Hamna hata la maana uzushi n'a ufatani kauli adhimu♥️
Mna kazi kubwa sana nyinyi ilokupateni hamna hata la maana uzushi n'a ufatani heko mama mtanzania maneno kibao👍👍👏
Nilijua mtanena zamani nilibaini...ndo nikaja kwa mapana kuja kukusikizeni...Mna kazi kubwa sana nyinyi ilokupateni...hamna hata LA maana uzushi na ufatani.....Old is Gold....
np 2024 pamoja sana❤🎉🎉
Kipindi cha lala unono saa 4 usiku na Fatma said Ali wa redio Zanzibar.Tokeni mkiingia sitoutia puani yeye kesha niridhia nami kwake taabani hayo mnojisifia kwetu msitumani♥️2021/2/22.♥️
Yaani nazikumbuka zile salam jamani nataman alie na record anitumie
I fall asleep easily when I hear this song
Old taarab the best of Fatma issa...
Wow old is gold...
Amazing.....I lyk this song its soothing and entertaining....
Bin seif tuletee wimbo wa Fatma Issa unaosema.usione nimenyamaza ukadhani umeshinda please.
Ww ni bingwa wakuimba fatma issa
Bure mutajisumbua kwani hayakuhusuni👏👏👏
Old is Gold
Is very relaxin, My Wife fall asleep in this song so easily
Hata mm naipenda kweli
Fatma issa umewashukaaa
Muziki n'a taarab. Za nyumbani powa kabisa 🙋💃
Love zanzibar ❤❤❤❤
Old is gold
Amazing
Hamtonitisha nimetulizana ninae muogopa ni mola subhana maneno powa
Vya kale ni dhahabu........
Kweli saa8 wakati chuoni ndio inapigwa au mv mapinduzi inatoka Dar
HoyeeeeBinSeif
❤hii pambe sannah ❤❤❤❤
BinSeifHoyeeee
Hamtonitsha nimetulizana maneno matamu jamani hayooo
UewashukaVoo
Wow
yupo juu juu tena juu bi fatu....
tuteremshie nyimbo mpya
we miss you
Mnapiga la mgambo msikie majirani
Wala sibakishi jambo nayasema hadharani
Umenikumbusha ata mm saa nane redio Zanzibar upiga hii na ndio muda wa kwenda madarasa
Life is demanding without understanding
Maneno mazima hayo swadakta
Hongera bi fatm unaielewa lugha vizur
Siishi hamu na fatma Issa malkia halisi Wa taarab asilia
Kuachwa apo warembo ivo haya hamuoni
Wambie haooo japo simaisha nitaonekana hata mkinuna basi😀😀😀
Nimpendae ni Yeye... wengine Moyo haupindi.. Kwake tu.. Rahaa kikweli..
Tena waswahili wamrenga usiwache mbachao kwa smala upitao
Nice old is gold
Umewashuka
Zanzibar ni njema
Ni fatu Upo juu vp bado mpaka sasa anaimba??????? Mm ni mshabik wako sanaaaaaaa
Sitoutia puani na mie huo ulimi
Hayo mnojisifiya kwangu msitumaini
Hamto nitisha nime tulizana
Umewashuka
shukran fatma issa nyimbo imetulia sana
Nilitaka kusema waswahili wamesema usiwache mbachao kwa mswala upitao hehehe
hapo chacha!!! walie tuuuu
mnune mvimbe mpasuke shauri yenuuuuuu
Sabah
Ih go
Nilijua mtanena zamani nilibaini ndo nikaja kwa mapana kuja kukisikilizeni
BinSeif
Zuchu naringa
Doin just fine mum
Woe amazing
hongera bibiye.........
Fatma issa anaijua lugha
Mashallah
nilijua mtanena
asnt
Nice
💯💯❤️❤️
maxhallaah
VyakaleBiDhahabu
Mwaachwa hapo warembo hivo haya hamuoni
wambieee
fahari ya Zanzibar
Fatma issa..kwangu nimwimbaji bora kabisa wa taarab hapa Tanzania kwa sasa
Old is gold
Huu ndo msitu wa vina
Umewashuka
Old is gold
Old is gold
Old is gold
Old is gold
Hii nyimbo naipenda sana nakumbuka enzi za kwenda chuoni saa nane za mchana inapigwa kwenye sauti ya zanzibar kipindi cha burudani
Hakika tukikumbuka yazamani machuzi hututoka😭😭😭😭
Bende Zanzibar''da yasamak istiyorum Allahim nasip et yarabbim