What Kenyans 🇰🇪 think of Tanzania 🇹🇿 Shocked me

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ค. 2024
  • What Kenyans 🇰🇪 think of Tanzania 🇹🇿 Shocked me
    #tanzania #kenya #kanyans #tanzanians

ความคิดเห็น • 308

  • @erickngatunga2359
    @erickngatunga2359 8 วันที่ผ่านมา +16

    Hivyo ndio watanzania na wakenya tunatakiwa kuwa,we are neighbors we are brothers,much love to all my brothers and sisters from KENYA

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 18 วันที่ผ่านมา +49

    Am from Namibia I like the fact they call themselves bongos they are very patriotic nice music Tanzania is so beautiful zanzibar the best beaches ever

    • @user-wl8cq2rn8z
      @user-wl8cq2rn8z 10 วันที่ผ่านมา +3

      Zanzibar the best beaches ever you speak true, I've been there.😊

    • @doricemichelle3614
      @doricemichelle3614 10 วันที่ผ่านมา +1

      Thank you! love from Tanzania

    • @ebronjeremiah880
      @ebronjeremiah880 วันที่ผ่านมา

      Thanks for the love to our country

  • @raggysingo4983
    @raggysingo4983 13 วันที่ผ่านมา +23

    I like this boda boda guy. He has a true loving heart. Tunawapenda wakenya

  • @blessedmweru2486
    @blessedmweru2486 6 วันที่ผ่านมา +7

    Have lived in TZ for over 10 years and there is good food, very safe, calm and honest people, beautiful tourist sites. Love it here.

  • @obed_artz5418
    @obed_artz5418 15 วันที่ผ่านมา +26

    Natamani sana kufika 😊Nairobi... Hello majirani zetu 🇰🇪 from Dar tz 🇹🇿

  • @jamesnteleva7073
    @jamesnteleva7073 11 วันที่ผ่านมา +27

    We've no reason to hate our brothers and sisters from Kenya. We love you so much. I believe there are some bad people who spread the hatred na dharau sometimes, between the two nations. We should stop them. One love from TZ.🇹🇿

  • @goodluckmachangu5941
    @goodluckmachangu5941 11 วันที่ผ่านมา +10

    I'm Tanzanian but I love Kenyans because we are brothers, Every time I'm in Kenya I feel at home

  • @cosbykhaoya
    @cosbykhaoya 10 วันที่ผ่านมา +8

    My best friend is actually a tanzanian from mwanza, Tanzanian are truely an amazing people , from kenya with love.

  • @user-lm8go7sf8j
    @user-lm8go7sf8j 23 วันที่ผ่านมา +29

    No reason for Tanzanians to hate kenyans 🇰🇪🇹🇿 is just propaganda thing , Tanzanians know kenyans as people who think they know each and everything 😂😂

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  23 วันที่ผ่านมา +1

      Why should someone hate kenya by the way..

    • @Soon815
      @Soon815 23 วันที่ผ่านมา

      And there is where the problem starts!
      Tanzanians don't really persevere nonsense😠

    • @tanzaniantraveller
      @tanzaniantraveller 21 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂

    • @genesisbera7761
      @genesisbera7761 21 วันที่ผ่านมา +1

      But it is true, the average Kenyan is more enlightened and knowledgeable than an average tanzanian! Kenyans travel the world to work and do business but that is not the same with tanzanians who are lazy, slow and laid back. It is what it is.

    • @eliuskamwelwe1018
      @eliuskamwelwe1018 15 วันที่ผ่านมา +5

      I love Kenyans 😅😅 I see kenya as my second home,love from TANZANIA

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 23 วันที่ผ่านมา +16

    Namtaka manzi ya Nairobi mazee❤😃... love from Tz🇹🇿

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 22 วันที่ผ่านมา +16

    Its true Tanzania has beautiful women

  • @user-si6ct5jz1h
    @user-si6ct5jz1h 10 วันที่ผ่านมา +9

    Honestly am Tanzania but my second home is kenya

  • @lidyabalilemwa1380
    @lidyabalilemwa1380 12 วันที่ผ่านมา +6

    Thank you for positive comments dear Kenyans me as a Tanzanian I love it

  • @Allyhujjat
    @Allyhujjat 10 วันที่ผ่านมา +6

    Am a Tanzania 🇹🇿 born and raised but study in Kenya 🇰🇪 so I pledge my loyalty to the president and the citizens of Kenya 🇰🇪 I believe we are bloody related with kenyans ata nyerere alipotaka East Africa iungane alioendekeza mzee jomo kenyatta ndio awe raisi

  • @ConnectsLogTv
    @ConnectsLogTv 23 วันที่ผ่านมา +13

    Tanzania 🇹🇿 Great people, good music , fast development and tourism

  • @yuzlongodfrey1622
    @yuzlongodfrey1622 13 วันที่ผ่านมา +9

    Dingii in a bodaboda is so humble and talking facts

  • @framia4625
    @framia4625 9 วันที่ผ่านมา +5

    I have sisters and cousins married in tanzania and they are living peacefully.

  • @wakwetu2444
    @wakwetu2444 23 วันที่ผ่านมา +9

    Tanzania is a paradise not only good. What has been said is correct- LEADERSHIP MATTERS.

  • @hawamohamed6696
    @hawamohamed6696 วันที่ผ่านมา

    Wallahi am frm Tanzania but currently live in Abudhabi my romie she from kenya we love each other tupo na furaha muda wote tunajickia tupo nyumbani...love Anna❤ 🇰🇪 🇹🇿

  • @phoebetaylor8089
    @phoebetaylor8089 21 วันที่ผ่านมา +14

    Kenyans loves Tanzanian , ❤️

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 11 วันที่ผ่านมา +11

    Raia wa kawaida Kenya hawana tatizo na tanzania..lakini viongozi wao ni manyang'au.. hata biashara ya chakula wakenya wanatoa pesa nzuri... kwa nini watanzania wakiwa Kenya wamekuwa mistreated..

