FULL INTERVIEW: MTOTO GUMZO ANTHONY KAONGEA TUSIYOYAJUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 มี.ค. 2018
  • MICHANGO YA KUMSAIDIA ANTHONY INAPOKELEWA KWENYE M-PESA 0756 884 884 JINA NI MILLARD AYO.
    Anthony Petro ni mtoto wa miaka 11, mwanafunzi wa Darasa la kwanza shule ya msingi Ndungusi kata ya Kabanga wilaya ya Ngara Kagera.
    Ni mtoto gumzo kwenye mitandao ya kijamii Tanzania baada ya video yake kusambaa akiongea kuhusu kumpeleka Baba yake Polisi kwa kisa cha kutaka kuuza shamba.

ความคิดเห็น • 3.3K

  • @millardayoTZA
    @millardayoTZA  6 ปีที่แล้ว +812

    Namba kwa ambaye angependa kumsaidia Anthony Petro ni 0756884884, Asante

    • @lusese1
      @lusese1 6 ปีที่แล้ว +27

      Asante kwa namba, nitachangia kidogo nilichonacho najua kitaleta utofauti, ndugu zangu Tumchangie ili atimize ndoto zake si lazima pesa nyingi hata ndogo uliyonayo itatosha kutimiza ndoto zake, hakika huyu nin kiongozi wa kesho. Mungu ni mwema.

    • @pabliz_
      @pabliz_ 6 ปีที่แล้ว +17

      Millard Ayo asante kwa hii Nambari nafikiri mgetupatia jina lake hata kusitokee matapeli wa mtandaoni tukituma pesa kwenye muamala itamfikia Nani....!

    • @AcklandackyMichael
      @AcklandackyMichael 6 ปีที่แล้ว +8

      Jina la hiyo namba

    • @mohamedrajabu524
      @mohamedrajabu524 6 ปีที่แล้ว +13

      Please Millard aya naomba mtupe namba yakueleweka tuweze kumsaidia huyu mtoto hata kidogo tulivyo navyo wenyekuguswa

    • @janejames1899
      @janejames1899 6 ปีที่แล้ว +7

      Millard Ayo je wale tupo outside the country how can we help this son

  • @jacksonjoakim4115
    @jacksonjoakim4115 3 ปีที่แล้ว +110

    Kama leo umeona leo huyo mtoto yuko shuleni gonga like nyingi mungu awabariki sana

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +52

    Mtoto anaakili sana, ni mdogo lakini ajifikirii mwenyewe bali na familia yake, nimempenda sana na kaniliza sana uyu mtoto, cjawahi kumuona mtoto mwenye hali ngumu na bado anachokipata yupo pamoja na familia yake, mama yao amefariki kwa kuangukiwa na nyumba, serikali yake na mtendaji hawajaliona hili jamani, mtajibu nini viongozi cku ya kiyama, cyo kuwa kaugua kafa bali kaangukiwa na nyumba, hata iliyopo bado ni mbovu sana, japo sote tutakufa, pole sana mdogo wangu😨😭😭😭 inauma sana kwakweli.

  • @johnmwanisenga5650
    @johnmwanisenga5650 5 ปีที่แล้ว +20

    Kweli mtoto huyu Mungu atamjalia maisha marefu kutokana na upendo wake kwa jamii na wazazi

  • @Jabalpetersan
    @Jabalpetersan 2 ปีที่แล้ว +11

    This kid is a God sent.Naturally bright.Future leader.May God turn things around in this family

  • @festonelee8509
    @festonelee8509 5 ปีที่แล้ว +27

    ''Baba akikucapa amna shida,alikuzaa, kabla wewe ni mtoto wake'' Anthony nakupenda sana,mungu akubaliki sana,God knows all your problems !

  • @shukriolati4633
    @shukriolati4633 3 ปีที่แล้ว +12

    kisa ya mtoto huyu imenihuzunisha sana .MashaAllah Ana Akili Sana.
    Naomba Allah Amjalie Apate Usaidizi Zaidi....

