Je, Kiswahili cha Tanzania ni bora kuliko cha Kenya?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2022
  • "Wanaodhani kwamba Kiswahili cha Tanzania ni bora kuliko cha Kenya hawajui Kiswahili ni kipi," asema Khalid Omar Mohammed Kitito ambaye ni Mratibu Mkuu wa Makumbusho ya Taifa nchini Kenya. Sikiliza Sababu zake hapa.

ความคิดเห็น • 307

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 ปีที่แล้ว +3

    Mimi kama Mkenya, maoni yangu ni kwamba Watanzania kwa ujumla hufua dafu sana katika matumizi ya lugha ya Kiswahili, hata lugha yenyewe inatumikika kwenye viashiria vya barabarani mfano badala ya "Stop" ni Simama.
    Wakenya ni wadau na watalaamu wa Kiswahili ambao huweza kuwasiliana kwa Kiswahili kwa ufasaha.
    Tukitaka Kiswahili kikuze kwetu Kenya lazima tuondoe kikwazo ambacho ni Kiingereza. Halafu Kiswahili kiwe lugha rasmi ya matumizi kote nchini. Huo ndio mtazamo wangu.

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 2 ปีที่แล้ว +7

    Asante kaka. Kiswahili kina wenyewe, wazungumzaji asilia. Nadhani kuna makundi makubwa mawili ya wanaotumia kiswahili. 1. Waswahili asilia, wakazi wa mwambao, wakiwamo wakenya na watanzania. Hawa aghlab lugha yao haina mashaka. 2. Wale ambao kiswahili si lugha yao asilia, hawa pia wapo Kenya na Tanzania. Katika kundi hili wapo ambao kiswahili chao kina mashaka, japo kidogo na japo wengi wao wanafanya jitihada kubwa kuzungumza vizuri. Nadhani pia kundi hili la 2 kwa upande wa Kenya kiswahili chao kina mashaka zaidi ya wenzao wa upande wa Tanzania. Mimi kama mzawa wa Zanzibar nakubaliana nawe kuhusu umahiri wa waswahili asilia wa Kenya. Tunathamini sana mchango wao na mimi hupenda kuwasikiliza wanapozungumza. Tukitunze kiswahili chetu na tukithamini - mcheza kwao hutunzwa.

    • @jeniffermasha2540
      @jeniffermasha2540 2 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 2 ปีที่แล้ว +1

      Mimi nilizungumza lugha ya kiswahili cha Kiamu mbele ya wenzangu ambao wametoka Zanzibar na wakanicheka niliwaeleza kuwa lugha niliyo itumia ndio kiswahili hasa .Wakanijibu kuwa lugha ya Sawa ni kiunguja. Sasa nimeona ajabu kuwa Wewe ni kutoka Zanzibar na unapenda kusikia lugha za kutoka sehemu zetu za pwani ya Kenya.

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du 2 ปีที่แล้ว +1

      @@hassanalhussein3982 Assalaam alaykum akhy. Kwanza pole sana kwa kufanyiwa dhihaka na baadhi ya waswahili wa Zanzibar! Kusema kweli tatizo ni kuwa sisi waswahili wenyewe miongoni mwetu historia ya hii lugha yetu hatuijui (vizuri). Ninavotambua mimi ni kuwa kiAmu ni moja ya lahaja kuu za lugha ya kiswahili. Lahaja ya kiunguja ndio imekuwa msingi wa kiswahili sanifu, ambacho kinatumika kwenye vitabu n.k. Pengine kwa sababu tu kuwa Unguja ndio ilikuwa makao makuu ya Dola ya Zanzibar. Dola ambayo ilitandawaa mwambao wa afrika ya mashariki na kufika mpaka Congo. Labda hii ndio sababu baadhi ya wazanzibari, khususan waliotoka Unguja mjini, hudhani kuwa kiswahili chao tu ndio sahihi! Unguja na Pemba zipo pia lahaja za kiswahili, kama kihadimu (kimakunduchi), kitumbatu n.k.. Mimi nilifanya ziara makhsus ya kwenda Mombasa, Malindi, Lamu na Pate. Kwa nia ya kuitembelea jamii ya waswahili wenzangu na kuona maisha yao na kuwasikiliza wanapozungumza. Nilipokuwa Lamu nilisikia maneno sikuwahi kuyasikia kabla. Lakini kwa kuwa mimi pia mswahili niliweza kufahamu maana yake kwa mujibu wa mazingira ya matumizi (context). Kumradhi kwa maandishi marefu.

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 2 ปีที่แล้ว +1

      @@Ali-nl2du Shukran Kwa maelezo yako ambayo nimeyafahamu kabisa. Sisi watu wa pwani ya Kenya tulikuwa chini ya utawala wa Sultan wa Zanzibar. Tarehe 10 December 1964 tulihamishwa tukatiwa katika taifa la Kenya. Toka siku hiyo Hadi Leo pwani yetu imezoroteka chini ya utawala wa mkenya. Siku hiyo tunasema ilikuwa ni siku ya msiba Kwa watu wa pwani.Maana lugha yetu imeharibiwa na kiengereza kikathaminiwa kuliko kiswahili.Mbali na ubaguzi dhidi ya watu wa pwani.

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du 2 ปีที่แล้ว +1

      @@hassanalhussein3982 Sheikh Hassan hapa umesema jambo la kuhuzunisha na la kusikitisha. Kuvunjika kwa dola ya Zanzibar ilikuwa kipigo kizito sana kwa jamii ya waswahili. Mpaka leo bado hatujainuka. Hii ilikuwa mbinu ya mkoloni, kuanzia mjerumani kupitia muingereza, kwa kushiriana na baadhi ya majirani zetu. Dola ya Zanzibar sasa imebakia Unguja na Pemba tu, nayo pia imemezwa na Tanganyika, japo tumeachiwa bendera na serikali isiyo na meno! Lakini inna baadal usri yusraa, baada ya dhiki faraja, pia kheri hutokana na shari na kiza kinapozidi basi ujue asubuhi inakurubia. Sisi waswahili sote tunajijua kuwa ni kitu kimoja. Kuanzia kusini ya Somalia mpaka kaskazini ya Msumbiji, pamoja na visiwa vyote, mpaka Comoro na sehemu za Madagascar. Ipo siku tutaungana tena, na haiko mbali siku hiyo biidhnillah. Madhila yote haya yatakwisha na tutayasahau. Usitarajie kheri kutoka kwa adui yako. La muhimu kwetu ni kuilinda na kuitunza dini yetu, historia yetu, utamaduni wetu na lugha yetu, tuwe kitu kimoja na tusikubali kugombanishwa. Vita dhidi ya waswahili ni vita dhidi ya uislamu hapa afrika ya mashariki. Hili tunalijua na tunalizingatia. Hatutaki ugomvi na jamii nyengine, tunamtakia kheri kila mmoja, lakini na sisi tunataka nafasi yetu irejee miongoni mwa walimwengu. Innallaha maa assabiriin.

  • @DianaRoseAOyula
    @DianaRoseAOyula 2 ปีที่แล้ว +6

    Wabara tunajitahidi kujifunza Kiswahili! Asante sana umeelezea vizuri ni kweli wengi hawaelewi hili suala.