    • @musty2025
      @musty2025 2 วันที่ผ่านมา

      Hakuna mtanzania anakua mistreated kenya, Hii propaganda umetoa wapi?

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 วันที่ผ่านมา

      @@musty2025 madereva wa tours toka tanzania..ushahidi upo.. wanakukataza kufuata wageni wako Nairobi..

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 23 วันที่ผ่านมา +20

    Wakenya hawanaga wivu kama watanzania.but pata mtanzania vile anaongea vbaya kuhusu Kenya.I think wabongo mnaona maturity ya wakenya.hatuna comments za chuki ka nyinyi.i prefer ugandans than tanzanians

    • @Soon815
      @Soon815 23 วันที่ผ่านมา +15

      Mkijishusha tutajishusha mkijipandisha tunajipandisha na tupo vizuri sana kwenye tit for tat.

    • @aminata3702
      @aminata3702 22 วันที่ผ่านมา

      You get what you deserve.Kenyans acts negative and expects to be treated positive lol

    • @Yulependo
      @Yulependo 22 วันที่ผ่านมา +3

      Yenu ni tat isiyokuwa na tit...Kwa hivyo ni wivu Tu...mbona mataifa mengine hayaoni hiyo tit mnayoiona myinyi

    • @berthatz
      @berthatz 22 วันที่ผ่านมา +9

      @@YulependoHata hayo mataifa mengine hayaongelei TZ vibaya kama nyie mnavyotuongelea…

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  22 วันที่ผ่านมา

      Ok

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 4 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri endelea kusonga Hadi kibera

  • @Annalisejg2ur
    @Annalisejg2ur 3 วันที่ผ่านมา

    Nawapenda wakenyaa. Njoooni Tanzaniaaa. Mjisikie mko nyumbaniii❤❤❤❤❤

  • @Annalisejg2ur
    @Annalisejg2ur 3 วันที่ผ่านมา

    Wakenya ni ndugu zetu. Tunawapenda. Tunaomba muhisi upendo. Karibuni Tanzaniaaa❤❤❤❤❤❤❤

  • @barakalema4358
    @barakalema4358 8 วันที่ผ่านมา +2

    labda kwa kuweka sawa tu tanzanian tunawapenda sana wakenya ni ndugu zetu haswa! suala la vifaranga kuchomwa moto ni kweli ilikua 2017 hivi kama sikosei..., sababu inasemekana wali ingizwa Tz bila vibali... kipindi kile kulikua na viongozi wachache wasio na utu kabisa!😢 Suala la vifaranga lilikua gumzo sana tanzania kwa wakati ule sidhani kama itatokea tena suala kama hilo

  • @tanzaniantraveller
    @tanzaniantraveller 23 วันที่ผ่านมา +8

    I remember when there ware arguments on the internet after Khaligraph Jones song mocking Tanzanians I told some people that we are neighbors and brothers and sisters so let's not let the song separate us, so love between Tanzanians and Kenyans is what we should always flourish.

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw 16 วันที่ผ่านมา +3

    Good continue that's why we are all Africans if it could be other continent you would have not seen such comments on what has been presented. Just passing🇹🇿🇹🇿 thank you

  • @ireneque9813
    @ireneque9813 6 วันที่ผ่านมา +1

    Wakenya....do not take social media wrestling personal....we deeply love you❤❤😂....Thanks for making us wanna improve our English profoundly! 😂😂...Tunakifanyia kazi .

    • @janestanslaus2517
      @janestanslaus2517 5 วันที่ผ่านมา

      Girl please! You know a lot of our brothers and sisters don’t give a damn about the language. The easiest way to know this is how they attack any celebrity who gets interviewed and use English during the interview. Maybe GanZ are coming up abit.

  • @zikirination6769
    @zikirination6769 23 วันที่ผ่านมา +6

    Wanaleta chakula hii ndo Kenya reality sio ya TikTok ❤

    • @ototek8037
      @ototek8037 23 วันที่ผ่านมา +2

      Tktok ni mambo ya utani na kupoteza mda kukwepa stres.
      Usije ukazani ni ugomvi

    • @tomnethan757
      @tomnethan757 7 วันที่ผ่านมา

      Wanaleta chakula kwa kujivuta. Na ng'ombe hii usisahau hawaleti bure. Wao hulipwa.
      Mnaringa Dana na mahindi which was the only commodity tuliwategemea miaka ya juzi juzi. Lakini kwa Sasa we have enough maize mpaka ya kuuza.

  • @wilfredalbogast7660
    @wilfredalbogast7660 3 วันที่ผ่านมา

    Nawapenda sana majirani zetu +254 mziki genge na legend Mejja mzee wa utawezana, Na msanii wangu namba moja Afrika mashariki Nyanshinski yaanii dah!
    Kitu napenda zaidi mnapiga kazi sana asee mnajisimamia sio kama sisi bongo tunaendeshwa na wanasiasa

  • @wannaproducts
    @wannaproducts 17 วันที่ผ่านมา +6

    Kuku waliochomwa namanga sio wa mkenya ni wa Mtanzania ambae hakufuata utaratibu wa kuagiza ndege kutoka nchi nyingine.
    Mayai kutoka uganda yamewahi teketezwa mara nyingi kwa kutofuata taratibu lakini kwakuwa wakenya wanapenda kuplay victims wakalokuza suala la kuku waonekane wamekosewa.
    Aliepoteza mtaji sio mkenya ni Mtanzania maana mkenya alikuwa ameshalipwa kwa kuuza hivyo vifaranga ila Mtanzania hakufuata utaratibu wa kusafirisha ndege
    Acheni chuki na kujifanya watakatifu sana wakati mna ubinafsi uliopitiliza.
    Tanzania inamkaribisha kila mtu afanye biashara lakini kufungua kampuni Kenya ni ngumu sana ukiwa sio mkenya ilhali kampuni za Kenya zimejaa TANZANIA.
    Mnakuja Tanzania kununua vyakula na hambaguliwi tena mnakaribishwa mpaka mashambani .
    Kuweni na utu acheni fitna mkiona majirani nao wanafanikiwa.