  • @reubenedward6559
    @reubenedward6559 2 ปีที่แล้ว +13

    Huwezi ukatumwa shida ndio inakutuma na huwezi kwenda shule kusoma ukiwa njaa good Mungu bless huyu jiniaz tafadhal mtoto ana akili Hadi shetani anaona wivu 😃🙏🙏🙏🙏

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 ปีที่แล้ว +20

    Kama hutopenda wazazi wako utapenda nan,,,,,Huwez kusoma kama umelala njaa 😭😭 God bless Smart Boy 🙏

  • @mukasadaniel3319
    @mukasadaniel3319 6 ปีที่แล้ว +14

    His fluency, word play and maturity in the way he responds is far beyond his age.. Bravo

  • @yusuphmadebari1987
    @yusuphmadebari1987 6 ปีที่แล้ว +205

    "huwezi kutumwa, shida ndio itakayokutuma" mtoto genius sana Huyu🙏🙏🙏🙏🙏

    • @salmaadam708
      @salmaadam708 6 ปีที่แล้ว +4

      yaaani,Dogo hatari sana

    • @chrispinemichael8062
      @chrispinemichael8062 6 ปีที่แล้ว +5

      Hakuna elimu kubwa duniani kama elimu ya mtaani by D knob

    • @neemajavan4125
      @neemajavan4125 6 ปีที่แล้ว +2

      Yusuph Madebari yani sana sijaona

    • @paulsylvester7877
      @paulsylvester7877 6 ปีที่แล้ว +2

      Yusuph Madebari dogo anakili sanaaa yaan daaaaa

    • @nasmarasheed8857
      @nasmarasheed8857 6 ปีที่แล้ว +4

      saaana anaakili huyu mtoto mungu amsaidie atakuja kuwa MTU mkubwa sana baadae

  • @austinematunga9141
    @austinematunga9141 5 ปีที่แล้ว +161

    it will be very shameful if the media left that place without helping this lovely soul

  • @shirucate2535
    @shirucate2535 4 ปีที่แล้ว +22

    I just cried.....felt so challenged by this boys duties...I envy him so much.May God open all ways for him.

    • @pip_rake
      @pip_rake 3 ปีที่แล้ว

      Tough situations make one brighten the mind to survive

  • @kombosalehe3156
    @kombosalehe3156 6 ปีที่แล้ว +40

    With all those difficulties you are going through but you remain positive to your family! You are actually a genius true leader! It's really touching. By any means we should support this child. The biggest lesson I got from this poor child is to be positive in life no matter how! We should stop blaming other people. Km tunamsaidia let's play our part and not judging other for their inconsiderate.

  • @reginamacharia5494
    @reginamacharia5494 ปีที่แล้ว +8

    Oh this young boy is full of wisdom may the Almighty God Bless him and the entire family .

  • @eliaselieza2459
    @eliaselieza2459 3 ปีที่แล้ว +36

    Anae tizama 2021 tujuane kwa likes

  • @hagaimtagwa9233
    @hagaimtagwa9233 3 ปีที่แล้ว +14

    Baba akikuchapa haina shida kwa sababu yey ndio kakuzaa dah one love Antony mdogo wangu 😭😭😭 chozi limenitoka asee

  • @eunicelumonya3325
    @eunicelumonya3325 6 ปีที่แล้ว +34

    😢😢😢 am in tear ooooh no.This boy has wisdom beyond his years

  • @ibrahimmasara7209
    @ibrahimmasara7209 4 ปีที่แล้ว +11

    Mwenyezi Mungu amjalie mtoto huyu pamoja na familia Yao,, he is more than a teacher

  • @angelajovin2020
    @angelajovin2020 5 ปีที่แล้ว +20

    I'm just crying Mungu wangu jaman🙏🙏🙏🙏Msikie uyu mtoto

  • @itiamekimbui722
    @itiamekimbui722 2 ปีที่แล้ว +7

    This is a great in comming leader. Iam impressed by his wisdom at his age. And the great faith in him he has mentioned God almost in every sentence in this conversation!

  • @kigenkibet9225
    @kigenkibet9225 6 ปีที่แล้ว +81

    The wisdom in this child is above, I so hope Tanzanians are able to back this boy.

  • @sharewisdomKE
    @sharewisdomKE 5 ปีที่แล้ว +30

    This is so emotional,touching,inspirational.May Allah grant this kid and his family a good future.