    • @user-mq6lu2po3y
      @user-mq6lu2po3y 2 ปีที่แล้ว +1

      Waarabu wanajua kiswahili kuliko wewe ulie zaliwa afrika mashariki cause asilimia kubwa ya maneno ya kiswahili ni kiarabu

    • @FatwimaZahrau
      @FatwimaZahrau 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-mq6lu2po3ykiarabu kiliingia baadae kwenye lugha ya kiswahili lakini kiswahili kilichotoka shungwaya hakukua naneno lakiarabu hata moja

  • @AlMakori
    @AlMakori 2 ปีที่แล้ว +5

    Kunao Wakenya wengi wanaozungumza Kiswahili vema. Hata Watanzania wanatofautiana lafudhi. Tukienzi Kiswahili

    • @karyori69
      @karyori69 2 ปีที่แล้ว

      "wanazungumza Kiswahili vyema"!

  • @dennismacdenniton5943
    @dennismacdenniton5943 2 ปีที่แล้ว +4

    Juzi uliona Kati kufanya kiswahili kutumiwa bungeni uliona walitoa wanafalsafa tokea Tanzania.... Ilihali pwani Kuna waswahili 😳😳😳

  • @dorothyjuma5573
    @dorothyjuma5573 ปีที่แล้ว +1

    Umenena kweli ndugu. Kiswahili ni lugha kutoka kwa jamii ya waswahili wa Kenya. Kosa lilitokana na Kenya kutilia maanani lugha geni ya mabwenyenye ilhali Nyerere kuitilia maanani Kiswahili kwa kuwa ni lugha ya kiafrika. Tanzania vilevile Wana watu wa bara ambao wanaichanganya lugha za mama na Kiswahili na kubadili lahaja.

  • @miltonjohn9779
    @miltonjohn9779 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wew mwenyewe hapo tayari unachapia kiswahili

  • @user-ts1kz1lw9p
    @user-ts1kz1lw9p หลายเดือนก่อน

    Lau utaelewa kiswahili vizuri utajuwa watanzania wanaharibu sana kiswahili

  • @ajesai2477
    @ajesai2477 2 ปีที่แล้ว +3

    Huku Kenya kiswahili kinaongelewa maofisini, shuleni na shehemu zote za umma, Tatizo ni kua kukitaka kua (official) lazima utumie English ndio uonekane pia wewe umesoma. Wenzetu watanzania wanakitukuza kiswahili mpaka mtu wa kawaida huko anajua kiswahili vyema kumliko mkenya. Jamani wakenya tukitukuze kiswahili

    • @plugofcoolshorts
      @plugofcoolshorts ปีที่แล้ว

      Kama Mkenya mtoka bara, wacha upuzi nanii. Unakulanga Kiswahili?

  • @user-mq6lu2po3y
    @user-mq6lu2po3y 2 ปีที่แล้ว +2

    Kusema la ukweli kiswahili Cha Zanzibar mjini ndio kiswahili sahihi na hata hicho kiswahili Cha Tanzania bara hakiko sahihi kutoka na matamshi yao

  • @graciousakida3811
    @graciousakida3811 2 วันที่ผ่านมา +1

    Muwamba Ngoma ngozi huvutia kwake!!!
    " Wakaitukua"? Au wakaichukua?

    • @graciousakida3811
      @graciousakida3811 2 วันที่ผ่านมา

      Eti " nthe ndani" au nje ndani? Mbona bado sana

  • @b.truthful
    @b.truthful 2 ปีที่แล้ว

    Swadakta !

  • @christopherochieng2518
    @christopherochieng2518 2 ปีที่แล้ว +3

    Chamuhimu ni kuelewana ,

  • @kckc8178
    @kckc8178 2 ปีที่แล้ว +4

    wabarawa kutoka kenya na Tanzania wote hawajui kiswahli, lakini wapwani wakenya na Tanzania wanajuwa kiswahili vizuri sana

    • @davidngwesa
      @davidngwesa 2 ปีที่แล้ว

      Mimi ni Mbara kutoka Tanzania lakini ninajua Kiswahili kuliko Wapwani wengi. Halafu siyo "wanajuwa" bali ni "wanajua".

    • @abubakarkassim4161
      @abubakarkassim4161 2 ปีที่แล้ว

      @@davidngwesa nilivo Anoka nipo sawa kwa lahaja ya Zanzibar mjini na ulivyo nijibu ukosawa kwa lahaja mulioilazimisha ili mujipe ubora kwa kiswahili kibovu munacho jivunia

    • @davidngwesa
      @davidngwesa 2 ปีที่แล้ว

      @@abubakarkassim4161 Lahajja ya Zanzibar mjini ni ipi? Kimakinduchi? Kipemba? au Kiunguja? Kiswahili kinachozungumzwa bara msingi wake ni Kiunguja. Mtu yeyote anayeongea Kiswahili kinachoitwa "sanifu" ànaongea lahaja ya Unguja. Hilo si sisi tulioliweka Ila ni hao Waingerezaa waliokutawwla ndiyo waliolianzisha. Pili, mabaraza ya Kiswahili ya Kenya, Zanzibar na Tz bara hishirikiana katika kupanua na kuingiza misamiati mipya ya Kiswahili. Hivyo basi, tofaiutisha Kati ya Kiswahili Cha mitaani na Kiswahili fasaha. Unaodai kuwa wanaharibu Kiswahili no wale wasiozingatia kanuni za Kiswahili fasaha. Wewe mwenyewe unaandika kama mtu ambaye hajafika darasa la nne. Jifunze Kiswahili vizuri halafu baadaye uje kwenye jukwaa Kama hili kukosoa watu. Hata Mombasa, Zanzibar na maeneo mengine ya pwani Kuna watu wengi tu msiokijua Kiswahili vizuri na mnakiharibu Kila kukicha. Kuwa na lafudhi ya inayosikoka vizuri haimaanishi Kiswahili Chako pia kimenyooka!!

    • @abubakarkassim4161
      @abubakarkassim4161 2 ปีที่แล้ว

      @@davidngwesa sass hiya unalazimisha ndio maana Tukawa tuna lalamika kiswahili cha dar na Zanzibar mjini ni vitu viwili tofauti kiswahili cha Zanzibar mjini ndio hicho munachokiita swahili Arabic lakini hivi sasa watanganyika hamki taki kwa sababu munazo zijuwa nyinyi dio manana silbas ya kiswahili vitabu vinavyo someshwa skuli nivitabu vilivyo beba kiswahili cha dar mjini ili kukifanya kiswahili kiwe kibantu na lahaja ya asili imebeba lugha mila tamaduni na desturi na lahaja ya Tanganyika ambayo munajisifia kiswahili kimekuwa imebeba manene ya kuzungumza tu ndio maana kiwembe cha kuchongea penseli mukaita kifirio. Na maneno ya ajabu tele kudadavuwa na kududuvuwa itafika wakati na hili neno swahili itabidi mutafute jengine kwani hili si lenu maneno munayo yaita ya kale yamebeba mila desturi na tamaduni pamoja na historia ya hao waswahili kiswahili kilifika Tanganyika baada ya muingereza na mjerumani kuhitaji lugha inayo andikika tu lakini hii lugha ina wenyewe Leo Zanzibar inapoteza utalii wa kihostoria baada ya kupoteza lugha ndio maana maneno kama nahoza asili yake Iran hayahaya China friji muingereza gari kiarabu chai kihindi mbali mithamiati na maneno ya waswahili ya waswahili wa yamekusudia kujenga jamii bora lakini munatuchanganya na maneno ya ajabu wakati watanganyika muna lugha zenu za asili ndio manana ukienda bukoba kuna kamusi kihaya na kiswahili ukienda mwanza kuna kamusi kisukuma na kiswahili ukienda arusha swahili na kichaga nyinyi muna Linda chenu lakini sisi munatuharibia chetu kwa nyimbo kukuwa kwa lugha Mara zote grama inakuwa grama na lugha ya mitaani inabakia kuwa lugha ya mitaani neno vimsimu sijuwi mumelitowa wapi