    • @tomnethan757
      @tomnethan757 7 วันที่ผ่านมา

      Hakuna excuse ya kuchoma vifaranga. Wacha kutetea ujinga.
      Mimi saa zingine huonanga kiundani, chuki ya Magafuli kwa Kenya hata ndio ilisababisha kifo cha mapema.
      Kenya ni inchi imebarikiwa. Ukituchikia hakuna mahali utaenda. Tanzania will grow sliwly because of hiyo chuki yenu isiyo na msingi

    • @ireneque9813
      @ireneque9813 6 วันที่ผ่านมา

      My neighbour....sijui kuhusu kuku, mayai, ndege..N.K but registering and having companies in Tanzania is Hard for everyone, including Ourselves.... that's why we are not doing well in DFI...we have worse businesses and foreign policies that hit everyone on faces including Sisi wenyewe....so....

    • @ahmedmohamed-rm9jn
      @ahmedmohamed-rm9jn วันที่ผ่านมา +1

      Kulisha kenya chakula kunasaidia pande zoote mbili, wakulima Wa Tanzania wanauza mazao kwa thamani ya Juu, ukifunga Soko bidhaa TZ zinakuwa cheap ikamuumiza Mkulima. Tanzania imaanza kufunguka iwa Dunia kipindi cha mama Samia hata Hivyo uongozi wake unachangamoto Si haba!

    • @wannaproducts
      @wannaproducts วันที่ผ่านมา

      @@tomnethan757 huko Kenya hakuna makaburi?
      Kifo ni lazima Kwa Kila mwanadamu, Sasa aliekudanganya kifo huwakuta usiowapenda wewe ni nani? Akili za kipuuzi achana nazo

    • @wannaproducts
      @wannaproducts วันที่ผ่านมา

      @@ireneque9813 Tanzania Ina thamini foreign investor kuliko wazawa, contrary to other countries including south Africa and Kenya.
      Sisi wabongo kuexcell kwenye biashara Kenya ni changamoto na inahitaji balls of steel unlike Kenyans hapa bongo.
      Rejea Rostam Azizi presentation mbele ya Rais Uhuru. Makampuni ya Kenya yamejaa bongo lakini hakuna makampuni ya bongo Kenya.
      Tafakari

  • @malovaintel
    @malovaintel 7 วันที่ผ่านมา +1

    We are brothers and sisters! I love Tz. Beautiful ladies. I stayed 10 yrs in Tz. I love Tz because she rewarded me with a wife material..very God-fearing!

  • @asiahassan5410
    @asiahassan5410 2 วันที่ผ่านมา

    i love their music,movies,national parks and mostly mount kilimanjaro❤❤❤❤❤

  • @Brickyadventures26
    @Brickyadventures26 23 วันที่ผ่านมา +9

    We love Tanzanian iwanna visit there soon

  • @TheNorm254
    @TheNorm254 23 วันที่ผ่านมา +9

    As much as Magufuli did amazing things for Tanzania, he also did some atrocious things like burning chickens and taking Kenyan maasai cows. I think Tanzanians are not only jealous of Kenya but they also fear Kenyans..especially on kenyans go getter attitude and competitiveness. Kenya is top 5 among Countries that have invested heavily in tanzania. Over 2 billion dollars of investment and counting. Even Kenya is a big shareholder in precision Air . So i don't understand the animosity.

    • @utopolo543
      @utopolo543 23 วันที่ผ่านมา +13

      AIR TANZANIA? May be you confuse it with Precision Air where kenya airways has some shares. Air Tanzania is 100% owned by government of Tanzania. Mnajiproud sana na mara nyingi mtu mwenye ego na kiburi hapendwi. ati kenya has invested heavily in Tanzania🤣. Kaa ukijua Tanzania always mind their own business. Kenya inaitegemea Tanzania lakin Tz haitegemei kenya

    • @TheNorm254
      @TheNorm254 23 วันที่ผ่านมา +6

      @@utopolo543 i apologise its precision air at 41% ownership. Actually Kenya doesn't really depend on Tanzania on anything. We have the purchasing power. So kama ni hizo machungwa na vitunguu we can buy them elsewhere. Tanzania isn't the only country that kenya buys foodstuffs from. We buy apples and other fruits from South Africa, bananas and plantains from uganda, maize from zambia...sooo..Your country recently blackmailed kenya to allow your planes to carry cargo from jkia. Mko na ndege ila hamna biashara. So usiseme tu mambo. Infact mnatutegemea sana. Our banks even gave you loans to complete your sgr. So sielewi unasema nini.

    • @utopolo543
      @utopolo543 23 วันที่ผ่านมา +14

      @@TheNorm254 what was the reason of blackmailing kenya airways. mnaona mnavyopenda kujifanya victims na kuona nyinyi ndo mko sahihi. Hii tunaita kenyan ego. hebu fuatilia vzr kwa nini Tanzania ilifanya hivyo. Sio nyinyi tu Tanzania inamwajibisha mtu yoyote mwenye kiburi (Fuatilia 2014 Tanzania ilichomfanya Rwanda hadi kagame kaja kuomba msamaha) (Fuatilia Tanzania ilichomfanya malawi 2012) Mtu yeyote akileta ujuaji mbele ya Tanzania atawajibishwa. Tanzania inategemea kenya kwenye nini actually?. Hio loan inatoka kenya banks zilizo registered Tanzania. Hizo kenyan banks zingekuwa na uwezo mkubwa hivyo si zingekuwa zinakopesha kenya ikamalizia SGR iliyokwama Naivasha? Mbona mnakimbilia china kuomba mikopo? Mbona mlikataa CRDB bank Tanzanian bank isifungue branch Nairobi. Mbona mliandamana kupinga mradi wa bomba la mafuta kutoka Uganda kuja Tanga, mbona mliandama kusimamishwa kwa ujenzi wa Nyerere Dam eti unaharibu mazingira. DON'T PLAY VICTIMS HERE.