  • @carolinekinoti7914
    @carolinekinoti7914 4 ปีที่แล้ว +12

    I am in tears sometimes i wish these kind of people were more fortunate but i know that God sees it all. God please help this family

  • @user-gs1gy5bu4g
    @user-gs1gy5bu4g 6 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Sana Mwenyezi Mungu Akufanyie Wepesi Wewe Pamoja Na Familia Yako Mama yako Aendelee Kupumzika Kwa Amani Na Mwenyezi Mungu Ambaliki Baba yako Mpaka Pale Atakapo Yaona Mafanikio yako. 🙏🙏🙏@ Antony

  • @yucabedgwaya7577
    @yucabedgwaya7577 6 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana Ayo T.V. Mungu ambariki Anthony Petro, maana ni mtoto wa kipekee. Shukrani

  • @watemaesua2621
    @watemaesua2621 5 ปีที่แล้ว +11

    He's just a kid but in his eyes you can see someone looking to fight for a brighter future. He already felt the responsibility already in his hand seeing that his father is getting old. God bless his family.

  • @joycewambui6957
    @joycewambui6957 5 ปีที่แล้ว +68

    May GOD remember that boy and BLESS him he mad me cry he is very strong and he never give up no matter what am Kenya but watching from Bahrain 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😢

  • @williamkhaemba2782
    @williamkhaemba2782 4 ปีที่แล้ว +14

    So touching indeed...may God bless this young boy,,he's very clever

  • @peterobat1306
    @peterobat1306 6 ปีที่แล้ว +78

    Just in love with the kid.... He is even clever than the interviewer

  • @Jesserose807
    @Jesserose807 6 ปีที่แล้ว +59

    Daaah!!,baba akikuchapa Haina shida,c alikuzaa..... love you baby 😍

  • @janemwende6154
    @janemwende6154 4 ปีที่แล้ว +8

    Nimelia Sana huyu mtoto ni kioo cha jamii....love from kenya

  • @christperson5717
    @christperson5717 4 ปีที่แล้ว +21

    God will never leave his pple,he'll always be there for them.
    Thanks Tanzania media for airing this.You'll be blessed for the work you do.

  • @sylviahmbithi4683
    @sylviahmbithi4683 5 ปีที่แล้ว +36

    GOD..I PRAY TO MAKE THIS FAMILY A LIVING TESTIMONY TO MANY

  • @lilkimani4795
    @lilkimani4795 6 ปีที่แล้ว +80

    From Kenya,this kid is very clever and my prayers President Magufuli heard his cries.

  • @shakilahassani7377
    @shakilahassani7377 5 ปีที่แล้ว +13

    Mashaallah. Nimempenda uyu mtoto anamuongoza mungu kwakila hatua. Mwenyezi mungu hakufanyie wepesi utimize ndoto zako🙏

  • @precioussambale1964
    @precioussambale1964 4 ปีที่แล้ว +6

    Katika interview ya Millard Ayo ambayo huwa inaniliza Kila Mara nii hongera Sana kwakuwafikia wanyonge😭😭

  • @graceisaack1790
    @graceisaack1790 6 ปีที่แล้ว +32

    Huyu mtoto ana akili kuliko hata huyu mtangazaj anaemuhoji....kweli we dogo ni mwalimu hata kabla hujafika chuo!!🙌🙌

    • @wilsonmpollo1613
      @wilsonmpollo1613 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂huna adabu we mwanamke

    • @christophermwavile8125
      @christophermwavile8125 3 ปีที่แล้ว

      Nakuunga mkono

    • @babaswaggaboy2442
      @babaswaggaboy2442 2 ปีที่แล้ว

      Grace nimekumbali uyo mtoto ana akili kuliko ata mimi amenishinda akili 😄 🤣 😂

    • @nicholousmtemi3902
      @nicholousmtemi3902 ปีที่แล้ว

      @@babaswaggaboy2442 hahahaha kawazidii wengii

    • @minakhamiskhamisi6193
      @minakhamiskhamisi6193 ปีที่แล้ว +1

      Mtoto ana akil ht mm nikiulizwa haya maswal siwez kujib km huyu mtt walh daaa

  • @allannaftal5200
    @allannaftal5200 5 ปีที่แล้ว +9

    Mungu mtangulie huyu mtoto, hakika huyu mtoto atakuja kuwa na mafanikio makubwa sana

