Nanyinyi munaochambua michezo kwani kwawenzetu ulaya hamutizam wenzetu wameendelea waamuz Wana uwezo mkubwa lakini wanatumia visaidiz vya kurudia matukio sisi tusiokua na ufanis kwanin hatutumii VAR tusikaetu na kuwakuwashamburia waamuz nyiny munaojua Sheria nendeni mukasimamie ninyi
Shida sio Muamuzi shida ni mfumo, ni ngumu sana kuelewa mfumo ni kitu muhimu sana Nitaanza kufundisha mambo ya mfumo. na mfumo unaharibu au Kutengeneza maisha ya mtu binafsi,Kundi la watu,Taasisi na hata Nchi. sasa somo la Mfumo nitaanza kulitoa hapo baadae muone ni kwa namna gani tunashindwa kupiga hatua kwa nyanja zote.
Huyo kijana alikuwa sahih na ndo maana waandishi wa habar wengi hawajui kaz zao yan vitu vya nyumbani uharibu kazi ya mtu na hatakama hiyo matatizo ya nyumbani hakupi guarantee ya kutopewa adhabu ukikosea
Mimi nakukubali kipenya cha mwisho isiwaogope mtu yoyote wewe toa ukweli najua kuna watu watakutisha angalia kazi yako mzee wa kipenga cha mwisho tunakuamini sana na mama samia atakulinda yeye si anapenda ukweli wewe endelea hi yo hivyo usiogope
Marefa wa TANZANIA Mbaka wapigwe na mashabiki ndio watatenda haki lakini zaidi ya hapo tuta endelea kulalamikia wamuzi sana ila siku Moja refa akipigwa akamwagika damu ndio wataelewa kwamba watu wanakekelwa na wanacho kifanya
Walimu wanakazi ngumu sana! Yaani hawa waandishi wamefundishwa dakika moja na dakika moja wamesahau, hivi ndivyo mnavyowaambia walimu wamefelisha badala ya kusema mwanafunzi amefeli.
Asalam Aleykum Broo samahan mim ningekuomba kitu kimoja samahan lakini kwasababu kila mchezo wew unakuwepo uanjan ningekuomba uwashauri TFF kuwa mim Osmani nipo uanjani kwahiyo Refa Anapochezesha kimakosa wew upo kwanini palepale mpira usimame uitwe wew utoe haki ili kama mtu Anahaki basi palepale Apewe haki yake yule mwingine Apokonywe msaada tafadhali Broo Osmani
Hakuna kushushwa anakoshushwa nako akifanya makosa inakuaje, akikosa ufanisi na ili tuweke sawa yani lazima atolewe kafara refa mmoja afutiwe au zaidi ya Marefa wafutiwe leseni kabisa asijihusishe au wasijihusishe kabisa na kuchezesha mpira wowote hata Bonanza.
Shida adhabu wanayopewa ni ndogo sana that's why wanarudia kila siku kinachotakiwa refa akiboronga makusudi apigwe faini million 20 ili aone million 2 alizohongwa ziwe hazina maana kwake.
Na alikamatwa kwa kupokea Rushwa na ndiyo akafungiwa Alafu inaonekana hampendi KAYOKO KWANI ILE ALIYOSEMA KUWA PENART YA KIBU NA MUDATHIR UKIUANGALUA ULE MPIRA ULIISHA TOKA NJE YA 18
Mi Nadhani tujikite kutafakati anachoongea kina Ukweli au Uongo? Haijalishi Tim yako imenufaika au laa! Lazima tubaki Kwenye ukweli Kwa faida ya mpira wetu
Huyu Kazi kakosa kazi ?!? Si huyu alinadi VAR kutumika msimu huu ?? Kajisahaulisha !! Sheria na 5 na 6 zinahusiana na waamuzi na haipepesi macho kwenye utekelezaji wake !! Kipyenga cha mwisho ni ubabaishaji mtupu !!
SHIDA ni njaaaaaaaa tuuu yanga anahonga sana Hela
Nanyinyi munaochambua michezo kwani kwawenzetu ulaya hamutizam wenzetu wameendelea waamuz Wana uwezo mkubwa lakini wanatumia visaidiz vya kurudia matukio sisi tusiokua na ufanis kwanin hatutumii VAR tusikaetu na kuwakuwashamburia waamuz nyiny munaojua Sheria nendeni mukasimamie ninyi
Shida sio Muamuzi shida ni mfumo, ni ngumu sana kuelewa mfumo ni kitu muhimu sana Nitaanza kufundisha mambo ya mfumo. na mfumo unaharibu au Kutengeneza maisha ya mtu binafsi,Kundi la watu,Taasisi na hata Nchi. sasa somo la Mfumo nitaanza kulitoa hapo baadae muone ni kwa namna gani tunashindwa kupiga hatua kwa nyanja zote.
TFF & BODI YA LIGI, walipaswa kujiongeza na kuliona hivyo na kuchukua hatua stahiki kungali mapema hivyo!
Huyo kijana alikuwa sahih na ndo maana waandishi wa habar wengi hawajui kaz zao yan vitu vya nyumbani uharibu kazi ya mtu na hatakama hiyo matatizo ya nyumbani hakupi guarantee ya kutopewa adhabu ukikosea
Mimi nakukubali kipenya cha mwisho isiwaogope mtu yoyote wewe toa ukweli najua kuna watu watakutisha angalia kazi yako mzee wa kipenga cha mwisho tunakuamini sana na mama samia atakulinda yeye si anapenda ukweli wewe endelea hi yo hivyo usiogope
Marefa wa TANZANIA Mbaka wapigwe na mashabiki ndio watatenda haki lakini zaidi ya hapo tuta endelea kulalamikia wamuzi sana ila siku Moja refa akipigwa akamwagika damu ndio wataelewa kwamba watu wanakekelwa na wanacho kifanya
Walimu wanakazi ngumu sana! Yaani hawa waandishi wamefundishwa dakika moja na dakika moja wamesahau, hivi ndivyo mnavyowaambia walimu wamefelisha badala ya kusema mwanafunzi amefeli.
Asalam Aleykum Broo samahan mim ningekuomba kitu kimoja samahan lakini kwasababu kila mchezo wew unakuwepo uanjan ningekuomba uwashauri TFF kuwa mim Osmani nipo uanjani kwahiyo Refa Anapochezesha kimakosa wew upo kwanini palepale mpira usimame uitwe wew utoe haki ili kama mtu Anahaki basi palepale Apewe haki yake yule mwingine Apokonywe msaada tafadhali Broo Osmani
Ongeleeni na gemu za makolo zote
Huyu Kayoko amenunuliwa pikipiki na GSM analipa fadhira kila mtu anajua.Lazima alipe fadhira ila GSM anaharibu ligi.
Hao waandishi ndio wabaya nuksi. Wote yanga wanapewa pesa na huyo kayoko aemde ndondo
Wote waamuzi sio watu wazuri kaze unaogopa ongea vizuri sisi tuko na wewe ongea ukweli pls
Kufungiwa inasaidia sana
Hakuna kushushwa anakoshushwa nako akifanya makosa inakuaje, akikosa ufanisi na ili tuweke sawa yani lazima atolewe kafara refa mmoja afutiwe au zaidi ya Marefa wafutiwe leseni kabisa asijihusishe au wasijihusishe kabisa na kuchezesha mpira wowote hata Bonanza.
Shida ni kwamba kufungiwa au kutofungiwa hakubadilishi matokeo
Kayoko ni shida huwezi kuwa na mapungufu kwenye simba na yanga tu na simba ndiyo inanyongwa
Huyu Ramadhan kayoko hata ligi daraja la pili hawezi,huko Kwa maamuzi Yake ya hovyo atavunjwa miguu.
Kayoko aachane na urefarii
Alivyowapa faida nyie dhid ya Azam alikuwa yupo vizuri ila Leo hii ndo hafai sio😅😅😅😅
Shida adhabu wanayopewa ni ndogo sana that's why wanarudia kila siku kinachotakiwa refa akiboronga makusudi apigwe faini million 20 ili aone million 2 alizohongwa ziwe hazina maana kwake.
Ndomana kimataifa awaendi wanapenda pesa
Wewe umewahi kufungiwa mara ngapi?
KAYOKO HAWEZI KUCHEZESHA MPIRA . ILA YEYE ANAJUA KUGAWA KADI KM NJUGU. MAHALA AMBAPO HAPASTAHILI YEYE ANAGAWA KADI
Chama cha cha waamuzi kinasemaji
Waamuzi wote wabaya wanapewa pesa na yanga
Leta ushahidi wa tuhuma zako
Waandishi wa Habari ni shida kubwa
Maneno mengi mno hata waamuzi wa pembeni ni ovyo kabisa
Kwa hiyo huyu hajawahi kufanya makosa as a ref?
Ama kweli hakuna kungwi mchafu.
Nimefuhi kuona umechambuwa mechi ya dabi tumenyimwa penati tatu tumeona kipenga cha mwisho acha uoga pumbavu
Yeye huyu naye akuwa mla rushwa balaa mpaka alifungiwa tena hiyu na mkongo
Punguza ubaguzi kaka sio maisha
Tatizo wewe kolo namba 1 namba 2 mo namba 3 mangungu wewe mwehu huna lolote
Mbona simba wamenufaika na marefa nawatu amuongei acheni kuaribiana kazi ......
...... Nyie
.
Yeye mwenyewe Kazi alifungiwa kwa rushwa
Kajisahaulisha
Akachezeshe ndondo
Othman kazi wewe ilikua una boronga sana kipindi chako
Kwani alipokosea si unaona adhabu aliyopewa na jinsi ilivyomjenga au ndio hutaki kuona ukweli kisa amesema penati tatu
Sasa hata kipindi chake alikuwa anaboronga ndio asiseme ukweli
@@hafidhisaid5446 ilikua aaeme ukweli wakati huo ana boronga yeye aanze yeye kupewa adhabu
@@januarysungura8119 uwe simba alafu usilalamike thubutuu. mnaona makosa mlio fanyiwa nyinyi tu ila mlio yafanya nyinyi hamuyaoni
@@januarysungura8119 au nyinyi ni watakatifu simba mechi zenu zote mmeshinda kihalali?
Wewe mzee kuongea ni rahisi . Ulipokua refa ulikua unaboronga saana leo unawakosoa wenzako 😂
Na alikamatwa kwa kupokea Rushwa na ndiyo akafungiwa
Alafu inaonekana hampendi KAYOKO
KWANI ILE ALIYOSEMA KUWA PENART YA KIBU NA MUDATHIR
UKIUANGALUA ULE MPIRA ULIISHA TOKA NJE YA 18
@@adamlubawa1281 Angekua refa mzuri tungemuona AFCON huko😂
@@adamlubawa1281 KICHWA KAMA BOGA
@@januarysungura8119 CHAKO KAMA BUSHA LA KIUME
Huyu ni walewale mbona mechi ya Azam na kolo ngao ya jamii hakusema NBC Ligi Dodoma jiji na kolo pia.hakusema
Kule Azam ndipo kwenye mkate wake
Hutaki ukweli usemwe???? Ni bora huo ugonjwa uondolewe si kwa simba wala yanga acha kitegea uovu ligi yetu itabaki kua ya kijinga hadi lini????
Wakati anachambua ulikuwa wapi
Mi Nadhani tujikite kutafakati anachoongea kina Ukweli au Uongo? Haijalishi Tim yako imenufaika au laa! Lazima tubaki Kwenye ukweli Kwa faida ya mpira wetu
Huyu ni mlengo uleule, Hana lolote jipya.
Huyu Kazi kakosa kazi ?!? Si huyu alinadi VAR kutumika msimu huu ?? Kajisahaulisha !!
Sheria na 5 na 6 zinahusiana na waamuzi na haipepesi macho kwenye utekelezaji wake !! Kipyenga cha mwisho ni ubabaishaji mtupu !!
Haka kazee Nako ko kanataka marefa wote wakikosea wapelekwe shilikisho afu wakienda katakuja kuchezesha kenyewe au akifanyiwa kolooooo mwenzie acha pumba hizo
Ungekuja kuchezesha wewe mwenyewe
Mwili umechoka,hawezi kumaliza 90'
Kufungiwa inasaidia sana