Mwandishi hongera umeweza angalau kuhoji.mambo msingi. Kama taaluma zote nvhini zitaelekeza akili na mioyo yetu ktk kusaidia wanasiasa kujenga demokrasia ya kweli ndani ya vyama iko siku tutafikia uchaguzi huru na haki. Kung'atuka ni uoga fulani hivi. Wako wanaodhani wanaweza kushawishi kung'atuka huko ni kuuwa demokrasia. Waachwe washindane na mshindwa akae pembeni akimsaidia mshindi kufikia lengo moja. Tabia za mwanachama mwandamizi kutokumsaidia kiongozi ili uje kutumia ulichokiona madhaifu ukakaa kimya kama sehemu ya kampeni kumng'oa kiongozi sio sahihi.. Mwenyekiti na Makamu huwa ni kitu kimoja. Yapo mapungufu pengine watu wameyang'amua yalipaswa yafanyike ndani ya vikao vya ndani lakini yakaachwa ili yaje ktk mitandao yawe karata ya kushinda kampeni. Tusubiri kinyanganyiro.
I highly recommend you, the best lawyer of all time, a commander who fights for justice regardless of gender or ability. May God grant you a long life. Mr madereka
Umeongea vizuri sana kaka madeleka. Somo zuri sana kwa wanachadema na watanzania kwa jumla. Natamani mahojiano haya yasikike na watanzania wengi japo sina hakika kama itawezekana. Hebu fanya jambo mkuu wangu watu wengi waisikie hii somo.
Hongera sana mpambanaji wakili msomi Peter Madereka. Mimi huwa nakuelewa sana ndugu,Mungu akulinde daima ila huyo mwandishi anaonekana chawa wa chama tawala!
Hongera Madereka lisu ndiye wa wakati huu Mbowe miaka ishilini inatosha tunampenda ila Kwa wakati huu chadema tuna mtaka mtu Kama lisu tangu wakati wa yohana mpaka sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu nao wenye nguvu wauteka. Hivyo lisu ndiye afaaye Kwa sasa kulingana na wakati.
No , More Nice man mbowe, tunataka mwana harakati Tundu lissu abadilishe mazingira , hatutaki yesunkatika chama akipingwa kibao mkono wa kulia , anageuza upande wa pili. Hii ndio wakati wa baada ya kisa mkasa , wakikanyaga tukanyage tu😂😂😂
Huyu wakili ni mtahalamu sana kwa maswala ya uchambuzi. Hongereka zaidi mheshimiwa wakili. Utazani anayosoma kwenye karatasi kumbe sivyo. Kuongea nako ni kipaji kiukweli.
Wanasheria nchi hii bila kujali uko wapi unashiba haushibi sahauni tofauti zenu hasa za kimaslahi unganeni nyote mkubaliane kutengeneza katiba bora ya umma. Aina ya Wanasiasa maslahi tulionao nchi hii hawawezi kupata katiba ya umma hata wapewe miaka 100. Hofu ya milo hasa waajiriwa serikalini imewatawala hasa makada wa vyama vya siasa. Shida ni njaa kuliko faida kwa umma wa Watanzania sote. Tumeshuhudia wanasiasa hata wa upinzani wakirubuniwa wakasahau harakati zao wakaunga juhudi kutibu njaa.
Huyu mtangazaji kwa mtu asiyejua kumsoma mtu utadhani anamchukia Lisu. Lakini anajitahidi kutoa hadharani yale yanayozungumzwa na watu wasio na busara wanaotaka kuipasua chama au kuwagombanisha Lisu na mbowe.
Ni rahisi kuzungumzia mwili na nafsi za mwingine kuteseka magerezani lakini sio nafsi zao wazungumzao. Mandela alipotoka gerezani ndipo alipoweza kusimamia mageuzi. Hatua ya kwanza ilikuwa kutoka gerezani mengine yafae. Msisahau uongozi wa juu uliparanganywa kwa kulazimisha ukimbizi na kuwekwa ndani. Siasa za Afrika za kuungalia mlango mkuu tu. Maridhiano ya nchi nzima huwezi mtwisha mtu mmoja wakati kuna vyama zaidi 10. Mbona vyama vingine hamvigusi kwani havina wanasheria nguli? Kazi za wanaharakati nchi hii zipi? Anaesema maridhiano faida ni sifuri ( completely) yuko sahihi? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Watanzania na wanachama wanasikiliza vizuri kila hoja na kuzipima. Sanduku likaamue nani ni nani.