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 9 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani nimerud tena kuangalia baada ya huyu mtoto kuwa darasa la 6 sasa mwenyez mungu ambariki sana aliemsaidia huyu mtoto jamani 😭😭

  • @twinlydia1692
    @twinlydia1692 4 ปีที่แล้ว +4

    Am a Ugandan but trying to pick some words
    I love the confidence of this young boy

  • @estherkagechu7550
    @estherkagechu7550 5 ปีที่แล้ว +64

    Pole Antony you make me cry

  • @martinkoome4157
    @martinkoome4157 6 ปีที่แล้ว +28

    This is so emotional and no kid is supposed to go through all this. It's so sad such a gifted kid can't access quality education, food, shelter and clothing. My heart pains for this little angels and others. Wake up African governments and be servants of your people. Tap these brains and make our continent great.

  • @colmanonunga4977
    @colmanonunga4977 2 ปีที่แล้ว +6

    "usipopenda babako, utapenda nani?" Touching.

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว +14

    sikjua hii story,made me cry,niko UK,nitumie namba gani isyo ya utapeli nisaidie kidogo..we take life for granted....what a lesson fro this kiddo.Bless him

    • @lydiahbarongo5079
      @lydiahbarongo5079 4 ปีที่แล้ว

      I suggest uingie website ya Millard Ayo au Instagram yake atakufaa kumfikia Mtoto yule asante kwa nia yako ya kutaka kumsaidia

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว

      @@lydiahbarongo5079 namba haingii ndo maana nakua na wasi wasi kwamba,msaada utafikia mlengwa?nimejaribu Ayo pia,but,no response

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว

      @@lydiahbarongo5079 done so lakini,aint sure as u can see,most pple hawakuweza..thanz also..he really touched my heart

    • @diamondplatnumz4405
      @diamondplatnumz4405 4 ปีที่แล้ว

      broh milard ukipata email ata respond

    • @blackishhunter4104
      @blackishhunter4104 4 ปีที่แล้ว

      erry deo duh

  • @musasiame2776
    @musasiame2776 6 ปีที่แล้ว +507

    acha like kama unamkubali huyu mtoto

    • @nasirapasical4685
      @nasirapasical4685 5 ปีที่แล้ว +1

      very very good

    • @manzis3275
      @manzis3275 5 ปีที่แล้ว +2

      @@nasirapasical4685 q

    • @marvinlibale9685
      @marvinlibale9685 5 ปีที่แล้ว

      Youre seizing the moment to satisfy your crave for attention aren’t u...ndugu yako anaumia and all you can do is beg for likes from random youbers right..? You should be arrested n thrown to the gallows

    • @valenciamusilah2533
      @valenciamusilah2533 4 ปีที่แล้ว

      Musa Siame goo

    • @valenciamusilah2533
      @valenciamusilah2533 4 ปีที่แล้ว +1

      good boy Aki ameweza

  • @iFFOKMedia
    @iFFOKMedia 5 ปีที่แล้ว +75

    From Rwanda (+250), I can only understand few swahili words but even this emotional video makes me feel like I'm understanding everything. May God help this family and this kid seems to be successful in the future.

    • @verokihawa2590
      @verokihawa2590 5 ปีที่แล้ว +1

      Yap

    • @halunamgalama3836
      @halunamgalama3836 4 ปีที่แล้ว +1

      Simba day

    • @peacemercy3413
      @peacemercy3413 2 ปีที่แล้ว +1

      May God continue bless the family ,and the Nation to educate the children .Life without mother is so painful... this child is so great.I feel to him.God bless you!.

    • @christlife3540
      @christlife3540 2 ปีที่แล้ว +1

      Hezagirwa

  • @hamidahHammy254
    @hamidahHammy254 2 ปีที่แล้ว +6

    😭😭😭Ya Allah wakumbuke mayatima wote wabariki na uwaepushe na maovu...watendee mema tu🤲🤲🤲

  • @nehemiah6494
    @nehemiah6494 3 ปีที่แล้ว +1

    Who is here watching this legend again in 2021? Love from Kenya.