    • @TheNorm254
      @TheNorm254 23 วันที่ผ่านมา

      @@utopolo543 Hakuna kitu kenya ilifanyia tanzania ila kenya haikutaka kugawanya biashara yake ya mizigo. Tebu google kenyan investments in tanzania ndio ujue vile munatutegemea. Alafu sioni sababu ya kenya kukataa benki za TZ kufungua branches kenya. already benki za SOUTH AFRICA, UK, INDIA NA DUBAI zipo huku.

    • @utopolo543
      @utopolo543 23 วันที่ผ่านมา +12

      @@TheNorm254 I see you pro kenya. Nadhani tuishie hapo. Maana hata nikisema kitu utapinga tu. Hii kenyan ego na kiburi siwezi kubishana nayo. Mtu mwenye kiburi, kujikweza, mbinafsi, asiyeshaurika, anayejiona yuko sahihi kwa kila kitu TIME ndo humwadhibu. Lets wait and See.

  • @user-kr5dp2ip9g
    @user-kr5dp2ip9g 23 วันที่ผ่านมา +8

    Kenya ilikamata ng'ombe kutoka Tanzania ikawapiga mnada na Tanzania ikakamata vifaranga vya kuku ikavichoma moto kwa sababu mamlaka za afya za Tanzania zilisema vifaranga hivyo vilikua na maradhi hatarishi kwa binadamu..!kipindi hiko ukumbuke kulikua na janga la corona!

    • @TheNorm254
      @TheNorm254 23 วันที่ผ่านมา +5

      Tanzania ndio ilichukuwa ngombe ikawapiga mnada na kuwachoma kuku. Kenya haikuchukua chochote.

    • @user-kr5dp2ip9g
      @user-kr5dp2ip9g 23 วันที่ผ่านมา

      @@TheNorm254 kama kitu hukijui ni bora ukae kimya tu kuliko kuleta mihemko..nikukumbushe kitu kimoja..Kipindi hiko hiko Kenya walizuia ndege za Tanzania zisitue Kenya na Tanzania ikajibu kwa kusema ndege za Kenya pia zisitue Tanzania, mfano mwingine Kenya walikua hawavitambui vyeti vya ugonjwa wa corona kutoka Tanzania wakataka vyeti vyao vitambulike na kukubalika upande wa Tanzania..serikali ya Tanzania ikasema nao pia haivitambui na kuvikubali vyeti vya corona kutoka Kenya..kipindi hiko tena mbunge wa Kenya maarufu kwa jina la Jaguar (mwanamuziki) alitembelea kati ya soko moja lililopo ktk jimbo lake akawatangazia wakenya kwamba "watanzania tunachukua ajira za wakenya kwa sababu kulikua na watanzania wanaomiliki maduka eneo hilo..akasema watanzania hao wapigwe na wauliwe" na wananchi wake yaani wakenya wakashangilia..hiyo kauli ya watanzania wauliwe ilisababisha mpaka rais Uhuru Kenyata aje Tanzania kuomba radhi na huyo Jaguar (mbunge) mahakama ya Kenya ikamuamuru aombe radhi kwa kauli hiyo! So unaweza kuona ni jinsi gani wakenya wanawachukia watanzania!! Lakini huwezi kusikia Mbunge wa Tanzania akasema hivyo na watanzania wakashangilia!! na ukitaka ushahidi nitakutumia video clip!

    • @utopolo543
      @utopolo543 23 วันที่ผ่านมา

      @@user-kr5dp2ip9g juzi tu hapa wamesema fake fertilizer imetoka Tanzania. Tanzania ikiwajibu wanakuja kulia lia hapa na kuplay Victims

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  23 วันที่ผ่านมา

      I didn't know that

    • @rang3688
      @rang3688 21 วันที่ผ่านมา

      @@explorewithbertinmake google your friend and you will see it is the other way round!!

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 23 วันที่ผ่านมา +10

    Tanzanians have never had a problem with Kenyans, Kenyans are the ones who make us stay with you defensively because you don't like the success of your fellow Africans, you say things that you know are not true, for example the white man who was tricked into Mount Kilimanjaro is in Kenya and it wasn't until he arrived in Kenya, let us love each other without hatred

    • @jesusbrother7684
      @jesusbrother7684 18 วันที่ผ่านมา

      Exactly 🤩😍👍🏾

    • @SVHGh
      @SVHGh 8 วันที่ผ่านมา

      From what I know, it's Tanzanians who have a problem with Kenyans. They have a perception that Kenyans are 'greedy'.

  • @ahmedmohamed-rm9jn
    @ahmedmohamed-rm9jn วันที่ผ่านมา

    Nilikuwa nasubiri hiyo Sincere comment, “Tanzanians don’t like kenya” for Bodaboda guy he actually speaks good English

  • @jayneljay5905
    @jayneljay5905 2 วันที่ผ่านมา

    hapo kwa ladies, pole sana. trust me, baki tu na kenya wako.

  • @salhawaziri1668
    @salhawaziri1668 13 วันที่ผ่านมา

    As my self Kenya is my second home and always feel safe whenever I’m there

  • @nyarango85
    @nyarango85 3 วันที่ผ่านมา

    I am Kenyan have been to Dar for business . Khanga za morogoro meTL na Nida safi. WaTZ wako na hii uwoga ya kukaribia WaKenya ni kama wanatuona sisi ni watapeli bali sisi WaKenya tunapenda ndungu zetu na dada zetu. Marehemu JPM rais mchapa KAZI anapendwa zaidi