    • @davidngwesa
      @davidngwesa 2 ปีที่แล้ว

      @@abubakarkassim4161 wewe ulitaka Kiswahili kibaki katika eneo dogo linaloitwa Zanzibar? Haliwezekani Hilo Jambo. Jinsi Kiswahili kinavvyoenda mbali ndivyo kinavyobadilika. Ndiyo maanda Sasa kun Kiswahili fasaha ambacho msingi wake ni hiyo lahaja ya Kiunguja. Kama nilivyosema mwanzo, uandishi wako na matamshi yako, hayaakisi uwezo umahiri katika lugha ya Kiswahili hivyo hauna uhalali wowote wa kulalamika Wala kukosoa wazungumzaji wengine wa Kiswahili kutoka bara ambao nao wanazungumza Kiswahili Kama lugha mama. Nahoza au nahodha? Kuna makosa mengi Sana kwenye uandishi wako, kitu ambacho kinaonyesha kuwa hauna umakini Wala hauenzi utamaduni na lugha ya Kiswahili ipasavyo.

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz หลายเดือนก่อน

    Mjomba kubali tu mlikuwa hivo ila kwa sasa mnakubatia sana uzungu so mumepitwa sanaa kiswahili kipo sana Tanzania hasa znz wako vizur

  • @magambowiga4953
    @magambowiga4953 14 วันที่ผ่านมา

    Sidhani kama mtizamo wa mnenaji una ukweli ndani yake

  • @snownfire
    @snownfire 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama mkenya nafahamu umuhimu wa kuzungumza kiSwahili kizuri. Nitatumie Kila nafasi niipatayo kuhubiri umuhimu wa kiSwahili na kupinga vitendo ambavyo vinachangia Kuzorota kwa lugha

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 4 หลายเดือนก่อน

      Sio kuzorota kiswahili, Bali ni kuzorotesha kiswahili

  • @ramadhanmusa2878
    @ramadhanmusa2878 2 ปีที่แล้ว +3

    Watanzania watu wa MOLOGOLO ALUSHA 😂😂 Yani balaa kutamka maeneo Yao pia hawawezi

    • @iskiji1240
      @iskiji1240 2 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo ni athari ya lugha za kikabila. Sisi watu wa ukanda wa nyanda za juu kusini(Mbeya, Iringa, Njombe, songwe) hatuna baadhi ya herufi katika makabila yetu mfano sisi wanyakyusa hatuna R, V, na B kwahiyo lazima tupate shida. baadhi ya wapemba na watu wa kusini(Lindi na mtwara) hawana herufi M, badala ya kusema mke husema Nke. Hivyo kila kanda ina mapungufu ambayo ukisikiliza lazima ucheke.

    • @mbwanakiting7180
      @mbwanakiting7180 2 ปีที่แล้ว +1

      Morogoro...Arusha...sio Kama ulivyoandika

    • @ramadhanmusa2878
      @ramadhanmusa2878 2 ปีที่แล้ว

      @@mbwanakiting7180 we unaongea nn skuelewi

    • @mbwanakiting7180
      @mbwanakiting7180 2 ปีที่แล้ว +1

      Umeandika Mologoro sio nimorogoro..alusha sio ni Aushs

    • @ramadhanmusa2878
      @ramadhanmusa2878 2 ปีที่แล้ว

      @@mbwanakiting7180 c ndivyo mnavyo tamka

  • @paolo4584
    @paolo4584 2 ปีที่แล้ว +3

    Sababu za kiisimu, Kiswahili kimetokana na muingiliano kati ya Wabantu na Waarabu. Sasa ukiangalia kati ya kenya na Tz, Tz zaidi ya 80% ni Wabantu. kwa Upande wa wa kenya kuna jamii nyingi sana e.g Niloti, Semitic, Cushitic na asilimia ya Wabantu sio wengi kama walivyo hzo jamii zingine.

    • @zuhurahkhamis4257
      @zuhurahkhamis4257 2 ปีที่แล้ว

      Bantu ndio wengi Kenya

    • @abdallahmohammed6079
      @abdallahmohammed6079 2 ปีที่แล้ว

      Wapi asili ya wabantu

    • @paolo4584
      @paolo4584 2 ปีที่แล้ว

      @@abdallahmohammed6079 Congo basin

    • @abdallahmohammed6079
      @abdallahmohammed6079 2 ปีที่แล้ว

      @@paolo4584 asante.

    • @snownfire
      @snownfire 2 ปีที่แล้ว +1

      Sikubaliani nawe kabisa. Si lazima mtu awe na kiasili ya kibantu Ili aweze kuzungumza kiSwahili kizuri. Najua wabantu wengi ambao hawaongei kiSwahili kizuri. Kwa mfano, je wajua kwamba mwandishi mashuhuri wa vitabu vya kiSwahili vinavyotumika sana katika mashule ya Kenya, Bw. Wallah bin Wallah anatoka katika jamii ya kiLuo? Poa mwanamziki Otile Brown ambaye nyimbo zake anazitunga mwenyewe na kuziimba kwa kiSwahili. Mimi pia ni mluo, na mimi hushangaa naposikia wakisema kwamba hatuwezi kuzungumza lugha vyema. Kibantu, kinailotiki, kikushiti isiwe kisingizio la Kuzorota kwa lugha

  • @ayubutewele5241
    @ayubutewele5241 2 ปีที่แล้ว +4

    Wakenya wanaongea kiswahili kisichosanifu, wanaongea pamoja na kiingereza

    • @zuhurahkhamis4257
      @zuhurahkhamis4257 2 ปีที่แล้ว

      Kuna kiswahili na kuna sheng that's different

    • @mocua2910
      @mocua2910 2 ปีที่แล้ว

      Wewe kiswahili sio uliopewa na mwenyezi Mungu. Afrika yote ni makabila ndio yaliotangulia kwanza.

    • @cepha30
      @cepha30 2 ปีที่แล้ว +1

      Ata watanzania wapi wengi hawajui kiswahili

    • @dylankanyubi3700
      @dylankanyubi3700 ปีที่แล้ว

      Umenena ukweli na mimi kama Mkenya, suala hili huniaibisha sana.

  • @prospermpangala1828
    @prospermpangala1828 2 ปีที่แล้ว +1

    5:58
    Kindikindaki

  • @nelsonukaishajr
    @nelsonukaishajr 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂 "sipangwingwi" hata Kenya tunajua si sanifu.. Lakini bado tunatumia maneno kama haya haswa sisi vijana. Kenya ukizungumza kiswahili sanifu ama lahaja za kipwani unaambiwa "we mtangazaji wa habari"

    • @zuhurahkhamis4257
      @zuhurahkhamis4257 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣Msoma habari

    • @mubatsievonne4649
      @mubatsievonne4649 3 หลายเดือนก่อน

      Broadcaster ni mtangazaji wa habari aisee!, Wacha kutuchanganya.

  • @Sein169
    @Sein169 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanangu wa chugar hii mambishe imekaaje nakuwa kama simsomi jombi anabofonga nin

  • @pendonoor8869
    @pendonoor8869 2 ปีที่แล้ว

    Usiku na mchana, ndungu yangu!

  • @yasserashur4102
    @yasserashur4102 2 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania kwa nn hawajui kutamkaa njoo pwani uskie kiswahili acheni maneno ya kangaa

    • @cepha30
      @cepha30 2 ปีที่แล้ว

      Waambie

    • @mwanakupona
      @mwanakupona 2 ปีที่แล้ว

      Hawaii vipi kutamka na kamusi zimeandikwa tz.kenya Kiswahili ni pwani tu.huko bara kijijini hata ulisema Kiswahili MTU yuakuangalia hivi hivi!