  • @christinekababy324
    @christinekababy324 6 ปีที่แล้ว +48

    pole sana Antony mungu atusaidie aki uweze kulea wadogo wako

  • @festuskathuki8229
    @festuskathuki8229 6 ปีที่แล้ว +14

    This boy has made me cry he can understand humanity far better than even some of us who think we know. He knows what is wrong and how to approach it; for instance he knows that selling the only land that belongs to them is bad, and that his father can cane him because he is his father. This is an angel, have never seen such a humanity in a person like i see in this boy.

  • @lkn3349
    @lkn3349 3 ปีที่แล้ว +3

    I'm Haïtien 🇭🇹I not Understand , But i like this langage , The Boy is very Strong 🤗😳🙌God bless him

  • @thesmilestv5302
    @thesmilestv5302 2 ปีที่แล้ว +3

    Whoever listens to this,ukiwa na uweze kindly help this family....this is a genius boy indeed

  • @abdulsharafabdalla22
    @abdulsharafabdalla22 5 ปีที่แล้ว +111

    One day, my hand wil reach you Antony

  • @daudichrchristopher8564
    @daudichrchristopher8564 5 ปีที่แล้ว +56

    Uyu mtoto ana nitoa chozi hasa AKISEMA mama alikuwa wa mama wote 👍👍👍Shikamoo hakika ata mm namkumbuka mama japo nime kuwa mtu mzima😅😅😅

  • @nooor1120
    @nooor1120 4 ปีที่แล้ว +11

    Maa shaa Allah huyu mtoto ana akili
    Allah akujaalieni maisha mazuri

  • @manassehayako1820
    @manassehayako1820 5 ปีที่แล้ว +36

    Historians ya huyu mtoto yanitia machonzi..naomba Mungu ambariki.

  • @angienarsh9710
    @angienarsh9710 6 ปีที่แล้ว +83

    Mtoto: wewe waweza enda kusoma ukiwa umelala njaa😭😭😭😭😭😭,the interviewer has a long way to go,,,,,254 ndo home🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @emmaangelinu6438
    @emmaangelinu6438 5 ปีที่แล้ว +6

    Am a namibian n i truly don't understand the language but the video can tell it's. Heart touching story, Lord have mercy on him...

  • @agneskitalima7928
    @agneskitalima7928 4 ปีที่แล้ว +9

    Kwajili huyu dogo Ana akili ya maishaa🙏🙏 God help this young boy💓💓

  • @sheikhabdirizaqaley837
    @sheikhabdirizaqaley837 5 ปีที่แล้ว +24

    Antony you make me cry ..... ingawa nmewatch hii video too late ...... kwa sasa nko mbali but inshaAllah ntakufuatilia alfu nkusaidie ......May you be showered with more wisdom and I pray your life will change

    • @dhdbdhdhdhm3860
      @dhdbdhdhdhm3860 5 ปีที่แล้ว

      Sheikh Abdirizaq Aley

    • @luciakabui3151
      @luciakabui3151 4 ปีที่แล้ว

      Wacha kuenjoy mtoto! Mbali ni wapi? The world is a village my friend! You can send money from the north or south pole. Mtumie pesa. Your presence isn't necessary.

  • @hamiswawa5872
    @hamiswawa5872 6 ปีที่แล้ว +11

    tajiri mzuri sana wa baadae , MWENYEZI MUNGU mbariki Antony kwenye taaluma au kipaji chake aje atengeneze pesa nyingi xana

  • @carokhavalagwe363
    @carokhavalagwe363 6 ปีที่แล้ว +14

    This boy removed my tears.

  • @sunset8001
    @sunset8001 3 ปีที่แล้ว +8

    His answers are amazing full of wisdoms this boy will go far

  • @edwinkibet4779
    @edwinkibet4779 4 ปีที่แล้ว +32

    He's a blessing to his family, may God bless them so much. With love from Kenya.