  • @musyokaharrison8245
    @musyokaharrison8245 5 วันที่ผ่านมา +1

    Watanzania awatupendi juu ya utani wetu kwao

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 9 วันที่ผ่านมา

    Tanzania ni nchi nzuri sana kwanzia watu wake wacheshi ❤❤❤❤Tanzania

  • @ngamaizinzi3987
    @ngamaizinzi3987 23 วันที่ผ่านมา +13

    Regular Tanzanians don't even care about Kenya, in fact Tanzanians are known for minding their own business coz we do everything in our own ways.apart from food products business no any other thing can a Tanzanian interact with Kenyans 😅 in short we live in our own world, we developed and cherish our own things locally be music,local football league, social media and media, language,ports, transport infrastructure, Agricultural infrastructure. This made Tanzanians to be independent in so many aspects and mind their own businesses and some of our neighbors are bothered especially Kenyans 😅. Coz Kenyans think everything should be done the way they do in Kenya 😂 when a Kenyans visit Tanzania they keep on comparing everything and crying foul when they end up in troubles due to their arrogances ,bro just follow rules and your good. Tanzania not much corrupt we follow rules here, failure to that you will be in trouble. Now you be like they don't like Kenyans in Tanzania

    • @vand922
      @vand922 23 วันที่ผ่านมา +13

      You're wrong bro. We Kenyans love our east African countries but Tanzanians are forcing us to hate them of which I don't see any reason why we should hate Tanzania. Let's embrace one another and love each other. If Tanzania was to be invaded I know Kenyans will stand up for them. So let's develop our east Africa . When Tanzania wins Kenya wins and when Kenya wins , Tanzania wins. Stop the hate

    • @veeJesus
      @veeJesus 23 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

    • @LuckyNelson-te8uq
      @LuckyNelson-te8uq 23 วันที่ผ่านมา +4

      Kenyan government was and is also one of the biggest investors in EA bt a regular Tz citizen cannot understand that and bet me when such an interview is done in Tz they will trash talk

    • @JohnKalevela
      @JohnKalevela 23 วันที่ผ่านมา +4

      Huo ndio ukweli,kiufupi wakenya wanajiskia na watanzania ni watu wasiopenda dharau,mind you,haitokuja kutokea tanzania na kenya kupendana maana hawa ni mafahar wawili kwenye zizi moja,lakin kiuhalisia this enemity was established by kenyans themselves,when late Magufuli started ruling Tanzania he showed them that they are nothing to Tanzania,na ukweli ni kwamba kenya inaitegemea tz zaid

    • @bernardoleonard7331
      @bernardoleonard7331 23 วันที่ผ่านมา +4

      I agree with you regular Tanzanians don't know and care about what Kenya is it is just social media things Tanzanians mind their own business

  • @lillybrown7771
    @lillybrown7771 6 วันที่ผ่านมา

    Thank you kenyans,I love kenya my second home

  • @mrackkiramadhani5557
    @mrackkiramadhani5557 6 วันที่ผ่านมา

    Acha niongee in kenyan swahili " itokee kenge yoyote isumbue wakenya tutaigonga ile ishindwe tambuliwa na nyanya yakee" we're family we know how 2 handle ourselves.. Penda sana kenyans mazee, karibun kwa Bongo mazee

  • @juvenaryburchard719
    @juvenaryburchard719 2 วันที่ผ่านมา

    Watanzania wanapenda watu wote wanaoheshimu wenzao.Ndivyo Baba wa taifa alivyo tujenga.wanaosema wanachukiwa aiwaelewi wametembelea sehemu gani ya Tanzania.Karibuni Tanzania sis tunawapenda watu wote. "Binadamu wote ni sawa na Africa ni moja" ndivyo tulivyofundishwa na Mwl Nyerere. Kama kuna mtu alikuja Tz akachukiwa ajitazame yeye binfsi ndiye tatizo sio Watanzania.

  • @fortunekivuyo133
    @fortunekivuyo133 19 วันที่ผ่านมา +2

    Kusema kweli napenda kenya na watu wake lakini ni vile tu hii kiburi niko nayo ni updated to the last version😂 na Ego nayo iko stable and Running. I Express my love to kenya from Tanzania 🇹🇿♥️

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  19 วันที่ผ่านมา

      Lol

    • @GeradinaJohn-xh8pw
      @GeradinaJohn-xh8pw 16 วันที่ผ่านมา

      Point of correction 👆you are not a Tanzania as the way you speak you are a Kenyan. Thank you for loving Tanzania that much we love you too

    • @fortunekivuyo133
      @fortunekivuyo133 16 วันที่ผ่านมา

      @@GeradinaJohn-xh8pw mi ni MTanzania tena wa Arushaaa😄

    • @GeradinaJohn-xh8pw
      @GeradinaJohn-xh8pw 16 วันที่ผ่านมา

      @@fortunekivuyo133 good

    • @cristamelahashimu3679
      @cristamelahashimu3679 14 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂🤣 Hata Mimi ni wa Arusha ila kiburi yangu pia imekuwa updated to the last version sababu nakutana na wakenya wengi mno ila kuna dharau wanayo ndio maana mwanzo tunavimba mpaka akili imkae sawa arudi kwenye ubinadamu then tunaishi fresh. Majiraniiii tunawapenda Sana, hivi vyote ni viburi vya uzima tu😝.

  • @happnesskitumbo5713
    @happnesskitumbo5713 5 วันที่ผ่านมา

    Wanawake wa kenya ni wababe sana tena sana hawajui thamani ya kuwa na mume hata kama una pesa ila kwa wanawake watanzania angalau bado ni sabmissive kwa waume zao mwanamke wa tz anaweza kuwa na maishaazuri na pesa nyingi hata kumzidi mume lakini bado akajua kuwa yeye ni mke na kumpa mume heshima anayostahili ila sio kwa wanawake wakenya. Ila sote ni ndugu tusichuliane

  • @ConnectsLogTv
    @ConnectsLogTv 23 วันที่ผ่านมา +4

    Tanzania 🇹🇿 see you soon ✈️✈️

  • @jeremiahkileo6641
    @jeremiahkileo6641 23 วันที่ผ่านมา +3

    Tanzanians loves kenyans !

  • @eddiempate600
    @eddiempate600 3 วันที่ผ่านมา

    Just colonial borders, Kenyans and Tanzanians are one people.

