Huyu jamaaa akuna anachojua kwamba anakosoa kocha wakt kocha akula sehem alifel na simba akukata moto ila baada ya kutoka kagoma kwa sab ya lazima ndio yanga wakapata kua free huyu mpira ajui leo ndio nimemgundia kama katumwa azungumzie simba vibaya mshaona tim inakaa sawa mnaanza chokochoko kwa kocha , we auna unachojua tafuta kazi ya kufanya
Kweli kabla ya mechi Simba walifurahi kusikia kayoko ndio atachezesha, Awakumtaka Arajiga ila baada ya mechi nae Afai""" Marefa wote bongo Awajataharishwa Vizuri"" pia Mechi kwenye Mvua ni ngumu sana kuchezesha
Wakati mwingine mnaharibu sifa zenu umeanza kumsema Davis kweli??! Haya maneno ndo uchochezi tayari.yaani unabeza mchezo wa simba is it? Jamani are coach or fun? Jamani mmeanza please jamani kemeeni huyu ibilisi an
Naanza kuogopa tena na msinishangae kusema wanatumwa tena yaani coach afukuzwe tena? Tumezidiwa na yanga kwa uvumilivu wao wa kuandaa ream miaka mitatu mnanza tena? Yaani goli lingefungwa mgesemaje? Viongozi na wapenzi muwe macho
Eng Hersi shikilia hapohapo kelele zitasikika sana mwaka huu Hadi waseme na bado
Uko vzr katika kuchambua sema unakizarau fulani
Huyu jamaaa akuna anachojua kwamba anakosoa kocha wakt kocha akula sehem alifel na simba akukata moto ila baada ya kutoka kagoma kwa sab ya lazima ndio yanga wakapata kua free huyu mpira ajui leo ndio nimemgundia kama katumwa azungumzie simba vibaya mshaona tim inakaa sawa mnaanza chokochoko kwa kocha , we auna unachojua tafuta kazi ya kufanya
👏👏🔥
Daaa akiingiza timu anaenda kutembea kariakoo anaacha hivo hivo daaa 😂😂😂😂
Kocha wetu yuko sawa...achane naye wewe ungekuwa Bora ungekuwa na timu
Kwa hiyo tubadilishe kocha sio😅
Huyu jamaa leo kaongea facts kuhusu Fadlu👏👏
Kweli kabla ya mechi Simba walifurahi kusikia kayoko ndio atachezesha, Awakumtaka Arajiga ila baada ya mechi nae Afai""" Marefa wote bongo Awajataharishwa Vizuri"" pia Mechi kwenye Mvua ni ngumu sana kuchezesha
Bonge Moja la mchambuzi
😂😂😂😂
Kabisa
Kwakuwa anaisifia timu yenu
Ukweli mtani huwa haupendi anapenda uongoooo kwamba yeye ni bora😂😂
😂😂😂walichoka kila kitu
Jamaa kila siku anatoa vitu vipya sijui ushabiki
unataka ss utugombanishe na kocha wetu hebu Tuache bwana na wewe
Jamaa amechambua kutokana na alichokigundua
@@mwanangusanaHuu si uchambuzi
Ni rahisi Sana kuongea ila kutenda mmmmh!
Kachukue timu ya Simba halafu upambane na Gamondi ndo tuone ubora wako
We ndo ulisema yanga hamuwez simba mana simba imewaka sasa wajibu kwann wamefungwq
Huyu jamaa anachambua soka. Siyo kuchambua viongozi
We wachakusemaovyo matokeo yamchezo wadabi muamuzi wamchezoule aliuwamuwa muamuzi hukuonahilo matakoww
Bravo
Ni nyie mnataka kugombanisha serkali na watanzania.Mpira siyo siasa, mpira ni mchezo wa wazi.
Huyu muongooo sana
Labda huondoke wewe sio kocha
Wakati mwingine mnaharibu sifa zenu umeanza kumsema Davis kweli??! Haya maneno ndo uchochezi tayari.yaani unabeza mchezo wa simba is it? Jamani are coach or fun? Jamani mmeanza please jamani kemeeni huyu ibilisi an
Mchambozi borakabisa nakubaliana nawewe
Naanza kuogopa tena na msinishangae kusema wanatumwa tena yaani coach afukuzwe tena? Tumezidiwa na yanga kwa uvumilivu wao wa kuandaa ream miaka mitatu mnanza tena? Yaani goli lingefungwa mgesemaje? Viongozi na wapenzi muwe macho
Kwani huyu nani kwa GSM ana hata team ya vijana mbona anaongea pumba sanaa
Ingekuwa maneno ndio yanatenda, basi ungekuwa kocha wa Man City. Yanga wangekuwa bora wangefunga magoli mengi. Wanashangilia goli la kujifunga.
We Fara kweli 😂😂😂😂
Mwenda wazimu ww 😅
BAHATI, KWA HIYO MMEZOEA KUGONGWA VINGI, KIMOJA HAKIKUWATOSHA... AU VIPI? 😂😂😂
Kwani goli 1 sio goli ..acha ushamba ww
Yaani ww umechemka kweli