Nchi ikiwa na uongozi bora tunafanya mambo yetu kwa uhuru ,hongereni sana Viongozi wetu,tuifurahie hii amani asiwepo wa kutuvuruga,hongera Mh. Rais Mama S.S.H
Shenzi waedi nyang’au hawa bundi matako kubinuka yaani watu wanatekwa na kuzidi kuuwawa wao wako kwenye sherehe na huyu taahira anaimba eti Tanganyika ya Mavi kunuka Iko salama
Unayosema tofauti na uhalisia unajua jpm aliwapaisha Sana wasanii kwakua uwajibikaji wake uliwabeba kwani mliyo mkiimba ndyoyanayotendeka nchini laknisasa mnayoimba tofauti nawayatendayo viongozi ndomaana hamna mvuto kwa wtz
Viongozi hawatakiwi kusifiwa kwa kukata miuno alafu jamaa ni wa kiume kabisa anakatika maka anazunguka aiseee hapo ni pesa nyingi sana imetumika kuandaa hilo tamasha mm naona ni matumizi mabaya ya pesa
Hilo hajaanza Leo tangu enzi za Nyerere aliwaamiaha watu waliokajitenga na kukaa kiukoo na kuunda vijiji vya ujamaa ,Marais wote wamefanya kazi hio yy anaendeleza
sijawahi kuona nchi ya wajinga kama hii jeshi limekosa kitu ya kufanya mpaka mmacheza.taarab ndiyo.maana ni masikini.watu wasifia ujinga hizo sifa sio.nza viongozi wanaomcha mungu kweli hiyo ndiyo.kazi mmechanguliwa kwenda.kufanya
DUa nyingi Kwa Rais SAMIA Mungu Amzidishie!Tunajionea Kizimkazi Tunafurahia ZANZIBAR🎉😘🥰💯%✅
Nchi ikiwa na uongozi bora tunafanya mambo yetu kwa uhuru ,hongereni sana Viongozi wetu,tuifurahie hii amani asiwepo wa kutuvuruga,hongera Mh. Rais Mama S.S.H
Uchawa unazidi mpk inakera,
Habari za maana hampost kukata viuno wa kwanza Mungu atusaidie
Hii nchi tunako elekea na aina ya viongozi wanao tuongoza, kwa kweli Mungu asimame nasi😢
😂😂😂
Viongozi ni waswahili balaa mipasho kama yote
Ngoja nisiongee mengi maana hapa tulipo alie baki nimungu tu,.
Liwombo libayaaa km hauna mtumzi achana na kuimba
Mungu cyo mjinga kama ww hiyo dua iwez kufika
Chalamila usitikisike 😂😂😂😂😂 yeye bado hana tikisika😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kha nime😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu jamaa anajua sana,congrats makabila
Shenzi waedi nyang’au hawa bundi matako kubinuka yaani watu wanatekwa na kuzidi kuuwawa wao wako kwenye sherehe na huyu taahira anaimba eti Tanganyika ya Mavi kunuka Iko salama
Hicho ndo kilichobaki kujifarji kwamaneno ya wasaka tonge
Hivi watanznia ni lini tutaacha upumbavu yaaani tuko kama wajinga flani benjut shwain nchi imeoza lakini.cjui ni njaa sielewi
Viongozi uchawa unawaibisha nakuwashushia heshima
Watoto wa wenzenu wanakufa wanapotea wana bakea kulawitiwa
nyinyi mnafurahi tu !
Hii nchii ni lazma viongoz waadibishwe kwanza kama Alivyokuwa Maguf.
Wacha wainjoi bhana maisha yenyewe mafupi haya saa zote watu wakaze ubongo tuuu😂😂😂😂
Unayosema tofauti na uhalisia unajua jpm aliwapaisha Sana wasanii kwakua uwajibikaji wake uliwabeba kwani mliyo mkiimba ndyoyanayotendeka nchini laknisasa mnayoimba tofauti nawayatendayo viongozi ndomaana hamna mvuto kwa wtz
Uchawa tuu hamnalolote
Viongozi hawatakiwi kusifiwa kwa kukata miuno alafu jamaa ni wa kiume kabisa anakatika maka anazunguka aiseee hapo ni pesa nyingi sana imetumika kuandaa hilo tamasha mm naona ni matumizi mabaya ya pesa
Unakata mauno kiongozi kweli
Chalamia hana lolote he is nothing hata samia hana hanalolote anafukuza watu kwenye maeneo yao kwanini asifukuze waru wa Zanzibar mungu anawaona guys
Hilo hajaanza Leo tangu enzi za Nyerere aliwaamiaha watu waliokajitenga na kukaa kiukoo na kuunda vijiji vya ujamaa ,Marais wote wamefanya kazi hio yy anaendeleza
Kazi kweli
sijawahi kuona nchi ya wajinga kama hii jeshi limekosa kitu ya kufanya mpaka mmacheza.taarab ndiyo.maana ni masikini.watu wasifia ujinga hizo sifa sio.nza viongozi wanaomcha mungu kweli hiyo ndiyo.kazi mmechanguliwa kwenda.kufanya
😂😂😂 safi kabisa kipaji kikubwa sana iko kwa mheshimiwa chalamila
Kukata viuno alafu watanganyika wanakula mlo mmoja hyo ndio sahhi
Kumbe chalamila
Ni dancer mzur
Chalamila kiboko
Pumbavu we ni mungu?
Wanaokosoa nao waachwe wasitekwe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
❤❤❤❤
ahhhh
Ila nandy
😂😂😂😂
Hawaviongozi we2mbona wasani2 hadimakazini mwao
Mama yao ndio star,, royal tour
Duwa la kuku nyau wee
Bongo sihamii
Mwenzio na hama 😂😂😂
Mbona umemtoa ela mh wetu
😂😂😂😂