  • @flourishing_wilderness6072
    @flourishing_wilderness6072 7 วันที่ผ่านมา

    As a Tanzanian living in klm. I would say Kenyans are patriotic and very proud people (like the wahaya of tz) but they are also friendly and soo open to western mindset (mKenya ni Mzungu in his mind).
    Tanzanians on the other hand are very traditional (even when educated even when in leadership). We don't have that money-chasing mind but rather take it easy and relaxed (swahili culture). Not open but polite in speech ( eg. Asante to mean NO) sometimes to hide our weaknesses.
    Last most Tanzanians don't think of kenyans or other east African countries only we in regions boardering Kenya like Kilimanjaro & Arusha who interact with many Kenyans and doing business .

  • @officiallugano8991
    @officiallugano8991 21 วันที่ผ่านมา +1

    Umeona sasa Nchi nyingine iingilie Tanzania sisi hatuta kubari. Kaonyesha upendo mkubwa sana kanitoa mchozi huyo boda boda.

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 23 วันที่ผ่านมา +1

    Where is kanairo comment jameni 😊😊😊

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 6 วันที่ผ่านมา

    We love you too kenyan❤

  • @abdallahmdangadachi7030
    @abdallahmdangadachi7030 8 วันที่ผ่านมา

    Chakula it's a big deal bila msosi hata hiko kingereza chenu hakina maana😅😅😅

    • @tomnethan757
      @tomnethan757 7 วันที่ผ่านมา +1

      Una akili punguani. Hamtupatii chakula cha msaada ila ni biashara. Rudi shule uliyo somea wakurdishie karo yako.

  • @carolicarlos8699
    @carolicarlos8699 5 วันที่ผ่านมา

    What worked in Kny is not necessary can work in tz so i dislike some people in kenya wanamadharau na watz wakati watz maisha ni afadhali kuliko kenya tena japo uchumi wa kenya uko juu but maisha ya mtu moja mmoja kenya is not easy compare to tz but you can see tz people are just quiet but when u see many kenyan comment about tz are not good for many. We habe many kenyan work in tz than tz who work in kenya to tell u many of tz people and kenyan ppl who are living in tz prefer is better to live and work in tz than in kenya.

  • @paulmfangavo9699
    @paulmfangavo9699 7 วันที่ผ่านมา

    2:58

  • @neiltz7373
    @neiltz7373 5 วันที่ผ่านมา

    Karibu Tanzania

  • @elijahmuthui3756
    @elijahmuthui3756 23 วันที่ผ่านมา +6

    I know, you have had a good experience visiting Kenya, regardless of the nationality, but I worry for any Kenyan who visits Tanzania.
    I still don't know why they hate us so much, why create an enemy who is not fighting you. Maybe you didn't know this but it's the truth. I would like to know what the kids are being taught in their schools about Kenya 😂. But oh well. We would do alot better as a region if there's no hate. That's all I'm gonna say.

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  23 วันที่ผ่านมา +1

      No one hates Kenya Elijah. Why should someone hate kenya by the way

    • @mcback4384
      @mcback4384 23 วันที่ผ่านมา +4

      Tanzanians don't hate anyone but don't entertaining bad characters, naturally Tanzanians are very humble and less reactive, Kenyans on the other hand are known for arrogance, prejudice, hubris, bragging always you can't expect these two personalities to rhyme together, for instance many people came to realize recently that Tanzania is constructing 2800km of electric SGR but you won't hear us on social media chanting about it and despise others for lacking it

    • @jeffchurum1431
      @jeffchurum1431 23 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@mcback4384😂😂 Kelele mlianza miaka tatu kabla train ifike bragging my foot. Sema mlichoka kungonja kelele ikapungua.

    • @Soon815
      @Soon815 23 วันที่ผ่านมา +2

      We know nothing about kenya

    • @elijahmuthui3756
      @elijahmuthui3756 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@explorewithbertin I've seen you asking that question, "why should someone hate Kenya" my brother we ask ourselves the same question. Why?? Why hate Kenya? , but not enough to put us down..

  • @manuari6088
    @manuari6088 13 วันที่ผ่านมา

    What i know about TZ is that they are the stumbling block to the E. Africa community, one of the guys has mentioned about Tanzanians not wanting products from Kenya, that is true but they want the vice vasa. Drive a car with a Kenyan number plate in TZ and high chances are, you will be harassed by the traffic police. We love you guys as our brothers and reciprocate the same tutafika mbali zaidi.

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  13 วันที่ผ่านมา

      I see a lot of kenyan products here like Jamaa soap. Traffic of Tanzania will disturb you if you don't follow rules. Tanzania is peaceful because of people following rules. No one hates kenya and why should someone hate kenya by the way. We have kenyan banks here, and some kenyan companies are doing well in Tz. May be there is another thing you like from Tanzania that you don't get. So you try to play victims.
      We are all the same people

  • @mashakabundala9955
    @mashakabundala9955 10 วันที่ผ่านมา +1

    Tanzania 🇹🇿 and kenya

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 23 วันที่ผ่านมา +1

    Watanzania: Kiswahili cha ufasaha, fusuli sana.

    • @Soon815
      @Soon815 23 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂 what are you trying to say??

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  22 วันที่ผ่านมา

      What is fusuli

    • @dylankanyubi3700
      @dylankanyubi3700 22 วันที่ผ่านมา

      @@explorewithbertin fusuli ni kama kusema kinagaubaga ama timamu.

    • @jesusbrother7684
      @jesusbrother7684 18 วันที่ผ่านมา +1

      @@dylankanyubi3700🤣🤣🤣!

  • @genesisbera7761
    @genesisbera7761 18 วันที่ผ่านมา +5

    Ni kweli watanzania wanawachukia sana wakenya, lakini wakenya nao wanawadharau sana watanzania..and that's a fact

    • @tradamus4158
      @tradamus4158 17 วันที่ผ่านมา +1

      Point of no return ukimwaga mchuzi tuna butua sufuria ya wali 😂🇹🇿

    • @Soon815
      @Soon815 17 วันที่ผ่านมา

      Mnadharau halaf hamna chochote cha maana kichekesho hiki

    • @wannaproducts
      @wannaproducts 17 วันที่ผ่านมา +2

      Watanzania ni watu wapole na wema ila ukiwaletea dharau watakupa majibu yako tu.
      Wakenya wanajikuta wana dharau sana TANZANIA na Watanzania hawana muda nao ni kuwanyoosha kama kawaida.

