tazama siku zaja kutakuwa na njaa juu ya nchi si njaa ya chakula Bali kukosa maneno ya Bwana. Ndo hiki tulichopo. Makanisa mengi yapo na Hawa waliojiunga ktk nguvu za Giza. Machache tu yapo na MUNGU WA kweli. Kuyajua Sasa inahitaji Roho Mtakatifu ndani ya mtu

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 9 หลายเดือนก่อน

      Hii imeenda😅hv hawa wachungaji wanatuonaje😂

    • @AnethSwila-tw9mv
      @AnethSwila-tw9mv 9 หลายเดือนก่อน

      Bora ulitoka site pastor anasema kweli yote kwamba duniani mnayodhiki lakini jipeni moyo mbinguni ndiyo mapumziko..na kanisa ambalo halisemi kweli Wala kukemea dhambi kimbia hapo

  • @dyno4tz
    @dyno4tz 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tre bien

  • @PatrickMathias-cs9qc
    @PatrickMathias-cs9qc 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeota ndoto mbaya ya mauaji ya kutisha nimeshindwa kuielewa yani

  • @carendeborah5687
    @carendeborah5687 9 หลายเดือนก่อน

    Kuna kanisa laitwa ,what God can't do doesn't exist ....they sacrifice people so people you must be very careful na hizi kanisa...mingi ni za shetani

  • @KaviraKimimbi
    @KaviraKimimbi 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeangaika kutafuta kanisa la kweli mpaka hata nakosa kwa kupeleka fungu langu la kumi nakusihi mtumishi wa MUNGU Aliye hai nisaidiyeni kwa maombi kwani nami niko naomba bado sijalipata mpaka kwa sasa nimekaa nyumbani chanel iyo imenisaidiya sana na kunigeuza tabia MUNGU AWAONGEZEYE MAISHA

  • @rebecca-nj6wl
    @rebecca-nj6wl 8 หลายเดือนก่อน

    Je kanisa ikiwa linamafundisho mazuri ya toba na kukemea dhambi lakini wanasheherekea Christmas na pasaka je utafanyaje

    • @ryobanchagwa2499
      @ryobanchagwa2499 8 หลายเดือนก่อน

      Hatusherehekei siku kuu Bali tunaazimisha kila ambacho Kristo alifanya alipokuwa Dunia

    • @ScolaMwanjoka
      @ScolaMwanjoka 8 หลายเดือนก่อน

      Penye shida ni kusherekea Christmas ni dhamb

  • @ServantofGodNehemiahPDA
    @ServantofGodNehemiahPDA 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kanisa sahihi linaanza na wewe mwenyewe. Ukishindwa kuwa kanisa sahihi utalipata wapi kanisa hilo? Wokovu unaanza na wewe halafu unawaangazia wengine.

    • @pastormalitiushuhuda9965
      @pastormalitiushuhuda9965 9 หลายเดือนก่อน

      Amen wewe umeongea vema watu wengi wa najuwa Kanisa nijengo kumbe, Ni mtu na makanisa sahihi ni mengi tu sema mtu mwenyewe ndiye aoni Kanisa sahihi kwa sababu Yeye ayupo sahihi

    • @AnethSwila-tw9mv
      @AnethSwila-tw9mv 9 หลายเดือนก่อน

      Kumbuka kanisa ni mtu mwenyewe sawa ila kunamtu anayeliongoza hilo kanisa na ndiyo kukawa na neno linalisema kipofu akimuongoza kipofu mwenzie wote watatumbukia shimoni...wachungaji wa uongo huwezi wajua bila kuuliza MUNGU mie nilikuwa naabudu kanisa flani ila niliyoyaona ktk ulimwengu wa roho yalinifanya kutoka hapo

  • @evanswalusaka2514
    @evanswalusaka2514 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nimeangaika sana kutafuta kanisa sahihi hadi leo sijawahi lipata, nimepata matatizo na wajungaji hadi wengine wameingilia ndoa yangu hadi kuvunjika.naomba mungu anionyeshe kanisa na wachungaji sahihi.

    • @emmymgeni763
      @emmymgeni763 9 หลายเดือนก่อน +2

      Mtafute Mungu kibinafsi Sana kwa kumaanisha,unapoendelea Mungu atakuonyesha,usiwe na haraka

    • @JosueIsamba
      @JosueIsamba 9 หลายเดือนก่อน +1

      Uliza MUNGU atakuonesha

    • @evelynekomba7216
      @evelynekomba7216 9 หลายเดือนก่อน

      Uko mkoa gani,

    • @MeshackAngel-kc2gc
      @MeshackAngel-kc2gc 9 หลายเดือนก่อน +1

      Zabur 23:1

    • @AnethSwila-tw9mv
      @AnethSwila-tw9mv 9 หลายเดือนก่อน

      Maanisha kwa MUNGU ndugu yangu maana mie mwenyewe nilikuwa muhanga ila BWANA alinitoa akanionyesha kanisa lingine nipo hapo Hadi Leo na kiroho changu limebadirika so kama nilipokuwa pale

  • @alexandermessu1961
    @alexandermessu1961 9 หลายเดือนก่อน

    Swali ni je hilo ni la kweli?

  • @flourishing_wilderness6072
    @flourishing_wilderness6072 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kanisa ni mkristo, Kanisa kama kusanyiko la wanaomwamini Yesu la kweli linalohubiri injili ya kumuokoa mkristo ni machache nayo yanakuwaga na mapungufu,
    Mfano kanisa nililokulia na kubatizwa (silitaji) baada ya kuokoka nikafunuliwa wanafanya child-sacrifice kwa siri sana (rohoni) hivyo ni kanisa lililokufa kiroho. Nikatoka niinusuru hatima ya nafsi yangu nikaenda kanisa lingine nikaona waumini hawathaminiwi yaani yule mwasisi akisema ndio kasema, amri zinafunikwa na hallelujah, amen zisizo za haki.
    Nikatoka ,kanisa ninalosali saivi naweza kuvumilia mapungufu yake, wanahubiri sana kuwa Yesu anarudi na mkristo ajiandae kwenda mbinguni, ila wanavaa isivyo heshima, mapambo yaliyozidi. Mungu atusaidie wakristo

    • @evelynekomba7216
      @evelynekomba7216 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kama linahubiri injili ya utakaso, baki hapo, ila ww vaa inavyopaswa mkristo wa kweli kuvaa, yumkini wanweza kubadirikq kupitia ww. Sisi ni barua

    • @MeshackAngel-kc2gc
      @MeshackAngel-kc2gc 9 หลายเดือนก่อน

      Jiandae wew binafs kwa ajil ya ufalme usiangalie mtu yukoje,maisha ya mkristo mwingine hayana msada kwa mtu yeyot niwakat wa Kila mtu kujitathimin yeye binafs yukoje na yesu

  • @NAMAYANINANYARO
    @NAMAYANINANYARO 13 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah