ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Justin kessi unajua sana soka broo keep goin on Men more love ❤
Kweli kipa wa KJT mzuri sana Yakoub
Yupo vizuri sana jastin kesi, huwa ni mkweli sana, mm kwangu ni mchambuzi bora asiye na upande,
Mtu wa yanga dam huyo
Lakn so far ni mzur anajua kuchambua
Sijawahi kuchoka kukusikiliza Kessy, Dr Mgalega
Jastini kesi chukuwa mauwa yako kaka unajuwa sana mpila 🎉🎉🎉🎉🎉
Keep pushing Bro 🔥
Kessy mm binafsi huwa nakukubali sana unajua mpira
Kaka we mchambuzi mzuriii mzawa nae kutizama sana
Kuna Keeper wa Kengold casto pia kipa mzuri.
Nakubali tuko pomoja kutoka mbeya
Anajua sana boli ndugu yangu justine
Bonge Moja la mchambuzi anajua sana
Mudathir mchezaji wangu bora wa muda wote
Jamaa anajua kuchambua
Nakukubali mwamba mpira unaujua
Sio dube mzize niatari xn hata km ana magoli kijana anajua xn tusifie vyakwetu
Justin kessy mchambuz mkumbwa sana, nakuomba karudie tena ile video hajaguswa kwa mkono wa kipa ila mguu wakipa ndo ulizaa penati kairudie utapona kipa amemcheza dube kwa mguu kwenye mguu wake
Galeth bale hajawai chukua balloon dior
Amewah
@ZENAMALUKULA mwaka gani huo ndgu
shida camera zote zinaonesha upande mmoja wa kulia Sasa unakuje na uhakika wa contact
Huyu ndy Justin casse
Huyu ndo mchambuzi bora kwangu mm hapa tanzania maana anaongea ukwel bila kpepesa macho
Bora nikusikilize ww kaka
❤❤❤
Nikiwa hapa Marekani, huyo ndo namuonaga mchambuzi asiye hegamiya timu yoyote
Ulisema Yanga haiwezi kupata Magoli mengi mbona sasa inashinda Magoli ya kutosha tu
Na wakiwa makini wachezaji hipo siku ata magoli 10 yatawekwa
No.6 ya Juve Marchisio wide double pivot na Pogba
huyu ndo mchambuzi sasa sio hawa wengn wa mchongooo
Huyu jamaa anajua kuuchambua mpira, Media hazimuoni?
huyu jamaa anjua sana kiukwel
Me namkubali mzize kuliko dube. Sema wa tz hatupendagi kuimba vya kwetu
very very xumart and very claer kwenye kuongea then unaongea football liyaty yani
Unajua bro congole
Mwandishi huna uwezo wa kumuhoji huyo jamaa, maswali yako ni ya kitotototo. Anaonesha ana vingi Ila umeshindwa kumshawishi afunguke!
Yaani mi akinitajia aucho adi michozo inanitoka ya fraha
KWA HIYO SIMBA YA MIPENATI NDO WAZURI?
YOUNG AFRICANS UBORA HAUPO MBALI SEMA NIKUISET TU ILI KOCHA KACHEMKA KWENYE SAB YAANI SAB YAKE HAINA MAZARA
Nyie wachambuzi wa hovyo jemedary said ngereza jifunzeni Kwa Kesy bonge la mchambuzi SI nyie wamchongo
Mwamba apewe mauwa yake