BREAKING: Hashim Rungwe Afungukia Ushoga, Korosho!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • BREAKING: Hashim Rungwe Afungukia Ushoga, Korosho!!
    Mwenyekiti wa CHAUMA Hashimu Rungwe amefunguka kuhusu maswala mbalimbali nchini ambayo yametokea kwa kipindi cha majuma kadhaa nyuma. Maswala hayo ni pamoja na Hali ya siasa, korosho na sakata la mapenzi ya jinsia moja.
    Akianza na swala la hali ya siasa nchini mwanasiasa huyo amedai kuwa wananchi pamoja na viongozi wa kisiasa wanaishi kwa hofu.
    "watu wamekuwa na hofu hii imejengwa" ameongeza kuwa mtu mwenye madaraka makubwa ndiye anayeweza kuondoa hofu hiyo.
    Kwa upande wa sakata la korosho, Rungwe ameomba kuwe na maridhianao yenye tija pande zote tatu ambazo ni serikali, wakulima na wanunuzi.
    Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: globalpublishers Instagram: Watch
    More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:

ความคิดเห็น • 66