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni lafudhi sio kutojuwa kutamkwa. Kila semu ina matamshi yake. Lugha ya kiswahili haikunza Zanzibar . Tunajuwa hamupendi kuambiwa hivyo . Ujuwaji mwingi hii ndio shida mulionayo wengi wenu.

  • @mhandomhina5503
    @mhandomhina5503 หลายเดือนก่อน

    Lugha yoyote sifa yake kuu namna inavyobadilika matendo nyakati zijazo,zilizopo,zilizopita,n.k. na hii ndio asili sahihi yalugha ya kujua wapi kimetokea. Hivyo basi ktk sifa hii ni lugha za kibantu pekee zimechukua sifa hiyo ya mfanano na kiswahili ktk namna ya tenzi na viambishi vinavyoshabihina katika sentensi nani anabisha na alete mfano wake wa lugha ya kwao inayofanana na kiawahili ktk haya viambishi? Wabantu wabantu wa Kongo,Tanganyika,n.k hawa ndio wenye Kiswahili chao japo wanashida ya kutamka maneno na kuzipata herufi kwa usahihi kama inavyoelezwa kuwa matamshi ya ufasaha yanapatikana Unguja hatukatai ila Kiswahili japo kina maneno mengi ya kigeni ambayo hayatusaidii kuzungumza lugha hizo sababu viambishi ni vya kibantu, nisisitize Kiswahili kilitoka bara.

  • @dodwiedwin3944
    @dodwiedwin3944 ปีที่แล้ว

    Tanzania bara ambao hawajui kiswahili ni kwa sbb ya rafudhi tu na siyo kwamba hakijui Moja kwa moja

  • @abubakarkassim4161
    @abubakarkassim4161 2 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo kubwa kiswahili Tanzania bars wamewanyanganya wazanbari na Mombasa ndio mpaka silbas ya kiswahili wanaitunga wao wanalazimisha kuingiza maneno ya ajabu kulazimisha. Maneno ya kitanganyika kuchukuwa nafasi ndani ya àmusi nakuyaondowa maneno ya asili na wazanzibari wamerizika na hilo baada ya miaka miwili tanganyika itajisifia wao ndio wanazumza kiswahili sarifu na wakati sio kweli wanatumia mbinu nyingi kupinga kiswahili cha zanzibar na mombasa kwa lengo la kulazimisha kiswahili eti ni kibantu lengo. Udini kwa na hili neno swahili wabadilishe vilevile kwani hii lugha wao ñi lugha yao ya pili watupe nafasi mombasa kismayuu na zanzibar tulinde lugha yetu waache ukoloni mambo leo

    • @davidngwesa
      @davidngwesa 2 ปีที่แล้ว +1

      wamerizika? au wameridhika? unajisifia kuwa wewe ndiyo Mswahili wa kweli na hii ni lugha yako ya kwanza lakini unaandika makosa. "kurizika" ndiyo Kiswahili gani hicho tena? neno sahihi ni RIDHIKA siyo RIZIKA. Wazanzibari na Wamombasa wanaoharibu Kiswahili kama wewe ni bure kabisa!

    • @iskiji1240
      @iskiji1240 2 ปีที่แล้ว

      Lahaja iliyokubalika kutumika Tanzania ni kiunguja sasa hayo maneno ya kitanganyika yanatoka wapi. Huwezi zuia lugha kukua, ikitokea wagogo wana neno zuri la kitu ambacho kwa kiswahili hamna basi sio vibaya kulichukua.

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 2 ปีที่แล้ว

      @@davidngwesa Wa Mombasa wameharibu vipi kiswahili? Tupatie mfano wa kimomobasa ulioharibu lugha ya kiswahili.

    • @davidngwesa
      @davidngwesa 2 ปีที่แล้ว

      @@hassanalhussein3982 kwani hsukasoma makosa niliyoainisha wakati "nikicomment" Mara ya Kwanza? au haujaona makosa yaliyoandikwa kwenye hii thread? Unataka mifano Kama ipi?

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 2 ปีที่แล้ว

      @@davidngwesa Hicho ulichokirekebisha si lahaja ya kimomobasa. Hapo umekosea ndugu. Sisi watu wa Mombasa hatusemi " wamerizika" huyo uliemtowa makosa si wa Mombasa .

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 2 ปีที่แล้ว

    Kenya wameuwa kiswahili kwanza bara zaidi Nairobi wamechafua kiswahili sana , wale hawaongee kiswahili tena wanachanganya lugha sanifu sahihi cha kiswali na sijui kingereza kijalu sijui kikuyu wapi jameni kiswahili kina kufa kiswahili kenya wale hawaongei tena kiswahili wana ongea kiswahili kichafu mno sana . pwani laye wana lahja chingine badala aseme njoo anasema ndo mina ona lugha sahihi wanaongea tanzania.

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 2 ปีที่แล้ว +1

      Kiswahili safi ni ndo sio njoo. Mtu wa pwani ya Kenya akitamka" mtoo" (pillow ) anatumia "T" hafifu na akisema mto ( River) anatumia "T" yeye uzito hapa mtu anatafautisha neno Kwa urahisi kulingana na matamshi. Mfano mwengine kucheka sisi tunasema kuteka hapa tunatumia "T" dhaifu yaani bila mkazo . Tukisema " kuteka maji " tunatumia "T" ilionauzito . Kwa hivyo hiyo lugha munayo itumia nyinyi inatumika Kwa maandishi Kwa kutumia herufu za kiroma. Ukitumia harufu za kiarabu kuandikia lugha ya kiunguja inaleta matatizo ya kueleweka . Mfano katika herufu za kiarabu hakuna tamshi lenye kutamkwa (Cha) Cheka utaandika vipi? ( Laugh) . Kwa hivyo lugha ya kiunguja inatumika Kwa kuandikia vitabu na walioanzisha haya ni hao wakoloni ili kuondowa hati za kiarabu zisitumike Kwa maandishi ya kiswahili lengo lao nikuondowa athari za uislamu katika pwani ya Africa mashariki. Kwa hivyo matamshi yako haya maanishi kuwa ni kiswahili safi. Hizo ni lafudhi sio kuwa ni ubora. Nasikiza Tarabu za kizanziberi ndani ya hayo mashairi yapo maneno mengi yenye asili ya Kiamu.

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 2 ปีที่แล้ว

    Kila Nchi inaongea lugha yake ukikwenda farasa wanaongea kifaransa ukikwenda ujerumani wanaongea lugha yao ya kijerumani ukikwenda scandinevea kila moja ana lugha yake na wote lugha yao ya kitaifa ni lugha yao ya mama ukimkuta mjerumani kwao uongee na yeye kingereza ana ringa ukimpata mfarasa pia ana ringa la lugha yake hataki kuongea kingereza warusi vile vile spanish vile vile wa griki vile vile sasa wakenya ndo wame potea hawana lugha yao ya kitaifa wana ringa na kingereza ni kweli hapo nimekubaliana na wewe ukikwenda maofisi kenya wana ringa na kingereza hawaongei kiswahili utafikiria wamezaliwa na hiyo lugha na hata hawana lahja nzuri wengine ukiwa bungeni vile vile, jameni tukuzeni kiswahili muihifhadi ni lugha zetu wote kingereza sio lugha yetu na wacheni kuringa na lugha ya kikoloni.