  • @halimamohamedy3571
    @halimamohamedy3571 6 ปีที่แล้ว +120

    Baba akinichapa hakunashid kwakua kanizaaa yaaani mtoto anabusara mpk rahaa

  • @realmeamyna30
    @realmeamyna30 5 ปีที่แล้ว +18

    so precious and amazing boy God bless him

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 ปีที่แล้ว +11

    Mtoto anaakili sana Mungu awatunze

  • @omaryshafii1174
    @omaryshafii1174 4 ปีที่แล้ว +2

    shukrani za dhati kwa Ayo Tv najua kwa kumpa nafas ya kuzungumza mtoto Anthony wapo wenye moyo watamsaidia.. Neno kubwa alilolisema Anthon ni " KAMA HUJAMPENDA MZAZI WAKO UTAMPENDA NANI" Mungu akubariki

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 6 ปีที่แล้ว +91

    Kiukwel huyu mtoto nmetokea kumpenda Sana pia kaniumiza Sana kutokana na maneno yake 😥😥

    • @asmabintikiwashatz9321
      @asmabintikiwashatz9321 6 ปีที่แล้ว

      hata mm vle nipo dubai ila ningekua tz ningeenda kumuomba huyu mtoto muhimu tujitolee kumsaidia

    • @dicksonissa5066
      @dicksonissa5066 6 ปีที่แล้ว

      Zenna Kailo
      Dogo.nomaaa

  • @sylviaboyani7805
    @sylviaboyani7805 6 ปีที่แล้ว +9

    Oh my God🤔🤔 this child is just blessed with WISDOM

  • @doreennyoka5910
    @doreennyoka5910 4 ปีที่แล้ว +8

    Only if I can understand this language God bless this child 😢🙏🙏

  • @wangariann9704
    @wangariann9704 2 ปีที่แล้ว +1

    From Kenya. Na vile wengi wetu tuko na ma shamba na bado tunapngezea. What makes me happy Nile none will carry anything when we die. This boy anaomba tu a good shelter, Chloths n food for him n his family. Like the way anasema 'mungu akimnjalia', all his hope to God🙏

  • @olivermusoga7336
    @olivermusoga7336 6 ปีที่แล้ว +12

    I love the courage of the kid, God bless him#kenya

  • @jenniferwanguigachihi7715
    @jenniferwanguigachihi7715 5 ปีที่แล้ว +36

    From 🇰🇪 my Allah bless that young prince at the end of his life my his dream come true

  • @kambiyusufu7709
    @kambiyusufu7709 3 ปีที่แล้ว +90

    Kama umekuja nauku tena kuangalia tujuane jamani

  • @user-li6be5rh5v
    @user-li6be5rh5v 8 หลายเดือนก่อน +2

    Daaaa😢 mungu naomba unipe maisha marefu nilee wattoto wangu jaman inaumiza mnoo jmn mama wa muhimu mnooo mungu atakuongoza mtoto mzuriii😢😢😢

  • @essymasaa
    @essymasaa 6 ปีที่แล้ว +12

    This interview is so wanting.. what kind of questions are these? So nonchalantly asking about his mum and all that!!
    But God bless this child and his family 💔 may our good God who has good plans for us, for a hope and a future provide them and may their cup never run empty 🙏🏽🙏🏽

  • @silaskorir1379
    @silaskorir1379 5 ปีที่แล้ว +7

    Man I teared up watching this video,Mungu akujalie dogo,may all your wishes come to fruition, From kenya

  • @gulamvira3644
    @gulamvira3644 4 ปีที่แล้ว +3

    This young boy is blessed by God and he has high potential. If helped by good hearted people can help to educate him he may become a future leader or a successful business man more then that His dream is to become a teacher and educate his fellow students. Allah fulfils his dream

  • @thabithmrisho6212
    @thabithmrisho6212 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah!! Mtot anaakili e mungu mlinde MTT wako kadr ya mapenzi yako ili atimize ndoto zake amina

  • @a.k732
    @a.k732 5 ปีที่แล้ว +9

    It's a very emotional story,,,the boy is bright and a helper to his dad

  • @lungiao229
    @lungiao229 6 ปีที่แล้ว +11

    I'm crying I don't know what this child is saying but it's tuff God have mercy.🙏

  • @glorykarim1570
    @glorykarim1570 3 ปีที่แล้ว +21

    Sifa na utukufu tunakurudishia mungu wetu baba yetu wa mbinguni ahsante sana Mungu kwa kila kitu hapa duniani 🙏🙏🙏😭😭😭😭

