BI FATMA ISSA ATOA MKASA ULIOTAKA KUMUUA/MAADUI WANAPIGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • Usikose kutazama kipindi cha MWAMBAO MIX kila siku ya Ijumaa kwenye channel 413 ZAMARADI TV kwenye kisimbuzi cha AZAM PEKEE.
    Usisahau ku"SUBSCRIBE" TH-cam channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 12

  • @mwatimahassan965
    @mwatimahassan965 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah Bi fatma nyibo zako nzur mungu akuhifadhi hakuna asokasor kabisaa ❤❤❤❤

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah nyimbo nzuli Sana nyimbo za Zaman wallah nzuli.snaa aise Sio nyimbo za sasa malad tufike tu nakupenda Sana majina wangu bi Fatima

  • @mohamedsolomonkuma
    @mohamedsolomonkuma 16 วันที่ผ่านมา

    Nakupenda bure Bi. Fatma . Ukiimba huya unanimaliza kabisa nafsi yangu yote kwa hiyo sauti yako nzuri ajabu nikiwa kenya na marekani.Lazima nitakuona siku moja.

  • @OmariBinhajar
    @OmariBinhajar หลายเดือนก่อน

    Maasha allah mungu akupe ari uzima na afia njema

  • @shangaza127
    @shangaza127 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nyimbo za zaman nzur sana zilikuwa na maana hajimbii tu hata
    Mambo mengine yanafichwa ffichwa lakin sasahivi mtu anaimba matusiwazi wasi

  • @BahatiHamadi-ny7ud
    @BahatiHamadi-ny7ud หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa Sanaa nzuri

  • @shangaza127
    @shangaza127 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah Mashallah Mashallah nyimbo hii nzur bi Fatma saut haikongi

  • @AzizaRajab-q7n
    @AzizaRajab-q7n 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallaah nzuri sana❤❤

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera bibie ninakikubali sana

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo pambe hatar ADUI KIUMBE NIMEDOWD TAYAL

  • @fatoumamzesaid5883
    @fatoumamzesaid5883 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mashallah

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo zangu pendwa miaka 12 iliyopita