  • @fideltuda4678
    @fideltuda4678 2 ปีที่แล้ว

    Kenya si huwa tunaongea sheng ni mchanganyiko was kiswahili, kingerezea na hizo makabila za Kenya. Sisi Bora tunaelewana na tunajenga nchi yetu, watanzania wanakijiona mabingwa wa kiswahili ni mzuri lakini sisi wakenya hio haiwezi tukosesha usingizi.

    • @AthmanHamid-gx2bn
      @AthmanHamid-gx2bn 2 หลายเดือนก่อน

      Nairobi sio kenya kwa jumla..nyinyi wabara mumeharibu lugha ya kiswahili kenya

  • @naima5220
    @naima5220 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo no jibu aka swali

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 2 ปีที่แล้ว +2

    Sio kindiki ndaki ni kindakindaki🤣🤣

  • @yussufmwinyi4604
    @yussufmwinyi4604 2 ปีที่แล้ว +3

    Angelisisitiza pwani ya kenya wala sio kenya. Ukweli ni kuwa kenya bara hawakijui kiswahili.

    • @dhakomodherooherokoko6037
      @dhakomodherooherokoko6037 2 ปีที่แล้ว

      Tunahitaji pesa zaidi ya kiswahili

    • @anwarsaid9579
      @anwarsaid9579 2 ปีที่แล้ว

      @mnc wamijikenda kiswahili waongea vzr xana coz maneno mengi ya kimikenda yanatumika pia kenye kiswahili

    • @anwarsaid9579
      @anwarsaid9579 2 ปีที่แล้ว

      @mnc hao ni wamijikenda wa wapi

    • @anwarsaid9579
      @anwarsaid9579 2 ปีที่แล้ว

      @mnc lazima nikulize coz nashangaa ati mpwani hajui kiswahili ndio nauliza hao ni mijikenda wa wapi

    • @anwarsaid9579
      @anwarsaid9579 2 ปีที่แล้ว

      @mnc mm ninavyo jua mm hapo wao mijikenda kila kabila lina lafidh yake ya kiswahili ata hao wagiriama na waduruma wana lafidh zao za kiswahili

  • @shaqdizo7678
    @shaqdizo7678 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 huyu jamaa mwenyewe hata kuongea kiswahili kinamzingua 😂😂

    • @mubatsievonne4649
      @mubatsievonne4649 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kiswahili ni ndimi yake asilia, kwanza angalia maana ya neno zingua, na matumizi yake kabla ya kumkosoa mtu.

    • @shaqdizo7678
      @shaqdizo7678 3 หลายเดือนก่อน

      @@mubatsievonne4649 angalia asilia ya kiswahili ilipotokea wewe wacha kudanganya watu angalia the real wasawahili and their unique civilization ..KILWA TANZANIA CIVILIZATION..nenda ukajionee wacheni ujinga wenu wakenya nyie Kwanza mnabaguana wenyewe kwa wenyewe

  • @gracejulius3966
    @gracejulius3966 2 ปีที่แล้ว

    Nimependa Kiswahili chako na ufafanuzi wako

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 2 ปีที่แล้ว +1

    Kosa kubwa mlilofanya Kenya ni kudharau kiswahili na kutukuza kiingeleza.Hamkuipa hadhi yake stahiki.

    • @naima5220
      @naima5220 2 ปีที่แล้ว

      Hatukudharau hapo umekosea, kiingereza ndio ilikuwa official language, alafu sheng imeharibu

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 2 ปีที่แล้ว

      @@naima5220 Aliyeidhinisha kiingeleza kiwe official ndio kawasababishia matatizo.

    • @davidngwesa
      @davidngwesa 2 ปีที่แล้ว

      @@uledimtumwa2406 KiingeLeza au KiingeReza??

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 2 ปีที่แล้ว

      @@davidngwesa EngLish
      InkLizia
      KiingeLeza.Hiyo R unaiweka kima kosa.

    • @davidngwesa
      @davidngwesa 2 ปีที่แล้ว

      @@uledimtumwa2406 kwenye kamusi inatumika R. Hivyo uandishi na matamshi yenye L hayako sahihi!

  • @chrisogonas
    @chrisogonas 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nasema hakuna lugha imekwamilia mahali. Lugha lazima inabadilika na wakati na CONTEXT. Wacha watu waendelee kuongea na kulitengeneza Swahili according to their needs. Swahili, as we know, has origins from Bantu and Arabic. Yaani iko na mwanzo wa mchanganyiko. Haiwezi kwamilia ile original lugha. Ni kama tu wale group ya Luo Kenya na Acholi Uganda; wote wanaongea lugha moja, lakini iko tofauti kwenye pronunciation, or in many cases, hata majina ya vitu. Language is never static; it is progressive, and so in my opinion, much as Wa'Tanzania wanajua kuongea lugha ya Kiswahili vizuri sana, we cannot argue of ghani katikati ya Swahili ya Kenya na ile ya TZ iko bora kushinda ingine; ZOTE ni Swahili na zote ni sawa as long as kila upande imekubali ku-formalize hiyo kama njia imekubalika ya communication. Kitu muhimu sana ni kwamba mtu akiongea Swahili, ikiwa ametoka DRC, Kenya, Uganda, TZ, ama popote, lugha inaeleweka. Finally, Wa'Kenya wengi wawache kuona Kiswahili kama siyo lugha ya maana. Much as we love it, speak it, I feel there is need for more Kenyans to embrace the language in all spheres. Swahili ndiyo lugha yetu asili ambayo tunafaa tuipende na tuikuze nambari moja.

    • @daniellaelsie744
      @daniellaelsie744 2 ปีที่แล้ว

      hakuna mahali mtu ameajiri coz anajua swa

    • @tropols11
      @tropols11 2 ปีที่แล้ว +1

      nakubali na wewe!

    • @user-mq6lu2po3y
      @user-mq6lu2po3y 2 ปีที่แล้ว

      Zanzibar mjini ndio wanaongea kiswahili fasaha

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 2 ปีที่แล้ว +1

      Umeandika uzuri maelezo lakini mchanganyiko wa lugha mbili katika kiswahili haipendezi. Haya ndio matatizo yaliopo Kenya . Kiengereza kimethaminiwa sana kuliko lugha ya kiswahili. Wa Luo walioko Tanzania wanaongea kiswahili kizuri kuliko walioko Kenya na Uganda. Kenya ndio iliovuruga kiswahili wanathamini kiengereza sana.

    • @chrisogonas
      @chrisogonas 2 ปีที่แล้ว +1

      @@hassanalhussein3982 hehehe nakupata kaka, lakini vile nimenena hapo kwenye maandiko wangu, lugha inakuwa na wakati, yaani language evolves; it is not static. Ni hiyo ndiyo sababu unapata Sheng' inapata umaarufu sana Kenya juu inachanganya Swahili, Kiingereza, lugha zetu za Afrika, na kadhalika. Lazima tukubali lugha inabadilika juu ni watu wanaouongea ndiyo wanaouchangia. Pamoja kaka!

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 7 หลายเดือนก่อน

    Usiwandanganye watu kua kiswahili kwamba kina mahali kilipotokea Ra hasha ...!