Kipimo cha uko mavu wa demokrasia ni pamoja na vyama vya siasa kuwa na demokrasia ya kweli ndani ya vyama vyao. Watoe kwanza boriti ktk macho yao ndio waone kibanzi ktk uchaguzi mkuu. Tumeshuhudia jinsi vyama vimekuwa vikiwapata wagombea urais na hata uongozi wa juu ktk vyama.
Madeleka una akili nyingi sana,sijui kama unalifahamu Hilo!? kwa mara ya kwanza nimeangalia mahojiano yote Mungu akujalie uje kuwa kiongozi mkubwa nchini.
Waandishi wengi wa habari Tanzania wamekuwa sawa na mbwa koko wanaokimbikimbia huku kule kutafuta kujishibisha njaa! wamejikita kufanya mahojiano na watu maarufu na kuwaacha raia wa kawaida ili hali ndio wenye nchi na wanaoyumbishwa kuchezewa na siasa za maccm.
Mbowe utajiri wake hausaidii wanachama kwenye chaguzi tunatumia fedha zetu wenyewe labda yeye Kuruka na herikopter ila huku chini tunazidiwa na Act. Wanatoa mpaka Hera Kwa matawi ila chadema hata mia haitolewi hivyo ruzuku inayopatikana nayo inafanya Kazi Gani. Ionekane Mbowe anajitolea sidhani anajitolea tunamtaka lisu na Mbowe awe mshauli.
Mwandishi uende umtafute mfanya biashara maarufu pia umhoji kuondoa conflict of interests. Msihoji wanasheria tu. Kumbukeni Mbowe ni mfanya biashara. Sasa umepata maoni ya Wakili kama Lisu. Kapate maoni ya mfanya biashara kama Mbowe.
Hapo ndipo minaposhangaa kwani waliochukua fom ni mbowe na lisutuu mnakataa mfumo wa kupita bila kupingwa huku mnalazimisha lisu apite bila kupingwa na olewenu niwasikie mkionge mjinga ccm watakapowakata pumbavu kabisa kwani katiba ya chadema inamruhusu mtu apite bila kubingwa?
Zamani nilikuwa naona huyu mwandishi yuko smart kumbe debe tupu. Zero kabisa. Elimu ndogo sana. Haelewi hata maana ya mwanaharakati. Elimu ndogo plus ufuasi/uchawa wake kwa mbowe vinamdisqualify kabisa. Tz bado tuna safari ndefu sana
This Guy is very interagency God bless you Young Man
Facts after facts excellent keep it on🔥🔥 mr madeleka
Safi sana Madereka appreciate
Huyu jamaa alikuwa Afisa wa police nyota mbili akaacha kazi akashitakiwa kesi na akashinda saizi ni wakili big up madeleka🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hili la ulalo ulalo na kama mbwai ni mbwai limenikosha. Kubwa zaidi wakili msomi "whatch your back always" We still love you.
Very well layer ...excellent...
Very smart and well said.
Mwandishi hongera umeweza angalau kuhoji.mambo msingi. Kama taaluma zote nvhini zitaelekeza akili na mioyo yetu ktk kusaidia wanasiasa kujenga demokrasia ya kweli ndani ya vyama iko siku tutafikia uchaguzi huru na haki. Kung'atuka ni uoga fulani hivi. Wako wanaodhani wanaweza kushawishi kung'atuka huko ni kuuwa demokrasia. Waachwe washindane na mshindwa akae pembeni akimsaidia mshindi kufikia lengo moja. Tabia za mwanachama mwandamizi kutokumsaidia kiongozi ili uje kutumia ulichokiona madhaifu ukakaa kimya kama sehemu ya kampeni kumng'oa kiongozi sio sahihi.. Mwenyekiti na Makamu huwa ni kitu kimoja. Yapo mapungufu pengine watu wameyang'amua yalipaswa yafanyike ndani ya vikao vya ndani lakini yakaachwa ili yaje ktk mitandao yawe karata ya kushinda kampeni. Tusubiri kinyanganyiro.
