Mkalaboko! Ni vizuri unyooke. Hivi Dauda aliuliza swali au alilenga kuchonganisha uongozi na washabiki? Sema wazi tu kuwa Dauda alikisea. Kamwe alijibu very technical 1. Alimshusha Dauda kama alivyokuja lakini kwa akili, 2. Alijibu kwanini Moalini anatumika vlle, superb
Haya ndio unayoyasema Mkalaboko ona namna alivyokuuliza swali huyu mtangazaji amekuuliza kulingana na alivyotaka jibu liwe na akaachana na ukweli na kilichozua tatizo . Issue ni shafii kusema Yanga inawadharau wapenzi na mashabiki wao kwakutowaambia kuhusu kocha Moalin kukaa benchi la ufundi . Aliwaingiza mashabiki kwa kuwachonganisha na viongozi wa timu . Hoja ilikuwa aulize kwanini Moalin anakaa benchi la ufundi na sio kusema Viongozi wa Yanga wanawadharau mashabiki na wapenzi wa yanga kisa kocha Moalin kukaa kwenye benchi la ufundi . Kifupi lilikuwa andiko la uchonganishi na sio kuhoji
Wachambuzi wa bongo hawajui kitu kiitwacho IMPARTIALITY !! Vichambuzi vingi pia vinajifanya vinajua! Hata havijawahi kumsogelea GSM, Mo, Hersi nk ! Ila utavisikia eti za ndani! Hans anapenda sa kijifanya knows ya more than Hersi! Waikome YANGA yanga can survive without hivi vichambuzi,but vichambuzi cant survive without yanga! Nila yanga havili
Huyo mwandishi alitaka mkalaboko awalaumu akina Ally kamwe pekee lakini majibu aliyopata hatarudia tena kuuliza maswali ya kizushi...big up mkalaboko...no biasness
Mkalaboko! Ni vizuri unyooke. Hivi Dauda aliuliza swali au alilenga kuchonganisha uongozi na washabiki? Sema wazi tu kuwa Dauda alikisea. Kamwe alijibu very technical 1. Alimshusha Dauda kama alivyokuja lakini kwa akili, 2. Alijibu kwanini Moalini anatumika vlle, superb
Safiiii saaaana kaka nikweli makolo wanagawa sana bahasha kwa wachabuzi tunawajua
Wakwanza Mzee wa Jambia anajiita
Mchambuzi pekee bongo ni Ambangile tu that guy is brilliant
Ramadhani Mbweduke peke yake,huyu mwenyewe mpiga ramli si mchambuzi
Nafikiri kamwe umemweleza ukweli dauda na nafikiri wengine watakuwa makini.
Bro,HUWEZI KUKOSOA USICHOKIJUA! ANGETAFUTA WAHUSIKA KWANZA ( source of information) then ndo angehoji!
Wengi wao siyo wachambuzi bali ni wambea waliopewa maiki na. Jukwaa la kuaemea
Uko sahihi kaka wachambuzi leo ni wacha NG,ombe
Haya ndio unayoyasema Mkalaboko ona namna alivyokuuliza swali huyu mtangazaji amekuuliza kulingana na alivyotaka jibu liwe na akaachana na ukweli na kilichozua tatizo . Issue ni shafii kusema Yanga inawadharau wapenzi na mashabiki wao kwakutowaambia kuhusu kocha Moalin kukaa benchi la ufundi . Aliwaingiza mashabiki kwa kuwachonganisha na viongozi wa timu .
Hoja ilikuwa aulize kwanini Moalin anakaa benchi la ufundi na sio kusema Viongozi wa Yanga wanawadharau mashabiki na wapenzi wa yanga kisa kocha Moalin kukaa kwenye benchi la ufundi . Kifupi lilikuwa andiko la uchonganishi na sio kuhoji
Wachambuzi wa bongo hawajui kitu kiitwacho IMPARTIALITY !! Vichambuzi vingi pia vinajifanya vinajua! Hata havijawahi kumsogelea GSM, Mo, Hersi nk ! Ila utavisikia eti za ndani! Hans anapenda sa kijifanya knows ya more than Hersi! Waikome YANGA yanga can survive without hivi vichambuzi,but vichambuzi cant survive without yanga! Nila yanga havili
Hapa kuna wilson huruma ni pure simba haihitaji tochi
Huyu muuliza maswali nae mbona mchonganishi?
Mkolaboko , soma comment hiyo yote
Kaka ni kweri wewe ni msomi mzuri wa sports umekomaa kimichezo
Huyo mwandishi alitaka mkalaboko awalaumu akina Ally kamwe pekee lakini majibu aliyopata hatarudia tena kuuliza maswali ya kizushi...big up mkalaboko...no biasness
Bora wewe ubaki kuwa cha tembo..Hao wachambuzi waache
Alisema mnawafanya washabiki wa Yanga wajinga, aliwachonganisha na mashabiki
Wachambuzi wa kibongo ni wanafik
Hapo yumo musa mkwaju na Alex ngereza ni mabonge ya wanafiki
Njaa
Mjomba salehe jembe
Hajamalizia shafii aliwadharau mpaka mashabiki ndipo hapo msemaji alimtaka awaombe radhi mashabiki
Angemsomea taarifa nzima Makalaboko angemjibu tofauti.
Hususani @Alex ngereza
Nakukubal