ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Masha Allah mambo yetu tanga tukuwapi tunaitagemea mitikisiko yapwan tuna watengemea tanga na Daar salam kwa Tanzania yetu ilove oman 🇴🇲🇹🇿
😂😂😂Jaman
Nenda utakapo mwana kwenda, usojua kupenda saddaqta,nenda utakapo nenda, Japo kua nakupenda Jua kwa hilo sitougua, wala mimi stojali inda, ulichoweka chukua, baki huko huko😏😏 Tanzania best home👏👏👏👏
Hongereni wana Tangaaa
Nenda mwana kwenda .....!
Hiyo Tanga Raha Raha Leo yetu
Tanga rakhaa 🔥🔥🔥🔥
Ahsante dada mtanzania maneno kibao i love home♥️♥️♥️♥️
Karibu
Kumbe bi Fatma yupo kwenye game bado
Sio tanga ni mambo ya zenj hayo
Nenda ww
Mashaallah
Huyu mama kwani nimgonjwa hv ss?mbna hajacmama?nnavomjua asimama vzri .kuna wimbo wake ndo wanimaliza unasema hv:Kunisema...ckatai.Kusengenya...haifai.Mwenye nayo aniwekee pls
Hakuna mkamilif unaitwa
Umri tu umeenda. Kwahiyo kusimama muda mrefu inakuwa shida
Masha Allah mambo yetu tanga tukuwapi tunaitagemea mitikisiko yapwan tuna watengemea tanga na Daar salam kwa Tanzania yetu ilove oman 🇴🇲🇹🇿
😂😂😂Jaman
Nenda utakapo mwana kwenda, usojua kupenda saddaqta,nenda utakapo nenda, Japo kua nakupenda Jua kwa hilo sitougua, wala mimi stojali inda, ulichoweka chukua, baki huko huko😏😏 Tanzania best home👏👏👏👏
Hongereni wana Tangaaa
Nenda mwana kwenda .....!
Hiyo Tanga Raha Raha Leo yetu
Tanga rakhaa 🔥🔥🔥🔥
Ahsante dada mtanzania maneno kibao i love home♥️♥️♥️♥️
Karibu
Kumbe bi Fatma yupo kwenye game bado
Sio tanga ni mambo ya zenj hayo
Nenda ww
Mashaallah
Huyu mama kwani nimgonjwa hv ss?mbna hajacmama?nnavomjua asimama vzri .kuna wimbo wake ndo wanimaliza unasema hv:
Kunisema...ckatai.
Kusengenya...haifai.
Mwenye nayo aniwekee pls
Hakuna mkamilif unaitwa
Umri tu umeenda. Kwahiyo kusimama muda mrefu inakuwa shida