I highly recommend you, the best lawyer of all time, a commander who fights for justice regardless of gender or ability. May God grant you a long life. Mr madereka
Umeongea vizuri sana kaka madeleka. Somo zuri sana kwa wanachadema na watanzania kwa jumla. Natamani mahojiano haya yasikike na watanzania wengi japo sina hakika kama itawezekana. Hebu fanya jambo mkuu wangu watu wengi waisikie hii somo.
Asante sana wakili Peter Madeleka kwa uchambuzi mzuri sana. Una akili nyingi za udadis. Mungu akubariki sana.
Wakili peter madeleka, wewe ni genius Sana, unaongea point Sana, hongera Sana.
Mtalaam nakuelewa sana pasiposhaka yeyote.
Hongera sana mpambanaji wakili msomi Peter Madereka. Mimi huwa nakuelewa sana ndugu,Mungu akulinde daima ila huyo mwandishi anaonekana chawa wa chama tawala!
We mtangazaji una kazi kweli kumnadi Mbowe.
Genius in TZ
Duh big Madereka😂🎉🎉
Good said madeleka😢
Madeleka ni kichwa hatari sana Hongera Wakili Msomi Peter Madeleka
Huyu jamaa ni Hazina sana ni tunu katika nchi
Huwa namaliza bando labgu ,kila nikiona mdeleka anahojiwa "braza nakupenda sana unamadini htri "Alikil nyingi safi sanaaaaaaaaaa
Mwamba madeleka, huwa nakuelewa sana
Madeleka ninakuelewa saaana Mnyamweziii🎉
Miaka 20 ya mbowe yatoshe kumwaachia lisu achukue kijiti tuangalie na mtazamo wake unakuwaje
Hii nchi inaongozwa na vichaa..
Huwezi kukataa katiba mpya kwa mazingira haya .
Ndio maana chadema inawapa viongozi bora katika ccm
Apewe kazi serikalini atusaidie yupo vizuri.
Shikamoo madeleka unaongea kias kwamba hauach ukoko. Had vi yweleo vimesisimuka
Nikweli
Hongera Madereka lisu ndiye wa wakati huu Mbowe miaka ishilini inatosha tunampenda ila Kwa wakati huu chadema tuna mtaka mtu Kama lisu tangu wakati wa yohana mpaka sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu nao wenye nguvu wauteka. Hivyo lisu ndiye afaaye Kwa sasa kulingana na wakati.
Jambo tv huku wamekwaa kisiki kwamoto. 😁😁😁😁 43:10 nimecheeeeka
Nulijua tu wapo wasema kweli, Barikiwa sana madereka ww ni aseti ya nchi!...
Maswali mubashara,majibu mubashara!
Safi sana
Madeleka nakuelewa sana.
Anafaa huyu kuwa Makamu Mwenyekiti. Please Mr. Madeleka chukua fomu ya Makamu Mwenyekiti. Tunahitaji sana ulichonacho. Safi sana
Acha kukurupukaa
Madeleka tuko pamoja mwambie huyo sisi sote tupo nalisu
Mh madereka nakukubali Sana
Mwandishi ametumwa na mbowe, kila swali mbowe,mbowe,mbowe, marwa mbona unajishusha?
Ni kweli kabsa madereka kama Nyerere angehesabu mchango wake kwenye taifa angekuwa rais wa kudumu
Mwandishi, leo akifa Mbowe ina maana chadema nayo itakufa?
Tujiangalie Msumbiji kunawaka moto.
Kwa Sasa chadema inamwitaji Lisu kuliko yeye Lisu Anavo hitahid Chadema Twende Na Lisu
Chadema sio chama cha mbowe ni chama cha wanachama Mbowe akae pembeni.