  • @samsonmwaipwisi313
    @samsonmwaipwisi313 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mtoto hakika anajua nini anakifanya naamini atakuja kuwa mwalimu mzuri sana na kiongozi bora sana mungu yu pamoja nawe popote uendapo mdogo wangu

  • @denniskabui3128
    @denniskabui3128 6 ปีที่แล้ว +22

    This broke my heart

  • @angiemuinde9446
    @angiemuinde9446 5 ปีที่แล้ว +10

    God thank you for the wisdom in this boy u are so wonderful! Bless him n his family. Grant my children wisdom like this.

  • @princessshannia4215
    @princessshannia4215 4 ปีที่แล้ว +6

    Allahuakbar , hakika Mungu atakuinua inshaallah 🙏😘

  • @esthernelson9514
    @esthernelson9514 4 ปีที่แล้ว +7

    asantee mungu kwajili ya maisha yetu yote ya uai duuh nimeji kita nalia😭😭 tu

  • @daviddaniel1797
    @daviddaniel1797 6 ปีที่แล้ว +36

    unaweza kuhemea kama umekosa?
    Mungu kasikia Mdogo wangu

  • @albertmutenyu1163
    @albertmutenyu1163 6 ปีที่แล้ว +96

    What I know God is watching this family one day poverty will end

  • @mercyalmasi5889
    @mercyalmasi5889 3 ปีที่แล้ว +4

    This is too touching, Mungu amsaidie huyu mtoto ananiumiza sana japo yupo imara kupambana ila inaniumiza

  • @neziadyona9902
    @neziadyona9902 ปีที่แล้ว +1

    Nimempenda Hana ubaguzi kwa wazazi wake kama wangekuwepo wote angependa wote alichokisema , fantastic bright kid may God hear your cry

  • @queenatusha2244
    @queenatusha2244 6 ปีที่แล้ว +120

    kama aupendi wa zazi wako uta penda nani. smart boy . mungu aku saidiye upate maisha mazuri.

  • @brendaluvanda3289
    @brendaluvanda3289 6 ปีที่แล้ว +10

    Am crying this boy is geneous may God have mercy on him

  • @estherbaxter5707
    @estherbaxter5707 5 ปีที่แล้ว +6

    Antony you are destined for greatness

  • @celinemasinde1045
    @celinemasinde1045 5 ปีที่แล้ว +7

    woooii lord ,,,have mercy kwa orphans ,,,saidia uyu kijana pamoja na familia iliyo baki mungu wangu!

  • @thomaskipkemeituitoek949
    @thomaskipkemeituitoek949 5 ปีที่แล้ว +18

    Hello am in eldoret kenya.. I feel for thid young boy.. May God see him thro.. Am so touched 🇰🇪

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 6 ปีที่แล้ว +208

    Uyu mtoto nitampa milioni mbili baada ya miezi miwili na nusu nikija Tanzania.

    • @faybaibe9023
      @faybaibe9023 6 ปีที่แล้ว +1

      shemela ruhinda and God will bless you

    • @faridymkandala1767
      @faridymkandala1767 6 ปีที่แล้ว +4

      shemela ruhinda inshaallah

    • @supertal2943
      @supertal2943 6 ปีที่แล้ว +9

      Ukitoa kwa mkono wa kulia hakikisha washoto HAUJUI !!!#shemela ruhinda

    • @claraemmanuel4169
      @claraemmanuel4169 6 ปีที่แล้ว +3

      shemela ruhinda na mimi nina shida na m1 tu ninunue mashine

    • @shemelaruhinda6113
      @shemelaruhinda6113 6 ปีที่แล้ว +5

      Clara Emmanuel Acha kejeri aikusaidii kitu

  • @dennowderullow1118
    @dennowderullow1118 2 ปีที่แล้ว +3

    This is a truly touching story about this Tanzanian boy(nataman ningekua nauwezo ningesaidia hii familia")I'm watching from Africa in Kenya at Kilifi")inauma sana