    • @FatwimaZahrau
      @FatwimaZahrau 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sio RA hasha ni LA hasha

  • @SafariBuddyTanzania
    @SafariBuddyTanzania 2 ปีที่แล้ว

    Wewe tu kinakupa shida, hilo neno ni kindakindaki 😂😂 sasa kama kilianzia huko iiweje hamuwezi kukiongea kaeni kwa kutulia kabisa maana mmeona lugha tumeshaikuza ndio mnaanza kuona kina umuhimu sasa 😂😂😂

    • @zuhurahkhamis4257
      @zuhurahkhamis4257 2 ปีที่แล้ว

      Sasa unaongea nini? 🙄 🙄

    • @SafariBuddyTanzania
      @SafariBuddyTanzania 2 ปีที่แล้ว

      @@zuhurahkhamis4257 Kiswahili

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Durusu au darasa ?!🙆‍♂️ 😂😂

    • @SafariBuddyTanzania
      @SafariBuddyTanzania 2 ปีที่แล้ว

      @@j.c.maxima816 nakwambia 😂😂😂😂🙌🏾

    • @salimsaid88
      @salimsaid88 หลายเดือนก่อน

      amesema kindi kindaki (lahaja ya kimvita)ambayo ni sawa na kindakindaki. hicho ni kiswahili asili cha lahaja ya kimvita. ikiwa hujui jambo uliza

  • @mubasalu8470
    @mubasalu8470 11 หลายเดือนก่อน

    Mwanzo nilikua na mashaka lakini kadiri nilivyomsikiliza huyu mzee Wallah nimemfahamu khasaaa napenda laghaja hususan za kiswahili lakini nazijua chache tuu je nifanyeje,??

    • @durusukiswahili
      @durusukiswahili  11 หลายเดือนก่อน

      Anza kutafuta marafiki wanozungumza lahja mbalimbali shekh

    • @mubasalu8470
      @mubasalu8470 11 หลายเดือนก่อน

      @@durusukiswahili najitahidi lkn nimeishia wa hapa hapa Zanzibar tuu,hao wengine sijui nitawapata jee

  • @yahyasuleiman8806
    @yahyasuleiman8806 ปีที่แล้ว

    Umedanganya Kiswahili kimeanzia Unguja Zanzibar

    • @mubatsievonne4649
      @mubatsievonne4649 3 หลายเดือนก่อน +2

      Soma historia, Wacha upuzi.

    • @mhandomhina5503
      @mhandomhina5503 หลายเดือนก่อน

      yahyasuleiman8806🚮

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 7 หลายเดือนก่อน

    ? ????? Kiswahili hakina chimbuko lolote sehem kinapotokaBali ni kiswahili ni mjumuiko wa lugha za kibantu , kama vile kingoni, kisukuma, kigogo, pia Kuna tafsida za kiarabu na kingereza . Apo ndioo kiswahili kilivyopatikana

  • @daniellaelsie744
    @daniellaelsie744 2 ปีที่แล้ว +1

    watz wanajua tw kuongea but kuandika hio kiswahili hawajui nmesoma nao hapa Kenya

    • @davidngwesa
      @davidngwesa 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli wengi hatujui kuandika (wala kuongea Kiswahili). Lakini Wakenya wengi pia hawajui lugha zote - Kiswahili na Kiingereza.

    • @mzeeomarmzee9540
      @mzeeomarmzee9540 2 ปีที่แล้ว

      Unaumwa na utosi nini? Huenda umesoma na mazwazwa..kuna Mtanzania hajui kuandika kiswahili?

    • @daniellaelsie744
      @daniellaelsie744 2 ปีที่แล้ว

      @@mzeeomarmzee9540 any hakuna mahali kiswahili imeajiri mtu kazi za ofisi so usiniletee nyefnyef nkt

    • @mzeeomarmzee9540
      @mzeeomarmzee9540 2 ปีที่แล้ว

      @@daniellaelsie744 hii umeandika ni lugha gani na unamaanisha nini ?🤭🤭🤭 sijaelewa maandishi yako...

  • @talibsaid8096
    @talibsaid8096 หลายเดือนก่อน

    Bro usitudanganye kuwa kiswahili kimetokea kenya

  • @dodwiedwin3944
    @dodwiedwin3944 ปีที่แล้ว

    Sipangwagi au hatupangwagi na siyo sipangwingwi

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 4 หลายเดือนก่อน

      Ni sipangwagi au hatupangwagi. Sasa wao wanasema sipangwingwi.

    • @rajabumatuwira8792
      @rajabumatuwira8792 23 วันที่ผ่านมา

      Huwa sipangiwi ndo sahihi

  • @ramyali6347
    @ramyali6347 2 ปีที่แล้ว +5

    Kama mzanzibari niliyekutana na wakenya wengi wa pwani na wabara, naweza kusema wakenya wengi Kisw hawajui. Nimekutana na wa pwani wanaongea kiswahili na maneno hata hayamo kwenye kiswahili, ila lahaja yao ya kimvita inakaribiana na KIUNGUJA . Kwa upande wa Zanzibar, pia tuna lahaja zaidi ya Tatu lakini linapokuja suala la kuzungumza kisw sanifu lahaja moja tu ndiyo hutumika . Lahaja ya kipemba, kihadimu na kitumbatu Huzungumzwa kwenye eneo husika na watu husika maana maneno hutafautiana Ila lafudhi yao ndiyo humtambulisha mtu anatokea wapi. Hivyo , kuwa na lahaja yako siyo sababu ya kuongea Kisw kisicho rasmi huo ni uvivu na ugulagula.

    • @durusukiswahili
      @durusukiswahili  2 ปีที่แล้ว

      Jibu amekupa Bi Amira th-cam.com/video/19K3gGmXpA0/w-d-xo.html

    • @ramyali6347
      @ramyali6347 2 ปีที่แล้ว

      @@durusukiswahili Sasa niliokutana nao na huyo Bi Amira ni tofauti . Bi Amira anazungumza kiswahili fasaha chenye kufuata kanuni zote za ngeli na upatanisho wa kisarufi na maneno mingi ni sawa na Kiunguja tunavyo yatamka.

    • @ramadhanmusa2878
      @ramadhanmusa2878 2 ปีที่แล้ว +2

      We mrongo...lugha imeanza shungwaya LAMU na Somalia,, uko kwenu zenj mnabaati kupata makombo ya uswaili

    • @ramyali6347
      @ramyali6347 2 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanmusa2878 shungwaya sio lamu mjinga wewe. Rudi shule ukasome ndiyo ubishane na mtu aliyekuzidi hadi maarifa na kila kitu.

    • @ramadhanmusa2878
      @ramadhanmusa2878 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ramyali6347 shungwaya ni uko kwenu Pemba eeh😂😂mshamba Tu ww huna maarifa yoyote

  • @eastzooadmin6416
    @eastzooadmin6416 2 ปีที่แล้ว +6

    Kizanzibari ni lugha mseto tu (standard) Sheikh wangu, sio lugha asili. Afu Tanzania bara wameharibu kabisa. Kiswahili kimeanzia lamu na maeneo mengine ya pwani ya kenya kisha ndo kikashuka pemba, unguja na na maeneo mengine ya pwani ya Tanzania. Chunguza vitabu na mashairi ya zamani kabisa ya kiswahili, yaliandikwa kiarabu na lahaja zilizo tumika ni mbili tu, kiamu na kimvita. Kwahiyo ukitaka lahaja/lafudhi asili haswa ya lugha hii, ni sharti urudi Kenya .

    • @snownfire
      @snownfire 2 ปีที่แล้ว

      Ahsante kwa taarifa hii

    • @lifestyletv4338
      @lifestyletv4338 2 ปีที่แล้ว +1

      Sema pwani sio Kenya yote ww

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 2 ปีที่แล้ว

      Sisi huku TZ haturudi Kenya, tunaenda Zanzibar. Wana Kiswahili bora kuliko wote hao!

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 2 ปีที่แล้ว

      TZ bara tumeharibu nini? Wacha maneno yako wewe... Kiunguja ndicho Kiswahili bora hata Wazungu waliamua kukitumia kusanifishia Kiswahili Afrika Mashariki. Wasema nini wewe?