    • @genesisbera7761
      @genesisbera7761 14 วันที่ผ่านมา

      @@wannaproducts Watanzania sio wapole

    • @genesisbera7761
      @genesisbera7761 14 วันที่ผ่านมา

      @@Soon815 Tuna mengi sana ambavyo hamna

  • @edwardmark_tz
    @edwardmark_tz 5 วันที่ผ่านมา

    You are his husband 😂😂😂😂😂😂😂

  • @stoicsserenity
    @stoicsserenity 22 วันที่ผ่านมา +1

    I noticed most tanzanians hate Kenyans. I've never understood why. Kenyans mind their own business. Honestly there is nothing to compare between ke and tz. We love tanzania

    • @Soon815
      @Soon815 22 วันที่ผ่านมา

      Hatutaki kuwaona mnafuatilia vitu vyetu kwanzia mziki,michezo etc

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  22 วันที่ผ่านมา

      Why should someone hate kenya by the way

    • @berthatz
      @berthatz 22 วันที่ผ่านมา

      @@Soon815🤣🤣🤣

    • @genesisbera7761
      @genesisbera7761 21 วันที่ผ่านมา

      ​​@@Soon815You sell your music to us no one else in Africa listens to your music like Kenyans so boosting your economy! As for michezo, Kenya will forever lead you coz you don't excel in them..ona jinsi mulivyo jipa aibu kwenye Afcon😂😂😂😂 anyway we don't need you. Wakenya hawakuja bongo kumwambia diamond, rayvanny na Christina shusho waje wafanye show Kenya il Hali walijileta wenye

    • @genesisbera7761
      @genesisbera7761 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@explorewithbertinI suggest you go back to your country, i have never seen a tanzanian do well as a touring TH-camr in Kenya like the Ugandans, Nigerians or even Ghanaians

  • @joycejoes
    @joycejoes 9 วันที่ผ่านมา

    Hio ya kuchomwa vifaranga vya kenya, vilichomwa enzi za magufuli🤣🤣🤣

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  9 วันที่ผ่านมา

      Vilikuwa vya mtanzania aliyevinunua kenya bila kufuata utaratibu

  • @user-xr7im1yb5g
    @user-xr7im1yb5g 23 วันที่ผ่านมา +2

    You can see how open minded Kenyans are😅...now try and ask the vise versa and get to experience hatred live💀😂😂😂😂

    • @Soon815
      @Soon815 23 วันที่ผ่านมา +1

      Open minded?? Watu mpo serious mnaichafu Tz nje halafu mkiulizwa mnajidai wema??
      Sisi hatutaki ujinga wenu ndo maana huwa tunawanyoosha huo upuuz wenu wakuclaim vitu vyetu fanyien wajinga wauganda,rwanda etc.
      Lakini Tz achaneni nayo sisi ni wazee wa tit for tat and we really don't give a damn😕😕 shit

    • @aminata3702
      @aminata3702 22 วันที่ผ่านมา +2

      We can't hate you because we don't care about you .Maybe you define that as "hate"

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  22 วันที่ผ่านมา

      Why should someone hate kenya by the way

    • @user-xr7im1yb5g
      @user-xr7im1yb5g 20 วันที่ผ่านมา

      @@Soon815 😹😹 chunga pressure isipande kaka

    • @user-xr7im1yb5g
      @user-xr7im1yb5g 20 วันที่ผ่านมา +1

      @@explorewithbertin Ask your country mates💃

  • @stanleymureithimukara6714
    @stanleymureithimukara6714 23 วันที่ผ่านมา +11

    Tanzanians have a deep hatted for kenya which we interpret as jealousy they have easy access to kenya but its not the same for kenyans going to tanzania

    • @paulgitau6055
      @paulgitau6055 23 วันที่ผ่านมา +1

      Very true.

    • @utopolo543
      @utopolo543 23 วันที่ผ่านมา +8

      Not really. No one hates you labda mnajishuku tu. Tanzanians are busy minding their own business...sema Watanzania hawawapi attention ambayo mnataka so mnaona kama wanawachukia. Lakin Tanzania kuna wakenya wengi tu na wanaishi bila shida wengi ni primary and nusery school teachers. Just why Kenyan small companies are a lot in Tanzania but now the Tanzanian small company to flourish in kenya ni ndoto. siku hiz tu ndo naona Azam company wanadominate kenya

    • @rang3688
      @rang3688 23 วันที่ผ่านมา +1

      @@utopolo543Kenya chicks got burnt, cattle auctioned, elephants killed, Kenya airways was banned… what else can you expect? This is total hatred or jealousy driven competition @utopolo543, make google your friend.

    • @utopolo543
      @utopolo543 23 วันที่ผ่านมา +6

      @@rang3688 why are you playing victims?. From nowhere Tanzania do all those. even recently here you accused Tanzania of bringing fake fertilizer to kenya. Now if Tanzania reacts to your hustler behaviors you start crying here proclaiming that Tanzania are jealous and hate kenya.

    • @rang3688
      @rang3688 23 วันที่ผ่านมา

      @@utopolo543 make google your friend… just google, Tanzania burned Kenya chicks, Tanzania auction Kenya cattle, Tanzania withdraws approval for Kenya airways, and Kenya elephants killed in Tanzania.