Aondoke kupitia sanduku la kura na sio kung'atuka. Tujenge tabia ya kushindana ktk sanduku la kura.
safi sana comred madeleka
Huyu mtangazaji inaonekana anaintarest na mbowe
kila jambo na wakati wake😂
Ningekuwa na mabawa ningeenda zangu kukaa mbinguni niwe nakuja kusalimia tu watawala wanakera sana
Umesahau amekuwa Rais wa TLS
Muulizaji masuali naona hajiamiani anaganda akiulizwa yeye madeleka wewe super genius
Madeleka Acha utapeli wee si utagonbeaa ubunge wa tabora mjini
Lisu must gooooooooo
Watanzania wameshindwa kuchukua uwajibu wao, wanabaki eti mbowe
Sawasawa msomi Madeleka wambie unasema kweli mtupu mboye mda unatosha
No , More Nice man mbowe, tunataka mwana harakati Tundu lissu abadilishe mazingira , hatutaki yesunkatika chama akipingwa kibao mkono wa kulia , anageuza upande wa pili. Hii ndio wakati wa baada ya kisa mkasa , wakikanyaga tukanyage tu😂😂😂
Huyu wakili ni mtahalamu sana kwa maswala ya uchambuzi. Hongereka zaidi mheshimiwa wakili. Utazani anayosoma kwenye karatasi kumbe sivyo. Kuongea nako ni kipaji kiukweli.
Wanasheria nchi hii bila kujali uko wapi unashiba haushibi sahauni tofauti zenu hasa za kimaslahi unganeni nyote mkubaliane kutengeneza katiba bora ya umma. Aina ya Wanasiasa maslahi tulionao nchi hii hawawezi kupata katiba ya umma hata wapewe miaka 100. Hofu ya milo hasa waajiriwa serikalini imewatawala hasa makada wa vyama vya siasa. Shida ni njaa kuliko faida kwa umma wa Watanzania sote. Tumeshuhudia wanasiasa hata wa upinzani wakirubuniwa wakasahau harakati zao wakaunga juhudi kutibu njaa.
Mtu kama huyu ndiye wakusikiliza, sio mtu ankuja kunadi mtu anataka cheo ili afikishe umri wa miaka 68😂
Akipita mbowe Mimi naacha uongozi wangu huku chini
Hiyo sio demokrasia. Komaa ktk demokrasia. Uchaguzi kuna kushindwa na kushinda. Watanzania bado kukomaa ktk demokrasia.
Upo sahihi mbowe abaki kama mshaurl atapata heshimsa kubwa
Huyo Mwandishi hakuna kitu yaani anaonyesha ametumwa na Mbowe Jambo TV imenunuliwa na Mbowe
👍✌️👊.
Ngoja inyeshe tuone panapovuja
Safi sana madeleka tunahitaji watu kama ninyi.Wasomi wengi watanzania ni wajinga.
Wewe ulipoitwa muhujum uchumi 😂😂😂
Umekujibu kuwa mahakama ilimsafisha na tuhuma Hzo.
Nadhani Tundulisu ataongeza imani ya watu kwa CHADEMA kwa kuondoa imani ya uongo kwamba CDM ni chama Cha watu wa Kaskazini
Hata mbowe akipoteza Kuna namna anarudisha
Huyu mwandishi amekosa uweledi
Huyu mtangazaji kwa mtu asiyejua kumsoma mtu utadhani anamchukia Lisu. Lakini anajitahidi kutoa hadharani yale yanayozungumzwa na watu wasio na busara wanaotaka kuipasua chama au kuwagombanisha Lisu na mbowe.
Ni rahisi kuzungumzia mwili na nafsi za mwingine kuteseka magerezani lakini sio nafsi zao wazungumzao. Mandela alipotoka gerezani ndipo alipoweza kusimamia mageuzi. Hatua ya kwanza ilikuwa kutoka gerezani mengine yafae. Msisahau uongozi wa juu uliparanganywa kwa kulazimisha ukimbizi na kuwekwa ndani. Siasa za Afrika za kuungalia mlango mkuu tu. Maridhiano ya nchi nzima huwezi mtwisha mtu mmoja wakati kuna vyama zaidi 10. Mbona vyama vingine hamvigusi kwani havina wanasheria nguli? Kazi za wanaharakati nchi hii zipi? Anaesema maridhiano faida ni sifuri ( completely) yuko sahihi? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Watanzania na wanachama wanasikiliza vizuri kila hoja na kuzipima. Sanduku likaamue nani ni nani.