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 2 ปีที่แล้ว +2

      @@TamuzaKale eti, wazungu, wacha utumwa kaka...

  • @receptionifabeach1329
    @receptionifabeach1329 2 ปีที่แล้ว +1

    Zanzibar island ndo kiswahili sanifu

  • @mojambili637
    @mojambili637 2 ปีที่แล้ว

    Ukabila unawaponza wakenya kwa lazima uongee lahaja yako,.

    • @cepha30
      @cepha30 2 ปีที่แล้ว

      Sasa ukabila umeingilia wapi

  • @mrok284
    @mrok284 2 ปีที่แล้ว

    Nyie waswahili musituzonge hakuna lugha isiyo tafauti. Achani kujidhara. Kiswahili chetu sanifu tukienzi na lahaja zetu tusiziwache zikapote. Mimi kiswahili sanifu kipo mkononi zaidi ni kisema nasema kipemba😂

    • @s.n3733
      @s.n3733 2 ปีที่แล้ว

      😅😅

    • @s.n3733
      @s.n3733 2 ปีที่แล้ว

      Wakenya wengi kwenye suala la Kiswahili wanapo kutana na watanzania mkenya hukaa pembeni,

    • @FatwimaZahrau
      @FatwimaZahrau 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@s.n3733Sasa ikiwa hamuelewi lahaja zawatu wengine sinitakaa pembeni mana mm uzuri wa mswahili wa pwani yakenya anaelewa kiswahili chakila aina lakini nyinyi mnajua hicho hicho kimoja tu
      Mathalan mswahili wa pwani yakenya anajua mahamri na mandazi kwamba nihakitu kimoja
      Lakini nyinyi hamjui kama mahamri ni mandazi mnajua mandazi tu😂

  • @immanuelKibett
    @immanuelKibett ปีที่แล้ว

    hapa kenya kwetu kiswahili ni lugha ya walevi buana😅😅

  • @karyori69
    @karyori69 2 ปีที่แล้ว

    Unatetea vipi neno sipangwigwi? Halafu unadai unaongea Kiswahili sanifu? Kiswahili sanifu ni Sipangwi!! Bwana Mvita tafuta lugha moja kati ya nyie mnaoongea lahaja za Kimvita, Kiamu, Chimwiini, Kibajuni n.k.t kabla ya kuja kujitamba na ujuzi wa Kiswahili!

    • @eddyrandu3127
      @eddyrandu3127 2 ปีที่แล้ว +1

      Hajatetea, alaa!
      Amesema tu, kwamba neno kama hilo watu wakilitumia kwa mda mrefu huenda likatoholewa

  • @mocua2910
    @mocua2910 2 ปีที่แล้ว +1

    Mfano. Kiingereza ni lugha inayotumika inchi nyingi ulaya lakini kiko tofauti.kuna
    (1)kiingereza lugha ya marekani.
    (2)kiingereza lugha ya UK
    (3)kiingereza lugha ya Australia.
    Yote ni lugha moja ila ni tofauti lakini wanaelewana sababu yote ni lugha ya kiingereza. Kwa hiyo hamna tatizo lolote kati ya kiswahili cha kenya, tanzania, congo, Rwanda, Burundi, mozambique au uganda. Yote ni kiswahili kumbukeni hapa africa nzima makabila ndio yaliyo tangulia kwanza wala sio kiswahili alafu lugha e.g (kiswahili) na zenginezo zikafuatia baadae. Na ikiwa kuna mtu anayejiita mswahili ndani ya afrika basi huyo sio muafrika bali ni mzungu kwa sababu ndani ya afrika hamna mlugha ni mkabila.
    Pia la ziada ni kwamba kiswahili ni lugha wala sio kabila na kilianza mwambao wa pwani ya afrika mashariki sio Zanzibari, Mombasa, lamu, Pemba wala Tanzania au Kenya. Sababu nyakati hizo hakukua na mipaka ya inchi barani afrika Ethiopia na Misri pekee ndio zilikuwepo.

    • @davidngwesa
      @davidngwesa 2 ปีที่แล้ว

      Kiingereza cha UK, US, Canada, NZ, Australia, na kadhalika, hakitofautiani ki-safuri (grammatically) bali ni katika baadhi ya misamiati (vocabulary) tu. Tatizo la Kiswahili ni kwamba, upande Kenya bara, na hata Congo, wanafanya makosa mengi kisarufi kuliko huku Tanzania. Kwa mfano: hii maji (Kenya bara), haya maji (Tanzania). Sentensi ya kwanza ina makosa ya kisarufi na haiwezi kuchukuliwa kama lugha sanifu. Hata kwenye somo la Kiswahili nchini Kenya sentensi hiyo haitapewa alama nzuri.
      Hivyo basi, unapozungumzia utofauti wa lugha moja kati ya eneo moja na lingine, nadhani ukizingatia tofauti za misamiati (vocabs), utakuwa unaeleweka vizuri. Kwa mfano, bibi (Kenya)-mke (Tanzania); nyanya (Kenya)-bibi (Tanzania)

    • @mocua2910
      @mocua2910 2 ปีที่แล้ว +1

      @@davidngwesa tembea kenya yote uelewe. Nyanya, bibi yote kenya wanatumia.
      Maji pia vilevile
      Wewe wacha kutafautisha wenye walio pitia shule na wasiopitia shule Bali ni lugha ya mitaani tu.
      Sasa tuingie ulaya kuna maneno mengi sana ya kiingereza yako na matamshi tofauti kwa hizo inchi za ulaya sio siri kwa hiyo tofauti hiyo hiyo pia iko hapa africa mashariki.
      Ndio maana wengine wenu hutofautisha sheng na kiswahili cha tanzania hayo ni makosa makubwa. Kumbukeni kuna sheng(lugha ya mitaani) pia vilevile kuna kiswahili.

    • @davidngwesa
      @davidngwesa 2 ปีที่แล้ว

      @@mocua2910 Ninajua ninachokizungumza. Nimetembea sehemu kadhaa nchini Kenya: Mombasa, Malindi, Nairobi, Narok, Kajiado, Narok, Eldoret, na Kisumu. Pwani ya Kenya inazungumza Kiswahili kizuri (hapo siku hizi mnataka mfanane na wale wa Nairobi). Bara wanaongea Kiswahili kibovu kabisa kisarufi. Sheng ni lugha ya mtaani na ninalielewa Hilo vizuri Sana, hivyo sikutaka hata kuiweka kwenye mjadala hapa. Kisema "hizo viatu zako", hiyo sentensi ina vigezo vya kuitwa sheng? au ni Kiswahili kibovu tu? Si Kila mtu wa Nairobi ànaongea sheng. Narudia tena: makosa ya kisarufi hayawezi kuchukuliwa Kama utofauti wa lugha Kati ya eneo moja na lingine. Tuzungumzie utofauti wa kimisamiati hapa Kama hoja za msingi ili kuonyesha tofauti Kati ya Kiswahili kimaeneo. Hata hicho Kiingereza kinaonyesha utofauti wake katika vocabulary, si grammar. Msingi wa grammar ni uleule katika nchi zote zinazoongea Kiingereza Kama lugha mama. Nje ya hapo Kiingereza kinakuwa ni kibovu.