  • @wairimumuhia2845
    @wairimumuhia2845 23 วันที่ผ่านมา +4

    Why lie Tanzania hate Kenyans,,and we can't change that

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  22 วันที่ผ่านมา +2

      Why should someone hate kenya by the way

  • @Soon815
    @Soon815 23 วันที่ผ่านมา +4

    Tanzania tupo vizuri kuliko nchi yoyote afrika mashariki sio kwenye uchumi,michezo,mziki,umoja, kila kitu

    • @Soon815
      @Soon815 23 วันที่ผ่านมา

      @@gumball44444 Hatutaki data za kijinga za wazungu tunaangalia uhalisia

    • @Soon815
      @Soon815 23 วันที่ผ่านมา

      @@gumball44444 Wewe mjinga sana taahira kabisa! Sasa currency yenu inawasaidia nini embu nambie??? Ya japan ipo chinu yenu sindiyo?? Mnawakutia nini wajapan??
      Kumbe unajua kwenye mpira tupo mbali lakini hatutambuliki!! Bac kwenyr uchumi pia tupo mbal na hatutambuliki na hao mabwana zenu wa kizungu.

    • @Soon815
      @Soon815 22 วันที่ผ่านมา +1

      @@gumball44444 Ndo maana nakwambia huna akili! Sisi hizo rank za wazungu hatutaki kusikia!!
      Kwa hiyo nyie wenye elimu ndo mkajengewa lile gari moshi karne hii??? 😂😂😂 huoni hata aibu? Nyie hamna kitu kichwan

    • @Soon815
      @Soon815 22 วันที่ผ่านมา

      @@gumball44444 Wewe mjinga jibu maswali yangu hiyo currency yenu inawasaidia nini??
      Mavichaa ya wazungu! Watu mnaishi kwenye mabanda ya nguruwe na upo hapa unabrag??

    • @stoicsserenity
      @stoicsserenity 22 วันที่ผ่านมา +1

      @@Soon815 You just proved his point. Our Tanzanian friends should definitely get a brain

  • @jeffchurum1431
    @jeffchurum1431 23 วันที่ผ่านมา +3

    Niliishi kujua Ke na Tz tuko mandugu lakini maze! thanks to social media. That is when i realized most of our neighbours TZ hate, wish bad and are so negative towards Kenya. Mahali imefika Tanzania furaha yao nikuona Kenya ikianguka lakini Mungu ni nani. Tangu nijue unafiki wao i erased them in my mind completely.

    • @Soon815
      @Soon815 23 วันที่ผ่านมา

      We don't really give a damn shit! go to hell😂😂

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  22 วันที่ผ่านมา

      You need to prove your point with vivid Example s. Why should someone hate kenya

    • @jeffchurum1431
      @jeffchurum1431 21 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@explorewithbertin Its all over the internet. No sugar coating nowdays it has become too much from your country men.

    • @genesisbera7761
      @genesisbera7761 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@explorewithbertinYou keep asking why should someone hate Kenya as if you don't know your people or read the comments! What's up with you?

    • @cristamelahashimu3679
      @cristamelahashimu3679 14 วันที่ผ่านมา

      Pita hivi 🫵erooo. ukitufuta na Sisi tunakufuta, dharau tunayo Sana ila tumezihifadhi kuajili ya atakayekuja na dharau. Ukija bila dharau tunakupokea Kwa upendo mno. Hiyo ndio kanuni yetu Tz. "Ukinidharau nakudharau zaidi, jiheshimu tukuheshimu,penda upendwe,"

  • @teddymukabane7696
    @teddymukabane7696 23 วันที่ผ่านมา +11

    Kemya and Tz are brotherly countries..but Tz has deep hatred for kenya and Kenyans..not sure why..but alittle of this can be traced back to the 60s and 70s and the subsequent of collapse of the EAC ..this was majorly due to differences in economic models of the two countries as well as Kenya requesting more seats in the decision making organs of the EAC..Tz became uncomfortable with Kenya and suspicions becane order of the day..they saw kenya as being the biggest beneficiary...Magufuli (may he RIP ) worsended this further.,and every action raken by one the countries is interpreted by the other differently..check mating each other at every opportunity.. remember the recent Air Tanzania cargo tiff? something small mis understanding was escalated unnecessarily..too much suspicion

    • @prothodommy
      @prothodommy 23 วันที่ผ่านมา +2

      You're exaggerating these Facebook fights in real life, we respect each other, being born & raised at the border I experienced love from both sides, getting social services from both sides.. we're brothers

    • @karyori69
      @karyori69 23 วันที่ผ่านมา +1

      Kwavile ni washenzi nyie!

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  23 วันที่ผ่านมา +2

      No one hates Kenya, lets continue developing our continent and make it a greater place. Why should someone hate kenya by the way

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 23 วันที่ผ่านมา

      It's vice/versa . Kenyans are the one who dislike Tanzanian 👎. Eti kwa sababu hatuongei kizungu. Their mind are still soo colonized mpaka leo. Historically, I remember it very well; the old mzee Kenyatta throws Tanzanians and Uganda 🇺🇬 more than 3 times. You can't count on Kenyans as individuals as well as a government.

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 23 วันที่ผ่านมา +3

      Yaani, most of them ni wakora

  • @bahatiwanjiku7262
    @bahatiwanjiku7262 23 วันที่ผ่านมา +4

    Honestly, Tanzania don't love Kenyans.. Period 😒

    • @msaneye3492
      @msaneye3492 23 วันที่ผ่านมา +1

      It's what it's

    • @Brickyadventures26
      @Brickyadventures26 23 วันที่ผ่านมา +1

      Thats true

    • @explorewithbertin
      @explorewithbertin  23 วันที่ผ่านมา +2

      No one hates Kenya, lets continue developing our continent and make it a greater place. Why should someone hate kenya by the way

    • @JohnKalevela
      @JohnKalevela 23 วันที่ผ่านมา +3

      Not true,the problem is,you kenyans have superiority complex so when tanzanians proves you wrong,you think we hate you,nataman siku moja tanzania na kenya tukaziane mazima yani kila mtu abaki kwake tusijuane kwa lolote lile ili maneno yaishe

    • @Brickyadventures26
      @Brickyadventures26 23 วันที่ผ่านมา +4

      @@JohnKalevela natamani hivo hivo pia..coz there is nothing important to team up with