ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Hata mkisema song remind me when I was back home. I love my sweet home Zinjibar.
Ahsantee sana Rukia Ramadhan
Nyimbo za Rukia Ramadhani hazichoshi kusikiliza!! ❤❤❤
Pambe mashaallah nakubali nyimbo zakoo zinaburudisha kweli
Rahma Shellah karibu
Najua mtasema mpaka siku ya kuzikwa
Najuwa mtasema...
Original by Maulid Juma.Mombasa Kenya
🍦
Love it . thanke u 4 share it . salam from Libya .
صلاح حمد mwendo Mdogo Mdogo
Mashallah maneno kuntu
Nice
Nice song 👌
ahsante
Nice Bi rukia
Hata mkisema Katu sitaumbuka kwanza ndio nikahimarika.dah! Maneno kuntu
Yan biruk ndoanazijuaa kabisa
Kwakweli hata mawazo yanapungua ninapo ckia sauti tam na manene yenye kupendeza
Sauti yake nikisikia huwa nasinzia
Najua mtasema .si mchezo
Pambe jmn
Hizi sio tarabu za kucheza kama ufikiriavyo hivyo ndozichezwavyo mambo ya pwani
Nyimbo nzuri lakin ilikosa wachezaji... kutoka uyo mwiimbaji hana hata raha kaambae amefanywa kulazimishwa
kweli 😁😁😁
Hahaha hujui taarabu wewe..nyimbo izo ndiyo zinavochezwa ushazoea taradance wewe
@@RioIpo Umeona eee..hizi ndio taarab tunakumbuka tukiwa kwetu Zenj saa hizi
@@zenaal-baalawy3262 Naam taratibu bila ya jasho

Najuwa mtasema
...