    • @mpendakiswahili3053
      @mpendakiswahili3053 2 ปีที่แล้ว +1

      @@davidngwesa nimekuelewa kabsaa ..Ni kweli kiswahili Cha bara ni kibovu kabisaa, kando na sheng, mzaliwa wa Nairobi bado yupo na makosa mengi ya ki sarufi...nimefurahia mfano wako manake hapo awali, sikuwahi tilia mkazo utofauti wa sheng na makosa ya kisarufi

  • @mambonawatu5362
    @mambonawatu5362 2 ปีที่แล้ว

    Inaposemwa Tanzania,Chimbuko Zanzibar ndio Kiswahili kao

    • @eastzooadmin6416
      @eastzooadmin6416 2 ปีที่แล้ว +2

      Zanzibar kiswahili kimeletwa na wabajuni kisha baadae muoman alipotawala ililazimika watu waongee kiswahili. Ila inabidi ujue kabla ya muomani kuja east Afrika, waongozi walikua wakizungumza kiswahili, hawana lugha nyengine isipokua kiswahili. Kwahio huo ni ushahidi kua kiswahili kiemanzia sehemu za lamu na Mombasa.

    • @ramyali6347
      @ramyali6347 2 ปีที่แล้ว

      @@eastzooadmin6416 Wangozi walizungumza kingozi na kutumia kiswahili kama lugha yao ya pili. Suala la waunguja na wapemba kuwa Wabajuni ni kweli japo baadhi yao tu. Na Kiswahili Zanzibar hakijaletwa na wabajuni wala waarabu... Zanzibar ndiyo mji mkongwe ktk pwani ya East Afrika kuliko lamu na miji mengine according to Unesco world heritage. Na wakati mwarabu Ibn batuta anatia miguu alishakuta wazanzibar wanaongea lugha zao.

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ramyali6347 Mji mkongwe katika pwani ya Africa mashariki ni Pate Moja katika visiwa vya Lamu . Sio Zanzibar Wacheni porojo zenu . Ujuwaji mwingi kwenye mitandao Hali yakuwa hamusomi tarehe.

    • @ramyali6347
      @ramyali6347 2 ปีที่แล้ว

      @@hassanalhussein3982 Bishana na hii siyo mimi. Labda na wewe ulete ushahidi wa kwako 💁. Usifunue mdomo tu na wewe ukaharisha, Soma kwanza. Kiherehere na feelings wachia Kijijini kwenu. en.m.wikipedia.org/wiki/List_of_oldest_continuously_inhabited_cities

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 2 ปีที่แล้ว

      @@ramyali6347 Ndugu ukitaka kufanya kumbukumbu usijipeleke kwenye wakipedia hutosoma kitu kutoka hapo. Utafiti wa tarehe hufanywa kwenye maktaba. Vitabu mbali mbali hutumika katika huo utafiti. Kwa hivyo unaposema jambo njoo na Ushahidi wa kitarehe. Wacha ukali uso na maana.

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 2 ปีที่แล้ว +1

    Asili ya kiswahili ni Tanzania acha polojo wewe

    • @mocua2910
      @mocua2910 2 ปีที่แล้ว

      Kaka lugha ya kiswahili kilianza eastern coast of africa not tanzania (mwambao wa pwani ya afrika mashariki) wala sio tanzania. Lugha hii ni tofauti kama vile kiingereza marekani, United Kingdom na Australia lakini wanaelewana bila kusutana
      Wewe jivunie kabila maana hiyo ndio ya waafrika wala sio lugha. Lugha ni ya kusomeshwa. Afrika nzima lugha zilikuja lakini kabila ndio yako ya yakiasili.

    • @cepha30
      @cepha30 2 ปีที่แล้ว

      Soma historia acha kuwa zumbukuku

    • @karyori69
      @karyori69 2 ปีที่แล้ว +2

      sasa nawe unaandika porojo polojo? vipi bwana?

    • @FatwimaZahrau
      @FatwimaZahrau 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hio polojo tu inamaanisha hakijaanza kwenu
      Ni porojo😂 sio polojo

  • @tonnyojambo1731
    @tonnyojambo1731 2 ปีที่แล้ว

    Muongo mkubwa wewe unakaa mtandaoni kudanganya watu

  • @peninacharles9757
    @peninacharles9757 2 ปีที่แล้ว

    Wee mzee kenge kweli .TANZANIA NDIO SWAHILI NATION

  • @MaryMary-ci2ek
    @MaryMary-ci2ek 2 ปีที่แล้ว

    Kiswahili ya kusaidia na nini. You have to advance as days goes by. Wewe kaa hapo hapo.
    As long as you understand what’s your problem. Learn English

  • @mwamudmohamed5566
    @mwamudmohamed5566 2 ปีที่แล้ว +3

    Kenya sisi tunataka pesa kiswahili haitusaidii na chochote

    • @JuniorGaddafi3978
      @JuniorGaddafi3978 2 ปีที่แล้ว +1

      Basi kaondoke hapa tuache sisi wenye twataka kuikuza lugha ashirafu ya Kiswahili!

    • @kidikeiv
      @kidikeiv 2 ปีที่แล้ว

      Bwana wewe bado hujajielewa!

    • @JuniorGaddafi3978
      @JuniorGaddafi3978 2 ปีที่แล้ว

      @@kidikeiv nani?

    • @kidikeiv
      @kidikeiv 2 ปีที่แล้ว

      @@JuniorGaddafi3978 @Mwamud Mohamed hapo juu 👆🏾

    • @durusukiswahili
      @durusukiswahili  2 ปีที่แล้ว

      Kuna mtazamo kama huo, msikiliza mwalimu Yusufu hapa th-cam.com/video/3jjNqpP8mTo/w-d-xo.html

  • @miltonjohn9779
    @miltonjohn9779 4 หลายเดือนก่อน

    Tuampango wa kukikuza kijaluo.kiwe lugha ya africa mashariki kwa sbb kwanza kijaluo ni kitamu kuliko kiswahili, halafu wajaluo wametakaa mchi chungu nzima Kama vile
    1 kenya
    2Tanzania
    3 Uganda
    4 sudan kusin
    5 Dr congo
    6 Ethiopia
    7 cameroon
    8 Nigria
    9 Ghana
    10 Liberia
    Kwaaana hyo kijaluo kitakuwa haraka kuliko kiswahili mnachokigombania.
    Kiuhalisia kiswahili kilianzia mombasa kisha Tanga na ikavuka mpaka kwenda wilaya ya zanzibar
    3

  • @trutharchaeologist
    @trutharchaeologist 2 ปีที่แล้ว

    Kwani kujua Kiswahili lugha ya utumwa wa wabantu yatusaidia nini? Sisi tuna lugha zetu asili

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 2 ปีที่แล้ว +1

      Acha ushamba. Nani alikuambia kiswahili ni lugha ya utumwa? Hujielewi

    • @trutharchaeologist
      @trutharchaeologist 2 ปีที่แล้ว

      @@yusufmwangichannel6692 Wewe waabudu waarabu waliolaaniwa kukaa JANGWANI, kweli huna msimamo

    • @trutharchaeologist
      @trutharchaeologist 2 ปีที่แล้ว

      @@yusufmwangichannel6692 waarabu uzao wa Esau (Saudi Arabia) waliobebe Wayahudi halisi utumwa Africa ambao ni wabantu baada ya mababu zao kuvunja angano na Sheria walizopewa na Mungu wao, ni aibu Sana kujigamba na lugha za utumwa
      Kumbukumbu za Torati 28:15-68

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 2 ปีที่แล้ว

      @@trutharchaeologist Ndio nimekuambia hujielewi ni bora unyamaze

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 2 ปีที่แล้ว

      @@trutharchaeologist 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @wm9669
    @wm9669 2 ปีที่แล้ว +2

    Bila shaka Tanzania ni bora