Nina jambo langu lilitaka kuniangusha mwaka jana,na sijui uliongozwa na roho maana nilikutana na wewe na ndio ukawa ukombozi wangu. Kwa sasa nimeinuka na nipo napambana tena hadi nifanikiwe.Asante Joel.
Waaoooh I am the First to Listen! Mungu azidi kukuinua kwa Viwango vya juu zaidi ili Watu wa Mungu tuzidi kufunguliwa katika Maisha yetu. Mungu azidi kukutunza na kukustawisha kaka Joel ili uifanye kazi yake. Nakutamkia Ushindi Daima🎉🎉
Asante sana kaka joel kwa somo zuri binafs ninahitaji kuanza upya ili nifikie ndoto zangu. Kwani niliiishi maisha ya wengine na sasa nimejikuta nipo njia panda natakiwa kuanza ukurasa mpa. Na hatua nilokwishaanza ni kusoma mafundisho yako mazuri kila siku asb na muda wowote ninapopata nafasi naitumia kusoma mafundisho yako. Na pia nitahitaji vitabu kwa ajili kujifunza zaidi. Ubarikiwe sana.
Nina jambo langu lilitaka kuniangusha mwaka jana,na sijui uliongozwa na roho maana nilikutana na wewe na ndio ukawa ukombozi wangu. Kwa sasa nimeinuka na nipo napambana tena hadi nifanikiwe.Asante Joel.
Kila siku naongeza thamani kupitia life wisdom series. Be blessed bro
From south Africa Durban sijachelewa sana mwalimu Asante ❤
Waaoooh I am the First to Listen!
Mungu azidi kukuinua kwa Viwango vya juu zaidi ili Watu wa Mungu tuzidi kufunguliwa katika Maisha yetu.
Mungu azidi kukutunza na kukustawisha kaka Joel ili uifanye kazi yake.
Nakutamkia Ushindi Daima🎉🎉
Waiting 🥇
Mungu azidi kukulinda coach Joel naendelea kujifunza asante sana
Asante sana kaka joel kwa somo zuri binafs ninahitaji kuanza upya ili nifikie ndoto zangu. Kwani niliiishi maisha ya wengine na sasa nimejikuta nipo njia panda natakiwa kuanza ukurasa mpa. Na hatua nilokwishaanza ni kusoma mafundisho yako mazuri kila siku asb na muda wowote ninapopata nafasi naitumia kusoma mafundisho yako. Na pia nitahitaji vitabu kwa ajili kujifunza zaidi. Ubarikiwe sana.
Thank kila siku napata maarifa juu ya maisha pia ata mm nilishatokewa na hali hiyo lkn kupitia vitabu vyako nilifanikiwa God bless you
Greatness ✊🏿
Mungu akuongeze kaka joeli
Naenda kuanza upya sasa
Mafanikio ni mchakato👏🏆👏
👏👏👏 another day another blessings 🙏🙏🙏endelea kubarikiwa coach
Asante kaka Joel.🙏🙏 Nitanyanyuka Kwa jina la Yesu. Nimejifunza. Na Nitasimama Tena.
Barikiwa sana kaka
Somo💪🏆💪
Kenya watching....
Umeniamsha usingizini brother
Sante kaka azina ya vijana
Hallelujah, 👌🏽👌🏽💃
Barikiwa❤
Kaka Yangu hakika Mungu akubariki, maana nina vingi nilivyo pata toka nianze kukufatilia
Shukran joel
Shukrani
Asante 🙏🙏
Thanks 🙏
Nawait😊😊😊
Thanks
See u 2025 bro....... Inshallah ❤
🙌👏
🎉
I stand up again🫡🫡
Nakutafta sana private sikupati kiongozi...
Huu mwaka lazima nitoke nilipo kwama Kwa muda mrefu. Piga uwa galagaza. Ninakubali kuanza upya.
Nawait😊😊