Mbowe kunakipindi alilia akisema kaziningumu leo hii aliesema kazi ngumu amepatikana wakumupokea analilia kazi aliyo sema ningumu jamaa kumbe alitulaghai wamekutua pumzika mbowe
Kipimo cha uko
mavu wa demokrasia ni pamoja na vyama vya siasa kuwa na demokrasia ya kweli ndani ya vyama vyao. Watoe kwanza boriti ktk macho yao ndio waone kibanzi ktk uchaguzi mkuu. Tumeshuhudia jinsi vyama vimekuwa vikiwapata wagombea urais na hata uongozi wa juu ktk vyama.
Hii ndiyo interview kubwa,madeleka wewe ni mwamba
Kipara ni pumbavuu sanaaaa
😅😅😅😅😅af unazingua
Chizi nani
Uyu Muandishi Katumwa
Huyu mtangazaji is so biased and hence one sided he shouldn't be allowed to conduct sensitive interviews. Too argumentative!!!
Amesahau Umkhonto wa Sizwe
Mwishoni wa mbowe umefika
Huyu jamaa ni kiboko haki ana akili ata Mimi sasa nimemkubali nimegeuka nimekuwa kwa Lissu,
Marwa mbona hubalance habari zako ?mbona unafanya kama debate .Marwa ungeita debate na madeleka .Hiyo si interview
Mawakili ni hatari sana ogopa
Huyu mwandishi kakosa hoja ya kuuliza anahisi anauelewa kuliko madereka.
Madeleka una akili nyingi sana,sijui kama unalifahamu Hilo!? kwa mara ya kwanza nimeangalia mahojiano yote Mungu akujalie uje kuwa kiongozi mkubwa nchini.
Umenena wakili msomi
Waandishi wengi wa habari Tanzania wamekuwa sawa na mbwa koko wanaokimbikimbia huku kule kutafuta kujishibisha njaa! wamejikita kufanya mahojiano na watu maarufu na kuwaacha raia wa kawaida ili hali ndio wenye nchi na wanaoyumbishwa kuchezewa na siasa za maccm.
Madereka oyeeee
Huyu ni chizi
HUYU mtangazaji John marwa mbna kavimba uzo au kapigwa za uso nn kbla ya kipindi
Huyu mwandishi kumbe falaa hivi
Wajumbe ckieni tunavyo kwambieni wanachama na wananchi fanyeni mabadiliko tunamtaka lisu. Msituudhu mtatuhitaji . Huu UCHAGUZI mnauwa upinzani na chadema kwaujumla mkichugua mboe . Tunataja mwanzo mpya. Kama mnahisi hamtuhitaji mtakuja kujutaa
Mbowe utajiri wake hausaidii wanachama kwenye chaguzi tunatumia fedha zetu wenyewe labda yeye Kuruka na herikopter ila huku chini tunazidiwa na Act. Wanatoa mpaka Hera Kwa matawi ila chadema hata mia haitolewi hivyo ruzuku inayopatikana nayo inafanya Kazi Gani. Ionekane Mbowe anajitolea sidhani anajitolea tunamtaka lisu na Mbowe awe mshauli.
Ww mtangazaji hapana
Mwandishi uende umtafute mfanya biashara maarufu pia umhoji kuondoa conflict of interests. Msihoji wanasheria tu. Kumbukeni Mbowe ni mfanya biashara. Sasa umepata maoni ya Wakili kama Lisu. Kapate maoni ya mfanya biashara kama Mbowe.
Huyu ndo wakili msomi
Huyu jamaa ni blah blah!
Lissu akiwa mwenyekiti wa CHADEMA , chama kitavunjika thousand pieces!
Fimbo tu itatumika kwa Lissu
Ila John Marwa mbona unaegenea sana upande wa FAM kama kioo cha Jamie wewe unapaswa kuwa neutral mtu asijue upande wako wewe ni referee .
Madeleka you are an Icon God bless you and protect you and your family wewe ni tumaini la wanyonge asante sana.
Kumbe marwa ni fala sana
Marwa wewe inaonekana umetumwa sasa umekutana na mwamba
Kutumia nguvu? Nonsense
Tatizo kuna kundi la uraji na uadilifu
Watu wanasema lisu, kwahio mnataka lisu apite bila kupingwa